Womenleveluptz

Womenleveluptz

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Womenleveluptz, Nonprofit Organization, .

Photos from Womenleveluptz's post 29/11/2023
08/10/2023

Huwa tukikutana na wanafunzi, tunapima pia mtazamo wao kuhusu masomo ya sayansi/ kazi za Tasnia ya STEM kwa watoto wa k**e.

Wanafunzi walioshiriki zoezi hili walikuwa ni 8. Wanafunzi 6 walionesha kuwa masomo ya STEM yanawafaa zaidi watoto wa kiume.

Mdau wa elimu, sayansi na teknolojia unadhani nini kifanyike??

08/10/2023

Empowering Minds, Igniting Futures, Unleashing the Power of STEM in Our STEMClub Project

# empowering

08/10/2023

Beyond the Books Secondary School

08/10/2023

Empowering Minds, Igniting Futures: Unleashing the Power of STEM in Our STEMClub Project.

08/10/2023

Breaking Barriers, Building Bridges: Our STEM Club Project at Mvinjeni Secondary School Is Redefining What's Possible. Come, be a part of this Revolution

Photos from Womenleveluptz's post 21/09/2023

Empowering RAAWU to combat climate change, one step at a time 🌍🌱

07/10/2022

What is your favourite SDG Goal(s)? .........

Saving our planet, lifting people out of poverty, advancing economic growth… these are one and the same fight. We must connect the dots between climate change, water scarcity, energy shortages, global health, food security and women’s empowerment. Solutions to one problem must be solutions for all.- Ban Ki-moon

24/09/2022

Drowning Prevention Symposium Tanzania

24/09/2022

My mentor kazi iendelee

24/09/2022

24/09/2022

Meet National Drowning Prevention Network-Tanzania

Photos from Womenleveluptz's post 20/08/2022

Sensa kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuko tayari kuhesabiwa -mkoa-dar

18/08/2022

Save the date. Sensa kwa maendeleo ya nchi yetu, tujitokeze kuhesabiwa

16/08/2022

SMART FAMILY FESTIVAL
NI TAMASHA LA SENSA MKOA WA DAR ES SALAAM LITAKALOFANYIKA AGOSTI 20,VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA

Karibu katika Tamasha la Mkoa la Sensa Kutakuwa na Burudani |Manesho na Fursa za Kutosha, Wasanii Wakubwa, Bongo Muvi , Comedy, na Sanaa Nyingine

Ni Fursa nzuri ya Kukutana kufurahia na Viongozi Wa Serikali, Dini , Wasanii , Makundi ya Vijana , Wanawake na Usiache familia yako nyuma

Hakuna kiingilio.
Maonesho Ya Wajasiriamali ni Bure
Vikundi Vijisajili Ili Kutambuliwa
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana
0715 581047
067 951 7751


ya Wote

Tafadhali Share na Wengine Tukutane Kijitonyama AGOSTI 20🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿Kazi Iendelee Mimi na familia yangu tuko tayari kuhesabiwa, Wewe je?

Photos from Womenleveluptz's post 11/08/2022

It was honour to facilitate this training and to meet workers from Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers (TUICO), Tanzania Plantation and Agricultural Workers Union (TPAWU), and Conservation, Hotels, Domestic, Social Services and Consultancy Workers Union (CHODAWU)

Photos from Womenleveluptz's post 11/08/2022

Climate change affects the World of Work. Understanding the impacts of the problem is significantly essential towards solutions.

The workshop training was held in Dar es Salaam 5th August.It brought together participants from Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers (TUICO), Tanzania Plantation and Agricultural Workers Union (TPAWU), and Conservation, Hotels, Domestic, Social Services and Consultancy Workers Union (CHODAWU). Facilitator: Women Level Up Initiative

10/08/2022

Thank you dada kutukumbusha jambo hili muhimu katika maisha.

06/08/2022

Hakina mbadala wa mazingira, asante Mhe Rais kwa kuliona hili. Uharibifu mwingi wa mazingira unatokana na shughuli zetu sisi wananchi, tukiwa na matumizi bora ya Ardhi vyanzo vya maji vitalindwa vyema.

05/08/2022

Ili masomo ya Sayansi yaonekane ni ya kawaida hatuna budi kushirikiana kwa pamoja k**a jamii ili kuweza kuweka mikakati ya pamoja kuanzia kwa watumga sera, wasanii, wanaharakati na jamii nzima kwa ujumla wake. Wakati wa Maadhimisho ya Pan African Women's Day tulipata wasaa wa kuzungumza kwa pamoja ili kuona ni jinsi gani jamii nzima itaona umuhimu wa SAYANSI katika maisha ya kila siku.

04/08/2022

Komaa mpaka kitokee..

03/08/2022

Science as a Common Good

03/08/2022

Representing women in STEM

01/08/2022

With you everything is possible, thank you my tireless mentors

01/08/2022

Pan African Women's Day 2022

01/08/2022

Inclusion In STEM

01/08/2022

STEM based Organization

01/08/2022

Hon.. Wanou Hafidh Ameir🥰🥰🥰 Chairperson Mwanamke Initiative Foundation ( MIF) during celebration of Pan African Women's Day 2022 at Tanzanite Park , Dar Es Salaam Theme: Gender Inclusion in STEM

01/08/2022

Thank you for coming my dear Inclusion In STEM

Videos (show all)

Women In Conservation Tech at Grument Fund
Can't wait to host your kids during LIKIZO BOMBA.....Yes come one come all. Remember we have limited seats , wahi sasa 0...
ATTENTION ❗️❗️❗️❗️ Are you ready ??? Register now, Limited seat Available Whatsapp / Call 0752410816
LIKIZO IMEFIKA,MZAZI/MLEZI hakikisha mtoto anapata muda wa kupumzika kwa kufanya mambo anayopenda, kumvutia mtoto na kum...
MILANGO IPO WAZIKARIBU KATIKA REAL ROLEMODEL PROGRAM PHASE 2Program Imelenga Kusaidia Washiriki kujitafuta na Kuhakikish...
Conservation Education @tawa_tanzania #conservationeducation #watersourcesystems