official_luhui

official_luhui

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from official_luhui, Artist, .

13/06/2022

Kuvaa Nusu Uchi Mtandaoni Utawavutia
Wavulana Tuu,
Wanaume wa Kweli Hatuli Tunda lililo Achwa Wazi,,
Ukiacha Siasa za Uwongozi Kuna Siasa za
Mapenzi Usipokuwa Makini Utagawa Jimbo la Moyo Wako Kwa Mwanasiasa wa
Mapenzi Asiefaa na itakugharimu miaka kadhaa kumtoa Moyoni
πŸ™πŸΌ

06/03/2022

ChangaMoto Ni Maana halisi ya Mafanikio

πŸ™πŸ™πŸ™

04/03/2022

Masikini wengi tuna ndoto za Utajiri Kichizi/ Hazitimii Sababu Tunash*tuka katikati ya Usingizi/ hatujakuzwa Kuamshwa na Alarm ili Tuamke/ Tunaamshwa na shida Tuache shuka Tukatafute.

πŸ™πŸ™

15/02/2022

Mimi sio Mchoyo Dada tatizo pesa zangu zimeungana na Roho Nikizitoa tu NakufaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ Usimwamini Mwanamke Akikuambia Anakupenda wewe atakupa Mwili Kisha MOYO Atampa BITOZI kisa KIFUA πŸ˜ŽπŸ‹οΈπŸ’ͺ

Website