Tegua Mitego

Tegua Mitego

Jifunze Ujasiriamali Mambo Leo

04/03/2022

7 Ultimate Life Lessons' that every ambitious entrepreneur should follow.

*1. Start local but think global*

Jim Ovia started Zenith Bank with a branch in Lagos at a residential duplex shared with a private tenant. The building did not resemble an office or a bank at all, he said. However, that unassuming duplex was the starting point of a London stock exchange-listed company with operations worldwide. With this, he says, "it's not necessary to be born rich or in an influential circle to achieve success. The path to success is accessible to every young person regardless of background, family income or education. If I can do it, you can too."

*2. Follow your instincts*

Jim Ovia believes that the most crucial skill to becoming successful is the ability to listen to your guts. During his university days, Ovia developed a curiosity for computers and wanted to study computer science, but his college advisor conceived him to study Business Management and Administration. He had the gut instinct that this technology was the key to the future of all business, so he always snuck into the university's computer rooms to learn whenever he had the chance. Years later, when setting up his business, even though there was no internet in Nigeria, he prioritised incorporating digital technology and internet capacity. According to him, "What determines whether a great idea can ever come to fruition is the initial will to act on instincts. When instincts is successfully followed, confidence and self-esteem grow exponentially."

*3. Follow the road less travelled*

To become successful, you must have the courage to forge your path and take the less travelled road instead of the well-beaten path, Ovia said in his book. It is on such paths that your personality is truly tested, and on such paths lies the potential of higher reward.

*4. Develop your negotiating and networking skills*

Ovia, in his book, also told a story of how he started a used car sales business during his NYSC days in Nigeria. "After I found a mechanic to fix a beat-up car my uncle gave me, I discovered that there were many beat-up cars available for sale. I would buy these cars, get the mechanic to refurbish them, and then sell them at a higher price. Sometimes I would sell these cars for double and even triple the price I had paid for them." According to Ovia, the most valuable lesson in this story was discovering and developing his ability to negotiate with the original car owner, the mechanic and the buyer. Ovia recalled that this skill played out when he negotiated a banking license for his business. "Candidates were required to have at least 20 years of banking experience, and I only had 10 years of experience under my belt. I was unqualified on many fronts, but I negotiated my application to be granted. Showing respect and understanding of the person with whom you are dealing creates an underlying sense of trust, and trust is the rocket fuel of negotiation."

*5. Let the dots connect*

While studying abroad, Ovia got a night job as a computer operator. This experience offered him insights into how an American bank was using data processing technology to its advantage. Ovia also put his MBA knowledge to work during NYSC, writing feasibility studies for companies and selling refurbished cars. He later got a job as a financial analyst at a bank. "All of these experiences, he said, prepared me for bigger things to come. Do not take the little opportunities of today for granted. You will never know when those experiences will play to your advantage. Diligently do what you have to do today; the dots will connect tomorrow."

*6. Build your network and help others succeed*

According to Ovia, every entrepreneur or professional needs to place more value in who you know than in what you have. A good entrepreneur sees a potential ally in everyone. Establish your network one person at a time by being reliable and patient. Pave the way instead of burning the bridges.

*7. Return the kindness*

Ovia believes that being invested in a sustainable future in your community is the activity that determines whether a venture is a flash in the pan or a foundation worthy of an empire.

"The boy I was once was, growing up without a father, might never have looked beyond the confines of the town I grew up in, were it not for one crucial factor - Education! This inspired me to create the Jim Ovia Foundation, which offers scholarships to students and young Nigerians."

27/02/2022

K**a na wewe ni miongoni mwa wanaotambua kuwa biashara ndogondogo ndiyo Ujasirimali basi tambua pia huelewi chochote kuhusu Ujasiriamali.

26/02/2022

SWALI: JEE KUNA UMUHIMU WA KUACHA KAZI ILI UWE MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO??

JIBU: Ndiyo, upo ulazima.

Kufanya Ujasiriamali wakati ukiwa mfanyakazi ni suala gumu sana. Vyote viwili winahitaji muda wa kutosha. Maisha ya ajira yanachukua nusu na robo ya muda wako. Ujasiriamali nao unahitaji muda k**a huo au zaidi ili upate mafakio unayokusudia.

Kikubwa amua moja. Lazima ukubali uwe Sheikh au Padri, full stop. ..

TEGUA MITEGO. Read more...

23/02/2022

WAFANYABIASHRA WADOGO VS WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO

Kuelewa tofauti iliyopo angalia Picha hapo chini halafu rudi kwenye darasa hili.

1. Unaowaona wamebeba mizigo katika mabega yao ni Wafanyabiashara ndogondogo.

2. Ambao wameweka rim za matairi ya gari na kutundika bidhaa mbalimbali hapo nyuma ni Wafanyabiashara wadogo.

Kwa mafunzo zaidi soma Kitabu chako cha TEGUA MITEGO

21/02/2022
20/02/2022

USIBANE MATUMIZI, ONGEZA NJIA ZA KIPATO

Usibane matumizi kwa lengo la kubana matumizi. Bana matumizi kwa lengo la kupata fedha zitakazokuwezesha kuongeza njia za kujipatia kipato.

Kutimiza ndoto zako kwa kubana matumizi ni sawa na kuishi maisha ya maigizo. Maisha unayoishi kwa sasa tayari umeshajibana vya kutosha. Yapo mambo mengi ambayo ungependa kuyatimiza bahati mbaya umelazimika kuachana nayo kutokana na kuzongwa na mambo ambayo yote yanahitaji kipato chako kidogo ulichonacho kwa sasa.

Ndoto zako nyingi zitatimia iwapo tu utakuwa na njia nyingi za kujipatia kipato. Hakikisha unakuwa na njia nyingi iwezekanavyo za kujipatia kipato na taratibu utaanza kuona uwezo wako wa kutimiza malengo yako unaongezeka.

Kutegemea kutimiza malengo yako kwa utaratibu wa kubana matumizi hakutakusaidia chochote zaidi ya kukuongezea misongo ya mawazo. Wakati kipato chako kikiongezeka taratibu sana mahitaji yako yanaongezeka kwa kasi ya ajabu.

Kutimiza malengo kwa kubana matumizi ni sawa na ujenzi wa mnyonge, mpaka ukifanikiwa kumaliza kibanda chako hata ramani nayo inakuwa imeshapitwa na wakati. Learn more....

Tycoon wise word CHA TEGUA MITEGO

20/02/2022

Muda wako wa kujiandaa na kustaafu ni sasa. k**a unadhani bado una muda wa kutosha yatakukuta haya ambayo Mhe. Mataka ameyaeleza. Msikilize.

17/02/2022

NILIPATAJE UTAJIRI WANGU?

Nimekuwa nikiulizwa mara kadhaa na watu mbalimbali juu ya namna gani nilipata utajiri wangu. Mara zote sikuwa na jibu jingine zaidi ya kuwaeleza kuwa nimezipata kwa kutatua shida za watu.

Kila mahala ninapotembelea huwa najikita zaidi kuangalia watu wa eneo lile wana shinda gani baadaye nafuta namna ya kuwatatulia shida zao.

Hicho ndicho kimeniwezesha kufika hapa nilipo. Makampuni yangu yote yameanzishwa kwa utaratibu huo. Huwa siumizi kichwa kutafuta shughuli ya kufanya zaidi ya kucheza na shida za watu.

RICHARD BRANSON _ CEO _Virgin Group of Company

15/02/2022

"Ni jambo lisilofichika kwamba licha ya dhana ya Ujasiriamali kupata umaarufu mkubwa duniani kote bado kuna changamoto ya ufahamu wa dhana hiyo katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Watu wengi huichanganya dhana hiyo na biashara ndogondogo au biashara zinazohusisha kazi za mikono na nyInginezo wakati uhalisia wake haupo kabisa kwenye aina ya shughuli zinazofanywa bali upo katika namna ya ufanyaji wa shughuli hizo.
Mtazamo huo wa kuufananisha Ujasiriamali na biashara ndogondogo na kazi za mikono ndio umepelekea wamachinga wote nchini kuitwa wajasiriamali. Vilevile ndio uliopelekea watu kudhani wanafunzi wote wa vyuo vya ufundi k**a vile VETA na SIDO ni wanafunzi wanaosomea Ujasiriamali jambo ambalo siyo sahihi". Kutoka kitabu chako cha TEGUA MITEGO - Utangulizi...

Videos (show all)

Muda wako wa kujiandaa na kustaafu ni sasa. kama unadhani bado una muda wa kutosha yatakukuta haya ambayo Mhe. Mataka am...