Advocate Fauster Daniel
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Advocate Fauster Daniel, Lawyer & Law Firm, .
Habari wana Familia,
Tumshukuru Mungu Kwa siku hii njema.
Leo tuangalie madhara ya kuandika jina la mtoto kwenye mali zako.
Wazazi wamekuwa na Nia njema na upendo Kwa watoto wao, hivyo wanajikuta wakiweka Majina ya watoto katika mali zao.
Wengine wanafanya Kwa upendo na ili waepushe migogoro pale watakapotangulia mbele za haki lakini wengine wanafanya hivyo ili kukomoa wenza wao, kabla hujafanya hivyo jaribu kuhusisha MWANASHERIA ili akusimamie katika kutekeleza Nia Yako hii.
Haya ndio madhara yake:-
1. Umiliki wa mali hiyo huhama mara tu unapomwandika mtoto, wewe unapotwza haki juu ya mali hiyo na mtoto anakuwa mmiliki halali wa mali hiyo hivyo atakuwa na mamlaka ya kufanya chochote kwenye mali hiyo ikiwemo kuuza, kupangisha au hata kuweka rehani ili achukue mkopo.
2. Watoto wetu wanakuwa wakubwa, k**a umeweka Majina ya mtoto huku ukiwa unataka uendelee kunufaika na mali hiyo unafanya makosa makubwa. Mtoto akiolewa na akapata mgogoro na mwenza wake wakapewa talaka, mali zilizo katika Majina yake zitakuwa sehemu ya mali zitakazogawanywa Kwa watalaka hao.
3. Mtoto akiingia madeni, wadeni wake wakashinda mahak**ani, mali zilizo katika Majina yake zitaambatishwa katika utekelezaji ili madeni yake yalipwe.
Hivyo basi k**a unaweka jina la mtoto kwenye mali zako, hakikisha hautakuwa na matumizi tena na mali hizo.
Translation..........
Hello Family,
Thank you God for the beautiful and productive day.
Today let's learn as to why you should not put your children's name on your title deed.
1. Ownership Issues
By putting your child's name on your title deed, automatically the said child become the legal owner of the property, he/she will have fully rights over the property so he can sell, mortgage or lease as he pleases without seeking your consent
2. Divorce claims
Children's grow and get married, when they encounters marriage challenges and result to divorce all of the property owned by them will be subject to division, remind you that, your house is in their name too.
3. Creditor Claims
This is when your child incur debts, when defaults, the court may order for her/his property to be sold to clear his debts.
On 6th of May I was honored to attend the 33th Annual General Meeting (AGM) of Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) held at Serena Hotel .
The AGM was blessed to have a Continuous Legal Education (CLE) themed. " Learning Best Practices on Gender Equality; Embrace Equity to Maximize Access to Justice for Women.
Earlier today I attended the hearing on tortious liability at Kisutu Resident Magistrates Court in Dar es salaam.
Mapema Leo nilihudhuria mahak**a ya hakimu mkazi Kisutu, dar es salaam kusikilizwa katika shauri la sheria za madhara.
Cc
is envisaging for innovative and ultramodern legal solutions
Kindly follow our page for more
Corporate and Litigant Advocate ⚖️
RITA TOWER, 12th Floor,
Ilala Dar es salaam (Posta)
Your welcome.
It was an honor meeting the amazing and inspirational learned sister at Wakili House for the Tanzania-UK Legal Symposium thenafter at Johari Rotana for Dinner Reception, I learned a lot from her.
Nawaza tu vitu vya kisheria vitakavyo raise kutokana na ajali ya precision air kule Bukoba.
1.Fidia Kwa wahanga wote wa ajali kutoka Kwa Bima.
2. Malezi ya watoto waliopoteza wazazi wao
3.Mirathi Kwa watoto waliopoteza wazazi, mme, mke.
SAD NEWS
Kifo Cha mtoto huyu Ifeanyi, mtoto wa msaini wa Nigeria kimenitafakarisha sana.
Wazazi na walezi wa watoto tunatakiwa kuwa makini sana.
Imagine mtoto alikuwa mzima wa afya, Jana kafariki Kwa kuzama kwenye swimming pool.
Ni maumivu makali sana Kwa wazazi na ndugu.
Inaweza kuwa ni uzembe tu ndio umesababisha haya yote.
Ni vizuri k*m- monitor mtoto muda wote unapokuwa nae, Yuko wapi na anafanya nini.
Unakuta mzazi kamwacha mtoto wa miaka 3 anadhurula tu mtaani, Kwa majirani.
Wapendwa tujitahidi kuwa-monitor watoto wetu muda wote, tusije kujuta siku Moja.
Hata wadada wanaowalea tuwafundishe haya.
It takes a real man to be a daddy.
Daddy and Lewis
Reposted from Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake.
Kaimu k**anda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Ndo mm na vijana wangu. Tunavyomsubiri karani wa sensa, mkuu wa kaya kachoka kusubiri 😆
Cc