AFYA YANGU
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YANGU, Medical and health, .
Avocado face and body soap.
-Hii n sabuni ilyo tengenezwa kwa mchanganyiko wa avocado pamoja na jani la mmea wa aloe vera.
Faida za hii sabuni
-Nisabuni ambayo ni Antioxidant (hutoa sumu mwilini na kuregenerate cells katika ngozi)
-Huondoa muwasho,chunusi,Madoa sugu,michilizi pamoja na michubuko.
-Inatibu na kung'arisha ngozi ya aina yoyote.
-inapenyeza kwenye ngozi hivyo kurekebisha mfumo mzima wa ngozi ikiwemo kuondoa fungus na bacteria.
-Inafanya kazi mara baada ya kuitumia na matokeo yanaonekana mapema.
-Huongeza vitamin mwilini. Eg vitamin A,B,D na E (ambapo kwa kila aina ya vitamin hapa inakazi kubwa mwilini).
Ngozi zetu hubadilika na huwa tofauti kadri tunavyo pigwa na jua na shughuri mbali mbali hivyo kusababisha cell za mwili kuendelea kufa pole pole na ndio maana mara nyingi huwa tuna badilika rangi ya ngozi sio k**a tulivyo kua wadogo..... cell hzi hupelekea kitendo kiitwacho free radicals ambazo baadae zikizaliana kwa wingi husababisha magonjwa k**a cancer.
Hii sabuni inatibu na kuzuia ukuaji wa free radicals mwilini.
Comment number yako k**a umependa na unahitaji kutumia bidhaa hii.
CHAGUA KUPATA VIRUTUBISHO VITAKAVYO KUSAIDIA KUONDOA SUMU MWILINI NA KUBORESHA MFUMO WA MAISHA YAKO IKIWA PIA NA MWONEKANO MZURI MUDA WOTE.
1.ALOE VERA JEL
Aloe vera jel- Ni virutubisho vilivyo tengenezwa kwa jani la mwaloe vera na mimea ya asili na ina compunds zaidi ya miambili kwaajili ya miili yetu.
FAIDA ZAKE
-Husafisha kinywa na kuondoa kiungulia
-inasafisha mfumo wa kumengenya chakula
- Ina tibu vidonda vya tumbo
-Huondoa bacteria,fungus na wadudu walioko katika mfumo wa kumeng'enya chakula.
-Husaidia kwa mtu mwenye shida ya kupata choo au choo kigumu.
-Inasaidia kupunguza UTI
-Maumivu na mwasho wa tumbo
-Inapunguza alregy
-kisukari,pressure na magonjwa katika ngozi
-inaondoa sumu mwilini.
-Inasaidia kuupa mwili vitamins,Nutrients,Amino acid, na kupunguza glucose iliyo zidi mwilini.
-Ni nzuri kwakupunguza UTI
Comment number yako endapo unahitaji bidhaa hii..