KANDANDA PWANI

KANDANDA PWANI

MIJADALA YA KUIMARISHA KANDANDA PWANI (COAST KENYA FOOTBALL FORUM)

Kundi huru kwa wale wote wapendao kandanda,hasa Maendeleo ya kandanda Mkoani pwani na viungani..Kupashana habari ya mechi,mazungumzo na pia kuangazia vipaji vya wabasoka wanaochipuka..Pwani imetoa wanasoka nguzo katika Kenya hii mbona sasa tukae nyuma.Tuwavulie kofia watu k**a "Kenya 1" Mahamud Abbass,Abbass Khamis "Zamalek" Magongo,Robert Mambo,Bi...nzi Mwakolo,Athman Mbuguss miongoni mwa wengine

Timeline photos 14/11/2015

Congratulations for a wonderful debut. It shows we have enough talent we just have to see how to Develop it. Football officials across the province need to wake up and assist also have better organisation.

15/11/2014

Bandari fc page

Bandari FC KUHUSU
Ukurasa rasmi kwa Bandari Football Club.Kwa habari zaidi, kutembelea

Website