Dr Habibu Tiba Asili Tanga

kurasa maalumu kwa ajili ya kutoa elimu na tiba mbadala za dawa za miti shamba 💯 TANGA TANZANIA

Photos from Gungilitembo Herbal Shop-Tanga Tanzania's post 21/07/2024
20/07/2024

# # MZIGO MPYA UMEINGIA # #.

MAFUTA YA KUONDOA NUKSI,MIKOSI,NA KUKUFANYA UWE NA MVUTO WA AINA ZOTE.

Hukusaidia kuwa na mvuto kwa kukuondolea nuksi na mikosi inayokukabili mwilini mwako.

Huweka mvuto kwa mpenzi wako.

Kumshika mume au mke

Kukufanya kuwa na mvuto kwenye biashara,kazi ama mbele za watu wanaokuzunguka

Kutengeneza tabasamu kwa watu juu yako.

Haya ni mafuta ya dawa halisi za mvuto,kazi yake ni mvuto na kukufanya upendwe na watu na boss.

Kwa anayehitaji tuwasiliane

DAWA UA NGUVU ZA KIUME MVUTO WA BIASHARA KAZI ZINDIKO LA MWILI NYUMBA BIASHARA

TUWASILIANE.

+255746998149, call, sms, Whatsap

+255672242669, call, sms, Whatsap

Dr Habibu A Bakari

TUPO; Chumbageni
TANGA TANZANIA

20/07/2024

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Thomas Nyambibo, Benard Peter

Photos from Dr Habibu Tiba Asili Tanga's post 14/07/2024
14/07/2024

JINSI YA KUNYOA MAVUZI
USITOKEWE NA VIPELE.

WANAWAKE & WANAUME;-

# # BUREEE # #

Unyoaji wa mavuzi kwa
baadhi ya wanawake umekua
ukileta maumivu ya kutesa
kutokana na kushindwa kujua
ni jinsi gani ya kunyoa.
KWANZA NIWAPE PONGEZI
WOTE MSIOPENDA MAVUZI
YAOTE maana niuchafu huo.
(mwaa).
HATUA ZA KUEPUKA
1 USITUMIE wembe
uliotumika zadi ya mawara 3.
Hii itakusaidia wewe kuepuka
maumivu wakati wa kinyoa.
2 USISHEE kiwembe na
mtu .
Wapo wanaoshiriki wembe
wa kunyolea na waume zao
"Haina shida ila sio salam
sana. wasizidi watu 2 .
3 USITUMIE WEMBE
Mchafu..
4 USICHANGANYE NYEMBE
zilizotumika yaani ukawa
unatafuta makali kwa
kubadilisha wembe huu na
huu hapo hapo.
ZINGATIA HAYA.
1 Ubora wa wembe
unaoutumia.
2 Jaribu kununua mashine
ya kunyolea . ukiweza.
4 K**a vuzi ni refu sana
punguza na mkasi ndio
upitishe kiwembe.
5 Nyoa sehem zote zenye
nywele ( Hadi mkunduni kwa
wale wenye nazo) .
6 Nyoa hadi kwenye
mashavu ya K = Hapa na
sititiza maana baadhi ya
wanawake wanapaacha sasa
hizi nywele kutokana na joto
zinaungua kuwa myeupe.
Wakati wa show zikiloa tu
zinatisha kiasi kwamba
wataalamu wa kuchimba
chumvi tunashindwa kujilia
vyetu.
Jitaidi ufikie hapo.
(K**a hupaoni TUMIA KIOO)
JINSI YA KUNYOA SASA
Ukitaka kunyoa mavuzi vizuri
na usipate mapele wala
muwasho zingatia haya
UTANIPA MRESHO.
1 UNYOE KWA
KUPANDISHA JUU.
Unaponyoa mavuzi usinyoe
kwa kupandisha juu shusha
chini kuelekea kwenye
KINEMBE KWA JUU.
2 USIKANDAMIZIE WEMBEpitisha wembe polepole sio
haraka haraka maana
utajiumiza mwenyewe..
3 LOANISHA KWA POVU
ZITO KULAINISHA
VINYWELEO.
Wapo siojua kuwa povu
linalainisha ngozi.
4 KATIKATI nyoa kwa
kuelekea kwenye K yaani
paja la kushoto na paja la
kulia shusha wembe kwenye
K.
Baada ya hapo jikague k**a
unamavuzi ya Mkundu
usiache nyoa nayo kwa
kupitia pembeni ya tako la
kushoto na kulia.
MWANAMKE USAFI .
MALIZIA NA ZA KWAPANI
SASA SIUNAJUA .
BAADA YA KUNYOA
SASA
Paka mafuta ya nywele kwa
siku 3..Inaendelea tembelea kurasa wetu

SIMU!-

+255745998149, call, sms, Whatsap

+255672242669, call, sms only

Dr Habibu A Bakari

TUPO;- CHUMBAGENI
TANGA TANZANIA.

TEMBELEA KURASA WETU KUFAHAMU HUDUMA ZETU ZAIDI ZA TIBA ZA DAWA ZA MITI SHAMBA 💯.

KARIBUNI SANA.

12/07/2024

DAWA YA WANAO KOJOA

KITANDANI WATOTO & WAKUBWA

# # BUREEEEEE # #

TIBA YAKE;-

(a) Saga idhunyaa kisha ichuje halafu
ichanganye na asali ya nyuki wadogo ujazo robo lita kisha
mpe kikojozi iwe mdogo iwe mkubwa
mpe atumie kijiko kidogo cha chai
asubuhi kabla ya kula chochote na saa ya
kulala muda wiki moja.
(b) Isage mwilaa k**a juice (yaani kwa
Blander) ujazo wa chupa ya oranji kisha
uichuje kisha mpe kikojozi anywe atumie
nusu kikombe cha kahawa 1x3 wiki 1--2.
Inshaallah tatizo litaondoka Biidhnillah na
kitanda kitaanza kuwa safi.

# Pia tunayo dawa ya miti shamba, iliyo
tayari ya kutibu na kuondoa kabisa hili
tatizo pia utapewa na dawa ya kinga ya
kufanya asirudie tena kukojoa kitandani
baada ya kupona.

# Dozi kamili ya hii dawa ni Siku ( 7 ) tu
Utaanza Kupata matokeo baada ya Siku tatu ( 3 )

Dawa ina nguvu na uwezo mkubwa sana wa kutibu na kuondoa kabisa tatizo la kukojoa kitandani 100%.

# Pia tunatibu kwa kutumia tiba nbadala
( Tiba za dawa za miti shamba asilia)
kwa baadhi ya
matatizo mbalimbali ya kiafya
yanayowasumbua wanajamii kwa kipindi
kirefu bila kupatiwa dawa NA tiba sahihi.

Tupigie:

+255745998149
Call, sms, whatsaap

+255672242669
Call, sms only

Dr Habibu Amiri Bakari.

&

dr Abdallah J Mbwambo.

Tupo:- Chumbageni- Tanga Tanzania.

# Tembelea huu kurasa wetu kufahamu
huduma zetu
zaidi.

Sambaza na kwa wengine ili wapate tiba na waondokane na hill tatizo la fedheha KUBWA.
Share & like.

10/07/2024

Leo tujifunze nakuzitambua faida za tunda la Tango
katika miili yetu,

# # BUREE # #

ikiwa watu wengi
tunakula bila kujua faida zake katika
maisha ya kila siku.
Watu wengi tunapenda matunda Fulani
kwa ladha yake tuu bila kutaka kupata
faida,
Katika mwili ikiwa faida ya baadhi ya
matunda ni pamoja na ladha yamatunda
mabalimbali.
---------------------------------------------
------------------------------------
1. Tango ni chanzo kizuri cha vitamin B.
2. Tango huupa mwili na vitamin. Asilimia
95 ya tango ni maji hivyo huupa mwili
maji na kuusaidia kuondoa sumu mwilini
kwani pia lina vitamin karibu zote ambazo
mwili huhitaji kila siku.
3. Tango pia hutumika kwenye matunzo
ya ngozi/urembo ambapo huwekwa
machoni na kuondoa vimbe hasa kwa
watu ambao umri umeanza kusogea kwani
tango lina virutubisho vya kuondoa vimbe
hizi na pia lina silicon na sulfur ambazo
husaidia ukuwaji wa nywele.
4. Tango lina virutubisho k**a
lariciresinol, pinoresinol na secoisalaricire
sinol ambavyo kulingana na tafiti mbali
mbali za magonjwa ya kansa husaidia
kupunguza aina mbali mbali za kansa
k**a kansa ya matiti, kansa ya mifuko ya
mayai kwa wanawake, kansa ya kizazi kwa
wanawake na kansa ya tezi dume kwa
wanaume.
5. Tango husaidia kuondoa harufu mbaya
kinywani.
6. Tango huondoa hangover kwa
watumiaji wa pombe kwani lina vitamin B
ambazo husaidia kupunguza ukali wa
maumivu ya kichwa pale unapoamka
asubuhi ila unatakiwa kula kabla ya kulala
ili uamke ukiwa vizuri.
7. Tango husaidia kupungua uzito na
mmeng’enyo uende vizuri. Kutokana na
kiasi kidogo cha sukari kilichopo kwenye
tango na kiasi kikubwa cha maji, tango ni
tunda sahihi kukusaidia upungue uzito.
Kiasi cha maji kilichopo kwenye tango na
Kamba Kamba zake huusaidia mwili
kuondoa sumu katika mfumo wa chakula
na kusaidia mmeng’enyo wa chakula.
Unapokula tango kila siku pia hukusaidia
wewe mwenye choo kigumu au usiyepata
choo kabisa kwa muda mrefu kuondokana
na tatizo hilo.
8. Tango husaidia wagonjwa wa kisukari,
hupunguza mafuta mafuta kw

Photos from Tiba Asili Tanga's post 18/07/2023
17/07/2023

FAHAMU BAADHI YA DALILI ZA JINI MAHABA;-
1.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba
2.Kitu kucheza tumboni k**a mtoto..
3.kuchukiwa watu bila sababu yoyote,na kila ufanyalo wanaona ni baya tu..
4.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote
5.Kupenda kujitenga na watu
6.kuwa na hofu kupita kiasi..
7.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae s*x(Unakuta huyo jamaa huwa mchovu Sana kwenye s*x lakini akiingiwa na jini anakupiga bao tamu K**a la kwenye ndoto mpaka unajiskia Raha isiyo na mfano/Au unapiga bao tamu....
8.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuabudiwa,nitakuoa/tutaonana
9.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa
9.Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka 150
10.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita.
11.Ukilazimisha kuoa/Kuolewa ndoa inakuwa ngumu, ridhiki ngumu
12.Kukimbiwa na wachumba..
13.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa.
14.Ugomvii ,migogoro na mme..Cha ajabu akiwa mbali unammiss unatamani awe karibu na wewe,,afike Sasa,chuki unatamani aondoke tu...
15.Uvivu wa kutopenda kufanya kazi
16.Kuwa na hasira Kali Sana,hasa unapoamka asubuhi.
17.Maumivu makali wakati wa s*x,ukipona P.I.D,U.T.I,Fangas na Uvimbe kwenye kizazi,huna...(anataka awe peke take akufaidi)
18.Kutohisi ladha yoyote wakati wa s*x
19.Kukosa hamu kabisa ya s*x wakati homon ziko sawa.
20.Migogoro isiyoisha isiyo na sababu ya maana katika mahusiano au ndoa..
21.Kuchukia kabisa Kuoa /Kuolewa.
22.Kuota unalea watoto/mtoto
23.Kuota unanyonyesha
24.Kuota umejifungua
25.Mimba kutoka
26.Kuota unafanya s*x
27.Kuota unaolewa/kuoa
28.Kuota unafunga ndoa
29.Chukia kwa mme/Mke
30.Ukiwa nae,huwezi kupata mimba.
Hizo ni baadhi tu..
Ukitaka kujitibu
Anakufingia ridhiki
Unakata tamaa ya kujitibu
Unawaonea wote matapeli hakuna wa kukutibu..
Anaweza akakupa maradhi ukaugua Sana ili tu usiende kujitibu.
Ukielekezwa dawa,unachuma anaficha...!! Inaendelea tembelea kurasa
TUPIGIE;-

+255745998149, CALL, whatsaap
Dr HABIBU A BAKARI.

TANGA TANZANIA

Want your organization to be the top-listed Government Service in Rajshahi Division?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Chumbageni Area TANGA
Rajshahi Division
Other Nature Preserves in Rajshahi Division (show all)
Beautiful Nature Beautiful Nature
Rajshahi Division

daily Nature Video uploading View 🥰😍🤩 #nature #naturephotography #natural #natureart #naturalbea

Natural_Love_with_AT Natural_Love_with_AT
Rajshahi Division

#nature #love of nature

Nature Preservation Nature Preservation
Rajshahi Division

Love City

Italy Love City Italy
Rajshahi Division, 1122

সৌন্দর্যে ঘেরা ইতালি

Statas zone009-Arnab Statas zone009-Arnab
Rajshahi Division

G

Natural Life Natural Life
Rajshahi Division

Please help follow my page. #Natural Life

Watch 24 Watch 24
2002 Avenue J, Brooklyn, NY 11210
Rajshahi Division

please follow and like my page.

like of hariom bairwa like of hariom bairwa
Rajshahi Division

read

Nature of Bangladesh Nature of Bangladesh
Rajshahi Division

Just share the nature of Bangladesh & my memories.

B̶o̶r̶k̶e̶n̶ H̶e̶a̶r̶t̶ B̶o̶r̶k̶e̶n̶ H̶e̶a̶r̶t̶
Rajshahi Division

Coming soon

Arman Mizar Arman Mizar
Rajshahi Division