HT Mashinani-Island
Nearby government services
Joe Kadenge Road
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HT Mashinani-Island, Political organisation, digo road, Mombasa.
Answer to Question: How can I Avoid Kufr or Shirk and Die a Muslim
hizb-ut-tahrir.info Answer to Question:How can I Avoid Kufr or Shirk and Die a Muslim To: Islam Zidan(Translated) Question: &nbs...
On this day May 29, 1453. Marks the Conquest of Constantinople (Istanbul), by the great Fatih Sultan Mehmed (Khalifa Muhammad al-Fatih). Khalifa Mehmed II and his conquest was prophesized by the Prophet Muhammad in his famous narration (hadith):
“Verily you shall conquer Constantinople. What a wonderful leader will he be, and what a wonderful army will that army be!"(Recorded in the Musnad of Imam Ahmad ibn Hanbal). Authenticated by Al-Dhahabi, Al-Suyuti and Al-Hakim
It wasn't just the taking of a major city, but the end of Byzantium Empire and one of the finest moments of Islamic history.
May Allah have mercy on Khalifa Muhammad al-Fatih, his son Bayazid, his grandson Selim and his great grandson Suleyman.
Shaaban Mwalimu
islamic
Hali ngumu ya Maisha ni Ukumbusho Kuwa Ubebari na Tawala Zake Hazitilii Maanani Maslahi ya Raia Wake.
hizb.or.ke Kwa mara nyengine tena raia wa kawaida nchini Kenya wanakumbana na hali ngumu ya maisha ya kupanda maradufu kwa bidhaa muhimu. Kwa miezi mitano sasa b...
Hizb ut Tahrir Tanzania
TAARIFA YA KUZUIWA KONGAMANO NA SERIKALI
Hizb ut-Tahrir Tanzania kwa masikitiko makubwa inapenda kuwaarifu waalikwa wote katika Kongamano la Kukaribisha Ramadhani lililokuwa lifanyike kesho Jumamosi tarehe 20 Mei 2017, Hoteli ya Mayfair Mikocheni, Dar es Salaam kwamba kongamano hilo limezuiwa na serikali.
Polisi bila ya hoja wametoa waraka ulioandikwa leo tarehe 19 Mei 2017 na tumepokea nakala yake usiku huu wakidai kuwa kongamano hilo ni kikao cha siri chenye viashiria vya kutokuwa na malengo mazuri katika jamii.
Tunauliza kikao cha siri kitafanywa katika ukumbi wa hoteli unaochukuwa zaidi ya idadi ya watu 450 ? Au kikao cha siri kitaalikwa watu mbali mbali wakiwemo masheikh, maimamu, wasomi, wanasiasa, wanahabari , wanasheria, wanaharakati, wanamichezo nk ? Na zaidi kikao cha siri hutangazwa katika tovuti na ndani ya mitandao ya jamii wazi wazi?
Tunachukuwa fursa hii kuwashukuru wale wote waliopokea mwaliko wetu na pia kuwaomba radhi kwa usumbufu nje ya uwezo wetu. Ukipata ujumbe huu mfikishie mwenzako.
19 Mei 2017
Masoud Msellem
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut-Tahrir Tanzania.
Photos from HT Mashinani-Island's post
Bayan ya Ijumaa
Mada: Malezi ya watoto
Mzungumzaji:Ali Omar
Masjid Taqwa, Mombasa Island
Bayan ya Ijumaa 7-4-2017
Masjid Taqwa, Inglani Mombasa
Mada: Uharamu wa Riba
Mzungumzaji: Sh. Al Mahdi Ali
HT Mashinani-Island
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Leo tunaendelea na darsa yetu ya Fikra harari tukiwa kwa mada ya Dini mseto, leo tukizungumzia "Hiwar baina ya dini". Shime tuhudhurie tunufaike tunusuru Uislam.
Bayan ya Ijumaa Masjid Taqwa
Mada: Janga la njaa linalokabili Nchi za Kiislamu
Bro. Ali Omar
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tutaendelea na darsa yetu ya Fikra hatari (dangerous concepts) masjid Taqwa baadal maghrib.
Mada ikiwa ni dini mseto.
Shime tuhudhurie tunufaike tunusuru Uislamu.
Bayan ya Ijumaa ikitolewa na Ust. Mohammed Ali
Mada: Siku k**a ya leo 3rd march 1924 ndio Ummah wa kiislamu uliondokewa na Daula yao (Al-Khilafah)
Masjid Taqwa,Inglani Mombasa
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Tunawatangazia campaign yetu ya usalama mitaani itakayo fanyika kesho Ijumatano 01 Machi 2017
Mada: Tatizo la ukosefu wa usalama na madawa ya kulevya na suluhisho kutok**ana na uislamu
Mahali: Masjid Mlango wa papa
Wakati: Baadal Maghrib.
TUjipinde tuwe sote inshaalah kufanikisha amali hii na jazaa yetu iko kwa Allah.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah kuanzia Ijumanne kesho 28th February 2017 tutakua na darsa ya tafsir ya Qur'an, surat-ul-kahf ikitolewa na Sh. Ashbal Karama.
Darsa hii ni katika msururu wa darsa tulizokua nazo wakati wa ramadhan.
Tutaanza pale tulipofika nayo ni Aya ya 51.
Masjid Memon Jamia(Inglani) baadal maghrib.
Hudhur yetu itakua ni katika man'faa kwetu na tukieza shika mwenzetu mkono itakua aula zaidi kwani sote tutanufaika.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tunaendelea na darsa yetu ya fikra hatari ("Dangerous concepts ") Masjid Taqwa baadal maghrib.
Mada: Dini Mseto (inaendelea)
Shime tuhudhurie ipi tunufaike tunusuru Uislam
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya seera Masjid Shikely baadal Maghrib.
Mada: Bai'a
Shime tuhudhurieni tunufaike na tunusuru Uislamu.
Bayan ja Ijumaa ikitolewa na Bro. Ali Omar
Masjid Taqwa, Mombasa Island
Mada: Subra
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tutaendelea na darsa yetu ya seera, Masjid Shikely baadalaghrib.
Mada: "Mtume(S.A.W) achukua bai'a kutoka kwa ma-answar."
Shime tuhudhurieni tunufaike tunusuru Uislam
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tutakua na campaign yetu ya "Usalama Mitaani" tujadiliane hatua tulizochukua mpaka sasa juu ya kadhia hii.
Masjid Shikely baadal Maghrib. Inshaalah tuwe pamoja kwani janga hili linatuhusu sote
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tutaendelea na darsa yetu ya seera mada ikiwa "Mtume (SAW) akutana na Answar wa Madina".
Masjid Shikely baadal Maghrib
( الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُوا إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ )
البقرة (156) Al-Baqara
Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.
Kwa huzuni tunawatangazia kifo cha Ndugu yetu na Mwanasiasa shupavu Ahmed Swaleh (Gandhi). Alikuwa katika Kitengo cha Usimamizi wa Website/Tovuti ya Hizb ut-Tahrir East Africa (hizb-eastafrica.com) na alitarajiwa kusimamia hii Mpya ya Hizb ut-Tahrir Kenya (hizb.or.ke). Amefariki Leo mwendo wa Saa 10:05AM.
Kuhusu Mazishi na Maandalizi Jumla Tutawataarifu muda usiokuwa mrefu.
Tunatoa Mkono wa Tanzia kwa Familia yake, Jamii ya Waislamu na hususan wale waliokuwa karibu naye katika mzunguko wa Maisha (Kazini, Da'wah, Nyumbani n.k).
Kitengo cha Ufundi cha Habari
Hizb ut-Tahrir Kenya
NB: Mazishi yatakua leo baadal Asr Masjid Noor bondeni.
Hizb-ut-tahrir ikiungana na jamii wakilizungumzia na kuto rai na suluhisho dhidi ya majanga ya madawa ya kulevya na ukosefu wa usalama katika mji wetu wa Mombasa jana Ijumaa tarehe 13 January 2017 Masjid Shikely.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Ungana nasisi leo baadal maghrib tupaze sauti zetu dhidi janga la madawa ya kulevya na usalama mittani mwetu.
Masjid shikely, kibokoni
Assalamu aleikum warahmatullahi wa barakatuh.
Inshaalah leo tunaendelea na darsa yetu ya Seera, mada ikiwa " Kupanuka kwa Uwanja Daawah"
Masjid Shikely kibokoni baadal Maghrib.
Shime tuhudhurieni tunufaike na tunusuru Uislam
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya Seera. Mada ikiwa "Mwaka wa Huzuni" Masjid Shikelly baadal Maghrib.
Shime tuhudhurie tunufaike na tupate kuunusuru Uislam
Assalamu aleikum warahmatullah warakatuh.
Leo tutaendelea na darsa yetu ya Seera. Mada ikiwa "Kususiwa kwa waislam".
Shime tuhudhurieni tunufaike na tunusuru Uislam
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya seera baadal maghrib Masjid Shikely kibokoni.
Mada: Kutetea haki katika darul-kufr.
Shime tuhudhurie tunufaike na tunusuru Uislam.
TANGAZO LA MAANDAMANO
KAULI MBIU: Yaangamizwa, Wako wapi wa Nchi za Waislamu?
Hizb ut-Tahrir Kenya Leo (Ijumaa); 16 Disemba, 2016 watakuwa na Kalima Maalumu nje ya Misikiti Ifuatayo mara baada ya Swala ya Ijumaa:
1.Nairobi - Nje ya Msikiti wa Dandora
2.Island - Nje ya Msikiti Taqwa
3.Kisauni - Nje ya Msikiti Barakat
4.Bamburi - Nje ya Msikiti Hussein
5.Likoni - Nje ya Msikiti Maweni
6.Kilifi/Malindi - Nje ya Msikiti Khairat
7.Lungalunga - Nje ya Msikiti Aqsa (Lungalunga Centre)
Shime Waislamu Sote Tuhudhurie kwa Wingi ili Tupaze Sauti zetu dhidi ya Dhulma na Maangamivu wanayopitia Ndugu zetu wa
Hizb ut-Tahrir Kenya
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Darsa yetu ya Usul-ul-fiqh tulikhitimisha ijumatatu iliopita na video za darsa zinapatikana kwa idhaa yetu ya YouTube https://www.youtube.com/channel/UCE8is_fu5DaDE84Vv39_tTw?app=desktop&persist_app=1 .
Leo hakutokua na darsa lakini kuanzia ijumatatu ijao inshaalah tutaanza darsa kwa mada "Fikra hatari za kushambulia Uislam na kumakinisha fikra za kimagharibi ".
Inshaalah tuwe pamoja Ijumatatu ijao Masjid Taqwa baadal maghrib. Wabillahi Tawfiq.
"Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho k**a nyinyi hamjui" (TMQ 16:43)
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Inshaalah leo tutaendelea na darsa ya Usul-ul-fiqh Masjid Taqwa baadal Maghrib.
Mada: Taqleed (inaendelea)
Shime tufike tunufaike na tupate kunusuru Uislam.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya seera masjid Shikely baadal maghrib.
Mada: Hijra ya kwanza
Shime tuhudhurie tunufaike na tunusuru Uislamu.
Wanasiasa wa Hizb-ut-tahrir wakiwa nje ya Masjid Taqwa wakiongea na Ummah kuhusu kadhia ya rohingya.
Wakaazi wa rohingya waliorodheshwa k**a wasio serikali baada ya sheria ya myanmar ya urai kupitishwa 1982 chini ya serikali ya General Ne Win na kunyimwa urai.
Wamekua wakidhalilishwa kila kukicha na kunyimwa haki msingi za kibinadamu ilhali huku serikali za kiislamu zikijitia upofu kuhusu kadhia hii na kujifunga na mikataba ya umoja wa mataifa, la ajabu wako mstari wambele kusaidia serikali bandia ya kiyahudi.
Inshaalah kwa utukufu wa Allah, Khilfah Rashida ala minhaji nnubuwa itarudi kwa juhudi zetu na itawakomboa ndugi zetu wa Rohingya na kukomboa waislamu na walimwengu wote na kuwaeka chini ya kivuli cha nuru ya Uislamu.
Madhila wanayopata ndugi zetu Rohingya ni mazao ya kukosekana kwa msimamizi wa ummah (Khalifah) ulimwenguni.
Enyi waislamu, kazeni kamba katika kuregesha ngao ambayo itanusuru waislamu kutokana na idhlali na kuregesha izza na utukufu wao.
Mtume (s.a.w) asema: " hakika kiongozi(imam) ni ngao, hupigana(waislamu) nyuma yake na kujikinga naye" (Muslim)
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya Seera Masjid Shikely baadal maghrib.
Mada: "propaganda dhidi ya mtume (S.A.W)"
Kufika kwako na mwenzako ni katika kunusuru dini
عطاء بن خليل أبو الرشتة ata abu al-rashta
حزب التحرير هو حزب سياسي مبدؤه الإسلام، يتبنى طريقة رسول الله صلى الله عليه وسلم في التغيير ولا ينهج العمل المادي المسلح.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Leo tunaendelea na darsa yetu ya seera Masjid Shikely baadal maghrib. Mada: "Uadui dhidi ya mtume na maswahaba". Kufika kwako na mwenzako ni katika kunusuru dini.
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.
Leo tunaendelea na darsa yetu ya Usul-ul-fiqh baadal maghrib Masjid Taqwa tukiendelea na mada ya Ijtihad
Shime tuhudhurie tupate kunufaika na kunusuru Uislam.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the organization
Website
Address
Digo Road
Mombasa
80100
Changamwe Constituency
Mombasa, 80100
We are Team RUTO Supporters in Changamwe Constituency, Mombasa county. We are Team UDA and UDA NA NGUGI IS OUR BUSINESS !!!
Mombasa
Welcome to the Official page of Warembo Na Raila, Coast Chapter.