MTEGA ONLINE SHOPPING

MTEGA ONLINE SHOPPING

You may also like

Shweta kamble
Shweta kamble

The page is about online shopping,we are selling mobile phones and watches. Advertise your business at cheap price here.

23/07/2020

Desktop computer (Heavy duty)
For Video editing,Graphic designing etc
Specifications
Processor 3.1GHz, Core i5
RAM 16Gb
HDD:1Terabite
Operating System:Windows 10
Monitor+Keyboard+Mouse

WhatsApp:0758297744
Call:0716824009

21/07/2020

FAIDA ZA BLACK CASTOR OIL( MNYONYO)
👉Hujaza nywele
👉Huzuia nywele kukatika
👉Huondoa mba
👉Hulainisha nywele
👉Hufanya nywele kua nzito
👉Hurefusha nywele
👉Hufanyia massage
👉Hufanya ngozi kua laini na yenye kuvutia
👉Hulainisha lipsi
👉Huimarisha kope
👉Hulainisha ngozi ya viganja
👉Huondoa magaga
Tupigie:0716824009
WhatsApp tu:0758297744

29/05/2020

Kwanini utumie bidhaa za asili kwa urembo?

https://www.youtube.com/watch?v=rFJBfufrh7o

Wasiliana nasi kuweka oda ya bidhaa mbalimbali.0758297744

18/05/2020

Ushauri wangu kwa wajasiriamali.Tumia kipindi hiki kigumu kujitangaza.Utanishukuru badae.

Tumia matangazo ya video.

27/03/2020

Jinsi ya kutengeneza hand sanitizer

https://youtu.be/P_gph9PYW_g

Jipatie miongozo mbalimbali ya kutengeneza bidhaa za viwandani. 0758297744

19/03/2020

Napokea meseji nyingi nikitumiwa formulation mbalimbali za kutengeneza hand sanitizer(Vitakasa) nakuambiwa nitoe neno juu ya hizo formula k**a Mkemia(Mtaalamu).Majibu ya maswali yote nimeyaweka kwenye muongozo maalumu.

Jambo la msingi narudia kwa wazalishaji na watumiaji wa sanitizer hakikisha bidhaa unayotumia
1.Ina alcohol(Ethanol kwa jina jingine Ethyl alcohol) isiyopungua asilimia sitini 60%.(Hiki nidyo kiwango cha tbs)

Pia kutokana na baadhi ya malighafi kuwa adimu sokoni.Nimetoa mbadala wa Ethanol endapo utakosa.

wasiliana nasi Pale umekwama:
Whatsapp: 0758297744
Call/Sms: 0716824009
Email: [email protected]

01/03/2020
31/01/2020

TENGENEZA KIPATO NA M1 BLACK CASTOR OIL
Mpenzi mdau wa urembo wa asili,tumekusogezea fursa maridhawa(Mafuta ya asili ya black castor oil)

FAIDA ZA MAFUTA HAYA.
(a)Yanarefusha nywele
(b)Yanazuia nywele kukaika
(c)Yanaondoa mba sugu

Bei ya jumla ni k**a ifuatavyo.
1.60mls (pc24) 36,000/=
2.120mls (pc12) 36,000/=
3.250ms (pc6) 42,000/=
Wasiliana nasi popote ulipo:0758297744

14/01/2020

Je! Unatamani kukuza nywele kwa njia ya vipodozi vya asili?
Black castor oil ni suluhisho,ni mafuta yaliyoandaliwa kwa njia ya asili.Hayana kemikali.
Tunatoa fursa ya uwakala mikoa yote.
Wasiliana nasi:0758297744

28/10/2019

Je umekua ukihangaika kupata mwalimu sahihi wa sabuni?
K**a jibu ni ndiyo tutumie ujumbe(0758297744) au comment namba yako hapo chiini.

02/10/2019

What Is Castor Oil?
Castor oil comes from the pressed seeds of the castor plant. Its chemical composition is unique. It is made up of:

Omega 9 Fatty Acids
Triglycerides
Vitamin E Oil
Minerals
Proteins
These are vital for healthy hair and skin.

16/09/2019

Je umewahi jiuliza utapata wapi mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa bora za asili.Sasa tunakufikia nyumbani kwako na kukupa mafunzo kwa vitendo.
Wasiliana nasi.
0758297744

01/06/2019

Kwanini unahangaika ?
Nywele kukatika.
Nywele kudumaa
Nywele kupoteza rangi yake ya asili.
Mba sugu.
Karibu tukupe ujuzi namna bora na asili ya kutatua changamoto yako.
Wasiliana nasi:0758297744.

25/02/2019

Mapema mwanzoni mwanzoni mwa mwezi (04/02/2019).Nilipata wasaha wakutoa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kwa kikundi cha wajasiriamali(INUKA),Kilichopo Wilayani KOROGWE-TANGA.Mada zilizotolewa.
1.Matumizi sahihi ya kemikali.
2.Utengenezaji wa sabuni za magadi.
3.Utengenezaji wa Mishumaa.
4.Utengenezaji wa Batiki.
5.Masoko na Mauzo.
MAFUNZO HAYA NI KWA VITENDO.
Nawakaribisha Watu wote mnaopenda kujiajiri kwa Kufanya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
E-mail:[email protected]
Tel:0758297744/0716824009.

22/02/2019

Je Ungependa kupata mafunzo maalum ya utengenezaji wa sabuni za miche.K**a jibu ni ndio wasiliana nasi kuweka oda ya mwalimu.Darasa litakua(One to one Class).
Angalizo :Hatutoi mafunzo Online(Mafunzo ni Live kwa vitendo).

VIGEZO NA MASHARTI.
1.Mwalimu atafundisha kuanzia mtu mmoja mpaka 20 tu kwa mara moja.(Hii ni kurahisisha mwanafunzi kuwa huru kuuliza pale inapobidi.)

WEKA ODA YA MAFUNZO HAYA
E-Mail:[email protected]
Tel:0758-297744
:0716-824009

20/02/2019

Furaha yangu ni pale ninapo inua vijana wenzangu kiuchumi.Kwa mafunzo ninayotoa.Kwenye picha ni bidhaa zinazalishwa na kiwanda kidogo(CHAP PRODUCTS) Kinachomilikiwa na kijana Eliudi Mwigi, Kilichopo KARATU-ARUSHA.Kinazalisha bidhaa bora.Hii baada ya kupata mafunzo ya kina ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kutoka kwa mtaalamu wa Kemia(Mkemia).Mafunzo haya yamekua na ufanisi mkubwa kutokana darasa letu kuwa na wanafunzi wa chache na mbinu tunazotumia kufundisha ni za kipekee.

Usisahau kutembelea Cahannel yetu ya Youtube:MTEGA TV

K**a una jambo lolote linalohusu uzalishaji wa bidhaa za viwandani usisite kuwasiliana nasi.
Tel:0758297744/0716824009
E-Mail:[email protected]

TUNAFIKA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI

08/02/2019

YANATATUA CHANGAMOTO ZIFUATAZO
1.Kudumaa kwa nywele
2.Nywele kukatika katika
3.Mba sugu
4.Yanaondoa mapunye(Mashilingi)
5.Yanaondoa Maumivu ya misuli.
Wasiliana nasi kwa msaada zaidi:
0758297744/0716824009
Tunajali Afya Yako.

28/01/2019

YANATATUA CHANGAMOTO ZIFUATAZO
1.Kudumaa kwa nywele
2.Nywele kukatika katika
3.Mba sugu
4.Yanaondoa mapunye(Mashilingi)
5.Yanaondoa Maumivu ya misuli.
Wasiliana nasi kwa msaada zaidi:
0758297744/0716824009
Tunajali Afya Yako.

18/01/2019

UTUMIAJI SAHIHI WA KEMIKALI VIWANDANI.
Usipange Kukosa hii k**a ni Mzalishaji wa bidhaa zinazohusisha Kemikali.
K**a:Sabuni,Losheni,Batikin.k

31/12/2018

"Fikiria daima juu ya kile unachokitaka,si juu ya mambo unayoyaogopa"~Brian Tracy

Nakutakia Heri ya Mwaka mpya 2019.
Uwe wa Mafanikio na Baraka Tele.

19/12/2018

NAPENDA KUWATAARIFU WATEJA WETU WA DODOMA.MAFUTA YAPO KWA SASA.
WASILIANA NA WAKALA:0757-499479/0682-266766

25/11/2018

MAFUTA YA NYONYO(Castor Oil)
Jipatie mafuta halisi ya Nyonyo kwa bei za Jumla na Reja reja.

Yanapatikana Dar es salaam na Dodoma.
wasiliana nasi:0758-297744

23/11/2018

HANDWASH SOAP(SABUNI YA KUNAWIA MIKONO).

Handwash soap- Hii ni sabuni maalum yenye virutubisho vya asili kutoka katika mafuta ya nyonyo kwaajili ya kunawia mikono.Sabuni hii husaidia kuua wadudu ambao wanaweza kukusababishia maradhi k**a kipindupindu,Kuhara n.k.Hivyo handwash imekua ni bidhaa inayohitajika kwa wingi kutokana na watu wengi kuelimika na kustarabika.Sabuni hii imekua ikitumiwa:
Majumbani(Domestic use)-Baada ya kula,baada ya kutoka chooni.
Migahawani(Restaurants)- Baada ya kula,baada ya kutoka chooni.
Hospitalini(Hospitals)-Kabulana baada ya kuhudumia baadhi ya wagonjwa.
Haya ni baadhi ya maeneo ambayo bidhaa hii inatumika kwa wingi,hivyo usikwame soko la bidhaa hii.Maeneo mengine ni Vyoo vya Umma,Baa n.k

Na:Mkemia(Godfrey Mtega).
Jipatie Mwongozo wa uzalishaji wa bidhaa hii kwa gharama nafuu.

Wasiliana nasi:+255 (0)758-297744
E-Mail:[email protected]

**a si ya Biashara,tengeneza kwaajili ya familia yako.

23/11/2018

MTEGA ONLINE SHOPPING

23/11/2018

MTEGA ONLINE SHOPPING's cover photo

18/11/2018

Jipatie Mwongozo wa uzalishaji wa Sabuni bora ya Maji(Liquid Soap production manual).
Changamoto za sabuni kujitenga mwisho hapa.
Changamoto za kuambiwa sabuni yako nyepesi k**a maji mwisho hapa.
Mwongozo upo katika mfumo wa pdf(Utatumiwa kwa Njia ya E-Mail).
Wasiliana nasi:0758-297744.

Wanaopata mafunzo kwetu mwongozo huu ni bure.

08/11/2018

DAR ES SALAAM! DAR ES SALAAM!
MAFUNZO YA BIDHAA MBALIMBALI KWA VITENDO.
==Tunafundisha vikundi,Mtu mmoja moja,Tunafika mahala popote Ndani na nje ya Nchi.
IMEANDALIWA NA MKEMIA(Godfrey Mtega):0758-297744.
Facebook:Godfrey Mtega// Instagram:mtegablog.
TUTAKUA JIJINI DAR ES SALAAM KWA WIKI 2 TU.
Jifunze bidhaa moja,Uanze kiwanda kidogo nyumbani kwako.

FAIDA ZA KUJIFUNZA NASI:
a)Utapata malighafi za uzalishaji kwa gharama nafuu sana.
b) Tutakusaidia Kupata vifungashio bora na vya pekee(unique),kwaajili ya bidhaa yako.
c) Tutakusaidia Kufanya usajili wa kiwanda pindi utakapofika hatua hiyo.
d)Tutakusaidia kusajili biashara yako brella ipate kua rasmi.
e)Tutakusaidia Ku dizain label ya bidhaa zako.
f)Tutakusaidia kukushauri juu ya masoko ya bidhaa utakayojifunza.
g)Utapata ushauri wa kitaalamu endapo itatokea changamoto inayohusisha utaalam.

CHAGUA BIDHAA MOJA SASA!
1..Sabuni ya Maji
2.Sabuni ya Mche
3.Sabuni ya Kuogea(Medicated)
4.Sabuni ya Magadi
5.Sabuni ya Unga(Detergent Powder)
6.Shampoo ya Kawaida
7.Shampoo ya Asili(Aloevera,Parachichi n.k)
*8.Shampoo ya Wanyama(Mbwa,Paka)
9.Handwash Soap
10.Bodywash Liquid soap(Shower Gel)
11..Shampoo ya Magari
12.Losheni Aina zote
13.Dawa ya Madoa(JIKI
14.Tiles Cleaner(Marumaru)
15.Window Cleaner
16.Mishumaa ya kawaida
17.Mishumaa ya Dawa(Kuua Mbu
18.Mishumaa ya Urembo
19.Batiki Za mshumaa
20.Batiki za Kukunja
21.Batiki za Print
22.Batiki za Bleach
23.Vikoi
24.Maji ya Betri
25.Mafuta ya Mgando
26.Chaki
27.Mkaa Mbadala(Taka
28.Ushauri wa kitaalamu
“Karibuni Sana”
“Chukua bidhaa moja ,Anza Kiwanda”
……………………………………..
GODFREY H.MTEGA
MKEMIA

07/11/2018

DAR ES SALAAM! DAR ES SALAAM!DAR ES SALAAM!
FURSA YA USHAURI WA KITAALAM(BURE) KWA WAJASIRIAMALI WAZALISHAJI WA BIDHAA MBALIMBALI ZA VIWANDANI.

==Sasa Mkemia nipo jijini Dar es salaam.K**a wewe ni mjasiriamali uliyeanza uzalishaji wa bidhaa yeyote.Unachangamoto za kitaalam unakutana nazo haujajua suluhisho lake.Nimeamua kutatua matatizo ya aina hiyo kwa wajasiriamali wa Dsm.(Hii ni ofa Maalum ya mda.)
Wasiliana nami Mapema.
E-Mail:[email protected]
Tel:0758-297744

# K**a unataka kuanza uzalishaji wa bidhaa, pia wasiliana nasi.Tukupe ushauri na mwongozo.

06/11/2018

Nini madhumuni ya kifungashio?
Dhumuni la msingi la kifungashio ni kuzuia uharibifu wa bidhaa.Kifungashio na lebo hutumiwa na wauzaji ili kuhamasisha wanunuzi kununua bidhaa.Kifungashio pia hutumiwa kuambukiza habari kwa watumiaji(wateja) Vifungashio na lebo pia huwasiliana na mteja jinsi ya kutumia,Kuthibiti taka baada ya kutumia bidhaa.

Picha ya Chini ni Hot Air Gun
Hot Air Gun-Hiki ni kifaa kinachotumika kuweka seal kwenye bidhaa mbalimbali.Natoa wito kwa wajasiriamali wazalishaji wa bidhaa mbalimbali kuweka seal kwenye bidhaa zenu.
~Na:Mkemia (Godfrey Mtega)
Wasiliana nasi kwa mafunzo ya bidhaa mbalimbali.Vikundi na watu binafsi tunafundisha.
Email:[email protected]
Tel:0758-297744
wa Jijini Dar es salaam tuwasiliane.nitakua huko kuanzia Tar 8.

26/10/2018

KWANINI NAFUNDISHA DARASA LA WATU WACHACHE?
Mda mrefu nimekua nikiulizwa na wanafunzi wangu kwanini darasa langu wanafunzi ni wachache.Majibu yake nimeamua kuyaweka hadharani nawengine wajifunze.

==Ukiangalia pichani unaweza sema mbona darasa lina watu wachache sana!.Usishangae nimeamua kutatua changamoto kwa wajasiriamali Tanzania.(Pichani ni mwaka 1 na kidogo uliopita,nikitoa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.Ilikua Kinondoni-Dar es salaam.)

HIZI NI BAADHI YA SABABU ZA KUFUNDISHA DARASA LA WANAFUNZI WACHACHE.
1.Hii ni baada ya kufanya utafiti wa mda mrefu,nimekua nikihudhuria semina na mafunzo mbalimbali ya utengenezaji wa bidhaa.Kila semina tulikua si chiini ya wanafunzi 100.Nikafuatilia baadhi ya wanafunzi tuliopata nao hayo mafunzo, asilimia 90% walishindwa kwenda kufanya.
Sababu ilikua ni.......
i) kukosa uhuru wa kuuliza maswali kutokana na uwingi wa wanafunzi.
ii)Kukosa usimamizi na ushauri wa kitaalamu-Wajasiriamali wengi wanapokutana na changamoto za kitaalamu katika uzalishaji wa bidhaa zao hawajui wamfuate nani kutatua hizo changamoto.
Na Mkemia(Godfrey Mtega)
Karibu ujifunze nasi:0758297744/0716824009
Tunapatikana:Jijini Dodoma.
Vikundi na watu binafsi tunafundisha.
Tunafika mkoa Wowote.

Je umewahi kutana na changamoto zaidi ya hizi?,Comment hapa chini........

23/10/2018

SAFETY FIRST.
Chemical Safety Protective Equipments(PPE)

23/10/2018

BARUA YANGU KWA WAJASIRIAMALI WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI.
USALAMA BINAFSI WAKATI WA UZALISHAJI WA BIDHAA
Ni muhimu sana kuwa na tahadhari wakati wa uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zinazohusisha kemikali,Usifanye k**a unapika ugali/Wali.

Kuna athari gani usipojikinga/Kuchukua tahadhari?
1.Kuathirika Mfumo wa upumuaji-Kuna baadhi ya kemikali hutoa mvuke(fumes) wakati wa uzalishaji.Hivyo k**a haujachukua hatua stahiki ukavuta huo mvuke/moshi.
2.Kuathirika Ngozi-Kuna baadhi ya kemikati huathiri ngozi either kwa kuunguza mfano(Caustic soda/Sodium Hydroxide,Sulphonic acid).
3.Kuathithika Macho-Kuna kemikali zikiingia machoni zinaweza sababisha upofu.

Jinsi ya Kujikinga dhidi ya adhari za kemikali wakati wa uzalishaji wa bidhaa.
Ni muhimu ukawa na vifaa vya kujikinga.
a)Gloves
b)Filter Mask
c)Laboratory coat
d)Gunboots
e)Protective Eyewear
=Pia ni vema ukawa na first aid kit kwaajili ya dharura/ajali yoyote ikitokea.
Note:Ukipata majeraha yaliyosababishwa na kemikali,Useme ukweli kwa Daktari ili kupata msaada Stahiki.

Na:Mkemia(Godfrey Mtega):0758-297744/0716824009
Wasiliana nasi kwa mafunzo ya bidhaa mbalimbali.

20/10/2018

Thermometer(Kipima joto).
Hiki ni kifaa maalumu kwaajili ya kupima kiwango cha joto,Hapa naangazia umuhimu wa kifaa hiki katika utengenezaji wa sabuni.Joto ni moja ya vitu vinavyo athiri utengenezaji wa sabuni.

SAYANSI NA SANAA YA SABUNI.
-Utengenezaji wa sabuni ni sayansi kwasababu inaajumuisha muunganiko wa kemikali(Sodium hydroxide) na mafuta kupata sabuni(Kitendo hiki kinafahamika mk**a saponification).
-Vilevile ni sanaa -kwasababu inajumuisha mambo ya kuweka urembo na ubunifu mbalimbali kuleta muonekano mzuri.

BAADHI YA VITU VINAVYO ATHIRI UTENGENEZAJI WA SABUNI
1.JOTO(TEMPERATURE)
=Utengenezaji wa sabuni unaathiriwa na joto,Hiyo kuna joto maalumu katika uchanganyaji wa baadhi ya kemikali.Ni vema k**a mzalishaji kutambua hili ili kupata bidhaa bora zaidi.

Kwa ushauri,Mafunzo usisite kuwasiliana na Mtaalamu.
Mkemia(Godfrey Mtega)
Tel:0758-297744/0716824009.
# Tanzania ya Viwanda.
MASOMO YATAWAJIA KUPITIA YOUTUBE CHANNEL
MTEGA TV:
Bonyeza maandishi ya bluu hapa chini..........
https://www.youtube.com/watch?v=Pxqrn-SZ5Ec&t=7s

Want your business to be the top-listed Jewelery/watch Store in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Our Story

This is the platform to advertise a variety of services and products.

Contact us:0758297744/0716824009

Videos (show all)

Ushauri wangu kwa wajasiriamali.Tumia kipindi hiki kigumu kujitangaza.Utanishukuru badae.Tumia matangazo ya video.

Telephone

Address


Kinondoni
Dar Es Salaam
1993
Other Dar es Salaam jewelry & watch stores (show all)
gladgee_jewellery_tz gladgee_jewellery_tz
Kijitonyama Makumbusho
Dar Es Salaam

karibuni Sana @gladgee_jewellery_tz tunatanya delivery kwa wakazi was dar bure I'll mikoani tunatumA karibuni sana tunWapend not kuthamini wateja wetu.

SWISS watches tz SWISS watches tz
Dar Es Salaam

smarthand__store smarthand__store
Dar Es Salaam

DreamLand Collection 2023 DreamLand Collection 2023
Sinza Mugabe
Dar Es Salaam

Tunauza: 🛒duvet 🛒mashuka 🛒mito 🛒saa⌚️ 🛒pochi 🛒perfume kwa bei nafuu. delivery popote ulipo

Ikram watch Ikram watch
Dar Es Salaam, 00000

Watch brand to brands

db_fashionempiretz db_fashionempiretz
Kariakoo (Jangwani Na Mafia Street)
Dar Es Salaam

Tunauza urembo aina zote Saa Cheni Herenii Mikanda etc

Jhow watchtz Jhow watchtz
Stand Makumbusho Street
Dar Es Salaam

House of classic Watches�� Tanzanian brand� We deliver everywhere � Genuine and affordable ?

Sibu.store Sibu.store
Ilala, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Thobianne_Jewerly_Investment Thobianne_Jewerly_Investment
Dar Es Salaam

Nawasaidia vijana kwa mafunzo ya ujasiriamali wa mtandaoni ili kujiingizia kipato,, buree🤗

Eppy_collections Eppy_collections
Ubungo
Dar Es Salaam

�Get original watch �Wholesale and retail �TupoTZ� Dar es salaam �No FREE DELIVERY :Whatspp�+255622572025 :call+225783904976 :online shopping

Levy store Levy store
Kariakoo
Dar Es Salaam, 15183

Arigato WatchTz Arigato WatchTz
Makumbusho
Dar Es Salaam

House of classic Watches�� Tanzanian brand� We deliver everywhere � Genuine and affordable ?