Mikasa ya Mapenzi na visa vyake

Mahusiano na changamoto zake

16/02/2024

Watu Wana maneno
🤣 Eti ile ngumi aliyopigwa mwamba inaitwa ngumi ya maombolezo

16/02/2024

Vipi mdau hapo Leo ni tarehe 16 umeme upo hapo kwako

16/02/2024
13/02/2024

Mjue mwanamke mwenye uke mkubwa zaid kuwahi kutokea Duniani,

Alijulikana kwa majina ya Anna Swan akitokea nchi ya Canada, ambaye alifariki mwaka 1888 akiwa na umri wa miaka 41.
Alikuwa ni jitu la miraba minne (Giant) maana akiwa na umri wa miaka 11 tu alikuwa na uzito wa Kg 96 ,na wakati akiwa na miaka hyo 11 pekee mama yake alimzidi kidogo urefu wa inchi mbili tu (2 inches)

Uke wake ulikuwa na upana wa sentimita 41 ambapo ni sawa na ukubwa wa mpira wa Rugby.

13/02/2024

Msanii wa Muziki kutoka Tanzania, BABA LEVO, wakati Akiwa kwenye Interview na amefunguka kuhusiana na kupigwa na Harmonize

Kwa maelezo yake alisema Kuwa,

" ilikuwa siku ya Jumamosi, Saa 8 usiku ambapo walikuwa kwenye Casino kubwa Tanzania, na Siku hiyo kulikuwa na Baadhi ya mastaa wakiwemo directors pamoja na wasanii wakubwa akiwemo Harmonize

" Kulikuwa na Tajiri Mmoja ambapo jmosi alishinda sana hela, baada ya Tajiri huyo kushinda akaniita na baadae akanipa Mil 10 Ambapo nichukue Mil 2 nyingine niwapelekee wenzangu Wagawane

" Sasa nilivyochukua Mil 10 ambapo nikachukua mil 2 na million 8 iliyobaki nikaweka Mezani, lakini nilivyogeuka Pembeni sikuona mil 5, nikauliza nani aliyechukua nikaambiwa Harmonize

" Kwaiyo Jambo hilo sikulipenda mana Tajiri alinipa ili niwagawie wenzangu ambapo Walikuwa 9 pamoja na Harmonize, kwaiyo baada ya kutetea ndo akanipiga " amesema Baba levo

😂

11/02/2024

STAKIIIIIIIUIIII😒😒😒😒

11/02/2024

Assalam alaykum warahimatullah wabarakatuh wanaohotaji nusra ya ndoa Allah awape na mm pia nahitaji nusra ya ndoa
Naitwa Aisha mume awe na jina nzuri
Naishi tanga mume anaeishi popote pasiwe njia ya kijiji kabisa
Kabila ni msambaa mume kabila yeyote
Ninaumri 27 imeshfika mume alienizid miak mi3 had 9
Nimezaliwa ndani ya ndoa mume alie zaliwa ndani ya ndoa
Awe muislam mimi muislamu
Awe msafi awe mweup km mm au kunizid rangi
Mm nipo nyumbn tu sina kaz za mshara mm mndefu sio mnene wala mwembamba
Mm bikra

11/02/2024

Kijani hicho 🤔

11/02/2024

Sio vizuri kufos mdada akiwa kwenye ujauzito kufanya harusi pua inakua bado imevimba na uso

Ila anyway hayawi hayawi yamekuwa dada kaolewa😋

11/02/2024

Umemtambua nani pichani

11/02/2024

Kwenye mchezo wa juzi kati ya Al Nassr na Al Hilal refa ambaye alikuwa mwanamke alijaribu kumpa tabasamu Cristiano Ronaldo, mke wa Ronaldo hakufurahia tukio hilo

Wanawake saluti kwenu😁

11/02/2024

Hata k**a maisha magumu tusijibane kwenye kula

11/02/2024

PHINA ANAWAVUA NGUO FAMILIA YAKE, ATAPATA TABU KUPATA MME.

Anachokifanya Phina ni aibu tupu kwa familia yake. Anawavua nguo hadharani tena mbele ya umati wa watu. Baada ya kuwa na utaratibu wa kupiga picha za nusu uchi, sasa ameamua kukaa mikao tofauti ya kufanya mapenzi . Nashindwa kuelewa hivi hahofii kuwa atakosa mme?
Wanaume waoaji wako wachache sana afu yeye anajianika juani k**a mjusi.
Ni mwanaume gani atakwenda kuoa mke anayeweka viungo vyake vya siri nje?
K**a kila mtu anaviona , hakuna hata haja ya kuitwa viungo vya siri.
Familia yake hata k**a hawamwambii lakini moyo utakuwa unauma sana. Piga picha phina awe mtoto wako au dada yako, ungejisikiaje?.
Ni aibu tupu .
Sielewi lengo lake ni lipi au kuna uhusiano kati ya kuimba na kukaa style hizi alizokaa?
Mbona Nandy hafanyi hivi na anawakimbiza wasanii wakubwa k**a Harmonize na Diamond?
Akijakushtuka jua litakuwa limezama sana

11/02/2024

Inasemekana Baba Levo kala mitama ya kutosha kabamizwa ka mtoto na Harmonize

11/02/2024

Wazinifu wote hawatoingia Peponi iwapo watakufa Bila toba, na yeyote anaewatelekeza wazazi wake naye pia hatoina pepo ya Allah, Keep it in your mind, Assalam aleikhum 👋

11/02/2024

Tujikumbushe..

TRA wamesababisha nimekonda

11/02/2024

Every woman's dream bedroom👉👉

11/02/2024

KELVIN ALIKUWA ANAMCHEZEA DADA YETU, AMEMUHARIBIA MAISHA.

Inasikitisha sana kwa kitendo alichokifanya Kelvin kwa Hamisa Mobetto. Kwanza alimdanganya kuwa ana pesa na biashara kumbe hana chochote ni Dj wa kwenye bar. Lakini pia alihaidi kuwa atamuoa kumbe nia yake ilikuwa kumchezea na kumuharibia maisha yake.
Hii haikubaliki hata kidgo, wanaume wangapi walikuwa wanampenda Hamisa wakamkosa kisa Kelvin?.
Yaani kaamua kupanda ndege kuja kumchezea dada yetu na kumuacha!.
Ifike hatua itungwe sheria kali mwanaume akimchezea mwanamke na asimuoe amlipe fidia au afungwe hii itasaidia kupunguza mambo k**a haya.
K**a Kelvin atakanyaga tena Bongo, ak**atwe Ash*takiwe amlipe fidia Hamisa. Haiwezekani huenda bila Kelvin Hamisa angekuwa ameolewa mpaka sasa..
Najiuliza sasa alipata faida gani ?

Nini maoni yako juu ya hili?

11/02/2024

HEMED PHD ATAJA A.K.A ZAKE

"Ooh my GOD!! ooh my GOD!! ooh my Godness!!, this is your favourite boy wananiita Felnando Papi, Karitolinasto Armando Felila, Morientesi, Moravido, Marcelo Kuchito Papa Gichito, Gustavo, Ole Sabaya Hamza Mwamposa Kapumbu, aaih Kardashiani. Wananiita Pumbuyo, Punyeto, Papusi a.k.a Mguu wa mtoto wa miaka saba mpaka nane"- ameandika Hemedy PHD, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

Toa maoni yako.

11/02/2024

HILI NDILO ANGUKO LA CHINO.

Wahenga walisema " Boss hanuniwi wala hakosei" . Haya maneno yana busasa kubwa sana ndani yake. Lakini pia walisema " Jifanye mjinga mwanaharamu apite".
Chino amekuwa kwenye ugomvi na Marioo ambaye ndiye aliyemtambulisha katika tasnia hii ya Muziki.
Chino alianza k**a dancer wa Marioo akiwa hana chochote, analishwa, analipiwa kodi na Marioo lakini baada ya kupata vijisenti, amevimba mabega kiasi cha kuanza kumuongelea Marioo hadharani kwa ubaya.
Chino anatakiwa kujua bado muziki wake unachezwa Dar tu huko mikoani kwanza hawamjui hivyo anahitaji zaidi kukua. Hata k**a Marioo angemuweka kidole kwenye jicho, Chino alitakiwa kunyenyekea wala asingepungukiwa na kitu.
Boss hanuniwi, Boss hakosei.
Hili linaweza kuwa anguko la Chino katika Muziki. Sapoti aliyokuwa anaipata kutoka kwa Marioo sasa haipo. Je ataweza kupambana peke yake?.
Chanzo cha ugomvi, Marioo alimwambia aondoe picha yake katika bango la Show ya Chino kwani aliweka picha yake bila kumshirikisha.

11/02/2024

Jana nilipita nje ya nyumba moja usiku nikasikia mwanamke anamwambia mumewe alale chali yeye anapanda kwenye kabati anaidondokea ..

Nyie watu mtakuja uana

11/02/2024

Model huyo hapo Sasa wakwenda nae valentine day

11/02/2024

Wadau wa muziki wa zamani nilitaka kujua hv kulikua na uhusiano gn Kati ya Steve nyerere na band ya twanga pepeta maana yule binti ambaye Sasa n marehemu alitajaga WASANII wenzie wa hyo band watakao mfata katika hyo list na Steve nyerere alikuwepo kwa anaejua data vizuri atupe maelezo.

10/02/2024

je ni vibaya mwanaume kumuomba hela mwanamke?

10/02/2024

Pale umeenda ukweni na mme wako afu nyumba haina silingibodi😂😂😂

10/02/2024

K**a Jescer Prosper

Want your business to be the top-listed Media Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Kula chuma
Kuna story niliisikia zamani, Kuna kijana mmoja alikua anauza maandazi, akapita eneo la hostel za shule ya wasichana, wa...
Leo Swali la Usiku hakuna Ila nawabariki na huo mshangazi Dina Marios enjoy your night
Kama umeelewa sijui kama una nafasi mbinguni
Unaacha kulala,unaamka usiku wa manane unapekua simu yangu hivi we ni mwanga? Halafu nimelala zangu sitaki ghasia unanil...
Namba amepewa ila sasa atakula namba 🤣 au unasemaje LLucy Michael
Kuna machimbo Bongo hadi ya Kihindi na mmekaa kimya mna Siri nyie
Huyu dada anamfanya nn Mbu? 😂
Uchokozi huu,mtu anarudi kazin unampiga kofi bila sababu Sasa ukipigwa?
Mambo ya shemeji hayo .Mimi sitaki mazoea na mdogoake mwenzangu
Binti wa 2000 haamini alichokiona 🤣
Neno moja kwa video hii

Address

Dar Es Salaam
Other Broadcasting & media production in Dar es Salaam (show all)
Manhaj Online TV Manhaj Online TV
Mji Mwema
Dar Es Salaam, NOT-APPLICABLE

Kituo Bora cha Elimu sahihi.

Khun Garex company limited 2025 Khun Garex company limited 2025
Dar Es Salaam

Concern with how to broadcast

BUKKO MEDIA BUKKO MEDIA
TABATA DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam, 12345

PATA HABARI MBALI MBALI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA, BURUDANI NA MICHEZO, MAISHA NA HISTORIA, KUPITIA BU

omrstudios omrstudios
Dar Es Salaam

OMRSTUDIOS SERVICES Photography Video Production Digital Graphics design

Sana TV Sana TV
Magomeni, Mapipa
Dar Es Salaam

TV iliyojikita katika Maudhui kamili ya kumjenga Mwanadamu Kiiman, Tumejikita zaidi kutoa Elimu kwa

Mtawala Radio Mtawala Radio
Dar Es Salaam

Mtawala Radio "duniani k**a mbinguni" Online Radio

Globify Globify
Masaki
Dar Es Salaam, 14110

GLOBIFY is a global digital media network, marketplace and platform that provides dynamic solutions and digital services based on programs and contents which inform, engage and ent...

Danvast TV Danvast TV
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Danvast TV inakuletea taarifa na makalaza za uhakika kutoka Africa Mashariki na Dunia. Makala za siasa, uchimi, biashara, burudani, michezo, Dini n.k, jiunge nasi sasa.

Jikubali TV Jikubali TV
Mbondole, Msongola, Ilala, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Tunakupeleka kwenye ulimwengu wa ndoto zako

Singa Pictures Singa Pictures
Vingunguti
Dar Es Salaam

Tunashughurika na aina zote za kazi zinazohusiana na camera

Wakali Media Wakali Media
Dar Es Salaam

Karibu katika Channel yetu ya Wakali wa habari. kupata Matukio mbalimbali ya Injili, Burudani, Michezo, na HAbari nyinginyingi

Rombo Tv Rombo Tv
Maweteta
Dar Es Salaam, MOSHI

#RomboTv🖥️_habari🖥️&matukio_tarakea_usseri_mashati_mamsera_mwika_shear comments likes following,