AFYA BORA KWETU

AFYA BORA KWETU

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA BORA KWETU, Community Organization, Mlimani city, Dar es Salaam.

PATA HUDUMA ZA KIAFYA, USHAULI NA ELIMU JUU YA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KIAFYA, KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE ASILIA VILIVYOZIBITISHWA KWA UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA BFSUMA.

10/02/2022

*ZIJUE FAIDA NA KAZI ZA FERMICARE KWA WADADA NA WANAWAKE WOTE.*
0745149985 au
0620156487

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D atumie na yunzi
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika ikitumiwa na bidhaa ya Yhunzi.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko uke.

1. K**a una tatizo la PID
2. Homon imbalance
3. Kukosa Hamu ya TENDO la ndoa
4. Ukavu UKENI na maumivu sehemu za Siri
5. Kukosa mtoto na mimba kuharibika au kutoka kabla ya mda wake.

Tupigie simu kupitia number/WhatsApp,👇👇👇👇👇👇👇

0745149985
0620156487

🇹🇿🇹🇿

09/02/2022

Tupigie simu number 0745149985 au 0620156487
Ili kuipata bidhaa hii nzuri

Photos from AFYA BORA KWETU's post 13/01/2022

Karibu upate mkombozi na mlizi wa usafi wa Wanawake ukeni.

Tupigie simu number

#0745149985
#0620156487

11/11/2021

Njoo in-box tukuhudumie

Tupigie simu number

0745149985 au
0620156487

11/11/2021

Tembelea
*K**a Una Dalili Hizi Hapa Chini Huenda Zikakusababishia Kutozaa Kabisa*

👉🏽Maumivu makali wakati wa hedhi

👉🏽kichefu chefu kikali kila ukikaribia hedhi

👉🏽Maziwa kujaa kila ukikaribia hedhi

👉🏽Maziwa kuuma kila ukikaribia hedhi

👉🏽Mwili kuchoka ukikaribia hedhi na kujihisi mjamzito

👉🏽Maumivu chini ya kitovu,upande wa kulia na kushoto karibu na nyonga

👉🏽hedhi inayojirudia mara mbili ndani siku 30

👉🏽kukosa hedhi kwa kipindi cha mwezi mmoja au zaidi

👉🏽Kukosa hamu tendo la ndoa na ukavu ukeni

👉🏽Uchafu kutoka ukeni na maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉🏽Kukosa UTE wa uzazi (EVOLUTION)

👉🏽Joto la mwili kushuka katika siku za hatari

Haya Matatizo ni visababishi vya Ugumba

Pia hupelekea kutokushika ujauzito kabisa

Kwa maelekezo kuhusu homon imbalance na p i d

Wasiliana nami kwa simu namba 🇹🇿📞
0745149985 / 0620156487


:

11/11/2021

*UJUE UGONJWA WA ENDOMETRIOSIS' NA DALILI ZAKE.*

Kwanza kabisa kabula hatujaangazia tatizo la indometriosis yatupasa kujua ''ENDOMETRIUM"
Endometrium ni Ukuta Wa ndani Wa kifuko cha uzazi..na ukuta huu hujengeka na kubomoka kila mwezi na kusababusha Hedhi kwa mwanamke.
Kujengeka na kubomoka kwa ukuta huu Endometrium ndani ya kifuko cha uzazi husabsbishwa na Mabadiliko ya kiasi cha horomoni za uzazi mwilini.

* * Ni ugonjwa unao sababishwa na uwepo wa tishu zinazo fanana na ukuta wa ndani ya wa mfuko wa uzazi Endometrium kujengeka sehemu nyingine kwenye mwili k**a
_ Karibu na ovar
_ Kwenye kifuko cha uzazi
_ kwenye njia ya haja kubwa.
_ Kwenye kibofu cha mkojo.
_ Tumbon.

Tishu hizi hujengeka na kubomoka kula mwezi k**a ilivyo endometrium kutokana na mzunguko wa mwezi na kutengenza hedhi.

*SABABU YA UWEPO WA ENDOMETRIOSIS.*
Kwa ufupi hakuna sababu ambayo ishabainika kuwa kinasababisha tatizo la indometriosis bali Inaaminika kuwa kiasi kidogo cha damu kinacho ingia tumboni wakati wa hedhi kupitia mirija ya uzazi (fillopian tube) hubeba seli ya Endometrium ambazo huota sehemu mbalimbali za mwili

*DALILI ZA UWEPO WA ENDOMETRIOSIS.*

_ Maumivu makali ya tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa hedhi.
_ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
_Kutapika damu au kuharisha damu wakati Wa hedhi.
_Maumivu ya kiuno na mgongo.
_Kuhisi uwepo Wa ujauzito wakati hana mimba.
_Kushindwa kushika ujauzito
_ kutokwa na Damu nyingi kupita kiasi wakati wa hedhi.

*MADHARA YA ENDOMETRIOSIS.*
_Kupatwa na uvimbe kwenye mji wa uzazi.
_ mimba kuharibika marakwa mara
_Inaweza ikawa chanzo cha salatani ya kizazi
_Inareta madhara makubwa ya figo na Mapafu

Endetriosis inatibika vizuri na kupona endopo ikiwahiwa mapema

dawa bora za matatizo mbalimbali ya Afya ya uzazi kwa wakina mama

Tupo na ilala boma
0745149985 / 0620156487


:

07/11/2021

*UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)*
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi wa kila siku wa mtu. Huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi. Ukikosa matibabu mazuri unawezaukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
*DALILI ZA FANGASI UKENI*
Dalili zake huwa ni za kuogopesha k**a maambukizi yatakua yametokea kipindi cha
ujauzito, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
⏩kuwashwa sehem za siri
⏩kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana *(superficial dysapareunia)*
⏩kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa
au kutoka kukojoa *(burning sensation)*
⏩kupata vidonda ukeni *(soreness)*
⏩kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke *(l***a minora)*
⏩kupata maumivu wakati wa kukojoa
⏩kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au
MZITO, uchafu huu unakua k**a maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali
⏩Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa
⏩Kuchafua chupi mara kwa mara n.k

*kupata ushauri na tiba zetu wasiliana nasi kupitia simu number*

0745149985 au 0620156487

05/11/2021

Kiboko ya changamoto zozote za ngozi mwilini

Wasiliana nasi kupitia simu number

0745149985 / 0620156487

:

Photos from AFYA BORA KWETU's post 04/11/2021

*JE ❗WEWE NI MWANAMKE👩🏻‍💼 UNAYESUMBULIWA NA MATATIZO HAYA⚠️❓*

✅ *Fangasi na miwasho ukeni*
✅ *Harufu mbaya ukeni*
✅ *U.T.I sugu Mara kwa Mara*
✅ *P.I.D (Pelvic inflammatory disease)*
✅ *Uvimbe (Fibroids) Kwenye kizazi*
✅ *Mimba kuharibika kabla ya wakati*
✅ *kutoshika ujauzito*
✅ *Homoni imbalance (Hormonal imbalance)*
9. *Maumivu kipindi cha hedhi (period)*
✅ *Maumivu ya chuchu/Matiti*
✅ *Kukosa Hamu ya tendo la ndoa na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa*
✅ *Uke mkavu/uke uliolegea*
✅ *Chunusi na Michirizi mwilini*
✅ *Chango la uzazi*
✅ *Maumivu ya nyonga, mgongo na mgongo*
✅ *Uzito mkubwa, minyama uzembe na tumbo kubwa*

*PATA HUDUMA ZETU KUMALIZA CHANGAMOTO HIZO NA USHAULI BURE KWA KUWASILIANA NASI KUPITIA NO;*📞🇹🇿

0745149985 AU 0620156487

04/11/2021

*FAHAMU KUHUSU DAWA ZA KUZUIA MIMBA (P2)*
Dawa hizi, maarufu k**a P2 zimekuwa zikitumika sana kwa wanawake baada ya kuhusika kwenye tendo la kujaamiiana bila kinga kwa lengo la kuzuia na kuepuka mimba.

Hupatikana sokoni pia kwa majina mengine, likiwemo PLAN B. Kiambata hai katika dawa hizi ni homoni ya Levonorgesterol.

Pamoja na kwamba iimekuwa ikitumika sana, bado watumiaji wengi hawafahamu kwa undani kuhusu dawa hii. Yafuatayo ni mambo ya muhimu kufahamu kuhusu dawa hii;

Dawa hii hutakiwa kutumika tu k**a njia ya dharura na sio njia ya uzazi wa mpango, yaani ,isitumike mara kwa mara. Ufanisi wake katika kuzuia mimba ni ndani ya masaa 72 toka tendo la kujamiiana limefanyika. Masaa 24 huaminika kuleta ufanisi wa hadi asilimia 98/99.Inapotumika mapema zaidi ndivo nguvu ya kufanya kazi inakuwa kubwa zaidi.

Matumizi ya dawa hii hayawezi kuondoa ujauzito uliopo tayari au kuzuia magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana k**a UKIMWI, kisonono, kaswende, n.k

Dawa hii inapotumika, madhara yake ni k**a vile kujiskia vibaya, kichefuchefu na kuhisi kutapika, pia hubadilisha mzunguko wa hedhi na kupelekea hedhi kuja mapema zaidi au kuchelewa. Hedhi inaweza kuwa nzito au nyepesi kuliko kawaida.

Dawa hii inashauriwa na wataalamu wa afya kuwa itumike si zaidi ya mara 3 kwa mwaka kwani baadhi ya tafiti zimeonesha kuwa matumizi ya mara kwa mara ya dawa hizi yanaweza kupeleka mtu kupata saratani, kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kutokana na kuvurugika kwa viwango vya homoni (vichocheo) na kuathiri vitu vingine vinavyotegemea vichocheo hivyo.

Kuliko kutumia dawa hizi mara kwa mara ni vizuri kutumia njia zilizo salama zaidi ili kuepuka ujauzito k**a kufahamu mzunguko wa hedhi, kutumia kondomu n.k.

*KWA USHAURI ZAIDI KUHUSU TIBA YA MATITIZO YALIYOKWISHA JITOKEZA KARIBU TUKUHUDUMIE*

🇹🇿📞074514995 au 0620156487

04/11/2021

"VIDONDA MDOMONI : CHANZO , DALILI , VISABABISHI NA NAMNA YA KUJIEPUSHA".
"VIDONDA vya Kinywa ni michubuko inayotokea kwenye mdomo na ulimi. Vidonda hivi husababisha mhusika kupata maumivu kwa maana kinywa ni moja ya sehemu ya mwili yenye mishipa mingi ya fahamu na wakati mwingine vidonda katika kinywa husababisha kushindwa kuongea vizuri.

Je, Vidonda hivi ni Saratani ya Kinywa?

Mara chache kidonda kwenye kinywa kilichokaa muda mrefu kinaweza kuwa ni dalili ya Saratani ya Kinywa. Vidonda vinavyosababishwa na Saratani ya Kinywa mara nyingi hutokea juu ya ulimi au chini ya ulimi ingawa vinaweza kutokea popote pale kwenye kinywa.

Vitu vinavyoongeza hatari ya kupata Saratani ya Kinywa ni pamoja na uvutaji au utumiaji wa bidhaa za tumbaku, unywaji pombe sana na kuwa na maambukizi ya virusi vya human papilloma(HPV).

Ni muhimu kuigundua saratani mapema iwezekanavyo, kwa maana ikigundulika mapema inaweza kutibika kirahisi. Kufanya uchunguzi wa kinywa kwa madaktari wa kinywa ni njia bora kuweza kugundua dalili za mwanzo za Saratani ya Kinywa.

Nini Husababisha Vidonda kwenye Kinywa?

Mara nyingi chanzo cha vidonda kwenye kinywa si cha moja kwa moja. Mara nyingi kidonda kimoja kwenye kinywa husababishwa na uharibifu wa utando laini ndani ya kinywa kwa mfano unapojing’ata kwa bahati mbaya au unapokula chakula kigumu.

Haijulikani wazi ni nini husababisha vidonda kwenye kinywa ambavyo hujirudia mara kwa mara, lakini vitu vinavyochochea ni pamoja na msongo, wasiwasi, mabadiliko ya homoni, mfano, baadhi ya wanawake hupatwa na vidonda mdomoni wanapokuwa kwenye siku zao, ulaji wa baadhi ya vyakula mfano vyenye viungo vingi, kahawa, nyanya na unga wa ngano.

Kutumia dawa ya meno yenye sodium lauryl sulphate na kuacha kuvuta sigara ghafla, wengi wanaoacha kuvuta sigara kwa mara ya kwanza wanaweza kupatwa na vidonda mdomoni. Chembe za urithi pia zinahusishwa na kupatwa na vidonda mdomoni, angalau asilimia 40 ya watu wanaopatwa na vidonda mdomoni wameripoti kurithi kutoka kwenye familia zao.
Vidonda vya Kinywa wakati mwingine husababishwa na magonjwa yanayosababishwa na virusi k**a tetekuwanga, magonjwa ya fangasi, magonjwa ya mfumo wa umeng’enyaji wa chakula (Crohn’s

04/11/2021

*MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*

(1)kuvurugika kwa hedhi

(2) Kuumwa kichwa mara kwa mara.

(3) Kizunguzungu

(4) Kichefuchefu

(5) Kuongezeka uzito mkubwa

(6) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

(7) Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi(fibroids)

*MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA*

(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe

(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga

(3) Kuumwa kichwa mara kwa mara

(4) Kupata kichefuchefu

(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake

(6) Kubadilisha mwenendo wa damu

(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo

(8) Kupata kisukari

(9) Kupata ugonjwa wa moyo

(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.

(11) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

*MADHARA YA KITANZI*

(1) Utokaji ovyo wa damu

(2)Kutoboka fuko la uzazi

(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.

(4) Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji

(5) Kuondoa hamu tendo la ndoa

*MADHARA YA KIJITI*

(1) Husababisha kansa

(2)kupata hedhi ndani ya mwezi mmoja mara mbili

(3) Shinikizo la damu

(4) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

(5) Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda

(6) Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa

*CHUKUA TAHADHARI EWE MWANAMKE UNAATHIRIKA BILA KUJUA*
_*Mwisho napenda kuwashauri wanawake wote hasa hasa wale ambao bado hawajazaa kabisa kuepukana na matumizi ya hizi njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa kuwa mara nyingi wengi ambao wanatumia njia hizi wamekuwa wakipatwa na matatizo makubwa kutokana na Kuvurugika kwa mfumo wa homoni mwilini lakini wakati mwingine pia wengi wao wamekuwa wagumba na kushindwa kupata watoto tena kabisa kutokana na kushindwa kupata tiba sahihi ya kutibu tatizo baada ya kuacha matumizi yake*_ .
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
*K**a umepata changamoto mbali mbali kutokana na matumizi ya njia hizi kwa mda mrefu karibu uweze kupata tiba na ushauri ambao utakusaidia uweze kuondokana na tatizo lako na uweze kurudi katika hali yako ya mwanzo*

Call🇹🇿 0745149985 au 0620156487

Tufollow Instagram kwa jina la

03/11/2021

Tembelea Doctorkatunzi]
*HORMONAL IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*
:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*
👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilini.
👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
👉uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo.
👉Kutofanya mazoezi.
👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.
👉Kukoma kwa hedhi.

*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
👉Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.
👉Kutoshika mimba.
👉Mzunguko wa hedhi kubadilika.
👉Kuongezeka uzito.
👉Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.
👉Kupoteza kumbukumbu.
👉Hasira za Mara kwa Mara.
👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
👉Uke kuwa mkavu.
👉kutoka jasho jingi usiku.
👉maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*
👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
👉Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
👉Kuwa mgumba.
👉U.t.I Mara kwa Mara.
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)
👉kuziba kwa mirija ya uzazi.
👉saratani.

Call/Watsap 0745149985 au 0620156487

Doctorkatunzi]

03/11/2021

JE?NI WAKATI GANI MZURI KUPATA UJAUZITO
☑️Muda mzuri wa kufanya ngono ni kipindi ambacho mwili wako unaruhusu mimba kutungika,ambacho kinadumu mpaka siku sita kwa mwezi. Siku hizi tano zinakupeleka mpaka siku ya kupevuka yai ambayo mwili wako unatoa yai.

☑️Yai lako litaishi kwa siku moja tangu litolewe.Lakini mbegu za kiume zinaweza kuishi mpaka karibia wiki ndani yako hivyo kuna siku tano za mbegu za kiume kusubiri na kukutana na yai.

✍🏼Una uhakika wa kupata mimba ikiwa utafanya ngono na mwenzi wako ndani ya siku au zaidi ya baada ya kupevushwa yai. Lakini ni ngumu kujua siku sahihi ya kupevushwa yai. Hivyo ni vema kukutana kimwili na mwenzi wako kila siku mbili au tatu na kulifurahia tendo la kumtafuta mtoto.

☑️K**a unataka kuwa na uhakika,itakubidi kufanya mahesabu na kujua lini yai litapevuka ndani ya mwili wako. Yai litapevushwa kulingana na mzunguko wako ambao unategemea:

☑️Urefu wa mzunguko wa hedhi
Na kwa kiasi gani hedhi yako ni ya kawaida(regular).
☑️Mzunguko wa hedhi unaweza kuwa mfupi yaani siku 21 au mrefu wa siku 40. ☑️Wastani wa urefu wa mzunguko ni karibu siku 28.

☑️Bila kujali urefu au ufupi wa mzunguko wako, kupevushwa kwa yai kunatokea siku ya 14 kabla ya hedhi yako inayofuata kuanza. Ikiwa una mzunguko wa siku 28, kuna uwezekano wa yai lako kupevushwa siku ya katikati ya mzunguko wako. k**a una mzunguko mfupi yai linaweza kupevushwa ndani ya siku za mwisho za hedhi yako.

☑️Wanawake wengi wanatofautiana urefu wa mizunguko ya hedhi kwa siku saba. Ikiwa mzunguko wako unatofautiana kati ya mwezi mmoja na mwingine, siku zako za mimba kutungwa zitabadilika pia kwa wiki katikati ya kila hedhi.

☑️Ndo maana ni vizuri kufanya ngono kila siku mbili mpaka tatu kipindi chote cha mzunguko. Ni bora kufanya hivi kuliko kusubiria siku unayofikiri yai litapevushwa. ☑️Pia kufanya tendo la ndoa kila siku mbili mpaka tatu huimarisha ubora wa mbegu za kiume.

Nitajuaje yai linapevushwa?
☑️Utaanza kuziona dalili za kuwa kwenye ovulation karibu siku tano kabla ya yai kupevuka. Kujaribu kuelewa mzunguko wako kwa kutumia tarehe za mzunguko wako pekee haitakupa majibu sahihi.

📞0745149985 au 0620156487

Photos from AFYA BORA KWETU's post 03/11/2021

DALILI ZA FUNGUS

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

~Muwasho Sehemu Za Siri

~Vipele Vidogo Vidogo Ukeni

~Kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

~Vdonda Au Michubuko Ukeni

~Kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

~Kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

~Kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

~Kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

Ushauri na tiba
0745-149985
0620-156487

#

Photos from AFYA BORA KWETU's post 01/11/2021

*Je umekuwa ukifanya kosa moja Kati ya makosa haya?*
👇👇👇
☑️Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia.
☑️Unatokwa harufu mbaya ukeni k**a shombo la samaki lakini unaona kawaida tu.
☑️Ukivua chupi jioni unakuta imechafuka lakini unaona kawaida.
☑️Uchafu unatoka K**a maziwa ya mtindi na Kuna mda mwingine una rangi zingine bado unachukulia poa
☑️U.T.I Inakurudia Mara kwa Mara unaona ni sawa tu.
☑️Ukijamiiana unapata maumivu na unatokwa damu lakini pia unaona sawa tu..

*Tafiti zinaonyesha wanawake 10 waliofanya kosa moja Kati ya haya 8 wamekumbwa na madhara yafuatayo.*
1.Kupata kansa ya kizazi hapo baadae.
2.Kushindwa kupata ujauzito, kupata ugumba na kutoka Mimba Mara kwa Mara.
3.Kushindwa kufurahia tendo la ndoa na kuvurugika kwa mahusiano.
4.Tatizo la Harufu mbaya ukeni.
5.Msongo wa mawazo ambao hupelekea kuvurugika kwa vichocheo vya hormones na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi.

*EPUKA MADHARA HAYA KWA KUTUMIA FERMICARE CLEANSER HAIJALISHI UMETUMIA TIBA NYINGI BILA MAFANIKIO FERMICARE NDIYO MKOMBOZI WAKO*

*FERMICARE*
➡️Hii huwa inafahamika k**a mkombozi wa wanawake kwa maambukizi ya sehemu za siri.
➡️Imeandaliwa maalum kwa ajili ya wanawake
➡️Ina mafuta mazuri yanaitwa *essential oil* kwa ajili ya kufanya uke urudishe mnato wake wa asili.
Kazi zake ni hizi hapa
*🌹FAIDA ZA FEMICARE🌹*
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
♦️Huondoa fangasi na miwasho ukeni
♦️Hurudisha size nzuri ya uke hasa wenye shida ya uke uliolegea ambapo hukaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight
♦️Huondoa maji maji yatokayo ukeni yenye Harufu mbaya.
♦️Huzibua mirija ya uzazi hivyo kusaidia wenye shida ya kutoshika ujauzito.
♦️Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D ikitumiwa na polsakaride
♦️Husaidia wanaopata maumivu wakati wa tendo la ndoa ambapo hurudisha ute ute unaohitajika ukeni
_Mwisho kabisa napenda kushauri wanawake wote uwe unaumwa au huumwi fermicare ni vizuri kuwa nayo ndani itakusaidia kukulinda wakati wote._
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
Kwa maelezo zaidi kuhusu namna ya kupata tiba wasiliana nasi kupitia nambari

PIGA 📞0745149985
WhatsApp 📥
Wa.me/255620156487
:

01/11/2021

*Karibu Sana tukuhudumie kwa kutumia sabuni Bomba bingwa wa kulinda ngozi na uso wako, moja ni tsh elf ~17000/=~ , ila utaipata kwa tsh elf 10000 tu, ukichukua mbili na zaidi NI TSH 8600/=, karibu usikose offer hii*

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu number/WhatsApp

0745149985 au
0620156487

30/10/2021

MWANAUME YEYOTE ANAFAA KUWA MWANAUME KAMILI. Usiwaze na kuteseka kwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume suluhisho lake ndo hili hapa,

Tumia virutubisho bingwa vya xpower man plus capsules and xpower coffee ndio suluhisho lako🔥🔥💪.

Piga simu/WhatsApp number

0745149985
0620156487

Photos from AFYA BORA KWETU's post 30/10/2021

UTAMBUE UGONJWA WA BARIDI YABISI (ARTHRITIS)

Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la (autoimmune diseases) magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili kushambulia tishu za mwili na kupekelea tishu hizi kututumka na kuvimba. Tatizo hili huathiri maeneo ya maungo na kuletekeza maumivu makali yasiyokwisha, kuvimba kwa joint na kusababisha ugumu kukunja viungo. Tatizo linaweza kuwa kubwa pale mpambano kwenye joint (inflammation) unapokuwa mkubwa na baadae maumivu hupungua.

Kwa mgonjwa mwenye baridi yabisi ni muhimu kurekebisha lishe na mtindo wa maisha k**a ambavyo nitaelekeza hapa chini ili kupunguza makali ya ugonjwa. Ugonjwa wa baridi yabisi k**a usipochukuliwa hatua za haraka kuudhibiti unaweza kusababisha matatizo makubwa k**a kuharibika kwa maungio, neva na athari kwenye mishipa ya damu.

Baridi yabisi husababishwa na muunganiko wa sababu ikiwemo lishe, vinasaba, mtindo wa maisha, vichocheo pamoja na kinga ya mwili.Tafiti zinasema kwamba kwa mgonjwa anayeanza tiba mapema hupata nafuu zaidi na kuepuka madhara ya baridi yabisi. Pamoja na dawa za hospitali wataalamu wa tiba asili tunashauri mgonjwa azingatie zaidi lishe na mazoezi ili kupunguza maumivu.

Dalili za Mgonjwa Mwenye Baridi Yabisi

Dalili za Baridi yabisi hutokana na kupotea kwa utando mweupe uliopo mwishoni mwa mfupa (cartilage) ambao hupunguza msuguano kati ya mfupa na mafua, kuvimba kwa tishu zinazozunguka jointi na kukaza kwa joint. Kwa mgonjwa mwenye baridi yabisi ute uliopo kati ya mfupa na mfupa hupungua na kufanya mifupa kusagana. Dalili kuu za mgonjwa mwenye baridi yabisi ni ;-

🔘Maumivu ya joint
-Kuvimba kwa tishu zinazozunguka maungio ya mifupa husababisha maumivu makali kwa mgonjwa. Jointi zinazoathirika zaidi ni kwenye mikono, enka, vidole vya miguuni na kwenye magoti.

🔘Ngozi ya joints kuwa nyekundu, laini na inayochoma k**a vile imeungua moto.

🔘Maumivu na kushindwa kusonga mbele baada ya kuamka asubuhi, hali hii huchukua dakika 30 na baaade mgonjwa anaweza kuendelea kutembea.

🔘Mwili kufa ganzi na maumivu ya misuli
Kupata ugumu kwenye kutembea, kushika kitu, kufanya mazoezi na kupanda ngazi.
🔘Kwa baadhi ya wagonjwa hupoteza hamu ya kula na kupata homa za muda..

0745149985

28/10/2021

OFFER IPO YA FEMICARE KWA MDA WA SIKU 3 KWA WATU 20 TU WAMWANZO, KARIBU UIPATE FEMICARE KWA OFFER YAKO

0745149985
0620156487

26/10/2021

Faida za Cool Roll.
Husaidia:
❇️Kuondoa uchovu wa safari ndefu na usingizi wa kwenye gari

❇️Husaidia kondoa maumivu na kivimbe uchungu cha kung'atwa na mbu au na mdudu.

❇️Husaidia kuondoa kizunguzungu na kichwa kuuma.

❇️Husaidia kuondoa au kupunguza maumivu ya mgongo

❇️Husaidia kutibu mafua,kufungua mapufu na kufungua pua iliyoziba kwa mak**asi.

❇️Husaidia kufukuza mbu.

❇️Husaidia kukufanya ujisikie vizuri,

❇️ Pia ni sanitizer.
Cool roll ni ya asili kabisaaa,imetengenezwa kwa mitishamba asilia
K**a .

Contact us via sms, call or WhatsApp 0745149985 / 0620156487
All an email : [email protected]

Photos from AFYA BORA KWETU's post 25/10/2021

ZIFAHAMU FAIDA ZA FEMINERGY CAPSULES.

-FEMINERGY ni kirutubisho lishe kisicho na kiambata chochote za kemikali kwa ajili ya kuupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwanamke(mtu mzima na kijana pia).
-Imetengenezwa kwa GRAPE SEED EXTRACTS(mbegu za zabibu) ambazo kazi yake kubwa ni kuamsha kasi ya uzalishwaji wa seli za ngozi kwa kuimarisha afya na ukuaji wa ngozi ya mwanamke.

*KAZI ZA FEMINERGY*
✅Huondoa makunyazi kwa wanawake na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi.
2)Huifanya ngozi ing'ae, iwe na unyevu unyevu na inyooke k**a kijana.
✅Hupunguza kasi ya uzee kutokana na seli za mwili kuchoka hivyo huwafaa sana watu wazima na wasichana wanaojali urembo wao.
✅Huponya vidonda vya kawaida na hupunguza alama za makovu yanayotokana na vidonda.

✅Humaliza chunusi, michilizi, upele kwenye ngozi na kurudisha uasili wa ngozi kwa Wanawake walioathiriwa na Vipodozi au chemical kwenye ngozi.

✅Hupunguza athari ya kupata kansa, kisukari na kuchoka kwa kongosho kwasababu ina anti-oxidant ya flavonoids na proanthicynidins.

*KWA USHAURI NA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI call, SMS/WhatsApp
0745149985 au 0620156487
:
:




*UREMBO NI ASILI YAKO MWANAMKE WA AFRICA.!*

25/10/2021

SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA. RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS. BILA KUNG'OA JINO

Dr.Ts natural herbal toothpaste ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa na mimea ya asili na Salama kwa afya ya mtumiaji ambayo ni;
1️⃣Panax notoginseng
2️⃣Green tea (majani chai)
3️⃣Lonicera japonic
KWA_WENYE_MATATIZO_YA_MENO K**A;
1️⃣Kutoa harufu mbaya mdomoni.
2️⃣.Meno kuwa ya njano
3️⃣.Kuoza kwa meno
4️⃣.Meno kuwa ya brown
5️⃣.Kutokwa damu kwenye fizi na kuvimba fizi.
6️⃣. Inasaidia kuua wadudu
Kwa kutumia dawa ya meno hii basi matatizo yako ya meno yataisha kabisa na kukulejeshea tabasamu lako.

ASILI NA SALAMA KWA AFYA BORA YA KINYWA NA MENO.

Pia tutakuelekeza namna bora ya kupiga mswaki
:
:


Tupigie simu/ WhatsApp no 0745149985 au 0620156487

25/10/2021

*DR COW SMART GUMMIES*

*Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI, MAZIWA, MATUNDA YENYE MCHANGANYIKO WA VITAMINI C, kwa matumizi ya watoto na watuwazima*

*KAZI ZAKE:*
*1️⃣).INAONGEZA HAMU YA KULA.*
*2️⃣). INASAIDIA KATIKA UKUAJI WA MIFUPA NA UBONGO*
*3️⃣). INASAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO KUTOKANA NA VITAMIN C KWA WINGI ILIYO NDANI YAKE*
*4️⃣).INAONGEZA MADINI YA CHUMA*
*5️⃣).INASAIDIA UKUAJI WA MIFUPA NA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ULEMAVU KWA MTOTO*
*6️⃣). INAMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUKUZA VIZURI KIUMBE TUMBONI KUTOKANA NA WINGI WA MADINI YA CHUMA*
*7️⃣).INASAIDIA KUSHIKIRIA MJI WA MIMBA MAMA ASIWEZE KUJIFUNGUA KABLA YA WAKATI( MISCARRIAGE)*
*8️⃣).HUSAIDIA watoto ambao viungo vyao VEMEKAK**AA au KULEGEA sana isivyo kawaida*
*9️⃣).Husaidia Kuimarisha KINGA YA MWILI ya MTOTO na kufanya asishambuliwe na MARADHI ya Mara kwa mara*
*🔟).Husaidia watoto ambao UKUAJI WAO sio Mzuri,HAWAONGEZEKI UZITO kulingana na Umri wao*



Contact us : 0745149985 au 0620156487

20/10/2021

*NIAMBIE K**A HUYU NI WEWE?*
0745149985
0620156487

1.✍️ Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba.

2.✍️Unashindwa kurudia tendo kwa mara ya pili au zaidi.

3✍️.Uume Unashindwa kusimama au unasimama ukiwa legelege kwa mara ya pili au zaidi

4.✍️Unashindwa kumpa mwanamke mimba Kutokana na uchache au udhaifu wa mbegu (shahawa)

5.✍️Unapata maumivu kwenye korodani au misuli ya UUME baada ya tendo

6.✍️Unakosa hamu ya kufanya mapenzi au hamu ya kurudia tendo baada ya kufanya kwa mara ya kwanza

7. Umeathirika na Punyeto ulizopiga zamani au Sasa na uume umekosa Nguvu.

8. Una magonjwa mengine nyemelezi yanakusumbua k**a vile pressure, kisukari, Tb, ini, Nk?

8.Umetumia Dawa nyingi na virutubisho lakini hujapata matokeo, umekosa Uaminifu kwenye dawa.

Tutakusaidia.

Wasiliana nasi Sasa tukupatie Tiba uweze Kumudu tendo. Tiba zetu ni asili na zinatoa matokeo haraka na kutibu tatizo kabisa. Tuambie tatizo lako tukusaidie utapona kabisaaa.

Tuwasiliane kwa namba;
0745149985
0620156487
:
:

18/10/2021

Feminegy capsules
-Huondoa chunusi na madoa
-Huondoa makunyanzi
-Huifanya ngozi kuwa nyororo na yenye unyevu unyevu
-Husaidia kubana misuri ya uke
-Huongeza hamu ya mapenzi kwa mwanamke

Call:0745149985 / 0620156487

18/10/2021

*FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE*
👇👇👇👇

1)Huboresha mzunguko wa damu, kuzibua mishipa midogo midogo ya damu, hivyo kusaidia kuondoa changamoto ya presha na dalili zake.

2)Husaidia kunyonya na kuyeyusha mafuta mwilini.

3)Huboresha utendaji kazi wa mishipa ya fahamu na usafirishwaji wa taarifa hivyo kutibu tatizo la kusahau na kupoteza kumbukumbu.

4)Huboresha mishipa ya macho, kuondoa ukungu machoni, na kutibu matatizo ya uono. ( kutibu matatizo ya macho).

5)Hutibu matatizo ya kichwa kuuma mara kwa mara .

6)Huboresha nguvu za kiume.

7)Husaidia kutibu na kuzuia saratani ya tezi dume .

8)Huboresha muonekano mzuri wa ngozi kuzuia kuzeeka kwa ngozi na kuondoa free radical .

9)Kulinda na kusafisha mfumo mzima wa uzazi kwa mwanamke hasa aliyeugua UTI, PID(Maambukizi katika vyanzo vya uzazi).

10)Kuondoa sumu mwili za aina zote.

11)Kuondoa sumu kwenye ini na figo.

12)Kubalance homoni kwa wanawake.

13)Kutibu kabisa homa ya *ini*
Ni muhimu sana usiache kutumia hii supplements
:
:
:





📞all, WhatsApp &sms

🇹🇿 0745149985
0620156487

16/10/2021

FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU

UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.

UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

MFUMO WA MKOJO

Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada

Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu

KISABABISHI CHA UTI

Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,

Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje

1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu

2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru

Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake

WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI

‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo

‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo

‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra

‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk

KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)

Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo

1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena
2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria

DALILI ZA UTI
1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mlimani City
Dar Es Salaam
Other Community Organizations in Dar es Salaam (show all)
CPHEO Tanzania CPHEO Tanzania
Mkwinda Street 68
Dar Es Salaam, 105948

CPHEO ILIANZISHWA NA WATUMIA DAWA ZA KULEVYA, NA SHUGHULI ZETU NI ELIMU NA HUDUMA KWA WATUMIA DAWA Z

Business Opportunity Business Opportunity
Mikochen A
Dar Es Salaam, DARESSALAAM

*CROWD1*���� What is crowd1?� 》Crowd1 is a network company or a club for networkers that is supporting online gaming and gam

Intercession Gathering Intercession Gathering
Dar Es Salaam

WE INTERCEDE WE READ THE WORD OF GOD WE MAKE DISCIPLES

Nguyekolism under Nguyekolist Nguyekolism under Nguyekolist
Masanga A At Gungu The Holy Land
Dar Es Salaam, 19

Don't be quite when joining in this page

Afya Muhimu Kwanza Afya Muhimu Kwanza
Dar Es Salaam

welcome

Jamii ya Freemasonry Jamii ya Freemasonry
Posta
Dar Es Salaam

Chama cha Freemason ndilo jawabu la ndoto zako,Tangu ukiwa mdogo sasa mtu mzima hujafikia ndoto zako ishi ukijua muhimu kutimiza ni sasa ukiwa katika familia hii,Mali bila kumwaga ...

Jukwaa La Wanazuoni Maswa - Juwama Jukwaa La Wanazuoni Maswa - Juwama
Dar Es Salaam

Ni jukwaa la kijamii lenye malengo ya ya kuelimisha , kuelekeza na KUSAIDIA jamii ya maswa na Tanzani

Elias john mhagama Elias john mhagama
Dar Es Salaam

Tunakodisha vifaa vya mapambo na kupamba sherehe yako kwa ubora stahiki kwa maelekezo na picha za mapambo follow@mkdecor instagram au @muchuboy

United president community_upc United president community_upc
Dar Es Salaam

Join Africa with one president by prezdar GoodLife superstar

CHAMA HURU Freemasons CHAMA HURU Freemasons
POSTA
Dar Es Salaam

JIUNGE BURE NA FREEMASON ILLUMINATE AU FIKA OFISI KWETU

Lambert foundation Lambert foundation
Dar Es Salaam

Vision A community free disease and poverty. Mission Support vulnerable Communities in poverty red

Mujeeb Mujeeb
Mujeeb
Dar Es Salaam, 676767