Kiko media

Pata habari na matukio zaidi

26/07/2022

C.e.o

Photos from Kiko media's post 12/01/2022

kiko ni kijana anayependa kuwa umpe supot katika kazi zake mungu atakubaliki๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Photos from Kiko media's post 07/11/2021

Rais Samia akiwa Coco Beach leo amewahakikishia Wafanyabiashara kwamba tayari Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu anazo Tsh. Bilioni 5 kwa ajili ya kuwakopesha Wamachinga ili ziwasaidie kukuza biashara zao.

"Waziri wenu wa TAMISEMI (Ummy Mwalimu) ananinong'oneza hapa, nilimwambia atafute Bilioni 5 za Wamachinga anazo, sasa ananiambia anaweka mazingira mazuri muweze kumkopa halafu mumrudishie ili na wengine wakope pia, Waziri Oyeee hilo ndio kaninong'oneza hapa raha ya kuwa na Mawaziri Wamama ndio hiyo" โ€”โ€”โ€” Rais Samia.

Photos from Kiko media's post 05/11/2021

SOUTH AFRICA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Mchezaji wa zamani wa kimataifa na klabu ya Orlando huko Afrika kusini Tendai Ndoro amepoteza nyumba yake aliyoijenga kwa gharama kubwa mnoo pamoja na magari yake ya kifahari baada ya kutalakiana ( kuachana) na mke wake

Tendai aliandika jina la mkewe kwenye documents zote za gari ikiwemo na makaratasi ya nyumba sasa kwa sasa mkewe amemfukuza kabisa kwenye nyumba na magari yote amebaki nayo kwa sababu inaonekana kwenye makaratasi kua mmiliki wa mali zote ni mkewe ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

Tazama picha hadi mwisho ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ.

Sources:Wesley sports news

Photos from Kiko media's post 04/11/2021

MFAHAMU ROLANDA ROCHELLE, MWANAMAMA MMAREKANI MWENYE UMRI WA MIAKA 75 โค๏ธ

Kwa Afrika Mwanamke mwenye miaka miaka 52 tunaweza kumuita 'Bibi' kutokana na umri na muonekano wake lakini hali ni tofauti kwa Rollanda Rochelle Mmarekani mweusi aliyewashangaza wengi baada ya picha za video zake tiktok kusambaa kwa kasi akiwa na muonekano wa binti mdogo mithili ya miaka 30 lakini umri wake halisi ni miaka 52.

Mwanamama huyu ambaye ni Blogger amekiri kupata usumbufu kutoka kwa vijana wadogo wakimtaka kimapenzi.

Nini maoni yako?

04/11/2021

SOUTH AFRICA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Mchezaji wa zamani wa kimataifa na klabu ya Orlando huko Afrika kusini Tendai Ndoro amepoteza nyumba yake aliyoijenga kwa gharama kubwa mnoo pamoja na magari yake ya kifahari baada ya kutalakiana ( kuachana) na mke wake

Tendai aliandika jina la mkewe kwenye documents zote za gari ikiwemo na makaratasi ya nyumba sasa kwa sasa mkewe amemfukuza kabisa kwenye nyumba na magari yote amebaki nayo kwa sababu inaonekana kwenye makaratasi kua mmiliki wa mali zote ni mkewe ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

Tazama picha hadi mwisho ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ.

Sources:Wesley sports news

25/10/2021

Ben kiko media

Kiko media Send a message to learn more

25/10/2021
25/10/2021

Msanii TIWA SAVAGE Kutoka Nchini Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Anaendelea Kupokea Mashambulizi Makali Kutoka kwa Watu Mbalimbali Kufuatia Video Yake Ya Ngono Iliyovuja Hivi Karibuni

Hadi Sasa Kampuni 4 ambazo alikuwa amringianazo mikataba Kutangaza kazi zao Zimemuondoa Kuwa K**a Balozi Wao, Kampuni hizo Ni pamoja na ( Cadbury, Pampers, GLO N.k )

Hata Hivyo Baadhi Ya Mastaa Pia Wameanza Kuchukua Hatua Ya Kumkosoa Wakitaka Aombe Radhi Kufuatia Mkanda Wake Huo Wa Ngono.

25/10/2021

Muonekano mpya wa Masha Love baada ya kufanyiwa upasuaji. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Masha ameandika hayo:

"Ahsante Mungu kwa kila jambo wewe ndio muenza wa kila kitu k**a sio wewe nisingekua hivi leo nashukuru sana kufanikisha ndoto yangu ya muda muda mrefu nawashukuru nyote mliokua nami kwa kuniombea hadi nimesimama na kuwa mzima ILOVE MY SELF "

25/10/2021

Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia Abdulaziz bin Salman Al Saud. Akiwa nchini humo Waziri Makamba anatarajiwa kushiriki hafla ya uzinduzi wa โ€œSaudi Green Initiativeโ€.

Hata hivyo akiwa nchini Saudi Arabia, Makamba pia atafanya mikutano ya kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya Nishati nchini Tanzania.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Category

Address

Matarawe
Dar Es Salaam
KIKO
Other Musicians/Bands in Dar es Salaam (show all)
KWANZA UNIT KWANZA UNIT
Kinondoni/TMK/Sinza
Dar Es Salaam

KWANZA UNIT was an early Tanzanian Rap group. It was formed in 1993 by a merger of several groups.

King Ozzeey King Ozzeey
Kibangu, Riverside, Ubungo
Dar Es Salaam

ARTISTIC & MUSICAL FOR JESUS CHRIST - Singing, Rap, Ragga, Poetry & Spoken Word, Keys, Guitars, etc

Twanga Pepeta Twanga Pepeta
Dar Es Salaam

The Band plays "Twanga Pepeta" beats- (Dancing style of the band) in Swahili. Others are Rhumba, Zouk, Chacha, Ndombolo, Blues, Soca, etc all in Swahili, French, English, Spanish a...

Wakazi Wakazi
Dar Es Salaam

Artist | Activist | Actor | Visionary | 2016 Kora Award Nominee | 2013 BBA Performer | 1/4 of SSK

BLOCK T BLOCK T
278
Dar Es Salaam

Muziki Na Maisha

MwanaFA MwanaFA
Dar Es Salaam

https://youtu.be/DERCP5S4mkc

Mfalme Mfalme
Dar Es Salaam

Multi-talented writer, composer and performer of new generation music of East Africa - Bongo.

GK GK
8142
Dar Es Salaam

I reign in my self! I rule my passions desires and fears. this make me more than a KING!

Mac Enemy Mac Enemy
Dar Es Salaam

More music at: https://soundcloud.com/creativerai

Rachi Rachi
Dar Es Salaam

Mziki na Maisha #Bucketlife

G Nako G Nako
Dar Es Salaam

Well Famed Crichtonz (W.F.C) Well Famed Crichtonz (W.F.C)
Dar
Dar Es Salaam

Yes indeed it iz of great honor 2 serve as a member in dis crew ...Coz as the crew coordinator i recall establishing it with only 3 memberz and yet now 9 (updated)...And wit luv 4 ...