methew501

selling of coconut oil, bicycles and gas stoves

16/06/2024

Mwanamke na nusu 💪...upambanaji ndiyo silaha yangu.

15/06/2024

Watu wengi hawapo kwenye mahusiano ya kweli ila wanatumiwa tu kutibu vidonda ambavyo wengine walisababisha.
Wakipona wanatafuta sasa wa size yao😂🙌
Tafakari halafu chukua hatua.
Mwenyezimungu atupe macho ya rohoni,hekima na busara zitumike.

Photos from methew501's post 12/06/2024

Utalii wa ndani- Katika vituo vya kitalii- Bagamoyo.

12/06/2024

CCM ya kijani itawale💪

12/06/2024

Kazi iendelee 💪

12/06/2024

Mama anatenda na sisi tunaona...mitano tena mama🖐️

11/06/2024

💪

10/06/2024

Katika hapa na pale.. kwenye mkutano wa UWT..kata ya Msongola.
Msisahau kujiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ifikapo tarehe 01 July 2024.

29/05/2024

"Atoaye kwa ukarimu huzidi kutajirika; lakini bahili huzidi kudidimia katika umaskini. Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa"
Methali 11:24-25
Jifunze kuficha hisia zako kwa watu,uwe na huzuni ama furaha,uwe na mafanikio ama la..siyo wote wanaofurahia mafanikio yako,usiwape nafasi ya kukupiga spana!
Km huwezi basi ishi fake life🙄
Stay blessed 🙏

Photos from methew501's post 25/05/2024

Pazia toleo jipya kabisa... utazipata kwangu kwa pic 3 ( nzito 2 na nyepesi 1) kwa Tshs 50,000 tu... delivery ipo kwa gharama ya mteja.
Karibu sn..
Mimi ni duka linalotembea..nipe order yako sasa

Photos from methew501's post 25/05/2024

Pazia hizi utazipata kwangu kwa Tshs 50,000 tu cash... nakuletea ulipo kwa gharama yako..ni bora, nzuri na za kuvutia.. pendezesha nyumba yako wkt wote.
Nipo kukuhudumia..nipe order yako sasa.. Karibu.

19/05/2024

*CHUNUSI*

*CHUNUSI HUWA NI SAMAKI MWENYE MITHILI K**A* YA KAMBALE NA HUWA NA MFANAO K**A NYOKA KIUMBO.

samaki huyu kwa mbali anataka kufanana Kidogo na samaki aina ya kambale kwa kawaida hutoa *shoti ya umeme* aina ya umeme tuli hadi 600VOTI
Kiwango hicho cha umeme kinatosha vizuri kumuuwa MTU NA HATA VIUMBE WENGINE na kuwakausha kabisa hadi kubadilika rangi ndani ya muda MCHACHE Na kiasi hicho husababisha damu kuganda Mara tu baada ya *kumgusa binadamu, Mara nyingi watu hukumbwa na masaibu ya kiumbe huyu kwenye maeneo Fulani ya baharini au bwawani Mara nyingi samaki* huyu huwa hang'ati hadi umchokoze kwenye maficho yake.

WATU au viumbe wengi hawajui makazi ya samaki hawa kutokana na elimu zao za kujificha, pindi wanapoenda kuogelea baharini, au mabwawani nk, hujikuta wakipoteza maisha eneo hilo hilo ndipo huamua *Kuja na usemi kwamba "pale pana jini chunusi* " kumbe hakuna jini ila ni samaki aina ya chunusi na ni Makazi ya kiumbe huyu Ndo maana pia watu wengine huenda mbali zaidi utasikia wanasema *jini chunusi* *ananyonya damu kumbe shoti yake imesababisha damu kuganda* .
Ni vigumu Sana kumvua kutokana na maumbile yake na umeme anaoutoa.

Wengi hawajawahi *kumuona ndo maana inabaki kuwa story* *tu kuwa ni jini*
C&P

05/05/2024

Kuna muda unaona kila kitu unachofanya hakiendi,huna wa kukusaidia,huna wa kukushauri,wa kukupa moyo, zaidi ya kufurahia anguko lako,madeni kila kona,magonjwa yanakusibu.
Naomba nikupe moyo na kukutia nguvu..Mungu wetu ni mkubwa kuliko shida zetu amesema tumtwike yeye,kwake yeye kila kitu kinawezekana kwa imani wala tusikate tamaa..

14/04/2024

Unaweza kuwa ww ni mtu muhimu lkn tambua siyo kila wkt!
Jua ni muhimu wkt wa mchana lkn si usiku!
Mbalamwezi ni muhimu wkt wa usiku.
Hata mvua nayo ni muhimu lkn siyo kila wkt.
Jogoo ni mwema kwa kuwaamsha mapema, lkn anachinjwa.
Sukari inasifiwa utamu kwenye chai, usiku inatelekezwa na kupewa umuhimu chumvi.
Pamoja na mbwembwe zote za kuvaa vzr,kupendeza, mazishi yatahitaji sanda tu.
Hivyo jifunze kuishi na watu vyema..uwe wa kiasi..
Na Mungu akubariki 🙏

03/04/2024

Haya vipenzi vyangu...leo nna bidhaa mpya...sufuria hizo zipo set 4 na unapata kwa Tshs 240,000...mm ni duka linalotembea..nipe order yako sasa...ulipo nipo..nitakifikia

Photos from methew501's post 01/04/2024

Kwanini usumbuke kusukuma chapati... mashine hizi hapa za kusukuma chapati..zipo za aina mbili..chagua uipendayo halafu njoo dm uweke order yako... nakuletea ulipo ndani ya Dar.. nje ya hapo nitakutumia kwa gharama zako.
Video yake tazama post inayofuata.
Karibu sn

Photos from methew501's post 09/03/2024

Nina bidhaa nzuri sn ya sabuni... ambayo ni mkombozi ktk familia..ya kuogea toka Uturuki.
Kwa bei ya rejareja kikontena kimoja chenye vipande 4 vya sabuni ninauza kwa sh 6,000 tu rejareja.
Kwa jumla nauza box zima lenye vikontena 16 vya sabuni kwa sh 90,000 cash.
Nakuletea popote ulipo kwa gharama yako ya usafiri.
Kuna flavor tofauti tofauti km lemon, apple nk. Karibuni.

02/03/2024

🥲

Photos from methew501's post 22/02/2024

Nina huu mzigo wa mabag quality..toka china... school bags ni mazuri mno..nna rangi mbili tu hapa.. nyeusi na hiyo ya brown..karibuni.
Utapata kwa sh Tshs 40,000/= cash.
Original 👌..
check video status.

18/02/2024

Usivunje mahusiano kwa makosa madogo madogo.
Hakuna palipo salama, hakuna pasipo nyesha, hakuna pasipo vuja.
Kila Mtu ana kiangazi na masika yake.
Mwisho wa siku Uvumilivu ni bora kuliko ukamilifu..,✍🏽_
Have a blessed day to you all🤲

26/01/2024
Photos from methew501's post 09/01/2024

Bomba za pazia za milangoni na madirishani..
Zinapatikana(available)
Kwa size zote yaani kuanzia MITA 2,4 wewe tu...hizi ukiweka umeweka.. nakuletea popote ndani ya Dar...fanya uchaguzi hapo.
Karibu.

07/01/2024

Heri ya mwaka mpya 2024 wapendwa wangu.
Tuna kila sababu ya kumshukuru muumba kwa yote,pumzi,afya na uhai.
Haijalishi upo ktk kipindi gani,umepitia magumu mangapi..na upo kukabiliana na wakati gani..
Mshukuru Mungu.
Ni wkt sasa wa kuweka malengo hv mapema ya mwaka huu 2024,ni wkt wa kupambania ndoto zako..ziweze kutimia..hata km si kwa 100% walau ufikie sehemu.
Amka sasa!

02/12/2023

Thank you our Almighty God 🙏
Siyo kwa uwezo wangu kufika mpk hapa nilipo..

Photos from methew501's post 14/10/2023

Whaoooo...another one year.. Thanks God 🙏..It's my birthday today 14 October

Photos from methew501's post 17/09/2023

Leo nimeoona nishee nanyi tukio la kuungua kwa cm yangu siku ya jmos tarehe 9September2023 kwenye saa 2 usiku.
Cm yangu ilikuwa aina ya Infinix.
Haikuwa kwenye charge..nilikuwa naongea na mtu lkn ghafla nikawa nasikia sauti za km mvua inanyesha ama mtu akikaanga kitu kwenye mafuta..kutazama cm ikawa inatoa Moshi mwingi..kuiangusha ikawa inawaka moto..km mnavyoona hiyo picha..cm iliteketea tulivyoimwagia maji na ndiyo ikabaki hivyo.
Mungu ni mwema sn 🙏
Tuwe makini na cm zetu..haikuna aijuaye kesho.
Mwenyezimungu atunusuru.🤲

06/08/2023

Vipepeo ni wazuri lkn hawaleti asali.
Nyuki wanang'ata lkn wanaleta asali.
Wkt mwingine wale unaowaona ni wazuri na wema kwako hawajabeba baraka zako!
Bali wale unaowaona ni wabaya,wakali,adui na wasiofaa ndiyo Mungu amewabebesha baraka zako kwao!!
"Nukuu"
Eeeh..Mwenyezimungu naomba utupe kuona wema ndani ya kile ambacho tunaona ni kibaya🤲

25/12/2022

Merry Christmas and Happy New Year to all of you..
Nauaga mwaka na kuukaribisha kwa style hii...
Mungu ni Mwema 🙏
Mshukuru Mungu kwa kila jambo 🙏

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Watu wengi hawapo kwenye mahusiano ya kweli ila wanatumiwa tu kutibu vidonda ambavyo wengine walisababisha.Wakipona wana...
Ni kwa Rehema na Neema zako eee Mungu wangu mpk hapa nilipo si kwa uwezo wangu...Nitakusifu,kukutukuza na kukuabudu wewe...
Bei ya pochi utaiona kwenye hii video...Karibu sn 🙏Mteja kwetu ndo kila kitu tutakufikia ulipo..tutakuletea mpk mlangoni...
Hand mixer

Category

Telephone

Website

Address

Kigogo Fresh B
Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Digital Power Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh