methew501, Dar es Salaam Videos

Videos by methew501 in Dar es Salaam. selling of coconut oil, bicycles and gas stoves

Watu wengi hawapo kwenye mahusiano ya kweli ila wanatumiwa tu kutibu vidonda ambavyo wengine walisababisha.
Wakipona wanatafuta sasa wa size yao😂🙌
Tafakari halafu chukua hatua.
Mwenyezimungu atupe macho ya rohoni,hekima na busara zitumike.

Click to enable sound Next

Other methew501 videos

Watu wengi hawapo kwenye mahusiano ya kweli ila wanatumiwa tu kutibu vidonda ambavyo wengine walisababisha. Wakipona wanatafuta sasa wa size yao😂🙌 Tafakari halafu chukua hatua. Mwenyezimungu atupe macho ya rohoni,hekima na busara zitumike.

Ni kwa Rehema na Neema zako eee Mungu wangu mpk hapa nilipo si kwa uwezo wangu...Nitakusifu,kukutukuza na kukuabudu wewe 🙏

Bei ya pochi utaiona kwenye hii video... Karibu sn 🙏 Mteja kwetu ndo kila kitu tutakufikia ulipo..tutakuletea mpk mlangoni..fanya kupiga,kuja WhatsApp au msg kwa namba hii +255 784 900 111 Chagua kilicho bora zaidi.

Hand mixer
Wale wapishi wa keki, biscuit hata kuchanganya chapati za maji! Mashine hii ndo mpango Mzima! Karibu