Tree Tv Online, Dar es Salaam Videos

Videos by Tree Tv Online in Dar es Salaam. UKURASA MAALUMU WA TAAARIFA NA HABARI MBALIMBALI TUNARAHISISHA TAARIFA KUFIKA KWENYE SOCIAL MEDIA KW

Tembelea "Tanzanite Portal" kwenye ukurasa wa tovuti ya TCRA: www.tcra.go.tz ili kujisajili na kutuma maombi yako ya leseni ya mawasiliano.

#lesenikidijitali #hapohapoulipo #tcratz #tanzaniteportal #hudumazamawasiliano

Click to enable sound Next

Other Tree Tv Online videos

Tembelea "Tanzanite Portal" kwenye ukurasa wa tovuti ya TCRA: www.tcra.go.tz ili kujisajili na kutuma maombi yako ya leseni ya mawasiliano. #lesenikidijitali #hapohapoulipo #tcratz #tanzaniteportal #hudumazamawasiliano

Makonda aingia Simiyu na mkokoteni unaovutwa na Punda. #ZiaraYaMwenezi

RAIS DK.MWINYI ASEMA ELIMU NI KIPAUMBELE KIKUBWA CHA SERIKALI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya awamu ya nane imeweka kipaumbele kikubwa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti,kuimarisha miundombinu kwa kujengwa shule zenye vifaa vya kisasa, pamoja na kuajiri walimu wa masomo ya sayansi ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika hafla fupi ya chakula cha mchana na kuwapongeza wanafunzi waliopata ufaulu wa daraja la kwanza kwa kidato cha nne mwaka 2022 na kidato cha sita mwaka huu aliyowaandalia viwanja vya Ikulu Zanzibar tarehe 12 Novemba 2023. Aidha, Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa Serikali itahakikisha inaongeza fedha ili kila mwanafunzi mwenye nafasi ya kuendelea na masomo ngazi ya elimu ya juu anapatiwa mkopo. Vilevile Rais Dk.Mwinyi ametoa zawadi ya laptop moja kwa kila mwanafunzi aliyefaulu kiwango cha daraja la kwanza wa kidato na nne na sita kwa skuli za Unguja na Pemba jumla 1,450. 🗓️12 Novemba 2023 📍Ikulu, Zanzibar. #TreeTvUPDATES

đź“ŚMaana ya Klabu za Kidijiti au Digital Clubsđź“Ś #tcratz #digitalclubs #klabuzakidijiti #stem #digitalclubstanzania

Shabiki wa @simbasctanzania Leo siku ngumu kwao Shabiki wa @yangasc unashangilia kutokea wap #KariakooDerby

NANSIO - UKEREWE Mkuu wa wilaya Ukerewe Mhe. Hassan Bomboko ameshiriki mkutano mkuu wa vyombo vya watoaji huduma ya maji ngazi ya jamii na wadau wote wa maji ( BI annual community practice meeting) RUWASA Aidha Mkuu wa wilaya amegawa vitendea kazi katika CBWSO zote zilizopo wilaya ukerewe ili kurahisisha mawasiliano na malipo ya bili za maji kwa njia ya mfumo wa kielektroniki Mkuu wa wilaya ametoa rai kwa kuwataka wadau wote kuilinda miradi yote ya kimkakati inayoletwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa gharama kubwa ili iweze kuwanufaisha wananchi na wakazi wa wilaya ya Ukerewe. #TreeTvUPDATES

MAKONDA KUANZA ZIARA YA MAFUNZO NA ITIKADI YA CCM PAMOJA NA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO - KANDA YA ZIWA Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi wa CCM Taifa Comrade Paul Makonda , anatarajia kuanza ziara ya Mafunzo ya Itikadi ya CCM ikiwa ni pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali ikiwa ni katika kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi kinasimamia vema utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2020/25 kwa usahihi na kwa wakati. Mwenezi Makonda ataanza ziara tarehe 9 hadi 14 Novemba, 2023 ambapo atapita katika Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

UMEMSHUKURU MUNGU Jumapili Leo sema neno la kumshukuru Mungu Usiwaze matatizo yako Usiwaze magumu yako Kaza yatasogea...... #vipajiadimu

đź“ŤBASHUNGWA AWAPA MENO BODI MPYA YA USHAURI YA TANROADS "Nendeni Mkaokoe Mabilioni ya Watanzania, Mkague Miradi ya Barabara kuanzia Mwanzo wa mradi hadi mwisho" @innocentbash #TreeTvUPDATES

MWANZA -MWANZA Mkuu wa wilaya Ukerewe Mhe. Hassan Bomboko amemuwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla katika hitimisho la mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo askari wa jeshi la uokozi wa moto (Zimamito) yaliyo fanyika katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza Aidha mkuu wa wilaya amejionea na kuridhishwa jinsi askari wa zimamoto walivyo na utayari,ukakamavu, utimamu wa mwili na akili katika kupambana na majanga ya moto kwenye maeneo yote ya maji na nchi kavu Mkuu wa wilaya amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha na vifaa vya kisasa kabisa magari yenye uwezo wa kubeba maji lita elfu kumi na boti za kisasa kabisa. #TreeTvUPDATES

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) Luanda nchini Angola #TreeTvUPDATES

Kila mtumiaji wa huduma za mtandao anapaswa kutimiza jukumu lake kuhakikisha usalama mtandaoni unadumishwa. #tcratz #elimukwaumma #cybersecurityawarenessmonth #usalamamtandaoni #kuwasalamamtandaoini #nirahisikuwasalamamtandaoni @wizarahmth @napennauye @polisi.

Tunapoadhimisha mwezi wa elimu ya usalama mtandaoni tunakumbushwa kuwa masuala yote yenye sura ya jinai yaripotiwe kwa Jeshi la Polisi kwa ajili ya kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria. #tcratz #elimukwaumma #cybersecurityawarenessmonth #usalamamtandaoni #kuwasalamamtandaoini #nirahisikuwasalamamtandaoni @wizarahmth @napennauye @polisi.tanzania

Mjadala Mbashara: 📌MWEZI WA USALAMA MTANDAONI📌 📅: 13 OKTOBA, 2023 🕰: SAA 12 JIONI 📺: YouTube & Facebook @tcra_tanzania USIKOSE!🔥🔥 #nirahisikuwasalamamtandaoni #tcratz

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki(Mb) akagua jengo jipya la Wizara ya Maliasili na Utalii lililojengwa katika eneo la Mtumba jijini Dodoma ambalo limefikia asilimia 99.9. #TreeTVUPDATES

📌 USIKOSE KUTAZAMA📌 🎬 BAMBO LA MTAA 📺 CLOUDS TV ⌚ 3:30 USIKU 📆 12 OKTOBA, 2023 #tcratz #elimukwaumma #usalamamtandaoni #cybersecurityawarenessmonth #kuwasalamamtandaoni #nirahisikuwasalamamtandaoni #futadeletekabisa

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NCHINI INDIA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan leo, tarehe 8/10/2023 amewasili New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ambapo itaanza rasmi siku ya leo mpaka tarehe 10/10/2023. Lengo la kwanza la ziara hiyo ni kuendelea kudumisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na India hususani sekta za kimkakati kama afya, viwanda na biashara, ulinzi na usalama, elimu, teknolojia ya habari na mawasiliano, uchumi wa buluu, maji, na kilimo. Lengo la Pili la ziara hiyo ni kutangaza fursa za biashara na uwekezaji za Tanzania ili kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara kutoka India Ambapo Mwaka huu Tanzania na India zinatimiza miaka 62 ya mwendelezo wa urafiki na ushirikiano katika masuala mbalimbali. Na pia India ni mdau mkubwa wa maendeleo Tanzania ambapo hadi sasa India inachukua nafasi ya 5 kwa kiwango cha uwekezaji Tanzania. #Teamhamasishatanzania #tunaunganapamojakujenganchi #KaziInaendeleanaSamia #Samiatena2025

RAIS SAMIA KUTUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA INDIA Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini India na katika ziara hiyo atatunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima ambapo atakuwa Rais wa pili Tanzania kupewa heshima ya kutunukiwa tuzo na India. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, ambaye tayari yupo nchini India kumpokea Rais Samia, amesema Rais Samia anatarajiwa kutunukiwa shahada hiyo na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru wakati wa ziara yake. Hayati Mwalimu Julius Nyerere amewahi kutunukiwa tuzo mbili na India ikiwemo Tuzo ya Jawaharlal Nehru ya Uelewa wa Kimataifa mwaka 1974  na Tuzo ya Kimataifa ya Amani ya Gandhi mwaka 1995. #KaziIendelee #KwanziaTunakuaminj

MHE. MARY MASANJA AGAWA BAISKELI ZA WALEMAVU - BUCHOSA. Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Mkoa wa Mwanza Mhe. Mary Masanja amegawa baiskeli Maalumu kwa watu wenye Ulemavu Buchosa. Mhe. Masanja ameendelea na juhudi zake za kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi anaowaongoza Mkoani humo.

đź“ŚMAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJAđź“Ś TCRA tunawakaribisha wadau wa sekta ya mawasiliano, kuwasilisha mrejesho kupitia mfumo wa Tanzanite, au kwa kupiga simu bila malipo 0800008272, baruapepe [email protected] au kutembelea ofisi ya TCRA Zanzibar, Kanda na Makao Makuu. #tcratz #customerserviceweek #wikiyahudumakwawateja