Kijana Tuongee Kidogo
Reaching youths and transforming lives through shared experiences
KIPAJI, HUDUMA NA MALEZI NA ATOSHA KISAVA
NINI MAONI YAKO
SABABU ZA WANAWAKE KUSHINDWA KUONESHA UWEZO WAO
"Hakuna MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA KIDUNIA ambaye ni MTUMISHI WA MUNGU! Huyo mwanamuziki anayeimba ngono, ulawiti, pombe, sigara, michepuko, na uchafu wa kila aina SI MTUMISHI WA MUNGU! Mtu huyo anayezini na wanawake/ wanaume na kwake si dhambi wala uovu, HUYO SI MTUMISHI WA MUNGU! Mtumishi wa Mungu AMEJITOA KWA MUNGU NA KWA AJILI YA MUNGU KUIFANYA DUNIA IMGEUKIE MUNGU NA KUYATENDA MAPENZI YA MUNGU NA SI VINGINEVYO! MWANAMUZIKI WA KIDUNIA atakuwa Mtumishi wa Mungu pale tu AKIMPOKEA YESU, KWA KUTUBU DHAMBI, KUGEUKA NA KUIACHA DUNIA NA TAMAA ZAKE ZOTE KWA DHATI... Nje ya hapo, KUSEMA WALE JAMAA NI WATUMISHI WA MUNGU NI ULAGHAI NA KUWATIA MOYO KWENYE HAKUNA KITU! Wale ni MAWAKALA WA UHARIBIFU, MMOMONYOKO WA MAADILI NA UOVU MWINGI KWENYE DUNIA HII. Watumishi wa Mungu TUIHUBIRI KWELI, TUISEME K**A ILIVYO, TUSITAFUTE KUPENDWA NA KUONEKANA SISI NI WATU WA WATU WOTE... UPENDO SI KUMDANGANYA ANAYEELEKEA MOTONI KWAMBA JINA LAKE LIPO KWENYE KITABU CHA UZIMA, UKWELI NI KUMWAMBIA AMEPOTEA NA AGEUKE HARAKA AOKOLEWE NA NEEMA YA MUNGU ILIYO WAZI SASA"
Askofu Dickson Cornel Kabigumila
ABC GLOBAL DUNIANI
02.07.2024
Ukitaka kuyabadilisha maisha yako usibadilishe gari au nyumba. Badili mtazamo!
ELIMU NI NINI SIKILIZA KWA MAKINI
UMEJIFUNZA NINI
HEKIMA YA Bishop Dr Josephat Gwajima KUHUSU NDOA
KUSUDI NI NINI? || UMHIMU WA VIJANA KUSHIRIKI KWENYE SIASA
Hello May.🥳
BINTI K**A MAMA...hata mama alikuwa binti!
Kwa Neema ya Mungu tutakuwa na uzinduzi wa kitabu chetu kizuri cha BINTI K**A MAMA.
Tarehe 12.5.2024, save.
Kanisa la wanavyuo, ABC GLOBAL UBUNGO MSEWE kwa mchungaji Jordan Yusuph.
Saa 9 kamili alasiri hadi 12 kamili jioni.
Mkaribishe binti mmoja, mkaribishe mama mmoja, na wewe kaka, baba karibu sana.
Kwa wale wanaotaka kuweka oda ya kitabu ,mnaweza kutumia namba hii 0747335012.
Unakaribishwa ku-support:
NMB 4041001129
Tigo pesa 0716379719.
Shalom In Christ
Serving Christ, Saving Souls.
21st March 2024.
IJUE SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA NAMNA YA KUJIKINGA
https://youtu.be/Z-E4k3lcpoc?si=qddDJfytT2wBQb-k
DUNIA IMEFIKA HAPA BIBI WA MIAKA 60 NA KIJANA KABISA
SIKILIZA HII SIRI
Muone huyu mtoto na JIFUNZE KITU
ELIMU
UMHIMU WA KUISHI MAISHA YAKO SIKILIZA HII
SIKILIZA KWA MAKINI HII HEKIMA YA UONGOZI KUTOKA KWA Bishop Dr Josephat Gwajima
Sikiliza hii
Bishop Dr Josephat Gwajima
HEKIMA KWA WALIOCHELEWA KUOA AU KUOLEWA
KILA MTU ANAWEZA KUJENGA NYUMBA YAKE
Tanzania 🇹🇿💔💔
JIFUNZE KITU KUTOKANA NA MAISHA YA HAMIS BSS
HEKIMA ZA BISHOP Bishop Dr Josephat Gwajima KUHUSU WATU
❤️
USILAZIMISHWE KUPENDWA || Bishop Dr Josephat Gwajima
KARIBU UJIFUNZE SIKILIZA KWA MAKINI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Address
Mlimani City
Dar Es Salaam
PATA HUDUMA ZA KIAFYA, USHAULI NA ELIMU JUU YA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KIAFYA, KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE ASILIA VILIVYOZIBITISHWA KWA UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA BFSUMA.
Mkwinda Street 68
Dar Es Salaam, 105948
CPHEO ILIANZISHWA NA WATUMIA DAWA ZA KULEVYA, NA SHUGHULI ZETU NI ELIMU NA HUDUMA KWA WATUMIA DAWA Z
Mikochen A
Dar Es Salaam, DARESSALAAM
*CROWD1*���� What is crowd1?� 》Crowd1 is a network company or a club for networkers that is supporting online gaming and gam
Masanga A At Gungu The Holy Land
Dar Es Salaam, 19
Don't be quite when joining in this page
Posta
Dar Es Salaam
Chama cha Freemason ndilo jawabu la ndoto zako,Tangu ukiwa mdogo sasa mtu mzima hujafikia ndoto zako ishi ukijua muhimu kutimiza ni sasa ukiwa katika familia hii,Mali bila kumwaga ...
Dar Es Salaam
Ni jukwaa la kijamii lenye malengo ya ya kuelimisha , kuelekeza na KUSAIDIA jamii ya maswa na Tanzani
Dar Es Salaam
Tunakodisha vifaa vya mapambo na kupamba sherehe yako kwa ubora stahiki kwa maelekezo na picha za mapambo follow@mkdecor instagram au @muchuboy
Dar Es Salaam
Join Africa with one president by prezdar GoodLife superstar
Dar Es Salaam
Vision A community free disease and poverty. Mission Support vulnerable Communities in poverty red