Vaginne_Tz

Vaginne_Tz

NAWASAIDIA WANAWAKE NA WANAUME ULIMWENGUNI KUBORESHA AFYA YA UZAZI.

14/01/2024

Huu ndio UMUHIMU wa kuhakikisha Jioni unapata GLASS MOJA YA Maziwa FRESH 📌📌
●Hurahisisha MMENG'ENYO WA CHAKULA
●Huongeza na kuimarisha KINGA za Mwili
●Huimarisha Mifupa na Misuli(nzuri sana kwa watoto)
●Hulinda Afya ya Ngozi na kufanya kungaa(Glowing)
●Huondoa na kupambana na changamoto cha TUMBO

Hakikisha ni MAZIWA FRESH HALISI 💯💯..

Dodoma kituo kimoja tuuu cha MAZIWA FRESH kutoka kwa NG'OMBE WA KIENYEJI...
Utayapata IHUMWA PEKEE

MAZIWA FRESH LITA 5.....12,000/= TUUU

Delivery ipo kwa mlio DODOMA MJINI🌹🌹

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣ 6️⃣8️⃣3️⃣ 5️⃣2️⃣2️⃣

12/01/2024

Huu ndio UMUHIMU wa kuhakikisha Jioni unapata GLASS MOJA YA Maziwa FRESH 📌📌

Hakikisha ni MAZIWA FRESH HALISI 💯💯..

Dodoma kituo kimoja tuuu cha MAZIWA FRESH kutoka kwa NG'OMBE WA KIENYEJI...
Utayapata IHUMWA PEKEE

MAZIWA FRESH LITA 5.....12,000/= TUUU

Delivery ipo kwa mlio DODOMA MJINI🌹🌹

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣ 6️⃣8️⃣3️⃣ 5️⃣2️⃣2️⃣

08/01/2024

Tunashukuru kwa mnaoendelea kufurahia HUDUMA zetu...

Mzigo umesalia mchache sana....tunaendelea kupokea Order ulipo..

MAZIWA FRESH LITA 5.....SH.12,000 TUUU📌📌

💯KIENYEJI kutoka kwa Ng'ombe Asilia....FULL CREAM,MATAMU NA VIRUTUBISHO STAHIKI1😋📌

MAZURI SANA KWA WATOTO,WANAFUNZI NA RIKA AINA ZOTE📌📌

FREE DELIVERY IKIWA UPO DODOMA MJINI..

TUNAPATIKANA FLAMINGO JESHINI, IHUMWA

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣6️⃣8️⃣3️⃣5️⃣2️⃣2️⃣

03/01/2024

Tunaposema ni Creamy...💯 ya Ng'ombe Asilia na yanafaa kwa watoto wadogo kupata Nutrients zote MUHIMU...
IMARISHA KINGA YA MWILI KWA WATOTO WAKO KWA MAZIWA HALISI YA NG'OMBE 📌

Ni MATAMU HAYANA MFANO JAMANIII 😋😋

DODOMA kituo kimoja tuu FLAMINGO JESHINI ,IHUMWA

MAZIWA FRESH LITA 5.....SH.12,000/= TU📌

DELIVERY IPO NDANI YA MJI WA DODOMA..

NAULI KIDOGO TU UTACHANGIA KUTOKEA MJINI..

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣6️⃣8️⃣3️⃣5️⃣2️⃣2️⃣

KARIBUNI SANA

01/01/2024

Mzigo mpya umewasili....unapitwaje sasa!!!

Kwa namna yalivyo mazuri nakosa cha kueleza aiseee....namwachia feedback ndugu Mteja kunipa MREJESHO wa BIDHAA hii ya Maziwa FRESH...

NAKUKUHAKIKISHIA IKIWA WATAMBUA KILICHO BORA...hutasita kunipatia MREJESHO📌📌

MWAKA MPYA,JALI AFYA YAKO KWA KUUPA MWILI KILICHO BORA ZAIDI...IMARISHA KINGA YA MWILI KWA WATOTO WAKO KWA MAZIWA ASILI YENYE VIRUTUBISHO STAHIKI📌📌

FRESH Lita 5 ni 12,000/= TUU

DELIVERY ipo ndani ya mji wa Dodoma...utachangia nauli kidogo tuuu..

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣6️⃣8️⃣3️⃣5️⃣2️⃣2️⃣

31/12/2023

Know the benefits of drinking Milk 🥛 everyday 📌📌

27/12/2023

Usisahau kuwa Maziwa ni muhimu sana katika Miili yetu....unapaswa kupata Glass moja kwa siku📌📌📌

Bado tunaendelea kupokea Order

Karibuni sanaaa🙏🙏🙏

26/12/2023

Kwa maziwa Bora na matamu kabisaaaa unayapata Milkstore_tz pekeee...

Maziwa ya Ng'ombe Asilia kabisaaaa 💯💯...

Dumu lita 5 ni 15,000 kwa Maziwa Mtindi
Dumu lita 5 ni 12,000 kwa Maziwa Fresh

Weka Order yako....ufanyiwe delivery kwa kuchangia nauli kidogo tuuu📌📌

25/12/2023

Maziwa Mtindi bora kabisaa yanapatikana Milkstore_tz...

Weka Order yako uudhaminishe📌📌

25/12/2023

Kwa mahitaji ya maziwa Bora kabisa ya Ng'ombe Asilia tuwasiliane
Maziwa ni mazuri kweli kweli hayana maji ata kidogo..

Mtindi Lita 5 elfu 15000, Lita 3 elfu 10000
Fresh Lita 5 elfu 12000 tuu...
Delivery ipo kwa wakazi wa Dodoma unachangia usafiri kidogo tuu📌

Mawasiliano 0687 683 522
Karibuni Sana

25/12/2023

Hivi msimu huu wa sikukuu tunaendelea kunywa chai ya Rangi ee🤔
Ama hayanihusu😆
Kwa Maziwa FRESH
☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣6️⃣8️⃣3️⃣5️⃣2️⃣2️⃣

24/12/2023

Hivi wale wa Biriyaniiii....nakumbusha tu moja ya kiungo ni MAZIWA MTINDI kunogesha PISHI

Embu niambie kwa FRIJI yako uko na NAYO kwelii??

Usipate shida,tupo kwa ajili yako...

Tunakufikia chaap kabla jua halijazama

☎️0️⃣6️⃣8️⃣7️⃣6️⃣8️⃣3️⃣5️⃣2️⃣2️⃣

24/09/2023

Feel like a failure in life!!!....say goodbye to these Habits📌

Habits are powerful. They shape our days, influence our decisions, and ultimately, craft the trajectory of our lives.

While some habits propel us forward, others can anchor us in place, making us feel stagnant or even like we’re failing.

But here’s the transformative truth: the power to change our habits is within us.

By identifying and shedding the habits that no longer serve us, we unlock an incredible potential to redirect our life’s course.

Ready to harness this power and pivot towards success⁉️

1️⃣. Procrastination.
We’ve all been guilty of it: “I’ll do it tomorrow,” we say, but tomorrow turns into the next day, and then the next.

Procrastination isn’t just about delaying tasks; it’s a habit that tells our brain that it’s okay to put off our goals and dreams.

Over time, this can lead to missed opportunities and regrets.

The first step to breaking free from this cycle?

Recognize when you’re procrastinating and ask yourself why. Is the task too daunting?

Break it down into smaller steps. Are you afraid of failing?

Remember, every mistake is a lesson learned. By tackling things head-on and setting clear deadlines for ourselves, we can kick procrastination to the curb and take control of our destiny.

UNLOCK the Hidden Benefits of CLOVE TEA: 13 Reasons to Make it Your Daily Brew | Christiansen Felix 16/08/2023

Why you should take📌📌

UNLOCK the Hidden Benefits of CLOVE TEA: 13 Reasons to Make it Your Daily Brew | Christiansen Felix Are your mornings lacking excitement? Spice up your routine with clove tea! This aromatic brew offers numerous benefits. Cloves boost immunity with their ant...

Clove Water Benefits At Night (Doctors Never Say These 15 Health Benefits Of Clove Water) 16/08/2023

Take a note 📝

Clove Water Benefits At Night (Doctors Never Say These 15 Health Benefits Of Clove Water) Clove Water Benefits At Night (Doctors Never Say These 15 Health Benefits Of Clove Water)Welcome to our channel! In this video, we delve into the myriad heal...

Photos from Vaginne_Tz's post 10/01/2023

Nimekuwa mhanga wa Vidonda Vya Tumbo takribani miaka 4 sasa..maumivu makali ya Tumbo,Tumbo kuwaka moto na wakati mwingine Tumbo kujaa Gesi ilikuwa ni kawaida kwangu..
Nilifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na kuthibitika kweli nina Vidonda Vya Tumbo (ULCERS),nilianzishiwa dawa za kuweza ondoa tatizo hili lakini ziliendelea kutuliza maumivu tu...

Nimehangaika kutafuta Tiba mbalimbali zikiwemo Mitishamba lakini bado tatizo likaendelea kuwa pale pale...
Ilifika mahala hadi kushauriwa kutumia MAJI YA BAMIA na hata MAZIWA lakini nazo zilifanikiwa kunituliza maumivu tuu...

Hadi nilipo onana na rafiki yangu kipenzi ambaye tulipotezana kwa muda mrefu aliyeniona namna navyoteseka na hata kushindwa kwenda kazini wakati mwingine.
Alinishauri kuitafuta AYURVEDA WOMENPLUS ambayo iliifanikiwa kurejesha FURAHA ya mdogo wake aliyekuwa anapitia changamoto k**a yangu..

Kwa uchache wa faida alizonieleza ni kwamba,ni moja ya Tiba imekuwa inatumika na ndugu zetu Wahindi kwa miaka zaidi ya 5000...na wamekuwa wanatumia VIAMBATA tofauti k**a AMLA ambayo inaaminika zaidi katika nguvu ya utibabu wake..

Baada ya hapo nilitumia bidhaa zao na wiki moja baadae nikaona mabadiliko makubwa sana na mpaka sasa sina dalili ya Vidonda vya Tumbo..

Nawatia moyo NYOTE mliokata TAMAA na tena kusumbuka zaidi ya mimi,embu tafuta Bidhaa hizi za AYURVEDA WOMENPLUS/MENPLUS na hakika hautokuwa sawa na hali ya sasa unayopitia..

NAMBA ZAO NI:+255687683522

ANGALIZO:
Wapigie upate hudumiwa kwa uharaka zaidi📌

SMS/WhatsApp zinajibiwa ila kwa kuchelewa kutokana na wingi wa wagonjwa wanaowahudumia...

21/11/2022

Tunapoongelea Mwanaume lazima utaje Utendaji kazi wake hasa anapokuwa Faragha na Mwenzi wake. Ukitaka Mwanaume akose furaha basi ashindwe kabisa mbele ya Mwanamke. Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume kitaalamu ni kawaida japo huambatana na sababu za kiafya, Kisaikolojia na suala zima la maisha

Sababu zinazopelekea Mwanaume kuwa dhaifu kitandani ni hizi:-

1.UPUNGUFU WA HOMONI
Testosterone hii ni homoni ambayo ipo kwenye maumbile ya Mwanaume kazi yake kubwa ni kuimarisha misuli, kuboresha uzito wa mifupa na kutengeneza mbegu za kiume. Homoni hii kwa kiasi kikubwa huongeza hamu ya tendo, kitendo cha homoni hii kupungua kunaweza kusababisha hamu ya tendo kupungua.

2.MSONGO WA MAWAZO
Mwanaume akiwa na mfadhaiko au msongo wa mawazo, lazima utendaji wake wa mwili uathirike kwasababu msongo wa mawazo husababisha hitilafu kwenye homoni na kusababisha mishipa ya artery kubana na kuzuia damu kupenya vizuri kwenye mishipa wakati wa tendo.

3.MAGONJWA YA MUDA MREFU NA MADAWA
Kitaalamu magonjwa ya muda mrefu k**a vile kisukari na mengineyo k**a yanasababisha maumivu ni vigumu kwa Mwanaume kushiriki tendo la ndoa. Maana hupunguza kiwango cha kutengeneza mbegu za kiume.

Matumizi ya madawa na pombe kupindukia huchangia hili lakini pia unywaji wa pombe kupita kiasi na wenyewe huchangia kupungua kwa kushiriki tendo la ndoa.

4.KUTOJIAMINI NA UNENE KUPITILIZA.
Ikitokea Mwanaume hajiamini humpelekea kuwa na wasiwasi wa mvurugiko wa homoni zinazomsaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Mwanaume mnene kupitiliza anaweza kukosa hamu ya tendo la ndoa, endapo homoni ya testosterone itapungua na pia unene alionao unaweza kusababisha ugonjwa wa moyo, ambao unaweza kumfanya asishiriki vizuri tendo la ndoa.

5.UMRI MKUBWA NA MAHUSIANO YA WANANDOA
Ikiwa Mwanaume yupo kwenye mahusiano yasiyo na amani mfano ugomvi na visa vya hapa na pale ndani ya mahusiano huchangia kwa kiasi kikubwa wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa na hata ushiriki wao wa mapenzi hupungua kwa kiasi kikubwa.

Kitaalamu Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 60 mpaka 65 Homoni zake za kutengeneza mbegu za kiume hupungua kabisa na kupelekea hisia za tendo la ndoa kupotea kabisa.

Ingawa changamoto hii kwa sasa limekuwa linawakabili zaidiii hata wale ambao hawajaweza fikia Umri mkubwa...wengi hawajui namna ya kuondokana na changamoto hii..
Ikiwa unamfahamu mwenye kupitia changamoto hizi tafadhali usisite kushare nao...

LENGO LETU NI KUSAIDIA JAMII KWA KUBORESHA AFYA ZAO NA KUREJESHA HESHIMA NYUMBANI 📌📌

Ushauri
Piga/WhatsApp
0687683522

24/08/2022

Saidia wengine kwa kushare nao tafadhali...REJESHA furaha nyusoni mwao kwa UPENDO.

22/08/2022

Tuwasaidie wengine kupata huduma hii kwa kushare nao tafadhali....ponya mwingine kwa kumpa habari hii...ASANTE.

12/08/2022

Jamaniiii Ulcer nayo haiijaachwa mbali...tunakuhudumia

Kwa nini uendelee kuteseka⁉️⁉️⁉️

12/08/2022

Nakusaidia wewe mwanamke kurejesha AFYA yako na Furaha yako kurejea tena...

Nafarijika sana na Mrejesho naopkea kwa waliokwisha hudumiwa...

Tuwasiliane kwa msaada wa karibu zaidi

30/07/2022

Atiii mzunguko wako wa Hedhi hauko sawa???.....una muda mrefu hujawahi pata ama unapitiliza siku zaidiii!!!!....ndugu yangu shuhuda naendelea kupokea zaidi....WOMEN PLUS ni 🔥🔥🔥🔥

03/07/2021

Saidia wengine pia....share kuwafikia wengi wasaidike..
💥💥💥💥💥💥

Wasiliana nasi KUHUDUMIWA kwa uharaka na mapema

👇👇👇👇👇

03/07/2021

Una mfahamu yeyote anayepitia Changamoto hizi⁉️⁉️

Tafadhali msaidie kwa kushare taarifa hii....

SULUHISHO LIPO...ondokana na changamoto ya UZAZI kwa kupata VIRUTUBISHO SAHIHI.

NJOO TUKUSAIDIE....

WASILIANA NASI KWA 0687683522..

Saidia WENGI na KUSHARE KWA WENGINE kwa Groups.

29/06/2021

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?*

Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
●Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*
•Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
•Magonjwa ya zinaa na fangasi
•Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
•Upungufu wa homoni
•Uoga na wasiwasi

*DALILI ZA UKE MKAVU*
▪︎Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪︎Kupungua hamu ya tendo la ndoa
▪︎Kuwa na ngozi kavu
▪︎Maumivu ya mifupa na viungo
▪︎Msongo wa mawazo
▪︎Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika
▪︎Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

*MATIBABU YA UKE MKAVU*
Kuna lishe ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia tiba lishe na Bora Zaidi kwa afya

⚠️Tumia sasa *WOMENPLUS*

29/06/2021

🔥🔥🔥 UKE MCHAFU/UNANUKA🔥🔥🔥
Ni ugonjwa ambao huwa una shambulia wanawake sehemu za siri(ukeni)
●Uke mchafu ni uke ambao hutoa harufu mbaya k**a shombo ya samaki na hutoa maji ya njano njano k**a mtindi.

VISABABISHI VYA UKE MCHAFU
🍁kutumia sabuni za antibiotics kuoshea uke k**a protex,medicated soap n.k
🍁kujiingiza vidole mara kwa mara ukeni
🍁kushiriki tendo la ndo na zaid ya mwanaume mmoja
🍁fangasi
U.T.I
🍁kutojisafisha na kujikausha vizuri sehemu za siri(ukeni)
🍁magonjwa ya zinaa k**a kaswende(syphilis),kisonono(gonorrhea)
🍁uwiano mbaya wa homoni za uzazi (upungufu wa homoni ya estrogeni) kitaalamu tatzo hili hujulkana k**a HORMONE IMBALANCE
🍁kutozingatia mlo kamili(ulaji wa vyakula vyeny mafuta mengi na wanga)
🍁unywaji na ulaji wa vitu vyeny sukari kwa wingi k**a keki,soda nyeusi(koka,pepsi,mirinda,n.k)
🍁unywaji wa pombe kupita kiasi

DALILI ZA UKE MCHAFU
🌺kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni
🌺kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya k**a shombo ya samaki ukeni
🌺kuwashwa sehemu za siri ndani ya uke
🌺maumivu sehemu za siri wakat wa kukojoa
🌺maumivu makali chini ya kitovu
🌺kutokwa na uchafu ulio changanyikana na damu
🌺kutokwa na maji maji machafu yenye rangi ya njano k**a mtindi

USHAURI
♦️Epuka kutumia sabuni za antibiotic kusafishia uke
♦️Epuka kujiingiza vidole mara kwa mara ukeni
♦️Epuka ulaji wa vitu vyeny sukari nyingi k**a keki,soda nyeusi ikiwezekana acha kabisa
♦️Epuka unywaji wa pombe kupita kiasi ikiwezekana acha kabisa
♦️Epuka kushiriki tendo la ndoa na wanaume tofauti tofauti.

KWA USHAURI NA TIBA TUWASILIANE 0687683522

29/06/2021

DALILI ZA KUKOSA CHOO AU HAJA KUBWA🔥🔥🔥🔥

🍒Kinyesi kuwa kigumu, kikavu na sio cha mara kwa mara
🍒Mchafuko wa tumbo na kuja gesi ama vichomi visivyo isha
🍒Mwili kuishiwa nguvu kua na uchovu sugu
🍒Kichwa kugonga
🍒Kukosa hamu ya kula
🍒Maumivu ya kiuno.

*MADHARA YA KUKOSA CHOO*
■Kuota nyama sehemu za njia ya haja kubwa, yaani bawasiri(haemorrhoid).
■Kukosa hamu ya kula
■Ini na figo kushindwa kufanya kazi vizuri
■Mishipa ya damu kukak**aa au kuwa migumu na kusababisha matatizo ya moyo.
■Saratani ya utumbo mpana
■Kua na sumu mwilini pamoja na kuharibika kwa ngozi k**a kua na chunusi zisizoisha
■Kutokwa na jasho lenye harufu mbaya sana.

*DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*
Maumivu makali nyakati hujapata chakula - Kutapika Mara kwa Mara
●Uchovu wa mwili
●Kukosa hamu ya chakula
● Kupungua uzito
●Mwili kukosa nguvu - Tumbo kujaa gesi
● Kutapika damu
●Magonjwa ya Ngozi
●Chronic Constipation au kukosa haja kubwa

DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali

KWA USHAURI NA TIBA
WASILIANA NASI:
0687683522

28/06/2021

Utachagua upande upi zaidi ⁉️⁉️⁉️
Tuelewane hapa

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

NGUVU YA UYOGA MWEKUNDU 🔥🔥🔥

Category

Address

Dar Es Salaam
00255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Other Health/Beauty in Dar es Salaam (show all)
Jenga afya na lameck Jenga afya na lameck
Dar Es Salaam

Faah_whitening_creams Faah_whitening_creams
Mabibo
Dar Es Salaam

faahbeautycreams

AFYA BORA 1019 AFYA BORA 1019
Ubungo
Dar Es Salaam

Hii inajihusisha zaidi na afya kwa ujumla

Afya natiba Afya natiba
Dar Es Salaam

nikuhusu afya natiba tu.

Slim n Slender Slim n Slender
1st Floor, Shop No 9, IT Plaza, Ohio Street
Dar Es Salaam

Ultrasound Lipolysis - the latest, nonsurgical, noninvasive technique for perfect shaping, helping you get rid of obesity & all associated health problems

Miriam tutorial Miriam tutorial
Dar Es Salaam

Welcome to the official page of Miriam Tutorial. Makeup artist & makeup and skincare content creat

Dawa ya vidonda vya tumbo 1. Dawa ya vidonda vya tumbo 1.
Vingunguti
Dar Es Salaam

Karibu tukuhudumie.unachangamoto gani?

K Hemorrhoids Solution K Hemorrhoids Solution
Mlimani City
Dar Es Salaam, 3465

Tunawasaidia Wanawake Kutibu Bawasiri bila upasuaji, na Uzazi kwa kutumia Tiba Asilia Zilizoboreshwa.

Noise maker Noise maker
Dar Es Salaam

Tunabadili muonekano wa kila aina ya simu, Laptop au dashboard ya gari yako kwa kubandika skin covers (stickers) kalii

Afya ya uzazi1 Afya ya uzazi1
Dar Es Salaam

Huu ni ukurasa unaotoa elimu juu ya afya na kutoa msaada kwa watu mbalimbali hasa wanaume wenye matatizo kwenye mifumo yao ya uzazi

Bantu Tanzania Bantu Tanzania
Dar Es Salaam

Tunauza Bidhaa bora za AFYA ya Mwili na Ngozi kwa Bei nafuu.

Eternal Favor" Eternal Favor"
Kisukulu
Dar Es Salaam, WELCOME

NUTRITION-HEALTH-QUALITY OF LIFE