Mwailafu house of talent

MEDIA COMPANY
EVENTS/ENTERTAINMENT & SPORTS
WhatsApp -0672875654 you tube @Mwailafu house of talent

01/05/2024

DAIMA PENDA UNACHO KIFANYA, UTAFANIKIWA.
MBEBA MAVUMBI
KIMBAU MBAUWasafi TV

05/11/2023

KUTAZAMA MPIRA UBANDANI KUNA RAHA ZAKE

31/10/2023

NUNUA KWETU
bora
poaa
WhatsApp 0672875654
Mwailafu house of talent

30/10/2023

JIPATIE SIMU KALI NA ZA KIJANJA USED FROM DUBAI
BH oy
Anthony
mbeba Mavumbi
kimbau MBAU
Mwailafu Jastine

30/10/2023

USI FOSI MDA UTAONGEA
boy
Anthony
mbeba Mavumbi
kimbau MBAU
Mwailafu house of talent

TikTok · Mwailafu house of talent 20/10/2023

Follow me tiktokMwailafu house of talent

TikTok · Mwailafu house of talent Check out Mwailafu house of talent's video.

20/10/2023

Namna Ya kumtambua mtoto Wa boss

15/10/2023

UNA UFAHAM UPENDO WA AGAPE? Ni upendo wa Mungu Kwa wanadam yohana 3:16Wasafi TVDiamond PlatnumzShiloleAurelia Masege

12/10/2023

Tumshukuru kila wakati Na kwa kila Jambo. Mwailafu house of talent

08/10/2023

Happy birthday ma blood colimba Jr Mungu aku bariki Sana Na akupe uwezo wa kuendeleza kipaji chako daima usiache kukitumia.
upiga mwingi uwanjani

08/10/2023

Hii ni video ya mchekeshaji@chamingchalz alie kuwa akizungumzia Hali ya watu wanapo kuwa wakiomboleza msibani.
alikua akitoa funzo kwa uma kwamba mtu unae muona hafai kwako ndie atakae kustili katika kaburi hivyo ishi Na watu vizuri.
Lakini video hii imekuwa gumzo baada ya umauti wake kutokea.

28/09/2023

IJICHANGANYE PC KALI
KIMBAU MBAU
MBEBA MBAU #
Mwailafu house of talent

28/09/2023

NATAKA UWE BUZI LANGU
Mwailafu house of talent

25/09/2023

WA JAMII
TAKATAKA YA LEO NI DHAHABU YA KESHO HIVYO USI MDHARAU MTU KATIKA MAISHA AWE CHIZI, MASKINI, FUKARA.Mwailafu house of talentShiloleWasafi TVBabuTaleFounder TZ@

25/09/2023

WA JAMII
TAKATAKA YA LEO NI DHAHABU YA KESHO HIVYO USI MDHARAU MTU KATIKA MAISHA AWE CHIZI , FUKARA MASKINI.
KIMBAU MBAU
MBEBA MAVUMBI
Mwailafu house of talentBabuTale@Diamond PlatnumzWasafi TVBillnass@Shilole

05/09/2023
04/09/2023

NAFANYAJE SHOW KWA LAKI TANO?
nguli wa muziki wa bongo fleva@ Sir Juma Nature amesema hawezi kufanya show ya wasafi festival kwa malipo ya laki tano.
Nature amebainisha hayo Katika ukurasa wa komenti ambapo shabiki wake alimuuliza mbona hakumuona kwenye show ya wasafi festival ikiwa wali mtangaza.
Ikiwa@ Diamond Platnumz ndie msanii wa muziki wa bongo fleva aliye pindua malipo hafifu kwa wasanii Katika show zao una dhani kauli hii ya Juma Nature ina uhalisia?
Tuandikie Katika ukurasa wa komenti house of talent

04/09/2023

Baada ya mama mchepuko kufeli karudi tena kwa mganga
mbeba mavumbi
kimbau mbau
Mwailafu house of talent

03/09/2023

KILA MTU ANA WAKATI WAKE WA KUFANIKIWA
msanii wa muziki wa bongo fleva TZ amesema kila mtu ana mda wake wa kufanikiwa wengine huwai kufanikiwa Katika umri mdogo na wengine huchelewa hufanikiwa Katika umri mkubwa.
founder tz ameendelea kusema haijalishi uta fanikiwa wakati gani jambo jema ni kuto Kata tamaa Katika maisha.
"japo nimeingia Katika tasnia ya muziki Katika umri mdogo na kufanikiwa ni mejifunza kuto Kata tamaa maishani kwani Siku amini hapo mwanzo K**a ninge kuja kupata furaha maishani mwangu"
Kufuatia ujumbe huu wa tz wewe mdau na shabiki una maoni yapi tuandikie Katika ukurasa wa komenti
house of talent@BabuTale@Wasafi TV

28/08/2023

challenge by ZUCHU

TikTok · Mwailafu house of talent 28/08/2023

What is MAX ZENGEL?

TikTok · Mwailafu house of talent Check out Mwailafu house of talent's video.

27/08/2023

Msanii wa muziki wa bongo fleva Officialzuchu amesema mtoto wake ata muoa kenaya.
Kenaya ambae ni mtoto wa mastaa wa wili wa muziki wa bongo fleva ambao ni African princess na Billnass
Zuchu amesema hayo alipo kuwa akimuona mtoto akiwa na msanii Shilole anaomba mungu amjaalie mtoto wa kiume aje amuoe mtoto wa billnass na nandy(kenaya)

27/08/2023

Una ionaje challenge ya bibi baby Diamond PlatnumzMwailafu house of talent

17/10/2022

MsaniiAbdukiba amesema ameachia wimbo wake akiwa na msanii wote wakitokea menejimenti ya muziki Kings Music inayo milikiwa na msanii nguli Tanzania Ally Kiba
Abdukiba ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake was instergram

17/10/2022

Tazama Kauli yaAlly Kamwe akionesha mapenzi yake ya ushabiki katika club ya Young Africans Sports Club. Dondosha komenti yako APA
CcMwailafu JastineMwailafu house of talent

16/10/2022

Full timeالهلالالهلال - ALHilalALHilal1-0 Young Africans Sports Club alhilal ya songa katika hatua ya makundi michuano ya club bingwa Afrika wakati yanga ya shindwa kuelekea katika hatua hiyo hatimae kuelekea michuano ya kombe LA shirikisho barani Afrika ambako na huko atcheza mechi za mtoano akifanikiwa ataenda katika hatua ya makundi ya michuano hiyo

16/10/2022

Afisa habariAlly Kamwe wa club ya Young Africans Sports Club amesema "tumeona tena tukutane saa 3" akiwa na maana ameshuhudia kile alicho kifanya mtani wake wa jadiSimba SC Tanzania kutinga katika hatua ya makundi kwa aggregate ya 4-1 huku yanga akikabiriwa na kibarua kizito cha kupindua meza katika uwanja wa ugenini dhidi ya نادي الهلال السعودينادي الهلال السعودي - AlHilal Saudi ClubAlHilal Saudi Club ya sudani kusini saa 3 ili kutinga katika hatua hiyo.
CcMwailafu JastineMwailafu house of talent

11/10/2022

Star wa bongo katika tasnia ya filamu Sepetu ame muambia mpenzi wake@ WHOZU aki muacha katika mahusiano watu wamzike
Amesema hayo kupitia ukurasa wake wa instergram ikiwa Ni muendelezo katika kumsifia mpenzi wake star wa music bongo Whozu_
Wema sepetu aliandika his lips,chibaba wangu
Whozu aka komenti my happiness my soul my chimama,Nakupenda sana.
Wema sepetu ndipo akamaliza kwa kuandika ukiniacha wanizike waje wanizike
Hii Ni kuonesha kwamba wapo katika mahaba mototo hivi sasa

10/10/2022

Ndugu yetu mpendwa wetu Jesca mwano vita umevipiga mwendo umeumaliza imani umeitetea pumzika kwa amani
Nikijana mwenzetu tume soma nae shule ya kiwele sekondari akitokea kijiji cha mfyome

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

KUTAZAMA MPIRA UBANDANI KUNA RAHA ZAKE
Namna Ya kumtambua mtoto Wa boss
UNA UFAHAM UPENDO WA AGAPE? Ni upendo wa Mungu Kwa wanadam yohana 3:16Wasafi TVDiamond PlatnumzShiloleAurelia Masege
Tumshukuru kila wakati Na kwa kila Jambo. Mwailafu house of talent
Hii ni video ya mchekeshaji@chamingchalz alie kuwa akizungumzia Hali ya watu wanapo kuwa wakiomboleza msibani.#charming ...
IJICHANGANYE PC KALI#BOSS KIMBAU MBAU#STAR MBEBA MBAU#wasafitv#idrissultan#mwijaku#babalawo#Mwailafu house of talent
NATAKA UWE BUZI LANGUMwailafu house of talent#wasafimedia#clouds#SNS
Baada ya mama mchepuko kufeli karudi tena kwa mganga #star mbeba mavumbi #Boss kimbau mbau Mwailafu house of talent
#honey challenge by ZUCHU
Una ionaje challenge ya bibi#my baby Diamond PlatnumzMwailafu house of talent
Good VIBES WITH MY BLOOD#miumizo

Category

Telephone

Website

Address


KITUNDA
Dar Es Salaam
Other Public Figures in Dar es Salaam (show all)
Akhenaton Family Akhenaton Family
P. O. Box, KGN, Dsm
Dar Es Salaam, 36402

...the new breed!

MUSTAFA HASSANALI MUSTAFA HASSANALI
Dar Es Salaam

Pan African Designer, Mustafa Hassanali has showcased in 33 cities in 23 Countries & named One of Af

Ramsey's official tz Othman Ramsey's official tz Othman
Kauli Moja 1 Camp
Dar Es Salaam, 0000

Blog

ipende_ngozi_yako ipende_ngozi_yako
Dar Es Salaam

Tunauza vipodozi asili za ngozi na nywele

Michael Clement Michael Clement
Dar Es Salaam

#never give up never surrender

CayteAkaro Talents Owner CayteAkaro Talents Owner
Ilala
Dar Es Salaam, 0000

Her Own🎂 31.12. LL.B Jurist ⚖️👩‍⚖️🇹🇿 #HairBraiding #Massage #HennaTattoos #ApplicationForVisa #InNungwi-Zanzibar #GoodPrice

Sady King Sady King
Dar Es Salaam

Dee Ommy Dee Ommy
Dar Es Salaam

Dee ommy

Mo Dewiji Mo Dewiji
Posta
Dar Es Salaam, 255

Oficial Man Plate Oficial Man Plate
Dar Es Salaam

Emerging entrepreneur from Tabora Tanzania @Power brand Shop ||Chief Executive Officer (CEO) .

Fatty_the_killer Fatty_the_killer
Gongo La Mboto
Dar Es Salaam

mtu anaekupenda kwa dhati lazima akuhurumie maana mapenzi ya dhati na HURUMA huishi pamoja

Pst Brian Mwimba Pst Brian Mwimba
Dar Es Salaam, 828282