Bustani ya Edeni

Bustani ya Edeni

You may also like

Enzyme juma
Enzyme juma

BUSTANI YA EDENI ni Wazalishaji, Wasambazaji, na Wauzaji wa Matunda & Ndizi.

Papai Kubwa Tshs 1,500 na ya Wastani Tshs 1,000, Nanasi Kubwa Tshs 1,500 ya Wastani Tshs 1,000 Ndizi moja Tshs 100 & Pesheni 1kg Tshs 1,000.

Photos from Bustani ya Edeni's post 20/07/2024

Ndizi ...

Photos from Bustani ya Edeni's post 14/07/2024

Kwa utambuzi wetu shambani, ziko aina 3 maarufu za zinazo limwa na kupatikana kwenye masoko na magenge DSM (hususani Mbagala).

Ziko plantains aina ya Mkono wa Tembo (chane 3 na 5), pia ziko plantains aina ya (mikungu mikubwa na midogo), na Plantain aina ya (ziko aina 3 tunazo zijua).

Leo tuongelee plantain aina ya Bokoboko. Ziko Bokobo maji (kitovu kikubwa, ina ubora wa chini). Bokobo aina ya (hii ni ubora wa juu, na kitovu chake kidogo). Ikikomaa vizuri ni sawa au zaidi ya Mzuzu. Hii ndiyo iliyo kwenye picha. Ya daraja la kati ina ubora na kitovu cha wastani.

Plaintains Ngazija zinafaa sana , kwa n**i, na hata kunywea chai, au vijana wanavyo fanya shambani asubuhi, hutupia kwenye moto na maganda yake.

Lengo letu huko mbele ni kuzitumia kibiashara kutengenezea . Hali ya hewa ya Pwani, udongo wa kichanga, na joto pamoja na humidity za juu, upelekea ustawi bora.

Karibu sana ujipatie ndizi Ngazija, na ufurahie maisha yako πŸ‘Œ

Photos from Bustani ya Edeni's post 14/07/2024

Kwa utambuzi wetu shambani, ziko aina 3 maarufu za plantains zinazo limwa na kupatikana kwenye masoko na magenge DSM (hususani Mbagala).

Ziko plantains aina ya Mkono wa Tembo (chane 3 na 5), pia ziko plantains aina ya Mzuzu (mikungu mikubwa na midogo), na Plantain aina ya Bokoboko (ziko aina 3 tunazo zijua).

Leo tuongelee plantain aina ya Bokoboko. Ziko Bokobo maji (kitovu kikubwa, ina ubora wa chini). Bokobo aina ya Ngazija (hii ni ubora wa juu, na kitovu chake kidogo). Ikikomaa vizuri ni sawa au zaidi ya Mzuzu. Hii ndiyo iliyo kwenye picha. Ya daraja la kati ina ubora na kitovu cha wastani.

Plaintains Ngazija zinafaa sana kukaanga, kupika kwa n**i, na hata kuchemsha kunywea chai, au vijana wanavyo fanya shambani asubuhi, hutupia kwenye moto na maganda yake.

Lengo letu huko mbele ni kuzitumia kibiashara kutengenezea banana crispies. Hali ya hewa ya Pwani, udongo wa kichanga, na joto pamoja na humidity za juu, upelekea ustawi bora.

Karibu sana ujipatie ndizi Ngazija, na ufurahie maisha yako πŸ‘Œ

18/06/2024

Umeme Jua ... kazi imeanza mpaka October 2024 πŸ‘Œ

Photos from Bustani ya Edeni's post 08/06/2024

Kwa mahitaji yako ya , , , na ya DSM. SMS 0754494935 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Photos from Bustani ya Edeni's post 07/06/2024

Papai za Masika 2024 ... πŸ‘Œ

Photos from Bustani ya Edeni's post 05/06/2024

Kwa mahitaji ya ya juisi, mbivu, za kisasa, na DSM, Tafadhali wasiliana na Bustani ya Edeni πŸ™‚

Photos from Bustani ya Edeni's post 03/06/2024

Kwa mahitaji ya , , na ya karibu sana Bustani ya Edeni πŸ™‚

Photos from Bustani ya Edeni's post 01/06/2024

Elohim annointed Adam to be a Farmer [a noble profession], that way man may become creator of life on his likeness ... so go ahead and become one πŸ™

Photos from Bustani ya Edeni's post 31/05/2024

Mazao ya wiki hili, matokeo chanya ya Elnino kulisha jiji la DSM ...

28/05/2024

bora zaidi za zinapatika kwa wingi wa kutosha. Karibu sana πŸ™

Photos from Bustani ya Edeni's post 28/05/2024

Kwa kipindi sasa tumendelea kutoa picha za masoko, ambazo zinapendeza kuvutia mauzo. Lakini katika kilimo shambani mvua za Elnino hususani hizi za Masika inayoisha mwisho wa mwezi June 2024, zilijaribu mpaka karibu na mwisho mifumo ya usafishaji shamba, hata ikabidi katika baadhi ya maeneo tufanye ya dharura kuokoa mazao.

Kwa shamba lenye likifuata kanuni za kilimo ( - protects and improves soil, , resilience and water resources), kukithiri kwa majani na kushindikana kwa njia mbadala, kulipelekea dharura hizi mashambani.

Tayari tumeanza maandalizi ya Kipupwe (June-Sept) kuimarisha zaidi kilimo endelevu.

Kule ambako usafi tulifanikiwa, Elnino ilikuwa baraka kubwa sana kwetu, kwani shamba liko kwenye miinuko πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

25/05/2024

Hizi ni , tunauza kwa bei ya ushindani sana katika msimu wake huu (baada ya mvua za kutosha). Kreti lina 10, tunauza Tshs. 10,000 tu (wewe unauza Tshs 1,500 kwa chane). Ndizi hizi huvundikwa kwa njia asili za toka enzi za wahenga, hivyo ni na zenye kwako na wote walio wako. Tunasambaza DSM kwenye , , , , na ya aina zote. Karibu Sana πŸ™

Photos from Bustani ya Edeni's post 24/05/2024

Msimu wa kwa ukanda wa Pwani umefika Bustani ya Edeni ... πŸ™

22/05/2024

... we truly believe everything that we do, and everyone that we meet, is put in our path for a purpose. ... so we keep believin, and we keep walkin ... 🚢

Photos from Bustani ya Edeni's post 20/05/2024

We Farm, We Deliver, We Sale, and We have Gone Bananas ... 🀣

Photos from Bustani ya Edeni's post 18/05/2024

Bado Bustani ya Edeni tunajizatiti katika mazao ya kila aina ili kutimiza ndoto yetu ya Kulisha Jiji la DSM πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Photos from Bustani ya Edeni's post 17/05/2024

Hizi ni , tunauza kwa bei ya ushindani sana katika msimu wake huu (baada ya mvua za kutosha). Kreti lina 10, tunauza Tshs. 10,000 tu (wewe unauza Tshs 1,500 kwa chane). Ndizi hizi huvundikwa kwa njia asili za toka enzi za wahenga, hivyo ni na zenye kwako na wote walio wako. Tunasambaza DSM kwenye , , , , na ya aina zote. Karibu Sana πŸ™

Photos from Bustani ya Edeni's post 15/05/2024

Aidha mchana au usiku tunaendelea kuwafikia wateja wetu wote kwa huduma makini za matunda ya jumla. Je unahitaji ndizi mbivu, papai, pesheni, au miwa ya juisi? Tafadhali tuwasiliane πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Photos from Bustani ya Edeni's post 13/05/2024

Je unahitaji tunda la asili ( ) kwa ajili ya wa au kilichopo DSM? Tunalima kwa njia , na kwa njia asili, hivyo zina nzuri sana, kwa zao, na zinapatikana kila wiki kwa mwaka mzima. Wasiliana nasi kwa 0754 494935. Karibu πŸ™

Photos from Bustani ya Edeni's post 11/05/2024

Hii ni ndizi tuliyo ivundika kwa njia asili ikiwa sokoni. Ndizi hizi zina nzuri, ni , na zina kwa ulaji wa familia yako. Mwerevu asiambiwe tazama .. πŸ€”

Photos from Bustani ya Edeni's post 27/04/2024

Sisi ni , Wasambazaji, na Wauzaji wa , , na . Kwa Mahitaji yako ya , , , , Shule ya Boarding, , au Tafadhali tuwasiliane: 0754 494 935

Photos from Bustani ya Edeni's post 16/04/2024

hizi asili ( ) ni tamu zaidi, bora kwa , na bei yake nafuu. Tunauza kreti 1 la ndizi 120 kwa Shs. 12,000 tu. Wewe unauza kila ndizi Sh.200. Je tukuletee kreti 1 Alhamisi?

Photos from Bustani ya Edeni's post 08/04/2024

Asante Mungu kwa mvua za ...

Photos from Bustani ya Edeni's post 07/04/2024

We strive to ensure our methods encourage in all of its spectrum. We practice no to avoid , and to build matter ( / ). We do use for , for , and water basin to keep in the farm.
Our are and to the area. We emphasize on strategical use and maintaining of soil for resistance and provision of eliminating the needs of both and /factory .
Agressive planting of fruits make us a positive candidate for exchange programmes to companies for carbon ( gas, polution) to rectify their carbon . We invite collaboration with all parties interested on , change and mostly tackling both climate effects and issues in Tz and EA at large.
We are already on progress to produce over 40 varieties of fruits to EA costline. And while doing all these, we are producing a significant needed mostly to the and on neighbouring .
This is a turned into a business to be relient and self .
Let work together for 17 Development (GDSG πŸ‡ΊπŸ‡³). We focus on the first 3 Goals. Goal 1: End in all its forms. Goal 2: Zero . Goal 3: ... Very few models are able to attend efficiently to the first major 3 GDSG like ours πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

30/03/2024

Tunauza jumla (zaidi ya 100) mbegu (meristem) & chipukizi (suckers) za ndizi aina ya kwa Tshs. 1,250 tu.

30/03/2024

TUNAUZA JUMLA (KUANZIA 100) MBEGU (MERISTEM) & CHIPUKIZI (SUCKERS) ZA MIGOMBA YA NDIZI BUKOBA. TSHS 1,250/=

Want your business to be the top-listed Grocery Store in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Umeme Jua ... kazi imeanza mpaka October 2024 πŸ‘Œ
Baby step to mechanized weeding ..
Kwa Mahitaji Yako ya #Nanasi za Biashara, Tafadhali Tuandikie ...
Karibu #Nanasi Asili kwa Bei Nzuri ...
#Nanasi Asili
Kilimo cha Mananasi #Njopeka Mkuranga
Bado Tunaendeleza Juhudi Njema Kukufikishia #Nanasi Asili (#organic) Hapo Ulipo Jijini DSM 😊
Bado Tunaendeleza Juhudi Njema Kukufikishia #Nanasi Asili (#organic) Hapo Ulipo Jijini DSM 😊
Tunaendelea Kusaidia #Mvua za #Vuli Kupitia #Umeme Jua (#solar power) Kuhakikisha Wateja Wetu Wanaendelea Kupokea #Matun...
Uvunaji, ukaguzi wa ubora na ufungashaji wa #Papai #Calina na #Malkia tayari Kaletwa kwenye eneo lakeo la biashara DSM.
Shamba la #Pesheni πŸ™‚
Migomba aina ya #bokoboko 😊

Category

Telephone

Website

Address


Njopeka, Mkuranga
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:30
Tuesday 07:30 - 17:30
Wednesday 07:30 - 17:30
Thursday 07:30 - 17:30
Friday 07:30 - 17:30
Other Farmers Markets in Dar es Salaam (show all)
Daudi MSukwa Daudi MSukwa
Buyuni, Chanika Ilala Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

tunauza vifaranga Aina kuroiler(chotara) wa siku 3@1300 wa siku 7@1500 wa siku 14@2500

GREG MIFUG TLD GREG MIFUG TLD
Tanzania Street
Dar Es Salaam

Kilimo na supergro Kilimo na supergro
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 0000

ninauza kirutubisho cha mmea na udongo kiitwacho SUPER GRO NI MKOMBOZI WA MKULIMA COMPLETELY IPO KWA UJAZO WA MILL 250 , LITA 1 NA LITA 5 NAUZA RAHISI SANA ....KARIBUNI WATU WA ...

Ndaso07a". Ndaso07a".
Iringa
Dar Es Salaam

kwa matukio yote ya kijamii na taarifa za kilimo hasa mahindi,mpunga na maharage niweke hapa

KilimoHai Conference KilimoHai Conference
Dar Es Salaam, P.O.BOX13455

The Kilimo Hai Conference also known as the National Ecological Organic Agricultural Conference. To be held on October, 2021 with an objective of catalyzing existing initiatives an...

Mzani Tanzania Mzani Tanzania
Dar Es Salaam

Mzani Tanzania niwauzaji wamizani aina zote tz wao ndo kila kitu wachague hao watakupa kilicho bola

Mifugo yetu Mifugo yetu
KIGAMBONI
Dar Es Salaam

[email protected]

Ordersokoni Ordersokoni
Rose Garden Road
Dar Es Salaam, 14112

Phisanduma agribusines Phisanduma agribusines
Mishamo
Dar Es Salaam, 899598

Sorenoidmeck Sorenoidmeck
Buyuni Bus Stop , Chanika Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

mgeule juu poultry farm

Tropicalfloratz Tropicalfloratz
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 00000

Natural Plants From Dar Es Salaam, Tanzania Mobile : +255 715 725 173 +255 755 758 989

Kilimo kwanza Tz Kilimo kwanza Tz
Mwenge TRA
Dar Es Salaam