GUDE MEDIA
To share News Locally, Internationally, Features and Sports
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/09/wcf-yapongezwa-kwa-ithibati-ya-iso.html
WCF yapongezwa kwa Ithibati ya ISO utoaji wa huduma kwa viwango vya kimataif Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mary Maganga ameuagiza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), kuhakikisha inazingatia ubora wa huduma inazotoa kwa wananchi kuendana na ithibati ya utoaji wa huduma kwa viwango vya kimataifa, waliyopata.
Muhimbili kupandikiza mimba mimba, Dk. Mpango azindua jengo la kisasa
MUHIMBILI SASA KUPANDIKIZA MIMBA, DK.MPANGO AZINDUA JENGO LA KISASA MAKAMU wa Rais Dk.Philip Mpango, amezindua jengo maalumu la upandikizaji wa mimba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiweka historia ya kuwa Taasisi ya kwanza ya serikali kutoa huduma hiyo ya kibingwa, ambayo itakuwa msaada mkubwa nchini kuondoa changamoto ya uzazi na kuepusha wananchi ku...
Bilioni 39 kuimarisha miundombinu hifadhi ya taifa Ibanda- Kyelwa
BILIONI 3.9 KUIMARISHA MIUNDOMBINU HIFADHI YA TAIFA IBANDA-KYERWA Serikali imetoa sh. Billioni 3.9 ya kuimarisha miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Ibanda - Kyerwa iliyoko mkoani, Kagera, jambo ambalo litachochea ongezeko la watalii na kukuza uchumi.
Mwigulu: serikali itaendelea kuipa kipaumbele TMA
MWIGULU: SERIKALI ITAENDELEA KUIPA KIPAUMBELE TMA. Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuahidi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuipa kipaumbele kwa kuwa huduma za hali ya hewa zinasaidia katika mipango mbalimbali ya maendeleo.
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/08/magazeti-ya-leo-jumamosi-agosti-24-2024.html
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/08/waziri-jafo-atembelea-fcc-asisitiza.html
Waziri Jafo atembelea FCC asisitiza bidii ya kazi na ufanisi wa ukaguzi kampuni WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Seleman Jafo amesema Wizara hiyo inafursa kubwa kutengeneza ajira kwa Watanzania kupitia sekta binafsi ikiwemo viwanda, hivyo watahakikisha wanatimiza azma hiyo ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuleta maendeleo kwa wanachi.
Chatanda: Serikali imedhamiria kujenga vituo vya afya kila kata MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amesema serikali imedhamiria kujenga vituo vya afya kila kata, kwa lengo la kusogezakwa jamii hususan maeneo ya vijijini, ambapo huduma hizo bado changamoto.
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/08/tasac-zma-kuimarisha-ushirikiano.html
TASAC, ZMA kuimarisha ushirikiano usimamizi wa usafiri majini nchini Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) na Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA), zimekubaliana maeneo zitakazoshirikiana kusimamia masuala ya udhibiti na usafiri majini.
HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YAWEKA ALAMA MUHIMU KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya wameendelea kuipongeza Serikali staili ya kipekee kwa kuboresha huduma za afya nchi katika kuwa hudumia wananchi, pia kuiunga mkono Serikali kufanya utalii wa ndani kwa vitendo k**a alivyofanya Rais Dkt. Samia kwenye Filamu ya The Royal Tour.
TPDC YAUNGA MKONO MPANGO WA NISHATI SAFI NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio amesema ujenzi wa kituo mama cha kushindilia gesi asilia katika magari, eneo la Chuo Kikuu Dar es Salaam, ni sehemu ya mpango mkakati wa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
TPDC YATOA SH. BILIONI MOJA UJENZI VITUO VYA AFYA MTWARA SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limeendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha huduma za kijamii, ambapo limetoa sh. bilioni moja kuinua sekta ya afya mkoani Mtwara.
MWENYEKITI CCM TANGA AKABIDHI MILIONI 30 KUWALIPIA MADEREVA 600 KUPATA VYETI NA LESENI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, amekabidhi sh.milioni 30 kwa madereva wa magari aina ya Costa na Daladala 600 kuwalipia ada ya mafunzo ya leseni ya udereva.
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/06/wizara-ya-kilimo-yaitaka-nirc-kusimamia.html
WIZARA YA KILIMO YAITAKA NIRC KUSIMAMIA MAONO YA RAIS DK. SAMIA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar, amesema matarajio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona sekta ya kilimo inaleta mageuzi ya kiuchumi nchini.
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/06/waziri-mkuu-aagiza-rcs-dcs-kufanya.html
WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika halmashauri zao na waviweka kwenye mipango ya maendeleo.
Magazeti ya leo Jumapili 16 Juni 2024...https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/06/magazeti-ya-leo-jumapili-16-juni-2024.html
Magazeti ya leo Ijumaa 14 Juni 2024...
Magazeti ya leo Alhamis Mei 23, 2024... https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/05/mmagazeti-ya-leo-mei-23-2024.html
MAGAZETI YA LEO JUMATANO MEI 22, 2024...https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/05/magazeti-ya-leo-jumatano-mei-22-2024.html
Majaliwa : Michezo ni nyenzo muhimu inayodumisha amani...
MAJALIWA: MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM).
Magazeti ya Leo Ijumaa Mei 17, 2024...https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/05/magazeti-ya-leo-ijumaa-mei-17-2024.html
https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/05/rais-wa-ipu-dk-tulia-aongoza-kikao-cha.html
RAIS WA IPU, SPIKA WA BUNGE DK. TULIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KURATIBU MAANDALIZI YA MKUTANO WA MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza Kikao cha kwanza cha Kamati ya kuratibu Maandalizi ya Mkutano wa 6 wa Maspika wa Mabunge Duniani leo tarehe 16 Mei, 2024 Geneva nchini Uswisi.
Magazeti ya leo Alhamisi Mei 16, 2024... https://gudemediadigital.blogspot.com/2024/05/magazeti-ya-leo-alhamisi-mei-16-2024.html
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the business
Telephone
Address
Dar Es Salaam
255
Mwananchi
Dar Es Salaam, 19754
Gazeti namba #1 la Kiswahili Tanzania. Web: www.mwananchi.co.tz FB: https://www.facebook.com/MwananchiNews Twitter: https://twitter.com/MwananchiNews
Musoma
Dar Es Salaam
Official Antomatv Online page | LIKE FOLLOW SHARE | Call 0759 891 849 - 0653 266 834
Dar Es Salaam
welcome to CB online TV Page Official page The Home of Entertainment News, Music, Politics
Dar Es Salaam
We take swahili to the world, all post about technology, health and history will be written in swahili language.
Tabata
Dar Es Salaam
UKURASA MAALUMU WA TAAARIFA NA HABARI MBALIMBALI TUNARAHISISHA TAARIFA KUFIKA KWENYE SOCIAL MEDIA KW
Namanga
Dar Es Salaam, 14111
📻 Welcome to Big Boss Radio, where the heartbeats of Tanzania unite! 🇹🇿🎵 #BigBossRadio