EDEN AFYA
Karibu katika ukurasa rasmi wa Eden Afya. Ukurasa huu upo kwa madhumuni ya kusaidia matatizo mbalimbali ya kiafya kwa kutumia mimea na virutubisho lishe.
P**I ZA KUONGEZA NYEGE KWA WANAWAKE:
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa inayowakabili wanawake ya kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa, au muda mwingine unakuta msichana ana hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini uke unakuwa mkavu hali inayopelekea wote wawili kutofurahia kitendo hicho kwani hata mwanaume anapata raha zaidi pale anapoingia kwa msichana mwenye ute na uterezi hivyo akikutana na msichana ambae maumbile yake ni makavu humfanya mwanaume akose hamu ya kuendelea kuwa na msichana huyo. Vivyo hivyo kwa upande wa msichana nae pia endapo maumbile yake ni makavu hawezi pata raha yoyote ile zaidi ya maumivu, hali inayopelekea baadhi ya wanawake kuchukia tendo la ndoa kisa maumivu wanayoyapata wakati wa kushiriki. Hiyo yote inatokana na sababu mbalimbali ambazo zinatofautiana kati ya msichana mmoja na mwingine lakini jambo jema ni kwamba haijalishi tatizo hilo limekusumbua kwa muda mrefu kadri gani bado unaweza pata suluhisho na furaha yako pamoja na furaha ya mpenzi wako ikarudi k**a kawaida. Suluhisho la tatizo hilo ni p**i nyege au wengine wamezoea kuziita p**i utamu, p**i hizi ni salama kabisa kiafya. Kitu ambacho p**i hizi hufanya ni kusisimua skene's gland (tezi inayohusika na utengenezaji wa ute na kuongeza nyege kwa mwanamke). Baada ya tezi hiyo kusisimka mwanamke huanza kujiskia hamu ya kushiriki tendo la ndoa na huanza kuwa na ute mlaini kuzunguka kuta za uke wake, ute huo ndiyo humpa raha mwanaume wakati akiwa anakutana na mke wake. P**i hizi zina faida nyingi sana kwa mwanamke, baadhi ya faida zake ni k**a vile
1.Kuongeza hamu ya tendo la ndoa (nyege)
2. Kubana uke na kuurudisha katika hali yake ya asili kwa wanawake waliozaa.
3. Husaidia upevushaji wa mayai kwa wanawake wenye changamoto ya kutopata mimba kwa wakati
4. Husaidia kurekebisha mfumo wa hedhi kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka.
Hizo ni baadhi tuu ya faida ya p**i hizo.
Endapo utahitaji p**i hizo unaweza ukafika ofisini kwetu Mbezi Kwa Msuguri - Dar es Salaam au unaweza wasiliana nasi kwa namba 0656 751 285 kwa maelezo ya kufikishiwa popote pale ulipo.
Gharama ya p**i hizo ni Tsh 10,000 kwa p**i 40
Tsh 15,000 kwa p**i 70 na Tsh 20,000 kwa p**i 100
DAWA YA MKANDA WA JESHI (SHINGLES):
Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja
ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza kutokea sehemu yoyote ya mwili lakini mara nyingi hutokea kifuani, shingoni, usoni, mgongoni na mikononi. Tatizo hili mara nyingi huwapata watu wenye umri mkubwa na watu wanaosumbuliwa na matatizo yanayopunguza kinga mwili. Nafikiri tumeelewana vizuri sasa twende kwenye Matibabu yake.
MAHITAJI:
i.Ua la ndizi
ii.uterezi wa aloe vera
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Katakata ua la ndizi kisha ulichome upate majivu yake kisha changanya majivu hayo na uterezi wa aloe vera . Mgonjwa ajipakaze dawa hiyo kwenye sehemu zote alizoungua, anaweza kupaka kutwa mara 2 au hata zaidi na atumie dawa hii kwa muda wa siku 5 hadi 7. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lake litakwisha kabisa.
DAWA YA CHANGO:
CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).
CHANZO CHA TATIZO:
Mara nyingi chango la uzazi huwa inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na k**a zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka. Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.
MAHITAJI:
Majani ya mzugwa/mvuga.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:
Chukua majani ya mvuga au mzungwa chemsha kwa dakika 10 acha yapoe kisha chuja. Mgonjwa anatakiwa kunywa nusu kikombe kutwa mara 3 kwa siku
5 hadi 7. Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake. Imethibitika kuwa na uwezo wa:
(i.) Kusafisha kizazi.
(ii.) Kuzibua mirija ya uzazi
(iii.) Inatibu kabisa matatizo ya chango la uzazi
(iv.) Inapevusha haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
(v.) Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke
(vi.) Inarekebisha mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali wakati wa hedhi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Opening Hours
Monday | 08:00 - 18:00 |
Tuesday | 08:00 - 18:00 |
Wednesday | 08:00 - 18:00 |
Thursday | 08:00 - 18:00 |
Friday | 08:00 - 18:00 |
Saturday | 08:00 - 18:00 |
1st Floor, Shop No 9, IT Plaza, Ohio Street
Dar Es Salaam
Ultrasound Lipolysis - the latest, nonsurgical, noninvasive technique for perfect shaping, helping you get rid of obesity & all associated health problems
Dar Es Salaam
Welcome to the official page of Miriam Tutorial. Makeup artist & makeup and skincare content creat
Mlimani City
Dar Es Salaam, 3465
Tunawasaidia Wanawake Kutibu Bawasiri bila upasuaji, na Uzazi kwa kutumia Tiba Asilia Zilizoboreshwa.
Dar Es Salaam
Tunabadili muonekano wa kila aina ya simu, Laptop au dashboard ya gari yako kwa kubandika skin covers (stickers) kalii
Dar Es Salaam
Huu ni ukurasa unaotoa elimu juu ya afya na kutoa msaada kwa watu mbalimbali hasa wanaume wenye matatizo kwenye mifumo yao ya uzazi