Faustine Ndugulile

Faustine Ndugulile

You may also like

Zinjha
Zinjha
Mfana Ramza
Mfana Ramza

My thoughts. My views. My ideas

Photos from Faustine Ndugulile's post 16/09/2023

Engagement!

Photos from Faustine Ndugulile's post 07/09/2023

Discussing about Illicit financial flows issues with
and Hon

Members of parliament have a role to play in promoting policies and legislating laws against illicit financial flows.

06/09/2023

Nikibadilishana mawazo na Mbunge wa Nyamagana mapema leo Bungeni.

Picha:

05/09/2023

Psalm 23:4

04/09/2023

Nikibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Nungwi Mhe Simai Hassan Sadick (Mb) leo Bungeni Dodoma tarehe 04.09.2023.

03/09/2023

Shughuli ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada-Mwasonga imeahirishwa mpaka ikapotangazwa baadaye.

Zoezi hili limeahirishwa kwa maombi ya Serikali ili kuupatia uongozi mpya wa wizara kukabidhiwa ofisi na kuweza kujiandaa vizuri zaidi.

01/09/2023

Hatimaye siku imewadia!

Tuliahidi, tunaenda kutekeleza!

Kazi zaidi, maendeleo zaidi

01/09/2023

Leo Bungeni 01.09.2023

Nikibadilisha mawazo na Mbunge wa Kaliua Mhe

Katika kuongea na watu, unajifunza mambo mapya. Kujifunza hakuna mwisho.

31/08/2023

TBT

Tarehe 31.08.2019 Mwanza

30/08/2023

Leo Bungeni 30.08.2023

Ninafahamu changamoto za barabara za Kibada-Mwasonga na Gomvu-Pembamnazi. Ninafuatilia kwa karibu taratibu za ujenzi wake kwa kiwango cha lami.

Aidha, nimepokea malalamiko ya kukatisha ruti kwa magari ya Gomvu. Hili nalo nalifanyia kazi.

Picha:

29/08/2023

Bungeni leo tarehe 29.08.2023
Nimemuuliza Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu huduma za uokoaji kwenye kivuko cha Kivukoni-Kigamboni na pia mpango wa Wizara kujenga kituo cha zimamoto na kuweka gari la zimamoto Kigamboni, ikizingatiwa kuwa Kigamboni ina manteki mengi ya hifadhi ya mafuta.

Serikali imeahidi kuipatia Kigamboni gari la zimamoto baada ya kupokea magari mapya yaliyoyaagiza.

Picha:

20/08/2023

Nikiwa na Mjumbe wa Baraza la Taifa la kutokomeza Malaria tukijadili mikakati ya kupambana na Malaria nchini.

19/08/2023

Leo nimekutana na Mjumbe wa Baraza la Taifa la kutokomeza Malaria Tanzania

Mapema leo tulikuwa na semina ya wabunge kupata uelewa hatua zinazochukuliwa na Serikali kutokomeza ugonjwa wa Malaria nchini. Semina hiyo iliandaliwa na wakishirikiana na ALMA.
Pamoja na hatua nzuri tuliyofikia, tunahitaji kuwekeza zaidi kwenye:

1. Kuongea rasilmali fedha za ndani kwa kushirikisha sekta binafsi (Increase domestic financing through private sector engagement).

2. Ushirikishaji wa jamii (community engagement)

3. Ushirikishaji wa sekta nyingine (Miltisectoral collaboration)

4. Kuwekeza nguvu kwenye kuangamiza mbu (Focusing on vector control)

16/08/2023

Tumedhamiria kupunguza migogoro ya ardhi Kigamboni.

Usinunue ardhi bila ya kufanya uhakiki katika mamlaka na majirani husika.

Aidha, Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imeweka utaratibu mpya katika masuala yanayohusu ardhi. Kuanzia sasa ununuzi, upimaji na uandaaji wa michoro ya mipango miji ni LAZIMA ipitie k**ati za maendeleo ya kata (WDC) kupata idhini kabla ya kufikikishwa halmashauri kwa hatua zaidi.

10/08/2023

Tukutane uwanja wa Mjimwema (zilipokuwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya zamani) siku ya Jumamosi tarehe 12.08.2023. Nitaongea na wana Kigamboni. Karibuni sana na ninaomba uwajulishe wana Kigamboni wengine unaowafahamu.

Photos from Faustine Ndugulile's post 08/08/2023

Le9 nimetembelea maonesho ya Nane Nane Morogoro kukagua bidhaa zilizozalishwa na wakulima na wajasiriamali toka Kigamboni.

Nimefarijika kuona ongezeko la bidhaa zenye lebo ya "Made in Kigamboni"

04/08/2023

Kicheko ni afya hususan kinapotoka kwa Daktari.

Nikipata burudani ya kicheko toka kwa Dkt Hamisi Shabani ambaye ni daktari bingwa wa mfumo wa ubongo na mishipa ya fahamu katika hospitali ya

Tulisoma wote na Dkt Shabani katika chuo cha

Photos from Faustine Ndugulile's post 03/08/2023

Leo tarehe 03.08.2023 nimetembelea eneo ambalo ujenzi wa Chuo cha VETA umeanza.

Nimefarijika na uamuzi wa Serikali wa kuamua kujenga chuo hiki Kigamboni kinachotarajia kuwa na majengo 24.

31/07/2023

Kwa marafiki zangu wa karibu huwa tuna utaratibu wa kupata kikombe cha chai na kutafakari mambo mbali mbali.

Mdau Hiiti Sillo ni rafiki yangu wa siku nyingi tangu enzi akiwa Mkurugenzi wa hadi sasa akiwa na Shirika la Afya Duniani

Leo tumepata fursa nzuri ya kujadiliana mengi kuhusu sekta ya afya.

Photos from Faustine Ndugulile's post 29/07/2023

Leo nimepata fursa ya kukutana na watu wangu wa karibu wanaoishi Nairobi.

Ndugu wa Taifa Gas ambaye kwa muda mrefu alifanya kazi Taifa Gas Kigamboni na alikuwa mdau mkubwa wa maendeleo ya Kigamboni. Ninamshukuru sana kwa ushirikiano ambao anaendelea kunipatia kwa ustawi na maendeleo ya Kigamboni.

Ndugu ni rafiki yangu wa siku nyingi.
Tulifahamiana wakati yeye akiwa Tanzania Red Cross na mimi nikiwa mtumishi wa Wizara ya Afya. Tulishirikiana kwenye programu za pamoja za TRCS na Wizara ya Afya kuanzia mwaka 2004.
Tukakutana tena Afrika Kusini. Yeye akiwa Mwakilishi wa International Federation of Red Cross Lesotho na baadaye Afrika Kusini.
Niliporudi kugombea Ubunge 2010 nilimwachia kiti cha Uwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania huko.
Tukakutana tena Tanzania yeye akiwa Mkurugenzi wa MSD na mimi Naibu wa Waziri wa Afya.
Kwa sasa Ndugu Rugambwa yuko Ofisi ya Kanda International Federation of Red Cross.

Nawashukuru sana na kwa ukarimu na ukaribisho wenu Nairobi. Mnidai kikombe cha kahawa mkija Dar es Salaam.

28/07/2023

Nimeshiriki kikao cha Wabunge ww Afrika ambao ni vinara wa.ugonjwa wa TB unaofanyika Jijini Mairobi. Lengo la mkutano huu ni kufanya tathmini ya ugonjwa huu Barani Afrika na kuandaa maazimio kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa nchi (High Level Meeting) utakaofanyika Marekani mwezi Septemba.

Mimi ni mwanzilishi wa Mtandao wa Wabunge vinara wa ugonjwa wa TB. Nilikuwa ni sehemu ya wabunge 20 tuliokutana Barcelona, Uspania mwaka 2014 kuanzisha mtandao wa Global TB Caucus. Aidha, nilishiriki kuanzisha mtandao huo Barani Afrika (African TB Caucus) huko Cape Town mwaka 2016.

27/07/2023

TBT: Picha za mwanzo za utambulisho nilizopiga wakati naanza harakati za Ubunge mwaka 2010.

Photos from Faustine Ndugulile's post 22/07/2023

Leo tarehe 22.07.2023 nimeshiriki zoezi la usafi wa fukwe za bahari lililofanyika Kigamboni. Zoezi hili liliandaliwa na kampuni ya sigara ya TCC pamoja na Chama cha Ma-MC nchini. Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe Albert Chalamila akisindikizwa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe

22/07/2023

Taarifa

22/07/2023

Chama cha wanafunzi wa udaktari Tanzania ( ) leo tarehe 22.07.2023 watakuwa na hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa udaktari kutoka Sudan na pia kuwaaga wanafunzi wanaomaliza masomo yao.

Nawashukuru sana TAMSA kunishirikisha k**a Mgeni Rasmi.

Photos from Faustine Ndugulile's post 21/07/2023

Leo nimeshiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya ya CCM liyopokea taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2022-2023 iliyowasilishwa na Mkuu wa Wilaya Mhe

Kigamboni imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.

Nawapongeza sana Mhe DC, Madiwani, wenyeviti wa mitaa, Mkurugenzi, watendaji wa Halmashauri na Taasisi za Serikali ngazi ya Wilaya kwa kazi nzuri ya kuwaletea maendeleo wana Kigamboni.

K**a Mbunge nafarijika sana.

Photos from Faustine Ndugulile's post 20/07/2023

Leo tarehre 20.07.2023 nimeshiriki ziara ya Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko aliyetembelea Mwasonga, Kigamboni kuongea na wananchi wanaoguswa na mradi wa uchimbaji wa madini mchanga katika mitaa ya Mwasonga, Madege na Sharifu.

Photos from Faustine Ndugulile's post 18/07/2023

Leo familia ya Ndugulile imefanya ibada na kutembelea makaburi ya marehemu baba, babu na bibi.

Siku k**a ya leo tarehe 18.07.2020 baba yangu alifariki dunia.

Mwenyezi Mungu aendelee kuziweka roho za marehemu mahali pema peponi. Amen

13/07/2023

Leo nimekutana na viongozi wa Chama wa wanafunzi wa udaktari Tanzania ( ).

Uongozi wa TAMSA wamenifahamisha mengi kuhusu mikakati na mipango yao wanayotarajia kufanya hivi karibuni. Nami niliwapatia ushauri na uzoefu wangu katika chama hiki.

Nikiwa mwanafunzi nilikuwa ni mwanachama na nilihudumu k**a Katibu Mkuu wa TAMSA.

Pia, kupitia TAMSA nilifanikiwa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kusini wa shirikisho la vyama vya wanafunzi wa udaktari bara la Afrika (FAMSA).

Nimewatakia kila la kheri katika mipango yao hususan tukio lao la hivi karibuni litakalowashirikisha "wanafunzi wa udaktari toka Sudan" 🤣🤣🤣

11/07/2023

Leo tarehe 11.07.2023 Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekutana na K**ati ya Utekelezaji ya UVCCM Wilaya ya Kigamboni chini ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo ngazi ya Wilaya Ndugu Amour Gaddafi na kujadiliana nao mambo mbali mbali yanayohusu ustawi na maendeleo ya jumuiya hii.

K**ati ya Utekelezaji ilimjulisha Mbunge kuhusu mikakati yao ya kuimarisha jumuiya na kumtaarifu kuhusu ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida ambaye anatarajia kutembelea Kigamboni hivi karibuni.

Dkt Ndugulile alimpongeza Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya na K**ati ya Utekelezaji kwa kazi nzuri ya kuijenga jumuiya.

Aidha, Mbunge aliwajulisha kuhusu fursa mbalimbali zilizopo kwa vijana na umuhimu wa jumuiya katika kuibua na kuchangamkia fursa hizi.
Mbunge alisema yuko tayari kushirikiana na jumuiya ili ijiimarishe kiuchumi.

Katika kikao hicho Mbunge na K**ati ya Utekelezaji walikubaliana kukutana tena kwa lengo la kufuatilia fursa zilizopo na maazimio ya kikao hiki.

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Kigamboni
11.07.2023

27/06/2023

Success in life is a marathon and not a sprint.

Dodoma 27.06.2023

Photos from Faustine Ndugulile's post 23/06/2023

Leo tarehe 23.06.2023 k**ati ya Bunge ya masuala ya Afya na UKIMWI ilitembelea Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na kukagua miradi iliyojengwa kupitia fedha za UVIKO.

Katika ziara hiyo niliipongeza juhudi za Serikali za kuboresha miundombinu ya hospitali hizi mbili.
Aidha, nilipongeza mikakati iliyopo ya kuipandisha hadhi hospitali ya Mirembe kuwa taasisi.

Nilisisitiza mambo yafuatayo:

1. Serikali iboreshe upatikanaji wa dawa za afya ya akili. Kwa sasa upatikanaji ni 30%.

2. Serikali iwe na mikakati ya mafunzo kwa kada za afya ya akili kuanzia ngazi za jamii hadi ngazi ya rufaa.

3. Serikali iboreshe huduma za afya ya akili katika ngazi zote za utoaji wa huduma za afya.

4. Serikali ianzishe call centre kwa ajili huduma za dharura za ushauri na usaidizi wa haraka kwa wahanga wa afya ya akili.

tanzania

22/06/2023

One step at a time.

Picture:

21/06/2023

A little under the weather, but that doesn't stop the upbeat mood.

Picture:

19/06/2023

Elimu haina mwisho na mwalimu siku zote atakuwa mwalimu. Kujifunza hakuna mwisho. Tunaendelea kusoma na kujifunza.

Na Mhe Prof Pamalagamba Kabudi Mb, Mhe Abdullah Mwinyi Mb na Mhe Ahmed Ngwali Mb.

18/06/2023

TAARIFA

Nitaomba mrejesho k**a umeme haujarejea kwenye maeneo yenu katika muda huo.

15/06/2023

Leo ni siku ya Bajeti Kuu ya Serikali itakayosomwa saa 10 jioni kwa nchi zote za Afrika Mashariki.

14/06/2023

Maji ni uhai.
Jana nimeshiriki uzinduzi wa mpango mkakati wa huduma za maji wa taasisi ya .
Nawatakia kila la kheri katika utekelezaji.

Photos from Faustine Ndugulile's post 13/06/2023
07/06/2023

Leo Bungeni 07.06.2023

“Wale wenye bahati ya kupata elimu, wanao wajibu wa kulipa jasho ambalo wengine wamejitolea. Ni sawa na mtu aliyepewa chakula chote katika kijiji chenye njaa, ili apate nguvu za kwenda kuhemea katika sehemu zilizo mbali. Mtu huyu akipokea chakula hicho na halafu asiwaletee ndugu zake, basi yeye ni msaliti”.

Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Kwetu Kigamboni, tunatofautiana kwenye mambo ya kutofautiana na tunakubaliana katika mambo ya kukubaliana.Kwetu tofauti ...
Billioni 10.5 kutumika kuboresha huduma ya maji Kigamboni.#Kigambonimpya #Kigamboni #Kibada #Ndugulile
MILIONI 50 ZINATUMIKA UJENZI WA SOKO LA MAZAO SOMANGILA - MHE. NDUGULILE"Tulidhamiria kuwa na soko la mazao Kigamboni. H...
WANANCHI WA KISARAWE II KUNUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA - PEMBAMNAZI - MHE. NDUGULILE"Katika bajeti...
Kwa unyenyevu mkubwa naomba kura kwa Magufuli, Madiwani wa Kata na mimi mwenyewe.#JPM5tena #Ndugulile5tena #KazizaidiMae...

Category

Address

Dar Es Salaam
Other Politicians in Dar es Salaam (show all)
Elimika Elimika
Dar Es Salaam

Demokrasia ya Kweli Demokrasia ya Kweli
Magole
Dar Es Salaam, KKKKKK

Ukweli na Uwazi

Ulinzi na usalama Ulinzi na usalama
Dar Es Salaam

Mshauri Serikali Mshauri Serikali
Lumumba
Dar Es Salaam, 11108

Sio Akaunti Rasmi ya Serikali ya Tanzania. TikTok | Insta & YouTube @MshauriSerikali

UVCCM TAWI La Airport UVCCM TAWI La Airport
JNA Airport
Dar Es Salaam

Vijana ni walinzi wa chama, jukumu letu kutetea maslai ya chama chetu, kidumu chama cha mapinduzi

Samia Suluhu Hassan page Samia Suluhu Hassan page
State House
Dar Es Salaam

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician and the designated President Of

Dedan Chacha Wangwe Dedan Chacha Wangwe
Segerea, Ilala
Dar Es Salaam, 011

A Jurist + Political & Human rights Activist + Founder: @MTCAssociation + CHASO-DSM City Co-ordinator

Omary Adamu Omary Adamu
Boko
Dar Es Salaam

Ommy mbishi!

Goodluck Kapyela Goodluck Kapyela
Dar Es Salaam, 0255

This page describes workshops, trainings undertaken by Goodluck Kapyela in achieving millenium national global objective. It also orients from political to Technological milestones...

DEe Pompy DEe Pompy
Dar Es Salaam

Alanus Bitesigirwe Alanus Bitesigirwe
Dar Es Salaam

#Tanzania for#ever