Biolife, Dar es Salaam Videos

Videos by Biolife in Dar es Salaam. Dealing with HERBS and NUTRITIONAL SUPPLEMENTS

GINKGO BILOBA ni mimea iliyo tumika miaka Mingi kwa ajili ya Afya ya macho.
💚Inasaidia kuimarisha mzunguko au mtiririko wa damu kwenye mishipa ya macho.
💚Hii inasaidia macho kupata Virutubisho mbalimbali kama vitamins na madini kutoka kwenye vyakula.
💙Pia Ina tibu pressure ya macho glaucoma.
💓Ina tibu mtoto wa jicho cataract.
🎄Na rejesha Hali ya uono bila kutumia miwani.
Dar es salaam Goba njia nne 0673402024
Mwanza Buhongwa 0682034530
Arusha Kaloleni 0766607688
#macho #mwanza #Arusha

Click to enable sound Next

Other Biolife videos

GINKGO BILOBA ni mimea iliyo tumika miaka Mingi kwa ajili ya Afya ya macho. 💚Inasaidia kuimarisha mzunguko au mtiririko wa damu kwenye mishipa ya macho. 💚Hii inasaidia macho kupata Virutubisho mbalimbali kama vitamins na madini kutoka kwenye vyakula. 💙Pia Ina tibu pressure ya macho glaucoma. 💓Ina tibu mtoto wa jicho cataract. 🎄Na rejesha Hali ya uono bila kutumia miwani. Dar es salaam Goba njia nne 0673402024 Mwanza Buhongwa 0682034530 Arusha Kaloleni 0766607688 #macho #mwanza #Arusha

Ubuyu ni unga wa rangi nyeupe au maziwa utokana na matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu. Rangi nyeupe ndio rangi ya asili ya ubuyu, hizi rangi nyingine unazo ziona si rangi asili za ubuyu, ni rangi za viwandani, rangi za vyakula ( food additive). Ubuyu husio ongezwa rangi Wala Sukari ni mzuri zaidi. Ubuyu utokana na mti wa mbuyu, ambao ni mti wa asili ya kiafrika, lakini pia ni mti unaoaminika kuishi miaka Mingi zaidi, miaka zaidi ya elfu Moja. Pia mbuyu ndio mti unao aminika kuwa mkubwa zaidi katika Afrika, ukitusaidia kuishi katika kujipatia chakula, makazi kwa baadhi ya wanyama kama nyani, pia utunza maji kwa ajili ya matumizi ya wanyama pori pamoja na binadamu. Watu wa jamii ya wa adzabe ukiachana na uwindaji utumia chakula chenye unga wa ubuyu na asali kwa miaka Mingi. Faida za ubuyu. Moja. Unga wa ubuyu una vitamini C. Mbili. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalshiamu (Calcium). Tatu. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini. Nne. Ina virutubisho vya kulinda mwili. Tano. Ubuyu una vitamini B3 na vitamini B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, Sita. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C. Saba. Huongeza nuru ya macho. Nane. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika. Tisa. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno. Kumi. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo. Faida za Nyongeza: Moja: Ina probiotics na prebiotics ambao ni bacteria rafiki kwa ajili ya kulinda mwili hususani tumbo. Mbili: Asilimia hamisini ya ubuyu Huwa ni nyuzi nyuzi ( water soluble fibres) ambazo usaidia sana KATIKA mmeng'enyo wa chakula..

Herbal Gray Hair. Ni spray kwa ajili ya nywele, yenye uwezo wa: 💚Kukuza nywele Zinazo katika, 💚Ina anti aging effect, kwa ajili ya kuzuia mvi. 💚Ina imarisha Afya ya nywele. Ina mchanganyiko wa mimea ya:. 📌Ganodema, 📌Ginseng, 📌Tangawizi na 📌polygonum mul tiflorum. ❤️ Inapatikana kwa elfu ishirini na Tano. Wasiliana nasi kwa ajili ya delivery. 0673402024

ROYAL JELLY ( MAZIWA YA NYUKI). Nyuki huwa na mazao mengi kama Asali, propolis, ntaa, sumu ya Nyuki na maziwa ya Nyuki ( royal jelly). Royal jelly ni chakula special kwa ajili ya watoto wa Nyuki ambacho utumia kwa siku tatu tuu ( kwa Nyuki wa kawaida) na malkia utumia royal jelly kwa maisha yake yote. Royal ni chakula special kwa malkia wa Nyuki kwa ajili ya kumuwezesha katika shughuli zake za uzazi. Cha na pia ndio chakula kinacho msaidia kuishi maisha marefu zaidi kuliko Nyuki wengine. Malkia wa Nyuki anaweza kuishi kwa wastani wa mwaka 1 Hadi miwili, wakati Nyuki wa kawaida uishi chini ya mwaka mmoja. Pia binadamu tunapo tumia Royal jelly upata faida kama hizo: Miungoni mwa faidia ni: 🟠Kupunguza kasi ya kuzeeka. 🟠 Antioxidants kwa ajili ya kutibu na kuzuia magonjwa mbalimbali hasa mivimbe na saratani. 🟠Inaongeza Kinga ya mwili. 🟠Inaongeza uzazi kwa kurutubisha mayai kwa mwanamke na kuboresha mbegu kwa mwanaume. 🟠Ina Kinga na kutibu tezi Dume. Dozi ni kopo moja yenye vidonge 60 ( softgel capsules). Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050. #royaljelly #nyuki #asali

*Herbal Gray Hair.* Ni spray kwa ajili ya nywele, yenye uwezo wa: 💚Kukuza nywele Zinazo katika, 💚Ina anti aging effect, kwa ajili ya kuzuia mvi. 💚Ina imarisha Afya ya nywele. Ina mchanganyiko wa mimea ya:. 📌Ganodema, 📌Ginseng, 📌Tangawizi na 📌polygonum mul tiflorum. ❤️ Inapatikana kwa elfu ishirini na Tano. Wasiliana nasi kwa ajili ya delivery. 0673402024

MKOMBOZI Dawa nzuri kwa wagonjwa wa pressure Inatibu 🧽Kuondoa mafuta kwenye mishipa ya moyo. 🧽shinikizo la damu ( BP), pressure ya kupanda na kushuka. 🧽Kuondoa uchomvu, inaongeza stamina na kuupa mwili nguvu. 🧽 Maumivu ya kichwa pamoja na kipanda uso. 🧽Huondoa uvimbe kwenye mishipa ya damu 🧽Kutoa sumu mwilini. Matumizi: 🔖Vijiko vinne ( 4) asubuhi, na vijiko vinne ( 4) jioni. INAPATIKANA: 🏢Dar es salaam 0673402024 🏢Dar es salaam Goba njia nne, 0688820050 🏢Arusha Kaloleni Mnara wa mwenge karibu na CCM mkoa. #cholesterol #pressure #Arusha #arushatanzania

MAGNETIC BRACELETS Ina health elements 4 ✒️Magnet ✒️Far infrared ✒️Germanium ✒️ Negative ions Ambazo Zina saidia mambo mengi kama: 📌Kuondoa mivimbe 📌Kuboresha mzunguko wa damu 📌Kupunguza sumu na acid mwili Kwa ku neutralize positive ions. 📌Kuponesha majeraha Kwa haraka. UKIACHANA NA FAIDA HIZO PIA NI UREMBO AU UTANASHANI. 0673402024 ZIPO ZA RANGI MBALIMBALI 💥GOLD ELFU 50 💥SILVER ELFU 50 💥COPPER ELFU 60 💥BLACK ELFU 60 Wasiliana nasi kwa 0673402024 #magnetictherapy #tibazasumaku Credit: @manasechihoma

TIBU CHANZO CHA KISUKARI KWA DAWA ZA ASILI🥗🍇🫐 Chanzo kikubwa Cha kisukari ni kongosho ( Pancrease) kushindwa kurekebisha kiwango Cha sukari kwenye mwili. Kuna baadhi ya mitishamba au mimea imeaminika kutibu chanzo Cha sukari kwa asilimia kubwa, mmea namba moja wenye ubora unajulikana kwa jina la ki Latin Kama _Vernonia Amgidallina_ au Bitter leaves, huu mmea umekuwa ukitoa ufanisikubwa katika kutibu sukari na kutibu madhara yatokanayo na sukari. 🔰Ina rekebisha beta cells za kongosho ili kongosho liweze fanya kazi yake vizuri ya kurekebisha kiwango Cha sukari. 🔰Inarekebisha kiwango cha sukari kwenye damu moja kwa moja. 🔰Inaondoa usugu wa insulin 🔰Ina ondoa madhara yatokanayo na sukari Kama kiu kikali, uchofu, kukojoa Mara kwa Mara. Tuna dawa hii kwa mfumo wa vidonge ijulikanayo kwa jina la *Vernonia Capsules* , dozi ni vidonge 30 inapatikana kwa elfu 30. Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050 Dar es salaam Goba, 0766607688 Arusha Kaloleni #kisikari#diabetes

LIVER DETOX Dawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini. Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na chenye kazi zaidi ya mia Moja mwilini. Ila kazi kubwa ya Ini ni kuchuja na kupunguza sumu mwilini kabla hata ya kuenea sehemu zingine kama kwenye Figo. 🌞Liver detox pia Inatibu magonjwa ya Ini kama homa za Ini ( hepatitis). 🌞Ina rekebisha utendaji kazi wa nyongo na kutoa mawe ( gall stones). 🌞Ina rekebisha seli za kongosho na kurekebisha kiwango Cha sukari. 🌞Ina tibu malaria sugu. Viungo vya mimea vilivyomo: Milk thistle, Dandelion root extract. Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050 #liverdetox #detox #sumumwilini

NEGATIVE IONS JE UMESHA SIKIA KUHUSIANA NA NEGATIVE IONS? Umuhimu wa negative ions katika mwili. Hili ni neno la Kikemia lakini likiwa na maana kubwa sana kwenye maisha ya Sasa ni muhimu kufahamu. Kwanza kabisa ni muhimu kuelewa kuhusiana na pH. pH ni kipimo Cha acid na base ( alikali ) kwenye mwili. Kina namba 1 Hadi 14. 💎Namba 7 ni neutral 💎chini ya namba 7 ni Acid 💎Juu ya namba 7 Hadi 14 ni basic ( alkaline). pH ikiwa kubwa mfano 8.5 inafaida kiafya mfano unaweza pata vyakula vyenye pH kubwa ( alikaline) kama matunda na mboga za majani. Vyakula vyenye negative ions kwa wingi maanake vina kuwa na pH kubwa zaidi ya 7. Vyakula vyenye pH ndogo ( vyakula vya acid ) vinakuwa na positive ions kwa wingi. Kwa kifupi zifuatazo ni faida za Negative ions mwilini. 🟠Ina imarisha usafirishaji wa taarifa kwenye mishipa ya fahamu na kuondoa matatizo kama ganzi na matatizo mengine ya mishipa ya fahamu. 🟠Ina imarisha tissue ( Collagen tissues) zinazo saidia Hali ya kutanuka na kusinyaa kwa cell na kupunguza Kasi na makali ya uzee. 🟠Inaimarisha usafirishaji wa malighafi mbalimbali ndani na njee ya seli na kuboresha Metabolism. 🟠Ina imarisha sana kinga ya mwili. Negative ions Zina ondoa sumu na kukupa faida za ⚛️ Kuimarisha kinga ya mwili na kuboresha afya ya matezi. ⚛️Inasaidia pia usafirishaji wa Oxygen mwilini. ⚛️Negative ions Zina saidia Oxidation ya hormone inayo itwa Serotonin ambayo inahusika na kuboresha mood , kuondoa maumivu na Kuongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi. Kwa Science ya Sasa ukiachana na Cha vyakula na dawa Negative ions unaweza pata kwenye Jewelry, miwani na nguo. Tuna bracelets zenye negative ions waweza wasiliana nasi kwa namba 0688820050 #negativeions

WEIGHT GAIN GUMMIES Hivi ni virutubisho vilivyo Kwa mfumo wa pipi/ Jojo. Kwa ajili ya: 🧩Kuongeza mwili 🧩Kuongeza uzito 🧩Kuongeza misuli hasa Kwa body builders 🧩kukupa nguvu. 🧩Kuongeza hamu ya kula 🟥 60 gummies zinapatikana Kwa elfu 35 Wasiliana nasi Kwa 0673402024 #weightgain #Arusha

𝐉𝐎𝐈𝐍𝐓 𝐑𝐄𝐍𝐄𝐖𝐀𝐋 𝐂𝐀𝐏𝐒𝐔𝐋𝐄𝐒 🐚🐣🍇 Ni mchanganyiko wa virutubisho vyenye ubora Kwa ajili ya: 1. 𝙈𝙞𝙛𝙪𝙥𝙖 2. 𝙑𝙞𝙪𝙣𝙜𝙤 3. 𝙐𝙩𝙚 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙫𝙞𝙪𝙣𝙜𝙤 4. 𝙈𝙜𝙤𝙣𝙜𝙤 Inapunguza 🍇𝙢𝙖𝙪𝙢𝙞𝙫𝙪, 🍇𝙜𝙖𝙣𝙯𝙞 𝙣𝙖 🍇𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙤𝙩𝙤 𝙆𝙬𝙖 𝙝𝙖𝙧𝙖𝙠𝙖 Pia ina weza tumika na wamama wajawazito na wanaonyonyesha Kwa kuwa ina kiwango kikubwa cha madini ya #Calcium. 🏕️Tupo Dar es salaam Goba njia nne , na Arusha na mikoani huwa tunawatumia kwenye mabasi. Inapatikana Kwa bei ya elfu 45 tuu. Jinsi ya kutumia: Tumia vidonge viwili kwa siku Mara baada ya kula. Wasiliana nasi Kwa +255673402024 na +255688820050 Dar es salaam na +255766607688 Arusha #maumivuyaviungo #arthritis #arusha #arushatanzania