Biolife

Dealing with HERBS and NUTRITIONAL SUPPLEMENTS

18/02/2024

LIVER DETOX

Dawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini.

Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na chenye kazi zaidi ya mia Moja mwilini.
Ila kazi kubwa ya Ini ni kuchuja na kupunguza sumu mwilini kabla hata ya kuenea sehemu zingine k**a kwenye Figo.

🌞Liver detox pia Inatibu magonjwa ya Ini k**a homa za Ini ( hepatitis).

🌞Ina rekebisha utendaji kazi wa nyongo na kutoa mawe ( gall stones).

🌞Ina rekebisha seli za kongosho na kurekebisha kiwango Cha sukari.

🌞Ina tibu malaria sugu.

Viungo vya mimea vilivyomo: Milk thistle, Dandelion root extract.

Wasiliana nasi kwa namba
💚Dar es salaam Goba njia nne 0673402024 na 0688820050
💚Arusha Kaloleni mnara wa mwenge, 0766607688
💚Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530

14/02/2024

𝐈𝐍𝐅𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍𝐒 𝐒𝐇𝐈𝐄𝐋𝐃
(🤗 𝘿𝙖𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙞𝙩𝙞𝙨𝙝𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙖𝙟𝙞𝙡𝙞 𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞🍒).

ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕕𝕚𝕠 𝕜𝕚𝕓𝕠𝕜𝕠 𝕪𝕒 :
🌱🪵 sugu
🌱🪵 safisha kizazi pamoja na mirija
🌱🪵 ( uvimbe)
🌱🪵 Cysts ( Uvimbe kwenye mayai).
🌱🪵 sugu
🌱🪵 sugu
🌱🪵 zingine

Bei TZS 30,000/=

Matumizi: Kijiko kimoja kidogo cha chai kwenye maji ujazo wa kikombe au glass mara Moja tuu kwà siku jioni.

Tupo:
Arusha Kaloleni mnara wa mwenge 0766607688
Dar es salaam Goba njia nne 0673402024
Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530.

02/02/2024

Slim plus.
Ni maalum kwa ajili ya kupunguza mwili kwa ujumla.
💚Inachoma mafuta.
💚Inapunguza sana hamu ya kula.
💚Ina boost metabolism

Ingredients:
Garcinia
White kidney extract.
l- carnitine
Green tea
Raspberry ketone
Capsimax pepper
Lotus leaf
Cassia seed
Winter melon

Zinapatikana:
Arusha Kaloleni mnara wa mwenge 0766607688
Dar Goba njia nne 0673402024
Mwanza Buhongwa 0682034540

-

26/01/2024

GINKGO BILOBA ni mimea iliyo tumika miaka Mingi kwa ajili ya Afya ya macho.
💚Inasaidia kuimarisha mzunguko au mtiririko wa damu kwenye mishipa ya macho.
💚Hii inasaidia macho kupata Virutubisho mbalimbali k**a vitamins na madini kutoka kwenye vyakula.
💙Pia Ina tibu pressure ya macho glaucoma.
💓Ina tibu mtoto wa jicho cataract.
🎄Na rejesha Hali ya uono bila kutumia miwani.
Dar es salaam Goba njia nne 0673402024
Mwanza Buhongwa 0682034530
Arusha Kaloleni 0766607688

24/01/2024

Ubuyu ni unga wa rangi nyeupe au maziwa utokana na matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu.
Rangi nyeupe ndio rangi ya asili ya ubuyu, hizi rangi nyingine unazo ziona si rangi asili za ubuyu, ni rangi za viwandani, rangi za vyakula ( food additive).
Ubuyu husio ongezwa rangi Wala Sukari ni mzuri zaidi.

Ubuyu utokana na mti wa mbuyu, ambao ni mti wa asili ya kiafrika, lakini pia ni mti unaoaminika kuishi miaka Mingi zaidi, miaka zaidi ya elfu Moja.
Pia mbuyu ndio mti unao aminika kuwa mkubwa zaidi katika Afrika, ukitusaidia kuishi katika kujipatia chakula, makazi kwa baadhi ya wanyama k**a nyani, pia utunza maji kwa ajili ya matumizi ya wanyama pori pamoja na binadamu.

Watu wa jamii ya wa adzabe ukiachana na uwindaji utumia chakula chenye unga wa ubuyu na asali kwa miaka Mingi.

Faida za ubuyu.

Moja. Unga wa ubuyu una vitamini C.

Mbili. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalshiamu (Calcium).

Tatu. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini.

Nne. Ina virutubisho vya kulinda mwili.

Tano. Ubuyu una vitamini B3 na vitamini B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma,

Sita. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C.

Saba. Huongeza nuru ya macho.

Nane. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika.

Tisa. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno.

Kumi. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo.

Faida za Nyongeza:
Moja: Ina probiotics na prebiotics ambao ni bacteria rafiki kwa ajili ya kulinda mwili hususani tumbo.

Mbili: Asilimia hamisini ya ubuyu Huwa ni nyuzi nyuzi ( water soluble fibres) ambazo usaidia sana KATIKA mmeng'enyo wa chakula..

15/01/2024

Yoni pearls ni dawa iliyotengenezwa kutibu matatizo mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa mwanamke

Inasaidia kutibu
👉Uvimbe fabroid/ovarian cyst chini ya cm 5
👉Pid sugu
👉Fangasi
👉Bacteria vaginosis
👉Kuzibua mirija
👉Kuondoa ukavu ukeni
👉Kukupa hamu ya tendo
👉Ku balance hormone
👉Kusaidia ku conceive
👉Kuondoa harufu mbaya ukeni
👉Ku balance ph ya uke

Unatakiwa kutumia dose kulingana na tatizo lako

Tumepost feedback nyingi sana za watu waliotumia yoni pearls na zikawasaidia pitia page yetu kwa chini uweze kujionea

Location:
Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530
Arusha Kaloleni mnara wa mwenge 0766607688
Dar es salaam Goba njia nne, 0673402024

15/01/2024

MAFUTA YA SAMAKI ( OMEGA - 3).
Mafuta ya samaki ni product nzuri sana inafaa kwa watoto watu wazima pamoja na wazee

Mafuta ya samaki yanasaidia vitu vifuatavyo kwenye mwili
✨Husaidia kuondoa pressure ya kupanda na kushuka
✨Huondoa cholesterol kwenye mishipa ya damu
✨Husaidia kukukinga na magonjwa ya moyo
✨Husaidia kuongeza kinga ya mwili na kulisha cell kwa kiwango cha juu
✨Husaidia ukuaji wa ubongo na kutunza kumbukumbu
✨Kwa wamama wajawazito husaidia mtoto kuzaliwa akiwa na afya njema
✨Kuongeza uwezo wa kuona
✨Kupunguza kasi ya uzee
✨Huimarisha afya ya ngozi
✨Husaidia kuimarisha viungo yaan mifupa
✨Husaidia kuondoa allergy kwa watoto
✨Husaidia kuondoa constipation
✨Husaidia kurudisha ute ute kwenye maungio

Kopo moja lina supplement 100

Jinsi ya kutumia
✅Unatakiwa kutumia supplement mbili kwa siku moja asubuhi na nyingine jioni

Bei:35000

Location:
💚Dar es salaam Goba njia nne 0673402024
💚 Arusha Kaloleni mnara wa mwenge 0766607688
💚Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530

13/01/2024

SLIM PLUS ORIGINAL
BALAA SANA KATIKA KUPUNGUZA UZITO:
🍓 INAPUNGUZA HAMU YA KULA
🍓INACHOMA MAFUTA.
0673402024

MANENO MACHACHE, VITENDO ZAIDI.

12/01/2024

DEMENTIA.
Ni Hali inayotokana na magonjwa ya mishipa ya fahamu, ambayo ua na dalili zifuatazo:
❇️Kupungua uwezo wa kukumbuka matukio au kukumbuka vitu hasa kwa matukio yaliyo tokea hivi karibuni.
❇️Kupungua uwezo wa kufikiri au mtu anachukua muda mrefu kufikiri na kutoa maamuzi kwa mambo ambayo ni madogo madogo na ya msingi kwa maisha ya Kila siku.

❇️Hali ya kuchanganyikiwa na kuchanganya mambo.
❇️Kubadilika kwa tabia na mtu anaacha kufanya Kazi zake za Kila siku alizo zoeleka kufanya.

Dementia mara nyingi uwapata wazee.

Baadhi ya dawa na Virutubisho vitumika kwa miaka Mingi kutibu na Kurekebisha matatizo ya ubongo na mishipa ya fahamu hasa Dementia.

Baadhi ya dawa ni GINKGO BILOBA, SPIRULINA na OMEGA3.

Hizi zinamchango mkubwa katika Afya ya Ubongo.

11/01/2024

ARMSLIM PATCHES
Ni maalum kwa ajili ya kupunguza mikono.
Ina patches 12.

📌 Zinapatikana kwa elfu 25 .

💥Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530
💥Arusha kaloleni mnara wa mwenge 0766607688.
💥Dar es salaam Goba njia nne, 0673402024

Photos from Biolife's post 11/01/2024

MAGNETIC BRACELETS
Ina health elements 4
✒️Magnet
✒️Far infrared
✒️Germanium
✒️ Negative ions

Ambazo Zina saidia mambo mengi k**a:
📌Kuondoa mivimbe
📌Kuboresha mzunguko wa damu
📌Kupunguza sumu na acid mwili Kwa ku neutralize positive ions.
📌Kuponesha majeraha Kwa haraka.

UKIACHANA NA FAIDA HIZO PIA NI UREMBO AU UTANASHANI.
0673402024

ZIPO ZA RANGI MBALIMBALI
💥GOLD ELFU 50
💥SILVER ELFU 50
💥COPPER ELFU 60
💥BLACK ELFU 60

Wasiliana nasi kwa 0673402024

09/01/2024

Herbal Gray Hair.

Ni spray kwa ajili ya nywele,
yenye uwezo wa:

💚Kukuza nywele Zinazo katika,

💚Ina anti aging effect, kwa ajili ya kuzuia mvi.

💚Ina imarisha Afya ya nywele.

Ina mchanganyiko wa mimea
ya:.
📌Ganodema,
📌Ginseng,
📌Tangawizi na
📌polygonum mul tiflorum.

❤️ Inapatikana kwa elfu ishirini na Tano.
Wasiliana nasi kwa ajili ya delivery.

0673402024

08/01/2024

ADVANCED SCAR GEL

Hii ni maalumu kwa ajili ya kutoa makovu ya aina zote K**a:-

💥Makovu ya moto
💥Makovu ya baada ya operation.
💥Makovu ya majeraha
💥Makovu ya vidonda
💥Keratoid
💥Makovu ya chunusi
Etc.
Bei: 🎯Elfu 25 tuu.

Inapatikana:
Dar es salaam Goba njia nne 0688820050 na 0673402024
Arusha, Kaloleni Mnara wa mwenge 0766607688

06/01/2024

SLIMMING CAPSULES
Ni daraja katika kupunguza uzito, mwili na tumbo
🔰K**a umefanya Diet mara kwà mara bila mafanio, au ulipungua sasa umefikia kilele ila wataka kupungua zaidi.
🔰Huwezi fanya mazoezi kulingana na changamoto za kiafya.

Waweza punguza uzito kwà kutumia SLIMMING CAPSULES ambazo zina saidia:
🧃Kupunguza sana hamu ya kula
🧃 Kuyeyusha mafuta hasa mafuta ya tumboni.
🧃kuongeza visafirishi vya mafuta, fat carrier co enzymes.
🧃Kuchoma mafuta

Inapatikana kwà elfu 65,
🧺Dar es salaam Goba njia nne ,
🧺Arusha kaloleni mnara wa mwenge 0766607688, mikoani tunatuma.

Wasiliana nasi kwà namba 0688820050

06/01/2024

Soy Isoflavones
Hivi ni virutubisho maalum Kwa wanawake
💚Kushika mimba Kwa haraka
💚Ute wa uzazi na k**a una tatizo la ukavu.
💚Kubalance hormones
💚Kuongeza hamu na hisia ya tendo.

Inapatikana Kwa elfu 35 tuu

05/01/2024

WEIGHT GAIN GUMMIES
Hivi ni virutubisho vilivyo Kwa mfumo wa p**i/ Jojo.
Kwa ajili ya:
🧩Kuongeza mwili
🧩Kuongeza uzito
🧩Kuongeza misuli hasa Kwa body builders
🧩kukupa nguvu.
🧩Kuongeza hamu ya kula 🟥
60 gummies zinapatikana Kwa elfu 50.
Wasiliana nasi Kwa 0673402024

04/01/2024

MWANZA
TUPO
BUHONGWA OPPOSITE NA GETI LA SHULE YA SEKONDARI BUHONGWA.

MIDA YA KAZI: JTATU HADI IJUMAA, SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 11 JIONI.
MAWASILINO: 0750676353

30/12/2023

OFISI YETU YA MWANZA IPO
MWANZA BUHONGWA OPP NA GETI YA BUHONGWA SECONDARY
TUTAANZA HUDUMA KUANZIA TAREHE 2 JANUARY 2024
0673402024

29/12/2023

ROYAL JELLY ( MAZIWA YA NYUKI).
Nyuki huwa na mazao mengi k**a Asali, propolis, ntaa, sumu ya Nyuki na maziwa ya Nyuki ( royal jelly).

Royal jelly ni chakula special kwa ajili ya watoto wa Nyuki ambacho utumia kwa siku tatu tuu ( kwa Nyuki wa kawaida) na malkia utumia royal jelly kwa maisha yake yote.
Royal ni chakula special kwa malkia wa Nyuki kwa ajili ya kumuwezesha katika shughuli zake za uzazi.
Cha na pia ndio chakula kinacho msaidia kuishi maisha marefu zaidi kuliko Nyuki wengine.

Malkia wa Nyuki anaweza kuishi kwa wastani wa mwaka 1 Hadi miwili, wakati Nyuki wa kawaida uishi chini ya mwaka mmoja.
Pia binadamu tunapo tumia Royal jelly upata faida k**a hizo:

Miungoni mwa faidia ni:
🟠Kupunguza kasi ya kuzeeka.
🟠 Antioxidants kwa ajili ya kutibu na kuzuia magonjwa mbalimbali hasa mivimbe na saratani.
🟠Inaongeza Kinga ya mwili.
🟠Inaongeza uzazi kwa kurutubisha mayai kwa mwanamke na kuboresha mbegu kwa mwanaume.
🟠Ina Kinga na kutibu tezi Dume.

Dozi ni kopo moja yenye vidonge 60 ( softgel capsules).

Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050.

25/12/2023

MKOMBOZI
Dawa nzuri kwa wagonjwa wa pressure
Inatibu
🧽Kuondoa mafuta kwenye mishipa ya moyo.
🧽shinikizo la damu ( BP), pressure ya kupanda na kushuka.
🧽Kuondoa uchomvu, inaongeza stamina na kuupa mwili nguvu.
🧽 Maumivu ya kichwa pamoja na kipanda uso.
🧽Huondoa uvimbe kwenye mishipa ya damu
🧽Kutoa sumu mwilini.

Matumizi:
🔖Vijiko vinne ( 4) asubuhi, na vijiko vinne ( 4) jioni.

INAPATIKANA:
🏢Dar es salaam 0673402024
🏢Dar es salaam Goba njia nne, 0688820050
🏢Arusha Kaloleni Mnara wa mwenge karibu na CCM mkoa.

25/12/2023

Merry Christmas 🎁🎄

24/12/2023

Ofisi yetu ya Mwanza itaanza itaanza Kazi Tarehe 2 January 2024

23/12/2023

Herbal Gray Hair.

Ni spray kwa ajili ya nywele,
yenye uwezo wa:

💚Kukuza nywele Zinazo katika,

💚Ina anti aging effect, kwa ajili ya kuzuia mvi.

💚Ina imarisha Afya ya nywele.

Ina mchanganyiko wa mimea
ya:.
📌Ganodema,
📌Ginseng,
📌Tangawizi na
📌polygonum mul tiflorum.

❤️ Inapatikana kwa elfu ishirini na Tano.
Wasiliana nasi kwa ajili ya delivery.

0673402024

20/12/2023

ROYAL JELLY
( MAZIWA YA NYUKI).
Nyuki huwa na mazao mengi k**a Asali, propolis, ntaa, sumu ya Nyuki na maziwa ya Nyuki ( royal jelly).

Royal jelly ni chakula special kwa ajili ya watoto wa Nyuki ambacho utumia kwa siku tatu tuu ( kwa Nyuki wa kawaida) na malkia utumia royal jelly kwa maisha yake yote.
Royal ni chakula special kwa malkia wa Nyuki kwa ajili ya kumuwezesha katika shughuli zake za uzazi.
Cha na pia ndio chakula kinacho msaidia kuishi maisha marefu zaidi kuliko Nyuki wengine.

Malkia wa Nyuki anaweza kuishi kwa wastani wa mwaka 1 Hadi miwili, wakati Nyuki wa kawaida uishi chini ya mwaka mmoja.
Pia binadamu tunapo tumia Royal jelly upata faida k**a hizo:

Miungoni mwa faidia ni:
🟠Kupunguza kasi ya kuzeeka.
🟠 Antioxidants kwa ajili ya kutibu na kuzuia magonjwa mbalimbali hasa mivimbe na saratani.
🟠Inaongeza Kinga ya mwili.
🟠Inaongeza uzazi kwa kurutubisha mayai kwa mwanamke na kuboresha mbegu kwa mwanaume.
🟠Ina Kinga na kutibu tezi Dume.

Dozi ni kopo moja yenye vidonge 60 ( softgel capsules).

Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050.

20/12/2023

BREAST
Enhancement
CREAM

🟣Ina Simamisha na kukaza cells na ngozi ya matiti yalivyo lala.
🟣Inaongeza kutanuka na kusinyaa ( elasticity).
🟣Inaongeza msukumo wa damu na kupunguza ukubwa wa matiti.

Ina mchanganyiko wa protein na virutubisho vya mimea ya asili inasaidia kuboresha mwonekano wa matiti.
Whatsapp 0673402024

Photos from Biolife's post 16/12/2023

Herbal Gray Hair.
Ni serum kwa ajili ya nywele yenye uwezo wa:
💚Kukuza nywele Zinazo katika
💚Ina anti aging effect kwa ajili ya kuzuia mvi.
💚Ina imarisha Afya ya nywele.

❤️ Inapatikana kwa elfu ishirini na Tano.
Wasiliana nasi: 0673402024

15/12/2023

MKOMBOZI
Dawa nzuri kwa wagonjwa wa pressure
Inatibu
🧽Kuondoa mafuta kwenye mishipa ya moyo.
🧽shinikizo la damu ( BP), pressure ya kupanda na kushuka.
🧽Kuondoa uchomvu, inaongeza stamina na kuupa mwili nguvu.
🧽 Maumivu ya kichwa pamoja na kipanda uso.
🧽Huondoa uvimbe kwenye mishipa ya damu
🧽Kutoa sumu mwilini.

Matumizi:
🔖Vijiko vinne ( 4) asubuhi, na vijiko vinne ( 4) jioni.

INAPATIKANA:
🏢Dar es salaam 0673402024
🏢Dar es salaam Goba njia nne, 0688820050
🏢Arusha Kaloleni Mnara wa mwenge karibu na CCM mkoa.

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

GINKGO  BILOBA ni mimea iliyo tumika miaka Mingi kwa ajili  ya Afya ya macho.💚Inasaidia kuimarisha mzunguko au mtiririko...
Ubuyu ni unga wa rangi nyeupe au  maziwa utokana na matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu.Rangi nyeupe ndio...
Herbal Gray Hair.Ni spray kwa ajili ya nywele, yenye uwezo wa: 💚Kukuza nywele Zinazo katika,💚Ina anti aging effect, kwa ...
ROYAL JELLY ( MAZIWA YA NYUKI).Nyuki huwa na mazao mengi k**a Asali, propolis, ntaa, sumu ya Nyuki na maziwa ya Nyuki ( ...
*Herbal Gray Hair.* Ni spray kwa ajili ya nywele, yenye uwezo wa: 💚Kukuza nywele Zinazo katika,💚Ina anti aging effect, k...
MKOMBOZIDawa nzuri kwa wagonjwa wa pressureInatibu 🧽Kuondoa mafuta kwenye mishipa ya moyo.🧽shinikizo la damu ( BP), pres...
BURNUP (BELLY SHAPING PATCH)Hii ni patch/plaster maalum kwa ajili ya kupunguza tumbo na kutengeneza shape maana tumbo li...
MAGNETIC BRACELETSIna health elements 4✒️Magnet✒️Far infrared✒️Germanium ✒️ Negative ionsAmbazo Zina saidia mambo mengi ...
TIBU CHANZO CHA KISUKARI KWA DAWA ZA ASILI🥗🍇🫐Chanzo kikubwa Cha kisukari ni kongosho ( Pancrease) kushindwa kurekebisha ...
LIVER DETOXDawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini.Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na ch...
NEGATIVE IONS JE UMESHA SIKIA KUHUSIANA NA NEGATIVE IONS?Umuhimu wa negative ions katika mwili.Hili ni neno la Kikemia l...
WEIGHT GAIN GUMMIESHivi ni virutubisho vilivyo Kwa mfumo wa p**i/ Jojo.Kwa ajili ya:🧩Kuongeza mwili 🧩Kuongeza uzito 🧩Kuo...

Telephone

Address


GOBA NJIA NNE
Dar Es Salaam
Other Vitamin Supplement Shops in Dar es Salaam (show all)
Afya Fit Pro Afya Fit Pro
Posta Mpya
Dar Es Salaam, 255

� AFYA NA VIRUTUBISHO � MFUMO BORA WA MAISHA NA ULAJI � TIPS ZA AFYA | MAZOEZI | LISHE BORA ?

Jua Afya Yako Na Daniella Jua Afya Yako Na Daniella
2ND FLOOR, MEK ONE Plaza, TAZARA
Dar Es Salaam, 255

UKURASA HUU UNA LENGO LA KUWASAIDIA WATU WAWEZE KUWA NA AFYA NJEMA KWA TUMIA VYAKULA LISHE. KARIBUNI

Twariq Healthier Twariq Healthier
Bagamoyo Road, Nearby Victoria Petrol Station, Building Tan House
Dar Es Salaam, 255

Boresha afya kinga Boresha afya kinga
Dar Es Salaam, 255

msambazaji wa virutubisho asili visivyo na kemikali ni salama kwa matumizi ya afya yako zinasaidia kutatua matatizo K**a vidonda tumbo,tezidume,matatizo ya uzazi, maumivu ya viungo...

Afya Imara Afya Imara
Dar Es Salaam

Anno Mdekwa Anno Mdekwa
Tan House/Victoria Near Makumbusho
Dar Es Salaam

Vitamins & Nutritional Supplements kwa: i. Afya ya Uzazi Wanaume na Wanawake. ii. Afya ya Watoto. iii. Magonjwa ya mfumo wa maisha. iv. Kupunguza na Kuongeza Uzito. v. Afya ya Ngo...

Buyxc - Buy genuine products Buyxc - Buy genuine products
Dar Es Salaam, 11101

TIBA YA TEZI DUME TIBA YA TEZI DUME
Mlimani City
Dar Es Salaam

Tuna wasaidia watu wenye changamoto za Tezi dume na nguvu za kiume

JR Medics JR Medics
Hailesellasie Road
Dar Es Salaam, 1821

Located conveniently on Hailesellasie Road next to Pizza Hut. A range of Multi-vitamins, Anti-biotics, Analgesics, Antidiabetics, Vaccines and much more...

AIM Global Inc., International Distributor AIM Global Inc., International Distributor
Mandazi Road, Msasani. Off Kimweri Avenue
Dar Es Salaam, P.O.BOX8067,DARESSALAAM.

Alliance In Motion Global Continuously innovating our products to give you the best we can