AVIC Consultants

AVIC Consultants provides business development services to clients. We also help clients find customers through online marketing

04/08/2024

JIFUNZE KUANDIKA HESABU ZA BIASHARA

Karibu kwenye mafunzo ya kuandika hesabu za biashara yanayo simamiwa na Tan Business Online School

Baadhi ya wafanyabiashara hawafahamu k**a biashara zao zinapata faida au hasara.

Vile vile hawafahamu k**a mali za biashara zina ongezeka au zina pungua.

Kuhusu mtaji wa biashara, hawafahamu k**a una ongezeka au unapungua

Kufahamu hayo yote inabidi kutengeneza hesabu za biashara

Tan Business Online School ina tangaza mafunzo ya kuandika hesabu za biashara yatakayo fanyika kwa muda wa siku 12

UTARATIBU WA MAFUNZO

Mafunzo yatafanyika kwa kutumia platform ya WhatsApp na yatakuwa yanafanyika siku za Jumatatu-Ijumaa saa 12 jioni.

Wanafunzi watapata notes na maelekezo mengine kupitia WhatsApp. Kutakuwa na maswali ya kujibu kila baada la lecture

JUMLA YA MASOMO

1. Lecture-1: Utangulizi
2. Lecture-2: Umuhimu wa kutumia risiti ya mapato
3. Lecture-3: Kutengeneza hesabu za mauzo ya siku
4. Lecture-4: Kutengeneza hesabu za mauzo ya wiki
5. Lecture-5: Kutengeneza hesabu za mauzo ya mwezi
6. Lecture-6: Kutengeneza hesabu za mauzo kutumia daftari
7. Lecture-7: Kutengeneza hesabu za mauzo kutumia computer
8. Lecture-8: Umuhimu wa stakabadhi ya malipo (payment voucher)
9. Lecture-9: Kutengeneza hesabu za manunuzi ya siku
10. Lecture-10: Kutengeneza hesabu za manunuzi ya wiki
11. Lecture-11: Kupanga makisio ya mauzo ya bidhaa
12. Lecture-12: Kupanga makisio ya gharama za mauzo
13. Lecture-13: Kupanga makisio ya gharama za uendeshaji biashara
14. Lecture-14: Kupanga makisio ya faida ya biashara

SIKU ZA MAFUNZO
Mafunzo yakuwa ya siku 12 kuanzia tarehe 19 August – 31 Aug 2024

WALENGWA WA MAFUZO
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kutengeneza hesabu za biashara zao lakini hawana elimu ya kuandika hesabu za biashara

KUJIANDIKISHA

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 716682439
Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 17 August 2024


www.tanbusiness.co.tz
https://buff.ly/3WlLTIV
https://buff.ly/3QrWHRF

30/07/2024

CHEMSHA BONGO UPATE ZAWADI YA KITABU CHA UJASIRIAMALI

SWALI LA SIKU: 30-Jul-2024

Taja changamoto 3 wanazo kumpana nazo wateja wakati wanataka kukunua bidhaa au huduma za biashara

Ukijibu swali sahihi utapata zawadi ya kitabu cha Ujasiriamali cha Tan Business Online School

Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-2 28/07/2024

KIPINDI CHA BIASHARA ENDELEVU KUTOKA TAN BUSINESS CHANNEL, ONLINE TV

Unapofanya biashara huwezi kuepuka ushindani wa biashara. Hivyo ni muimu kuchukua hatua mbali mbali ili uweze kukabiliana na ushindani wa biashara

MKAKATI WA KUTOFAUTISHA BIASHARA NA ZA WASHINDANI

K**a unataka kushinda washindani wako wa biashara inabidi ujitofautishe na washindani wa biashara k**a ifuatavyo:

o Utoaji wa huduma kwa wateja
o Uzaji bidhaa bora kuliko washindani
o Upangaji bei za bidhaa tofauti na washindani
o Ufanisi wa mfumo wa kuendesha biashara

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Biashara Endelevu cha Tan Business Channel Online TV kupitia LINK

Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-2 Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-2Unapofanya biashara huwezi kuepuka ushindani wa biashara. Hivyo ni muimu kuchukua hatua mbali mbali ili uwe...

Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-1 25/07/2024

KIPINDI CHA BIASHARA ENDELEVU KUTOKA TAN BUSINESS CHANNEL, ONLINE TV

Unapofanya biashara huwezi kuepuka ushindani wa biashara. Hivyo ni muimu kuchukua hatua mbali mbali ili uweze kukabiliana na ushindani wa biashara

MKAKATI WA KUDHIBITI MATUMIZI YA BIASHARA

K**a unataka kushinda washindani wako wa biashara inabidi utumie mkakati wa kudhibiti matumizi ulio gawanyika katika sehemu 4 zifuatazo:

o Gharama za manunuzi ya bidhaa/huduma
o Gharama za kuzalisha bidhaa/kutoa huduma
o Gharama za kuendesha biashara
o Gharama za kununua vifaa

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Biashara Endelevu cha Tan Business Channel Online TV kupitia LINK https://youtube.com/live/jaFjGwabjbs

Unaweza pia kuangalia kipindi kupitia Instagram profile ya Tan Business Channel

Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-1 Mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara-1Unapofanya biashara huwezi kuepuka ushindani wa biashara. Hivyo ni muimu kuchukua hatua mbali mbali ili uwe...

22/07/2024

JIFUNZE JINSI YA KUANZISHA BIASHARA

Karibu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Business Online School
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara kwa kutekeleza taratibu muhimu zinazo kubalika za kuanzisha biashara

UTARATIBU WA MAFUNZO
Mafunzo yatafanyika kwa kutumia platform ya WhatsApp na yatakufawa yanafanyika siku za Jumatatu-Ijumaa saa 12 jioni. Wanafunzi watapata notes na maelekezo mengine kupitia WhatsApp. Kutakuwa na maswali ya kujibu kila baada la lecture

JUMLA YA MASOMO
1. Lecture-1: Utangulizi
2. Lecture-2: Uchaguzi wa biashara
3. Lecture-3: Kutambua fursa za kuanzisha biashara
4. Lecture-4: Uchaguzi wa eneo la kuanzisha biashara
5. Lecture-5: Uchaguzi wa wateja wa biashara
6. Lecture-6: Uchaguzi wa bidhaa/huduma kwa wateja
7. Lecture-7: Uchaguzi wa sehemu ya kununua bidhaa za jumla
8. Lecture-8: Upangaji wa bei za bidhaa/huduma
9. Lecture-9: Uchambuzi wa soko la biashara
10. Lecture-10: Mikakati ya kufanya biashara
11. Lecture-11: Mfumo wa kusimamia biashara
12. Lecture-12: Mtaji wa kuanzisha biashara
13. Lecture-13: Kuanzisha biashara

SIKU ZA MAFUNZO
Mafunzo yakuwa ya siku 14 kuanzia terehe jinsi ya kuanzisha biashara sehemu ya kwanza kuanzia tarehe 29 July – 14 Aug 2024

WALENGWA WA MAFUZO
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara lakini hawana elimu ya uanzishaji wa biashara endelevu
KUJIANDIKISHA
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 716682439
Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 26 July 2024

www.tanbusiness.co.tz
https://youtube.com/
https://ali-mwambola-s-school.teachable.com

21/07/2024

KITABU CHA BIASHARA YA DUKA LA DAWA

Kitabu ulichokuwa unakingojea sasa kitazinduliwa Jumatano terahe 24 July 2024

Hiki kitabu kinaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la dawa

K**a unataka kuanzisha biashara ya duka la dawa ambayo itapata wateja wengi, mauzo mazuri na kupata faida kubwa, hiki kitabu kitakusaidia

Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682439

19/07/2024

CHEMSHA BONGO UPATE ZAWADI YA KITABU CHA UJASIRIAMALI

SWALI LA SIKU:19-Jul-24

Taja chapters 7 zinazo tumika wakati wa kuandika business plan ya biashara

Ukijibu swali sahihi utapata zawadi ya kitabu cha Ujasiriamali cha Tan Business Online School

Jinsi ya kutambua sababu za kuanzisha biashara-Part2 18/07/2024

Unafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?

Kipindi cha biashara mpya kinakueleza sababu zinazo sababisha mjasiriamali kufanya uamuzi wa kuanzisha biashara

Kipindi cha tarehe 16 July 2024 kilieleza sababu 3 zinazo sababisha wajasiriamali kufanya uamuzi wa kuanzisha biashara
o Kutaka kuwa na kipato na kujitegemea
o Kuwa na uhuru na kufanya unachopenda
o Kuwa na kipato cha ziada

Kipindi cha tarehe 16 July 2024 kilieleza sababu 3 zinazo sababisha wajasiriamali kufanya uamuzi wa kuanzisha biashara
o Kushiriki katika ubunifu wa mambo mbali mbali
o Baada ya kuona fursa ya kufanya biashara
o Kufanya kazi kutoka nyumbani

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Biashara Mpya cha Tan Business Channel Online TV, kupitia LINK

Jinsi ya kutambua sababu za kuanzisha biashara-Part2 Jinsi ya kutambua sababu za kuanzisha biasharaUnafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?Wajasiriamali ambao huanzisha biashara huwa na sababu za kuanz...

Sababu za kuanzisha biashara 17/07/2024

KIPINDI CHA BIASHARA MPYA KUTOKA TAN BUSINESS CHANNEL, ONLINE TV

Unafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?

Kipindi cha biashara mpya kinakueleza sababu zinazo sababisha mjasiriamali kufanya uamuzi wa kuanzisha biashara

SABABU 6 ZINAZO HAMASISHA KUANZISHA BIASHARA

Kuna sababu nyingi ambazo zinahamasisha watu kuanzisha biashara.

o Kutaka kuwa na kipato na kujitegemea
o Kuwa na uhuru na kufanya unachopenda
o Kuwa na kipato cha ziada
o Kushiriki katika ubunifu wa mambo mbali mbali
o Baada ya kuona fursa ya kufanya biashara
o Kufanya kazi kutoka nyumbani

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Biashara Mpya cha Tan Business Channel Online TV, kupitia LINK

Sababu za kuanzisha biashara Sababu za kuanzisha biasharaUnafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?Kipindi cha leo cha biashara mpya kitakueleza sababu zinazo sababisha mjasiriama...

Sababu za kuanzisha biashara 16/07/2024

KIPINDI CHA BIASHARA MPYA KUTOKA TAN BUSINESS CHANNEL, ONLINE TV

Unafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?

Kipindi cha biashara mpya kinakueleza sababu zinazo sababisha mjasiriamali kufanya uamuzi wa kuanzisha biashara

SABABU 6 ZINAZO HAMASISHA KUANZISHA BIASHARA

Kuna sababu nyingi ambazo zinahamasisha watu kuanzisha biashara.

o Kutaka kuwa na kipato na kujitegemea
o Kuwa na uhuru na kufanya unachopenda
o Kuwa na kipato cha ziada
o Kushiriki katika ubunifu wa mambo mbali mbali
o Baada ya kuona fursa ya kufanya biashara
o Kufanya kazi kutoka nyumbani

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Dira ya Ujasiriamali cha Tan Business Channel Online TV, kupitia LINK https://youtube.com/live/R3QGSnCuu3s

Unaweza pia kuangalia kipindi kupitia Instagram profile ya Tan Business Channel

Sababu za kuanzisha biashara Sababu za kuanzisha biasharaUnafahamu sababu za uamuzi wa kuanzisha biashara?Kipindi cha leo cha biashara mpya kitakueleza sababu zinazo sababisha mjasiriama...

14/07/2024

UZINDUZI WA KIPINDI CHA DONDOO ZA MAMBO YA FEDHA

Karibu Tan Business Channel Online Television ili upate elimu bora ya Ujasiriamali

Tan Business Channel Online TV itazindua kipindi cha Biashara mpya siku ya Jumatatu saa 3 usiku tarehe 15 July 2024

Kipindi cha Dondoo za Mambo ya fedha ni muhimu sana kwa wale ambao wanafanya biashara lakini hawana elimu kuhusu mambo ya fedha

Ili ufanikiwe kuwa na biashara endelevu ni muhimu kuhakikisha una tekeleza taratibu zinazo kubalika za utunzaji wa mzuri wa fedha na utengenezaji wa hesabu za biashara

Kipindi kitakuwa kinaeleza jinsi ya kuhakikisha biashara yako haikumbani na changamoto mbali mbali za mambo ya fedha

Kipindi cha Dondoo za Mambo ya fedha kitakuwa kinatangazwa siku za Jumatatu-Ijumaa saa 3 usiku

02/03/2024

SIMULIZI YA UJASIRIAMALI KUTOKA TAN BUSINESS CHANNEL, ONLINE TV

Kipindi cha Simulizi ya Ujasiriamali kina tangazwa siku ya Jumamosi saa 3 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Mtangazaji wa kipindi ni Ali Mwambola

Kuangalia kipindi hiki boyenza link ya www.youtube.com/alimwambola

27/03/2023

HOW TO START A MODERN SHOP SELLING CLOTHES AND BEAUTY PRODUCTS

Do you want to start a modern shop selling clothes and beauty products and realise profits?

It is not easy to own a modern shop selling clothes and beauty products that also registers profits

Many shop owners have failed to realise profits because they don't know how to go about realising profits

Actually, there are about 15 important steps that you need to implement, if you want to own a shop that realise profits

To realise profits, you need to increase volume of sales and minimise costs

Cost of sales accounts for about 60% of sales income. Unfortunately many shop owners face lots of challenges to minimise cost of sales and operating costs

Minimizing procurement expenses is another challenge that shop owners have to overcome. In the past, shop owners used travel to countries such as China, France, UK and USA to buy merchandise

Travelling abroad to buy merchandise is expensive and stressful. Think about the hassles of travelling, accommodation, buying merchandise, transporting merchandise back home and other inconveniences

Fortunately, the COVID-19 disease has dramatically changed the manner shop owners purchase merchandise nowadays. Many countries closed their borders; hence, shop owners stopped to travel to overseas to buy merchandise

Tanbusiness Shopify store can advise you how to implement 15 steps to realise profits as well as overcoming the challenges of buying merchandise from overseas

To get more information on how to start a modern shop selling clothes and beauty products, contact us through WhatsApp Number 255 752 447 689

08/01/2023

VIATU VYA MICHEZO KWA AJILI YA WANAUME NA WANAWAKE

Hivi viatu vya michezo vina valiwa na wanawake pamoja na wanaume

Vinaweza kutumika kwa matembezi ya kawaida, kukimbia na hata kufanyia mazoezi kwenye Gym

Ikiwa unamiliki duka la nguo, bidhaa za urembo na bidhaa mchanganyiko hii ndiyo nafasi yako ya kupata bidhaa mbali mbali kupitia kwetu, bila kusafiri nje ya nchi

Tunajua kwamba unataka bidhaa ambazo zina trend kwenye soko, kwa hiyo tunajaribu kadri ya uwezo wetu kukidhi mahitaji yako

Kuhusu bei, hatutaki kukukatisha tamaa kwa sababu kila wakati tunatoza bidhaa zetu bei nafuu

Kwa maelezo zaidi tembelea duka letu la online la Tanbusiness Business
https://tanbusiness.myshopify.com

20/11/2022

MKUFU ULIO TENGENEZWA NA VITO MFANO WA MOYO

Huu mkufu una shape ya motor na hujulikana k**a mkufu wa Titanic

Mkufu unaweza kutumika kwa kutoa zawadi kwa unaye mpenda. Pia hutumika wakati wa sherehe za uchumba, harusi na siku ya kuzaliwa

Huu mkufu una uzito wa gram 40 na umetengenezwa kwa madini ya zinc alloy

Kwa habari zaidi tembelea duka letu la online

https://tanbusiness.myshopify.com au bonyeza link ya Instagram profile

Photos from AVIC Consultants's post 10/11/2022

14 GOLD PLATED DOUBLE LAYER NECKLACE CHAINS

If you own a shop selling clothing materials, Beauty products as well as accessories don't miss this product

If you are young or middle aged lady, don't miss this 14k gold plated double layer necklace chain which is fitted with a zircon stone

The classic necklace chain is 35cm long and weighs 10 grams. You can wear it during anniversary, wedding ceremony, engagement ceremony as well as birthday celebrations

We deliver the Rolo chain to customers free of shipping charges

We know that you want products which are trending in the market, hence, we are trying our best to satisfy your needs

With regard to prices, we don't want to disappoint you for we always charge our products very affordable prices

For more information visit our online shop at https://tanbusiness.myshopify.com
myshopify.com



www.tanbusiness.co.tz

04/11/2022

WAMILIKI WA MADUKA YA NGUO, VIATU, SAA NA VIFAA VYA ELECTRONIC- 3

Tanbusiness Store inayo milikiwa na AVIC Consultants ya Dar es Salaam inatoa huduma kusaidia wamiliki wa maduka ya bidhaa kuagiza bidhaa kutoka nje ya Tanzania

Sehemu ya 3 ya makala ya Tan Business Store ili eleza categories za bidhaa ambazo unaweza kuagiza kutoka nje ya nchi ambazo ni k**a zifuatazo:

○ Accessories
○ Clothing
○ Consumers electronics
○ Beauty products
○ Sports products

Bidhaa za category ya Accessories ni k**a zifuatazo:

○ Shoes - viatu
○ Bags - mabegi
○ Jewelry - vito
○ Decorations - mapambo
○ Watches - saa
○ Head wear - bidhaa za kichwani
○ Scarves- skafu

Karibu kwenye duka letu la online na ufurahie huduma zetu

Kwa habari zaidi endelea kusoma matangazo yetu ili upate habari zaidi kuhusu unavyo weza kununua bidhaa zako bila kusafiri nje ya Tanzania
myshopify.com

30/10/2022

Air Cushion Men Casual Shoes

Moja kati ya bidhaa ambayo inapatikana kwenye duka letu la Tan Business Store.

K**a unamiliki duka la nguo, saa, viatu, vifaa vya electronics, bidhaa za urembo na kadhalika huna haja ya kufunga safari had China kufuata bidhaa

Duka letu la online litafanikisha wewe kuagiza bidhaa zako moja kwa moja kutoka China kwa bei nafuu

Kwa habari zaidi bonyenza link ya Instagram ili uangalie duka letu

https://tanbusiness.myshopify.com

30/10/2022

WAMILIKI WA MADUKA YA NGUO, VIATU, SAA NA VIFAA VYA ELECTRONIC- PART 2

Je unahitaji kununua bidhaa kutoka China, Ufaransa, Uingereza na Marekani?

Kuna changamoto nyingi kwa wamiliki wa maduka ya bidhaa mbali mbali ambao husafiri hadi nje ya nchi kununua hizo bidhaa

Changamoto kubwa ni gharama za usafiri za mfanyabiashara na pia gharama za kusafirisha bidhaa kuja Tanzania

Tanbusiness Shopify store inayo milikiwa na AVIC Consultants ya Dar es Salaam inatoa huduma kusaidia wamiliki wa maduka ya bidhaa kuagiza kutoka nje ya Tanzania

Bidhaa ambazo unaweza kuagiza kutoka nje zimegawanyika katika categories zifuatazo:

* Accessories
* Clothing
* Consumers electronics
* Beauty products
* Sports products

Karibu kwenye duka letu la online upate huduma bora

Kwa habari zaidi endelea kusoma matangazo yetu ili upate habari zaidi kuhusu unavyo weza kununua bidhaa zako bila kusafiri nje ya Tanzania

Kuangalia bidhaa zetu bonyeza link ambayo iko kwenye Instagram profile yetu

myshopify.com

07/10/2022

WAMILIKI WA MADUKA YA NGUO, VIATU, SAA NA VIFAA VYA ELECTRONIC

Je unamiliki duka la nguo, viatu, vifaa vya electronic, saa na bidhaa nyingine?

K**a jibu ni ndiyo, basi huitaji kufunga safari kwenda China, Uturuki au nch nyingine za Ulaya kununua bidhaa zako

Tanbusiness Shopify store imechukua jukumu la kukusaidia kununua bidhaa mbali mbali kutoka China, Uturuki na baadhi ya nchi za Ulaya bila wewe kusafiri kwenda kwenye hizo nchi

Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye duka letu la online na kuchagua bidhaa unazo hitaji

Kinachofuata ni wew kununua bidhaa kutoka nje kwa kutumia mfumo wetu wa duka la online.

Baadaye utaletewa bidhaa zako moja kwa moja hapo ulipo

Kwa habari zaidi endelea kusoma matangazo yetu ili upate habari zaidi kuhusu unavyo weza kununua bidhaa zako bila kusafiri nje ya Tanzania
myshopify.com

Want your business to be the top-listed Business in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

PATA MFUMO MZURI WA KUENDESHA BIASHARA YAKO

Biashara ambayo tayari imekwisha anzishwa huwa ina changamoto ambazo mfanyabiashara anapaswa kuzifahamu na kuzipatia ufumbuzi.

Kuna baadhi ya biashara zimekuwa zinapata hasara na hivyo kutishia kuendelea kuwepo kwa biashara hizo. Ajabu ni kuwa kuna biashara zingine zinaendeshwa bila hata kuweka kumbukumbu zake (reports). Hivyo mfanyabiashara hafahamu k**a biashara inapata faida au hasara. Huu ni mwenendo mbaya kwa sababu ni muhimu sana kuwa na utaratibu wa kutengeneza repoti ambazo zina onesha mwenendo mzima wa biashara

Jambo linguine ni kuwa mfanyabiashara kutokuwa na lengo kuu na malengo madogo ya biashara yake. Kukosekana kwa lengo kuu na malengo madogo husababisha kutokuwa na msukumo wa kuhakikisha kuna malengo yanayotakiwa kufikiwa

Unapokuwa na malengo ya biashara ni muhimu kuhakikisha hayo malengo yanafikiwa. Kwa hiyo mfanyabiashara anatakiwa aweke mfumo wa kuendesha biashara ambao utafanikisha kufikiwa kwa malengo yaliyowekwa

Telephone

Address


Plot 60, Block 45 Kajenge Street, Kijitonyama, Kinondoni District
Dar Es Salaam
2100/A

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00
Other Business consultants in Dar es Salaam (show all)
Viungo Vyenye Utamu wa Pekee Viungo Vyenye Utamu wa Pekee
Mbagala Rangi Tatu
Dar Es Salaam

KUWA WAKALA KATIKA MKOA WAKO AU NUNUA REJA REJA KUTOKA KWA MAWAKALA WANGU VIUNGO HIVI VYENYE LADHA Y

Gregoryson International Limited Gregoryson International Limited
Mianzini Mbagala MZN
Dar Es Salaam, 25404

GREGORYSON INTL. LIMITED is a Tanzanian private corporate (PVT) included diversity company @2019

Nyasa EA Company ltd Nyasa EA Company ltd
Victoria Place
Dar Es Salaam, 61608

Nyasa (EA) co Ltd deals with three main businesses namely, consultancy services, tour services and travel services.

Vesha 255 Vesha 255
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 16002

Business Page

Evis Bisiness Evis Bisiness
Samora Avenue/Morogoro Road
Dar Es Salaam, 255

Welcome @Evis Business For Business Registration facilitation services, License Applications, and Ta

SIRI YA wanafunzi matajiri. SIRI YA wanafunzi matajiri.
Mwenge-dares Salaam
Dar Es Salaam

Tunafundisha na kuwasaidia watu kuanza biashara kwa muda wao wa ziada au muda wao wote.

Mehak Mawji Mehak Mawji
Dar Es Salaam

wanawake-na-fursa wanawake-na-fursa
Mwenge
Dar Es Salaam

BIASHARA KUBWA MTAJI MDOGO KUSAFIRI ✈️ BURE TUNASAIDIA WANAWAKE NA WANAUME KUANZA BIASHARA 0768430397

Kujikwamua Kiuchumi Kujikwamua Kiuchumi
Kigamboni
Dar Es Salaam

Tunafundisha fursa ya kibiashara Tutakushika mkono Tengeneza biashara yako uwe mmiliki wa biashara yako

Mabati Taishan Tz Mabati Taishan Tz
Buguruni
Dar Es Salaam, 255

wauzaji na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi

Recall Associates Recall Associates
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Business Consultant

Axia Hr Tanzania Axia Hr Tanzania
Jamhuri/Asia Street, Urban Rose Tower, Mezzanine Floor, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Axia HR is a well trusted, multi-vertical recruitment and Staffing consultancy based in Dar es salaam,Tanzania.