Tanzania Commission for AIDS

This blog aims to disseminate HIV and AIDS information to all ages.

04/11/2024

Wataalam wa Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na TACAIDS walioshiriki katika kikao cha kutoa taarifa kwa Waziri wa Nchi,Sera, Bunge na Uratibu Mhe.William Lukuvi kuhusu maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani,yanayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe24Novemba,2024 mkoani Ruvuma.

04/11/2024

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Jerome Kamwela akiwasilisha Mpango wa Maandalizi Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Mhe .William Lukuvi,wakati wa kikao kilichofanyika tarehe4Novemba,2024 jijini Dodoma

04/11/2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi amekutana na Viongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kwa lengo la kujadili maandalizi kuelekea Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani yanayotarajiwa kifanyika mkoani Ruvuma kuanzia tarehe 24Novemba hadi Desemba Mosi mwaka huu.

Majadiliano hayo yamefanyika leo tarehe 04 Novemba, 2024 katika Ofisi ya Bunge jijini, Dodoma.

31/10/2024

Kamati ya Wataamu wa Programu ya Redio inayojulikana k**a ONGEA wakiwa kwenye kikao cha tathimini kilichofanyika tarehe 31 Novemba, 2024 jijini Dodoma. Baada ya vipindi 36 kukamilika kurushwa kupitia pamoja na redio 10 za ngazi ya kijamii za Mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe na Songwe

programu ya ONGEA ililenga kuwajengea uwezo vijana kuhusu kujikinga na maambukizi ya VVU, magonjwa ya ngono, uzazi wa mpango, elimu ya ujasiriamali, elimu ya makuzi bora pamoja na kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa vijana.

24/10/2024

Naibu Mkurugenzi Kahemele wa ICAP Dkt. John Kahemele akifafanua namna taasisi yake inavyotekeleza majukumu yake hapa nchini wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKiMWI Bungeni Dodoma,tarehe24Oktoba,2024

24/10/2024

Mkurugenzi Mkuu wa MDH Dkt David Sando akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge na Masuala ya UKIMWI jinsi MDH inavyotoa huduma katika jamii,kuongeza kuwa MDH imeweza kutoa ajira kwa watumishi wa Afya zaidi ya 5000 katika Mikoa wanakotekeleza miradi.

24/10/2024

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania(TACAIDS) Dkt Jerome Kamwela akichangia wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI namna ambavyo Serikali imejipanga kutoa huduma jumuishi za Afya,Bungeni Dodoma tarehe24Oktoba,2024

24/10/2024

Mkurugenzi Mkazi wa ICAP Bi Haruka Maruyama akiwasilisha taarifa zinazotekelezwa na ICAP nchini walipokutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Bungeni Dodoma tarehe 24Oktoba,2024.

24/10/2024

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe Elibariki Kingu akizungumza na wadau baada ya kuwasilisha taarifa za Taasisi zao,ameishukuru serikali kwa namna wanavyotoa ushirikiano kwa wadau,ambao wanafanyakazi nzuri ambayo inatoa mchango mkubwa kwa Serikali,katika Afya za wananchi.

24/10/2024

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la HJFMRI linalotekeleza afua mbalimbali za kutokomeza maambukizi ya VVU katika Nyanda za juu kusini,Mbeya,Songwe,Rukwa na Katavi akiwasilisha jinsi HJFMRI linavyotekeleza majukumu yake kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kikao cha k**ati ya kudumu ya Afya na Masuala ya UKIMWI tarehe24Oktoba,2024 Bungeni Dodoma.

24/10/2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe Wiliam Lukuvi akiwasilisha taarifa fupi ya Utekelezaji wa shughuli za Mwikitio wa UKIMWI kwa Kamati ya Kudumu ya Afya na Masuala ya UKIMWI tarehe 24Oktoba,2024 walipokutana Bungeni ikiwa ni sehemu za shughuli za k**ati hiyo kukutana na wadau kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa shughuli zao.

24/10/2024

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imekutana na wadau (MDH,HJFMRI na Icap) wanaotekeleza Shughuli za Mwitikio wa UKIMWI nchini, kupitia kikao hicho wadau wamewasilisha kwa kina shughuli wanazozitekeleza,ambazo zimechangia mafanikio katika kupunguza maambukizi ya VVU nchini.

24/10/2024

SEPESHA RUSHWA MARATHON sasa ipo kiganjani kwako kupitia *MENU ya Tigo Pesa*

Msimu huu umeangazia kuhamasisha kupinga RUSHWA YA NGONO ambayo kwa namna Moja ama nyingine inaweza kuchochea maambukizi ya VVU



Sasa Unaweza Kulipia SEPESHA RUSHWA MARATHON MSIMU WA TATU 2024 kupitia MENU ya TGOPESA kwa kufuata hatua hapo chini:

Piga * 150 *01 #
Kisha >5 *Lipa kwa simu*
Kisha >6 *Tiketi*
Kisha >1 *Marathon*
Kisha >5 *Endelea*
Kisha >5 *Endelea*
Kisha >1 *Sepesha rushwa marathon*
Kisha > *Fuata maelekezo kukamilisha*

Kwa changamoto yoyote wasiliana *0765 500 400*

22/10/2024

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe Agnes Marwa akieleza jinsi ambavyo wavuvi walivyokatika hali ya hatari ya kupata maambukizi ya VVU,na umuhimu wa Serikali kuongeza huduma za Tiba na Matunzo katika jamii ya wavuvi.

22/10/2024

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Afya na Masuala ya UKIMWI Dkt Christine Mzava akizungumzia umuhimu wa kuongeza afua za UKIMWI katika jamii ya Wavuvi maeneo ya Bahari na Maziwa wakati wa kikao cha k**ati hiyo,kilichofanyika Bungeni tarehe 22Oktoba,2022.

22/10/2024

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Abdallah Ulega akizungumza na k**ati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI kuhusu namna Wizara yake inavyo tekeleza kuhusu hatau za ujumuishiwa afua za VVU na UKIMWI kwenye sekta ya UVUVI

22/10/2024

Kamati ya Kidumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt Charles Mhina wakifuatilia ufafanuzi wa taarifa kuhusu utekelezaji wa hatua za ujumuishi wa Afua za VVU na UKIMWI kwenye sekta ya UVUVI,tarehe 22Oktoba,2024.

15/10/2024

Mmoja wa wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Miyuji akishiriki katika mdahalo wa wanafunzi kuhusu Rushwa,Mmomonyoko wa Maadili,kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya na Kuzuia Maambukizi ya VVU na Kuhamasisha Utawala Bora.Uliofanyika tarehe15Oktoba,2024

15/10/2024

Vijana kutoka Shule za Sekondari Dodoma Jiji walioshiriki katika Mdahalo kuhusu,Dawa za Kulevya,Rushwa,HIV na haki za binadamu, mdahalo huo umefanyika Shule ya Sekondari,Dodoma tarehe 15Oktoba,2024

14/10/2024

Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Mwl Nyerere 1922-1999

13/10/2024

Wanafunzi wa Sekondary kijadili,Rushwa,Dawa za Kulevya,Utawala bora na HIV jijini Dodoma

13/10/2024

Vijana endelea kujikinga na Maambukizi ya VVU

11/10/2024

Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Dodoma Jiji walioshiriki Mdahalo wa kujadili juu ya VVU na UKIMWI,Haki za Binadamu na Utawala Bora,Rushwa na Dawa za kulevya.Mdahalo huo umefanyika Shule ya Secondari Dodoma tarehe 11Oktoba,2024.

11/10/2024

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Dodoma Jiji walioshiriki Mdahalo wa kujadili juu ya VVU na UKIMWI,Haki za Binadamu na Utawala Bora,Rushwa na Dawa za kulevya.Mdahalo huo umefanyika Shule ya Secondari Dodoma tarehe 11Oktoba,2024.

11/10/2024

Kaimu Mkurugenzi wa Mwitikio wa Taifa wa TACAIDS Bi Audrey Njelekela akizungumza na wanafunzi walioshirki katika mdahalo wa kujadili juu ya VVU na UKIMWI,Haki za Binadamu na Utawala Bora,Rushwa na Dawa za kulevya,ambapo amewasihi kuendelea kujikinga na maambuzi ya VVU kwani UKIMWI bado upo,pamoja na juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikisha ifikapo 2030 tunamaliza UKIMWI ,bado ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha anajikinga na maambukizi ya VVU kwa kutojiingiza katika mazingira ya kupata maambuzi ya VVU.

Want your organization to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Telephone

Address


P. O. Box 76987
Dar Es Salaam
255
Other Government Organizations in Dar es Salaam (show all)
U.S. Embassy Tanzania U.S. Embassy Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani
Dar Es Salaam

The U.S. Mission to the United Republic of Tanzania. Terms of Use: https://www.state.gov/tou

dcea_tz dcea_tz
8 Kivukoni Road
Dar Es Salaam, S.L.P80327

The Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) has the functions of define, promote, coordinate, and implement all measures geared towards control of drugs, drug abuse and traff...

NemcTanzania NemcTanzania
Regent Street
Dar Es Salaam, 00000

Karibu katika ukurasa rasmi wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC). Pamoja tulinde na kutunza mazingira kwa maendeleo endelevu.

Juma fund kupauwa Juma fund kupauwa
Buza Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, [email protected]

business

Algerian Embassy in Dar es Salaam Algerian Embassy in Dar es Salaam
Dar Es Salaam, 2963

EMBASSY OF THE PEOPLE'S DEMOCRATIC REPUBLIC OF ALGERIA DAR ES SALAAM TANZANIA سفارة الجزا?

Ubungo Manispaa Page Ubungo Manispaa Page
55068
Dar Es Salaam, LUGURUNI

Ukurasa rasmi wa Manispaa ya Ubungo (Page)

Tanzania people's Defense Force -TPDF Tanzania people's Defense Force -TPDF
Upanga
Dar Es Salaam

To provide Truely Information.

NSSF Tanzania e-Services NSSF Tanzania e-Services
P. O. Box 1322, Azikiwe Street
Dar Es Salaam, 0255

The National Social Security Fund is a fully funded scheme running under defined benefit principles.

Shemaya tz wcb tweens Shemaya tz wcb tweens
Dar Es Salaam

Shemaya

MBOWE Chadema MBOWE Chadema
Dar Es Salaam, 134

Mwenyekiti wa chama cha chadema.

Tanzania Commission for Universities Tanzania Commission for Universities
Magogoni Street
Dar Es Salaam, 11000

Promoting accessible, equitable, harmonised and quality university education systems in Tanzania

ThinkX GSM security ThinkX GSM security
Pugu Kajiungeni
Dar Es Salaam