Yusuf Mmari

Black Social Eng, Researcher Author, Healing Consultant, Entrepreneur, Father.

05/11/2023

Speaking about Kanye leading a simpler life, Kim Kardashian 👀‼️

He doesn't have a nanny, North told her, according to her. There is no chef for him. There is no security for him. He resides in a appartiment.

Then, according to her, she broke down in tears and asked, "Why don't we have an apartment?"

Lesson here👆

Unveiling the Emotional Journey of Men, The Beauty of Manhood 28/08/2023

Men experience emotions more intensely than women, requiring self-sacrifice to be productive and adapt to life events, forming the core of masculinity.

Unveiling the Emotional Journey of Men, The Beauty of Manhood Societal expectations have often perpetuated the notion that men are stoic and unfeeling beings, devoid of emotions or incapable of expressing them. However, a deeper understanding reveal

10/08/2023

The potential to create something from scratch can't be performed with the aid of those missing the courage to completely dismantle it.

09/08/2023

Trust is essential for stability in difficult times, yet losing it can lead to a loss of trust.

Creation necessitates vulnerability, time waste, and effort, and it cannot be optimized.

It's critical to avoid discussing worries with friends because they can be compared to others and attract individuals looking for validation.

This environment does not promote personal development.

07/08/2023

Spiritual self-exploration is the key to understanding our deepest discontentment.

Trying to make up for inadequacies is meaningless.

Refusing to move from a failed situation means accepting the consequences.

The more you downplay yourself, the more important you are.

It's the man who gives you significance, not the act.

30/07/2023

You have my utmost admiration for acting in your best interests.

I always have you in my thoughts and prayers.

"Even if you don't always feel like it, you have the power to do this!"

Choosing this path and staying on it require a lot of bravery.

28/04/2023

Uliberali huwafanya watu binafsi kuwa watumwa wa matamanio yao, sio kukuza uhuru.

Kushughulika na hisia zao changa, kiwewe- na zilizojaa hofu.

Shughuli na vitendo vinavyokusudiwa kumpa mtu uradhi wa muda mfupi.

Mitume walitumwa kulinda dai la mwanadamu la uhuru wa kiroho.

Kwa nini ni muhimu?

Inajumuisha kuchukua tahadhari dhidi ya tamaa, bidii, na upendo wa vitu vinavyotumiwa kuharibu utu wa binadamu, ubinadamu, akili, na hiari.

Kwa kushinda tamaa zako, unaweza kufikia uhuru.

Ukishinda shauku yako badala ya kuiruhusu ikushinde, unakuwa huru au unakuwa huru.

Uhuru wa kweli unakupa nafasi ya kutambua uwito hapa ulimwenguni.

Uwito unakupa nafasi ya kutekeleza dhimma ya kuumbwa kwako.

03/04/2023

From "making love," we have transitioned to "showing me that you love me by demonstrating that there is no upper limit to the degree to which you can degrade yourself for my entertainment—and I am not marrying you either, w***e."

تغريدة / Twitter 09/02/2023

Kati ya watu wanne wanaolazwa hospitali 3 wanaumwa akili na hisia kuliko maradhi husika....

تغريدة / Twitter We’ve detected that JavaScript is disabled in this browser. Please enable JavaScript or switch to a supported browser to continue using twitter.com. You can see a list of supported browsers in our Help Center.

25/01/2023

Jenga utamaduni wa kuwatafuta, kuwatambua watu waliopitia changamoto mbalimbali za maisha ktk mazingira yanayofanana na yako.

Watafute wale mnaofanana kwenye maeneo yako mbalimbali ikiwemo nasaba, eneo, utamaduni, lugha, na mazingira mengine.

Hawa ni watu waliopitia na kuvuka changamoto mbalimbali ambazo huwenda kwa mtazamo wako unaweza usione mafanikio husika.

Muhimu fahamu kuwa wanazungumza kutoka kwenye uzoefu ambao umebadilisha maisha yao ndani jambo ambalo si rahisi kuonekana nje.

Wanazungumza mambo au uzoefu ambao umebadili mifumo ya zao.

Wanazungumza juu ya matukio ambayo yalibadilisha lensi zao jinsi wanavyoona/kutizama ulimwengu na vilivyomo.

Wanazungumza kutoka mahali penye mazingira magumu na maumivu.

Jifunze kutoka kwao.

16/01/2023

Dalili ya wazi ya akili dhaifu ni kuwa na 'Marafiki wengi' kuliko Wasiri.

10/01/2023

Nah! Its not "Time" its the "Energy's"

10/01/2023

Aha moment;

Moja ya udanganyifu mkubwa uliofundishwa ni kuambiwa "muda ni thamani" kimsingi watu wana muda wa kutosha na hawafikii mafanikio wanayotamani.

Sababu: Nishati (Energy's) ndio kitu muhimu kuliko muda.
Wengi watatambua ukweli huu wakati Nishati hiyo ipo ukingoni kwa ajili ya kufanya mambo ya kimaumbile na hawana jinsi wanaweza kubadili au kupata nishati nyingine.

09/01/2023

Nguvu ya kuendelea katikati ya changamoto na mashaka, kwenda kinyume na misukumo yako ya ndani, Dhamira ya kuleta mabadiliko.

Ni gharama unayolipia njia na mazingira ya kufikia lengo halisi.

Kinyume chake ni kujifinyanga kulingana na hali.

25/08/2022

Utajua unajiponya, unapoanza kuona mambo kwa njia tofauti.

Mtazamo wako utabadilika, kitu ambacho hapo kabla kilikuwa muhimu kinaweza kisiwe kipaumbele.

Utajiamini ktk kuamua ni nini kilicho muhimu KWAKO.

24/11/2021

Pitia social media post zako za nyuma, mwaka mmoja au nyuma zaidi. Angalia nani alikuwepo, nani alikuwa wa kwanza ku like au comments then tafakari kulingana na maudhui husika na reactions ya mhusika.

Hakikisha unafuatilia wale ambao mnafahamiana kwa karibu k**a ndugu, rafiki, jamaa ambao uhusiano wenu ni zaidi ya kukutana kwenye mitandao ya kijamii.

Watambue kila mmoja kwa nafasi yake kisha orodhesha pembeni majina.

Anza kufanya uchambuzi kulingana na kiwango cha uhusiano mlichokuwa nacho huko nyuma, na mlipo hivyi leo jaribu kumtafuta kwenye uhalisia wa maisha yako leo hii.

Rejea aina ya posti zake anazopost leo jaribu kuunganisha mawazo yako na hisia zako kulingana na kiwango cha mahusiano mlichonacho leo

Majibu yatakuambia nani ndio rafiki yako wa kweli na nani alikuwepo kwenye maisha yako kukutumia.

Nani unapaswa kuimarisha uhusiano naye nani unapaswa kupunguza ukaribu, nani unapaswa kujitenga naye.

21/11/2021

Everyone believes they have a strong network, but they only get to test it when hard times hit them.

Most of them find out their network is s**t.

Only a few men have the skills to build a network of brothers who have each other's back.

(Un)Learn:

18/11/2021

Hadithi hupimwa kwa kina na si urefu!

28/10/2021

Kuna changamoto na maumivu mengi wakati unatekeleza mabadiliko muhimu, wakati unapiga hatua ulipo kuelekea unapotaka kuwepo!

Ndani ya changamoto na maumivu haya ndio sehemu pekee utaweza kujitambua upya k**a mtu.

18/10/2021

All of us, perhaps even some of those you hate, are all on the same journey.

Show some compassion for your fellow man, even the foolish ones.

The tune of life plays different, perhaps some odd notes here and there, but it is undoubtedly, that all too familiar melody.

19/09/2021

Kamwe!

"Usijisumbue kuelezea mambo kwa watu ambao hawataweza kuelewa.

Wale wenye uwezo wa kuelewa, hawahitaji maelezo ya ziada.

Wale wanaohitaji maelezo ya ziada na ufafanuzi, kamwe hawataelewa"

16/09/2021

Huwezi kuwa k**a wengine, kisha utarajie kuwa mfano!

15/09/2021

Marafiki wako wasio kuunga mkono kwenye biashara/ michakato ya kujipatia ugali mezani.

Sio marafiki wako.

08/08/2021

"Uvumilivu mkubwa wa kutokuwa na Uhakika"

03/08/2021

Rafiki anakuuliza!

Adui anakuhoji.

04/07/2021

Matokeo yako yanategemea kujitoa kwako.

Kujitoa kwako kunategemea akili yako.

Akili yako inategemea tabia yako.

Tabia yako inategemea mazingira yako.

03/07/2021

Ukiwa mtoto unadhani unajua kila kitu.
Ukikua unatambua jinsi baba yako alikuwa sahihi.

Changamoto:
➡️ Wengi hawafikii kiwango cha ukuaji.

Kinachoumiza:

➡️ Wale wanaofikia kiwango cha kukua, huwakuta baba zao wameshaondoka ktk ulimwengu.

28/06/2021

Kuwa mwangalifu wale unaowafungulia mambo yako.

Wanaojali ni wachache

Wengi ni wadadisi wakitafuta kujitibu.

11/06/2021

Wanaume jasiri hawaogopi kudhihirisha udhaifu wao.

Wanaume dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wao.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Category

Telephone

Address


Bibi T**i Mohamed Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh