NetWave
We're HELPING you build a freedom-based business and unlock an extra $5000/month residual income with just 3 hours a day- Guaranteed!
Umealikwa kuhudhuria mkutano wa biashara (BOM) kujifunza na kujionea watu waliofanikiwa kupitia biashara ya Network Marketing.
Shule imekuingia kisawa sawa baada ya kuonyeshwa cheques, magari, nyumba, na safari :)
Unaondoka pale ukiwa umejawa na kiwewe.
Unatoka pale umechanganyikiwa ukijiuliza maswali ulikuwa wapi siku zote.
Unataka kujiunga na biashara, lakini hauna fedha za kununua bidhaa kuanza... unaamua kwenda kukopa kwa kujidanganya kwamba utauza hizo bidhaa, utafanya biashara na hivyo utaweza kurudisha pesa za watu...
My friend, ITAKULA KWAKO.
Biashara ya MLM siyo rahisi k**a wanavyoionyesha...
97% ya wafanyabiashara wa network marketing huambulia patupu. Ni asilimia 3% tu wanaofanikiwa. Hizo shuhuda unazozisikia huwa ni kutoka kwa hao 3%.
Kwa lugha nyingine, ni 3% wanapata hela kutoka 97% na hao 97% wanaishia kupata 3%.
Hata hivyo, huna sababu ya kukatishwa tamaa na takwimu hizi kwa sababu ndo kanuni ya maisha. Hata biashara nyinginezo, huangukia katika kanuni hii.
K**a ndo hivyo, kwa nini unanishauri nisikope kuanza?
Jibu rahisi, ni kwa sababu, huna uhakika utaangukia katika kundi gani kati ya 97% au 3%.
Inahitaji nini ili niweze kuingia kwenye kundi la wanaofanikiwa (yaani 3%)?
Kuna mambo mawili:
1️⃣ Bahati iwe upande wako, ndani ya muda mfupi upate timu ya watu 3 - 5 wenye uwezo mkubwa wa kufanya biashara.
2️⃣ Ukubali kuwa mwanafunzi mzuri, u-FOCUS, na mvumilivu wa kiwango cha juu. Kanuni ya asili itachukua mkondo wake, utajiunga na 3% baada ya miaka kadhaa.
Je, nisianze kabisa?
La hasha, utakuwa umechagua kushindwa.
Jipange! Tafuta hela taratibu, kisha anza.
Bora ya aliyejaribu kuliko aliyeacha.
P.S: Network Marketing sio biashara ya kujitajirisha haraka. Ni biashara halisi inayohitaji juhudi na kujitolea. Lakini ukiwa na dhamira thabiti, mafunzo sahihi, na mbinu bora, unaweza kufikia mafanikio unayoyataka.
P.S.S: Vipi kwa upande wako, uliwahi kukopa kuanza hii biashara? Safari yako ya kuanza ilikuwaje? Nasubiri kusoma comment yako.
SIO VIGUMU k**a unavyofikiria...
Najua - unaweza kuwa unajihisi vibaya kukutana na watu wapya. Ni kana kwamba unajitongozesha. Lakini k**a networker unahitaji kukutana na watu wapya (prospecting) na kujenga nao urafiki wa ukaribu hadi hapo wao watakapokuuliza unajishughulisha na nini. Ukitaka unaweza kuwaambia juu ya bashara yako au ukiona muda wa kumweleza bado, unaweza kuacha kuzungumzia kuhusu hilo.
Huku ni sawa sawa na unavyokutana na watu kwenye mkusanyiko ya watu, ukiwa kwenye gari, harusi, mgahawa, n.k.
HAKUNA TOFAUTI kwenye hili.
Unachotakiwa ni kukifanya kuhakikisha hujizungumzii wewe, wafuasi wake, bali onyesha KUMTHAMINI mtu huyo. Ukifanya hivyo, anaweza kuwa mfuasi wako mpya!
===================================
Follow .africa kujifunza zaidi mbinu na mikakati ya kujenga biashara ya mtandao kupitia mitandao ya kijamii!
===================================
Huu sio ujumbe tu wa kupata-followers.
Bali ni UJUMBE MZURI unaomhusu.
Mambo muhimu katika ujumbe huu ni...
1️⃣ Tumia jina la mtu! K**a hulijui, tumia muda kufanya utafiti. ulipate.
2️⃣ Sema ASANTE kwa kile anachofanya.
3️⃣ Jenga uhusiano kwa kutoa maoni yako kuhusu kilichopo kwenye akaunti yake.
Ikiwa utaituma k**a ujumbe wa sauti basi utakuwa na matokeo mazuri zaidi.
Ifanye ya kirafiki! Hivi ndivyo Instagram inavyofanya kazi, watu wanaendelea kuunganishwa kila wakati, ndiyo maana tuko hapa.
Ni MATAMANIO ya kila mtu kupokea DM mpya - hivyo usihisi kuwasumbua watu kwa kuwatumia DM. Hakikisha tu kuwa ni ujumbe wa kweli na kwamba haufanyi hivyo kwa ajili tu ya kuongeza wafuasi, kuuza bidhaa wala kuongelea kuhusu biashara yako.
Tuwe wakarimu kwa kila mmoja!
africa
P.S: Nijulishe kwenye comment k**a chapisho hili limekuwa lenye manufaa kwako.
Asilimia 87% ya Networkers (Network Marketing) wanashindwa kuwashawishi wateja wanunue bidhaa mara moja kwenye simu ya kwanza. Ikiwa nawe upo katika kundi hili, usijali... sio peke yako! Hii ndiyo sababu:
Kila siku, kuna maelfu ya wafanyabiashara wa mtandao wanaouza bidhaa…
Lakini ni wachache tu ndio wenye ujuzi mkubwa wa kufanikisha mauzo.
Tofauti kati ya kuuza na kufanikisha mauzo ni kwamba huyo anayefanikisha anahakikisha kwamba mwisho wa simu mteja ananunua bidhaa.
Ni mara ngapi umesikia mtu anayevutiwa kukuambia, "Napenda sana kile unachouza, nataka kununua. Nitumie maelezo tu, nitafikiria"?
Kisha anayeyuka hewani!
Hili halitatokea tena ukifanya yafuatayo kabla ya simu zako za mauzo:
HATUA 7 MUHIMU ZA KUFANYA KABLA YA SIMU YA MAUZO AMBAZO KILA MFANIKISHAJI MKUBWA HUZITEKELEZA:
1️⃣ Mchunguze mteja wako kwa kina.
2️⃣ Tabiri mahitaji, matamanio, changamoto, na hata mambo anayoweza kupinga.
3️⃣ Andaa hoja za kushawishi kulingana na taarifa hizo. Andika hoja hizo chini.
4️⃣ Unda pendekezo la kipekee kabisa.
5️⃣ Fanya mazoezi na pendekezo hilo kwa kujihoji na kujijibu.
6️⃣ Vaa nguo ambazo hazikubani, weka glasi ya maji, na ki-memo chenye vidokezo vyako.
7️⃣ Anza maandilizi dakika 10 kabla ya muda uliopangwa, na hakikisha kila kitu kiko sawa.
UNACHOPASWA KUFANYA UKIWA KWENYE SIMU ILI KUFANIKIWA K**A WALE 1% BORA:
✅ Tumia muda mwingi (75-80%) katika mambo mawili muhimu: uliza maswali na sikiliza kwa makini majibu yake.
✅ Tumia muda uliobaki (25%) kujibu maswali yaliyojitokeza kwa ufasaha. Tumia kanuni ya 3Fs (Feel, Felt, Found) kujibu maswali kwa kuonyesha faida za bidhaa/huduma yako.
Mteja ana tatizo [X], unatoa suluhisho [X], ambalo linampa faida [Z]…
Je, unataka nikuonyeshe jinsi ya tunavyotengeneza na kuuza ofa zenye thamani ya zaidi ya $5000 bila kuhisi k**a unalazimisha watu?
Andika 'mwongozo' kwenye maoni nami nitakutumia ujumbe DM!"
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
DERM Plaza
Dar Es Salaam
14107
3rd Floor EZM House
Dar Es Salaam, 11000
We help people with business get more leads for their propducts and services
Ilala/Bungoni-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 2020
Karibu Tukuhudumie Upate Kile Roho Inapenda. Tunafanya Delivery 🚚 Popote Ulipo
Dar Es Salaam
This is a venue to share products that are shared at https://www.instagram.com/bidhaayako/
Ubungo
Dar Es Salaam, 16102
Our services include the following: - Hardware and Software installations, Data Recovery, Graphic design, Web Design & Development and Internet Marketing.
Hekima Street
Dar Es Salaam, 00000
iwinc360 is your studio for cutting-edge digital marketing solutions. We help you elevate your presence and drive results that make an impact. Social media to SEO tactics and co...