European Union in Tanzania
Nearby government services
Hamburg Avenue and Mirambo Street, Dar es Salaam
Corner Garden Avenue/Mirambo Street, Dar es Salaam
Shaaban Robert Street, Dar es Salaam
Garden Avenue/Mirambo Street, Dar es Salaam
Welcome to the official page of the Delegation of the EU in Tanzania and the EAC.
Wiki iliyopita, Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) 🇪🇺, Christine Grau alishiriki katika hafla ya uzinduzi wa programu ya ‘Green and Smart Cities - SASA’ kisiwani Pemba. 🌱🏙️
Programu hii inalenga kukuza miundombinu ya kijani, kuimarisha huduma za umma, na kuunda fursa za kiuchumi katika miji ya Mwanza, Tanga, na Pemba, kwa kuzingatia kuwawezesha wanawake, vijana na wafanyabiashara wa ndani. 👩🦰👷♂️🛠️
# # # # # # # # # # #
Last week in Pemba, European Union Ambassador Christine Grau 🇪🇺 participated in the launch of the TZS 190 billion Green and Smart Cities SASA Programme in Pemba. 🌱🏙️
This programme aims to boost green infrastructure, enhance public services, and create economic opportunities in the cities of Mwanza, Tanga, and Pemba, with a focus on empowering women, youth, and local businesses. 👩🦰👷♂️🛠️
📍 Ziara ya Dodoma
🗓️ Tarehe 30 Agosti, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Bi. Christine Grau, alikutana na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson na alipata fursa ya kuhudhuria kikao cha Bunge.
Tunaendeleza ushirikiano wetu imara 🇪🇺🇹🇿.
🤝
# # # # # # #
📍 A Day in Dodoma
🗓️ On Friday, August 30th, EU Ambassador to Tanzania, Ms. Christine Grau, met with Speaker of Parliament Dr. Tulia Ackson and attended a parliamentary session.
Further strengthening 🇪🇺🇹🇿 relations.
🤝
🇪🇺Umoja wa Ulaya (EU) ulishiriki katika warsha ya kikanda ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuhusu vyeti binafsi vya asili.
Tukio hili ni sehemu ya Mpango wa Kanuni za Uasili wa Shirika la Forodha Duniani🌎 na EU, ambao unalenga kuwezesha na kuongeza biashara ndani ya Afrika, pamoja na biashara kati ya Afrika, Ulaya, na sehemu nyingine za dunia.
# # # # # # # # # # # # # # # #
The 🇪🇺 European Union (EU) delegation participated in a regional EAC workshop on self-certification of origin.
This event was part of the EU-🌍 World Customs Organization Rules of Origin Africa Program, which aims to facilitate and increase intra-African trade, as well as trade between Africa and Europe 🌍 and the rest of the world 🌐.
📌 EU Ambassador to Tanzania, Ms. Christine Grau had the honour of meeting with the President of Zanzibar, Dr. Hussein Mwinyi
Their discussion highlighted the strong and broad partnership between the EU and the revolutionary government of Zanzibar.
The EU Ambassador reconfirmed our commitment to continued collaboration in the area of investment, sustainable economic development, and inclusive growth as well as security
# # # # # # #
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini 🇹🇿 Bi Christine Grau amekutana na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi
Majadiliano yao yaliangazia ushirikiano mkubwa kati ya 🇪🇺 na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Balozi Grau alithibitisha dhamira ya EU kuendelea kushirikiana katika eneo la uwekezaji, maendeleo endelevu ya kiuchumi na ukuaji jumuishi pamoja na masuala ya usalama
Our very own is a cycling champion! 🥇 She just won first place in the CRDB Bank's 65km marathon! Join us in congratulating her 👏🏽 🎉🎊
Nafasi ya Kazi 📢
Je, unatafuta fursa ya kufanya kazi na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania? 🇪🇺🇹🇿
Tunatafuta Secretary!
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi: 2 Septemba 2024 🗓️
Tuma ombi hapa https://www.eeas.europa.eu/delegations/tanzania/vacancy-secretary_en
# # # # # #
Job Alert 📢
Are you looking for an opportunity to work with the European Union in Tanzania? 🇪🇺🇹🇿
We are looking for a Secretary!
Deadline: 2 September 2024 🗓️
Apply here - https://www.eeas.europa.eu/delegations/tanzania/vacancy-secretary_en
📌Kisumu, Kenya
Meneja Programu wa 🇪🇺Umoja wa Ulaya (EU) Ally Mwinchande anatembelea ofisi za Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria mjini Kisumu na eneo muhimu lililobainishwa kwa ajili ya uwekezaji wa Miundombinu ya Kipaumbele ya 🚰Usafi wa Mazingira.
Ziara hii ni sehemu ya mpango wa kikanda unaofadhiliwa na EU kuhusu Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Maji, unaolenga kulinda Bonde la Ziwa Victori.
# # # # # # # # # # # # # # #
🇪🇺European Union Programme Manager Ally Mwinchande is visiting the Lake Victoria Basin Commission offices in Kisumu and a key site identified for High Priority 🚰 Sanitation Infrastructure investment.
This visit is part of the EU-supported regional programme on Integrated Water Resources Management, which aims to safeguard the Lake Victoria Basin.
Mkuu wa Kitengo cha Maliasili cha 🇪🇺Umoja wa Ulaya, Bw. Lamine Diallo, alishiriki katika ufunguzi wa mafunzo ya Ukaguzi wa Nishati na Usimamizi katika Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam.
Mafunzo haya yanatekelezwa na UNDP na kuratibiwa na 🇹🇿Wizara ya Nishati, ikiwa ni sehemu ya Mradi wa unaofadhiliwa na EU.
Mafunzo yatatolewa kwa wadau 132 wa nishati kutoka sekta za umma na binafsi kupata ujuzi na maarifa ili kuboresha ufanisi wa nishati katika sekta mbalimbali.
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
The 🇪🇺European Union, represented by Mr. Lamine Diallo, Head of Natural Resources, attended the opening of the Energy Audit and Management training at Dar es Salaam Institute of Technology.
Implemented by 🇺🇳UNDP and coordinated by the 🇹🇿Ministry of Energy, this initiative is part of the EU-funded Project.
The program equips 132 public and private energy stakeholders with vital knowledge and skills to enhance energy efficiency across various sectors.
📌Umoja wa Ulaya nchini Tanzania unawakaribisha mabalozi 🇩🇰 Jesper Kammersgaard, 🇮🇪 Nicola Brennan, na 🇮🇹 Giuseppe Sean Coppola kwenye 🇪🇺 nchini Tanzania 🇹🇿.
Leo wamewasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini 📍Dar es Salaam.
Hongereni sana!
# # # # # # # # # # # # # # #
📌 The EU Delegation to Tanzania warmly welcomes 🇩🇰 ambassador Jesper Kammersgaard, 🇮🇪 ambassador Nicola Brennan, and 🇮🇹 ambassador Giuseppe Sean Coppola to 🇪🇺 in Tanzania 🇹🇿.
They presented today their credentials to the President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan at State House in📍Dar es Salaam.
Congratulations! 🤝
🗓 Tarehe 1 - 4 Agosti, 🇪🇺 Umoja wa Ulaya ilihudhuria na kusherehekea hadithi za Kiafrika.
Hongera sana washindi wote ikiwemo filamu ya "Goodbye Julia" kwa kushinda kipengele cha Filamu Bora 🥇.
Tunasubiri kwa hamu toleo la mwakani la 🤩
# # # # # #
🇪🇺 The EU was thrilled to support African storytelling at the edition held from August 1 – August 4th! 🗓
Congratulations to "Goodbye Julia" for winning Best Feature Film and to all the other winners 🥇.
was truly a moment of "Rejuvenation".
We are already looking forward to next year's edition of 🤩
🌾 Heri ya Siku ya Nane Nane! 🌾
🇪🇺Umoja wa Ulaya inajivunia kusaidia wakulima na sekta ya kilimo ya 🇹🇿Tanzania kupitia miradi mbalimbali k**a:
👩🏾🌾AGRICONNECT: Kupunguza utapiamlo na kuimarisha ustahimilivu wa mifumo ya chakula dhidi ya janga la Kimataifa.
🥕STREPHIT: Kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya kilimo yenye usalama na ubora kwa masoko ya kitaifa na kimataifa.
🌽MARKUP: Kukuza uwezo wa viwanda vidogo kusafirisha bidhaa zao na kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
# # # # # # # # # # # # # #
🌾 Happy Nane Nane Day! 🌾
Today, we celebrate the hard work and dedication of 🇹🇿 farmers. 👨🏽🌾👩🏽🌾
The 🇪🇺European Union is proud to support 🇹🇿Tanzania's agricultural sector through various initiatives such as:
👩🏾🌾AGRICONNECT: Reducing malnutrition and strengthening agri-food system resilience.
🥕STREPHIT: Ensuring safe and quality agricultural produce for national and international markets.
🌽MARKUP: Boosting SME export capacity and contributing to the economic development of the East African Community.
Catch up with our latest blog story:
New Road and Bridge Open Up 🇹🇿Tanzania's Southern Corridor
Read it here 👉🏽 https://www.eeas.europa.eu/delegations/tanzania/global-gateway-new-road-and-bridge-open-tanzanias-southern-corridor_en?s=124
🇪🇺 Umoja wa Ulaya (EU) ilihudhuria warsha iliyoandaliwa kupitia mradi wa STRIVE Cities unaofadhiliwa na EU 🤝🏾, ikilenga kujenga ushirikiano wa vijana na serikali za mitaa na usalama wa jamii.
📌 Ilihudhuriwa na na wawakilishi kutoka 📍Mombasa na 📍 Cape Town waliotoa maarifa kuhusu mipango ya jiji salama 💭
# # # # # #
Network's 🇪🇺 EU-funded STRIVE Cities workshop, was held in Zanzibar last week focusing on youth-local government engagement and communal security 🤝🏾.
📌 Attendees included and representatives from 📍 Mombasa and Cape Town sharing insights on safer city initiatives 💭
Jana, 🇹🇿Rais Samia Suluhu Hassan alitembelea kituo cha kupoza umeme Ifakara, akiungana na Balozi wa 🇪🇺 Umoja wa Ulaya (EU), Christine Grau.
Mradi huu unaofadhiliwa na EU, wenye uwekezaji wa TZS 18 bilioni, ni hatua muhimu kuelekea malengo ya Tanzania ya kufikia upatikanaji wa umeme kwa wote.
Mradi huu unaendana na mkakati wa EU wa Global Gateway wa EU, unaosisitiza maendeleo endelevu na ya kijani.
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Yesterday, 🇹🇿President Samia Suluhu Hassan visited the Ifakara substation, joined by 🇪🇺European Union (EU) Ambassador Christine Grau.
This EU-funded project, with a TZS 18 billion investment, represents a significant advance toward Tanzania's goal of universal energy access.
Aligning with the EU’s Global Gateway strategy, it underscores our commitment to green and sustainable development.
📍Morogoro, Tanzania
Leo Balozi wa Umoja wa Ulaya Christine Grau ameungana na 🇹🇿Rais Samia Suluhu Hassan na wawakilishi wa UK in Tanzania na U.S. Embassy Tanzania kuzindua barabara ya Kidatu-Ifakara na Daraja Kuu la Ruaha.
Mradi huu unaofadhiliwa na 🇪🇺EU, 🇬🇧UKAID na 🇺🇸 USAID Tanzania utachochea maendeleo endelevu ya kilimo, kukuza uchumi na kupunguza umaskini katika Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Mradi huu unaendana na mkakati wa EU uitwao GlobalGateway wenye lengo la kujenga miundombinu bora na kuleta maendeleo endelevu.
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Today, European Union Ambassador Christine Grau joined President Samia Suluhu Hassan and representatives from and to inaugurate the Kidatu-Ifakara road and the Great Ruaha Bridge.
This project, funded by the 🇪🇺EU, 🇬🇧UKAID, and 🇺🇸USAID, will stimulate sustainable agricultural development, drive economic growth, and reduce poverty in Southern Tanzania.
It embodies the EU’s commitment to high-quality infrastructure and sustainable development.
Maombi ya programu ya UONGOZI Institute ya mafunzo ya wanawake yamefunguliwa.
Programu inatoa ufadhili wa masomo kwa wanawake kuhusu uongozi.
Tunajivunia kuunga mkono mpango huu pamoja na serikali ya 🇹🇿 Tanzania, 🇫🇮 , na 🇺🇳 UN Women
Tuma ombi sasa hapa 👇🏽
https://www.uongozi.go.tz/executive-education/womens-leadership/
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Applications are open for the UONGOZI Institute Women's Leadership Programme, offering fully-funded scholarships for African women.
🇪🇺We are proud to support this initiative alongside the govt of 🇹🇿Tanzania & 🇫🇮, & 🇺🇳 UN Women.
Apply now here 👇🏽
https://www.uongozi.go.tz/executive-education/womens-leadership/
🇪🇺Umoja wa Ulaya inafurahia kulinga mkono Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) katika msimu wake wa 27.
Utamaduni hujenga madaraja, huhifadhi urithi, na husukuma maendeleo.
Jiunge nasi Mji Mkongwe, kuanzia tarehe 1-4 Agosti kutazama filamu na matukio mengine!
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
The 🇪🇺European Union is thrilled to once again support Zanzibar International Film Festival for its 27th year!
Culture builds bridges, preserves heritage, & drives progress.
Join us in Stone Town, 1-4 Aug for screenings & events!
Ujenzi wa Mradi wa Usafirishaji wa Umeme wa Tanzania-Zambia (TaZa) umeanza rasmi!
Mradi huu unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya, Benki ya Dunia, Shirika la Maendeleo la Ufaransa, pamoja na Serikali ya Tanzania.
TaZa utaunganisha gridi za umeme kati ya Tanzania na Zambia, na hivyo kuimarisha uhakika wa umeme na ushirikiano wa kikanda katika Afrika Mashariki na Kusini.
# # # # # # # # # # # # # # # # # # #
The Tanzania-Zambia Interconnector Project's construction has officially started!
Supported by the European Union, World Bank, French Development Agency, and the Government of Tanzania, this initiative will connect the power grids between Tanzania and Zambia, enhancing energy reliability and regional cooperation in East and Southern Africa.
Umoja wa Ulaya 🇪🇺🇹🇿 ulifarijika kusaidia na kushuhudia mechi ya hisani iliyoandaliwa na kundi la vijana. Mechi hii ilikua mahususi kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima.
# # # # # # # # # # # # # # # #
Heart-warming charity football match for orphans organized by local youth. The 🇪🇺🇹🇿EU Delegation was proud to support and witness such community spirit!
🇪🇺🇹🇿 Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania uliambatana na Kikosi Kazi cha fedha kijani cha Tanzania katika ziara ya kimasomo iliyofanyika 🇧🇪📍 Brussels. Wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, timu hiyo ilijumuisha wawakilishi 15 kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Benki Kuu, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji, Soko la Hisa la Dar na Sekta Binafsi 🏢.
🤝 Ikiungwa mkono na Mpango wa Haitfungani ya Kijani Ulimwenguni wa EU, safari hiyo ililenga fedha za kijani na kijamii ili kufikia SDGs. Wawakilishi wa Tanzania walikutana na wasimamizi wa fedha za kijani, watoaji wa hatifungani za kijani kutoka Ulaya na wawekezaji, ili kuelewa matarajio na kuitangaza Tanzania kimataifa 🌍.
⏭️ Hatua zinazofuata ni pamoja na kukamilisha mfumo wa hatifungani ya Kijani na mijadala inayoendelea baina ya nchi hizo mbili.
# # # # # #
🇪🇺🇹🇿 The EU Delegation to Tanzania accompanied the Tanzanian Green Finance Task Force on a study trip to 🇧🇪📍 Brussels. Led by Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Finance, Elijah Mwandumbya, the team included 15 representatives from key sectors, such as the President’s office, Planning Commission, Central Bank, Capital markets authority, Dar Stock Exchange, Private sector etc....
🤝 Supported by the EU Global Green Bonds Initiative, the trip focused on green and social finance to achieve SDGs. Tanzanian representatives met with green finance regulators, European issuers of green bonds, and investors to understand expectations and promote Tanzania globally 🌍.
⏭️ The next steps include finalizing the Green Bonds Framework and ongoing bilateral discussions.
Maadhimisho ya miaka 25 ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) 🎉
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), Christine Grau pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, maafisa waandamizi wa serikali na viongozi wa sekta binafsi walizindua rasmi utafiti uliofadhiliwa na EU kuhusu "mchango wa sekta binafsi kwenye uchumi wa Tanzania kutoka 1992-2022" wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Sekta Binafsi Tanzania 2024.
Utafiti huu unatoa uchambuzi wa kina unaoonyesha jukumu muhimu la sekta binafsi katika kuzalisha ajira, kukuza ubunifu, na kuhamasisha uchumi wa mseto.
# # # # # # # # # # #
Celebrating the 25th anniversary of the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF)! 🎉
🇪🇺🇹🇿 Christine Grau together with the Prime Minister H.E. Kassim Majaliwa Majaliwa, senior government officials and private sector leaders officially launched the EU-funded “study on the contribution of the private sector to the Tanzania economy from 1992-2022” during the opening of Tanzania Private Sector Week 2024.
The study provides a comprehensive analysis highlighting the vital role of private enterprises in generating employment, driving innovation, and fostering economic diversification.
Opportunity! 🌍🎓
Tanzanian students and professionals, the Ireland-Africa Fellows Programme is offering fully-funded scholarships for Master’s studies at top-notch universities in Ireland! 🇮🇪✨
📅 Deadline: 28 July 2024.
Apply now here 👇🏽
https://www.ireland.ie/en/tanzania/daressalaam/services/opportunities-to-study-in-ireland/
Je unafikiria kutuma maombi ya ufadhili wa masomo kupitia programu ya ? 🎓🌱
Jiunge na kikao chetu cha taarifa kitakachohusiahsa wataalamu na wanafunzi wa sasa kutoka
📅 Tarehe: 24 Julai 2024
⏰ Saa: 5:00 asubuhi EAT
🔗 Jisajili hapa: https://bit.ly/3S5q4uk
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Thinking of applying for the Scholarship? 🎓🌱
Join our info session with experts and current scholars!
Get application tips and have your questions answered.
📅 Date: 24 July 2024
⏰ Time: 11:00 am EAT
🔗 Register here: https://bit.ly/3S5q4uk
Nafasi ya Kazi 📢
Je, unatafuta fursa ya kufanya kazi na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania? 🇪🇺🇹🇿
Tunatafuta msaidizi wa utawala ataefanya kazi chini ya kitengo cha utawala!
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi: 23 Agosti 2024 🗓️
Tuma ombi kwenye link hapo chini
# # # # # #
Job Alert 📢
Are you looking for an opportunity to work with the European Union in Tanzania? 🇪🇺🇹🇿
We are looking for an Administrative assistant to work in the Administrative Section!
This could be your chance!
Deadline: 23 August 2024 🗓️
Apply by following the link 👇🏽
https://www.eeas.europa.eu/delegations/tanzania/vacancy-administrative-assistant_en?s=124
🇪🇺Umoja wa Ulaya 🎉unampongeza kwa kushinda Tuzo la Afrika la 2023-2024!
Kwa tuzo hii, itasaidia kuwawezesha wanawake 100,000+ kote Afrika Mashariki, kuendeleza uthabiti wa kifedha, uhuru, na ujumuishaji wa kidijitali.
# # # # # # # # # # # # # # # #
The 🇪🇺European Union Delegation 🎉Congratulates for winning the 2023-2024 Africa Prize!
With this award, will help empower 100,000+ women across East Africa, driving financial resilience, independence, and digital inclusion.
📍Arusha Tanzania
The 🇪🇺European Union-funded Gender Transformative Action Programme (GTAP) is hosting a communications workshop led by the 🇹🇿Ministry of Community Development, Gender, Women and Special Groups. The workshop aims to raise awareness, provide training, and gather input on the program's communications strategy. GTAP focuses on enhancing freedom from Gender-Based Violence, promoting women’s economic empowerment, and promoting equality in leadership and decision-making.
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Mpango wa Mabadiliko ya Kijinsia unaofadhiliwa na 🇪🇺Umoja wa Ulaya (GTAP) umeandaa warsha ya maafisa mawasiliano inayoongozwa na 🇹🇿Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, inayolenga kuongeza uelewa, kutoa mafunzo, na kukusanya maoni kuhusu mpango wa GTAP na mkakati wake wa mawasiliano. GTAP inalenga kupambana na ukatili wa kijinsia, kukuza uwezeshaji wa kiuchumi wa wanawake, na kuongeza usawa katika uongozi.
📌 Umoja wa Ulaya inajivunia kushirikiana na Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) 🎥 katika toleo lake la 27.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Rejuvenation" ikimaanisha "Kuhuisha" ambayo inaelezea vyema uchangamfu na ukuaji wa sinema za Afrika 🎬.
🇪🇺🇹🇿 Umoja wa Ulaya imekuwa mshirika thabiti wa ZIFF 🤝 , na mwaka huu haitakuwa tofauti, kwani kupitia programu ya utamaduni ya , miongoni mwa mambo mengine, tutasaidia semina ya waongozaji filamu itakayofanywa na mtengenezaji filamu mashuhuri, ikilenga hasa watengenezaji filamu vijana.
"Utamaduni unabaki kuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Utamaduni, na aina zake tofauti, ni njia yenye nguvu kwa wanadamu wote, ikiwa ni pamoja na vijana, kujieleza na kujadiliana" 💭
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Bi. Christine Grau, alisema katika mkutano na waandishi wa habari tarehe 🗓 16 Julai 2024, uliolenga kutangaza rasmi shughuli za Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) 2024.
Jiunge nasi kati ya tarehe 1 hadi 4 Agosti, 2024, ili kusherehekea ubunifu, vijana na ushirikiano wa kitamaduni! 🥳
# # # # # # # # # # # # # #
📌 The European Union Delegation to Tanzania is thrilled to be in partnership with the Zanzibar International Film Festival (ZIFF) 🎥 for the 27th Edition of ZIFF!
This year’s theme, "Rejuvenation," perfectly captures the vibrant spirit of African cinema 🎬.
🇪🇺🇹🇿 The European Union has been a consistent partner for ZIFF, and this year will be no different, as through the culture programme, among other things, we will facilitate the Director’s masterclass session to be conducted by a renowned filmmaker targeting in particular young filmmakers.
“Culture remains such an important element in our lives. Culture, under its different forms, is a powerful instrument for all human beings, including crucially, the youth, to express themselves and to debate" 💬
EU Ambassador to Tanzania, Ms. Christine Grau, said at a press conference on 🗓 16 July 2024, which was aimed at officially announcing ZIFF 2024 activities.
Join us between 1 to 4 August, 2024, to celebrate creativity, youth, and cross-cultural collaboration! 🥳
📢 Fursa kwa wanawake vijana Tanzania!
🌍 Mpango wa ufadhili wa masomo kupitia programu ya , unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Ubalozi wa Ireland, unatoa fursa ya kusomea nishati endelevu.
,Sifa
✅ Wanawake wa Kitanzania walio chini ya miaka 35
✅ Udahili wa masomo mwaka 2024/25
✅ Wasiokuwa na ufadhili mwingine
Tuma maombi hapa https://scholarship.dit.ac.tz/
# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
📢 Opportunity to young women in Tanzania🇹🇿
The Scholarship Program, funded by the European Union and the Embassy of Ireland, is now open.
Eligibility
✅Tanzanian women under 35
✅Provisional/final admission for 2024/25
✅No other scholarships
Apply here https://scholarship.dit.ac.tz/
📍 Dar es Salaam: Kikao cha kukabidhi kompyuta kwenye Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) chenye lengo la kuboresha uwezo wa taasisi hiyo katika ukusanyaji na usimamizi wa takwimu za nishati na tabianchi. Pichani ni Meneja Programu ya Nishati katika Ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania Massimilano Pedretti 🇪🇺🇹🇿 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dk. James Mataragio. 🤝🏾
“Expertise France” inathibitisha Usaidizi wa Kiufundi kwa Mpango wa Marekebisho ya Sekta ya Nishati unaofadhiliwa na EU nchini Tanzania ili kusaidia uimarishaji wa uwezo katika takwimu.
Makabidhiano hayo yalifanyika katika kikao cha tatu cha k**ati ya uongozi wa mradi wa takwimu za nishati.
# # # # #
📍 Dar es Salaam: A Laptop hand over to the National Bureau of Statistics (NBS) aimed at improving the capacity of the institution on energy and climate data collection, management, and synthesis. In the picture is Massimilano Pedretti, Energy Program Manager at the EU Delegation to Tanzania 🇪🇺🇹🇿 and Dr. James Mataragio Deputy Permanent Secretary at the Ministry of Energy. 🤝🏾
Expertise France is providing technical assistance to the EU funded Energy Sector Reform Program in Tanzania in order to support the enhancement of capacities in statistics.
The handover was done at the third meeting of the steering committee of the energy statistics project.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the organization
Telephone
Address
Umoja House, Ilala District
Dar Es Salam
Opening Hours
Monday | 07:30 - 16:00 |
Tuesday | 07:30 - 16:00 |
Wednesday | 07:30 - 16:00 |
Thursday | 07:30 - 16:00 |
Friday | 07:30 - 13:00 |
46343
Dar Es Salam
OFFICIAL TEMEKE MUNICIPAL COUNCIL ACC. UKURASA RASMI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE KATIKA FACEBOOK. Instagram. @temekemanispaa. YouTube. @TMC TV. Twitter. @temekemanispaa Fa...
Buguruni
Dar Es Salam
When laughter is shared, it binds people together and increases happiness and intimacy,so REFRESH YOUR MIND HERE !
Dar Es Salam
Welcome to the USAID/Tanzania FB Page. Official source of information about USAID's work in Tanzania.
Dar Es Salam
Architects and Quantity Surveyors Registration Board was established by the Architects and Quantity Surveyors (Registration) Act No 16 of 1997, which was repealed and replaced by A...
Dar Es Salam
The Export Processing Zones Authority (EPZA) Tanzania gives you the greatest opportunity to realise your entrepreneurial ambitions. We are an investment pr
4th Floor, GEPF House, 37 Bagamoyo Road, Victoria
Dar Es Salam
LANDSPECS Developers Ltd is a fully registered Tanzanian company that deals with land and property
Mahak**a Road, Kinondoni
Dar Es Salam, P.O.BOX519DSM
Is a government Agency Administering Safety and Health at workplaces at Tanzania Mainland by using O