MS LAND Consult Limited

-Agents in land matters
-Drawing legal documents in land matters
-Land surveying (Upimaji)
-Physical planning(Mipango Miji)
-Land marketing

20/08/2024

Kww nini ufanye ujenzi bila kibali??
Karibu MS Land Consult Ltd, tutakupa ushauri jinsi ya kupata kibali na faida za kujenga nyumba kwa utaratibu mzuri. Hata ukitaka ramani tutakuandalia pia..
Call/Whatspp 0764427253

10/06/2024

We are open!

16/05/2024

Viwanja Vilivyomipwa na vyenye huduma zote k**a maji, umeme na barabara za kupitika muda wote!

Wasiliana nasi kwa bei nzuri (Best price)

Location / HQ 🏠
Kibaha/ Kwa Mathias
[Msanani Road]

We are open ⏰️
[Monday - Saturday]
07:00 - 17:000

Contant: ☎️
Call/whatsapp
0764427253

10/05/2024

Viwanjaaaa vyetu ni vikubwaaaaaaa! Karibu ununue kiwanja kilichopimwa!!

29/04/2024

Karibu MS Land Consult Ltd! Ununue kiwwnja kilichopimwa, ila k**a ushanunua kiwanja kisichopimwa tutakupimia na kukumilikisha! Huduma yetu ni nafuu ya Kitanzania kabisa!

27/04/2024

LUPUNGA | KIBAHA VIJIJINI # UrbanPlanning

27/04/2024

Ni weekend! "Twende ukachague kiwanja msimu huu wa mvua" Karibu MS Land Consult Ltd kwa huduma za upimaji, upangaji mji na hati" Tupo Kibaha Kwa Mathias. Call/Whatspp 0764427253

13/04/2024

Je una kiwanja chako, unahitaji kununua au kupima? Au unataka hati? Au unataka kukiuza? Basi karibu MS land Consult Ltd... Tunapatikana Kibaha Kwa Mathias.

10/04/2024

SORRY WE'RE CLOSED. EID HOLIDAY

10/04/2024

MS Land Consult Ltd tunakutakia mapumziko mema ya sikukuu ya Eid al-Fitr, usisite kututembelea na ofisi zetu kwa Huduma zetu za upimaji, mipango miji na Hati, hata kupata ushauri.

08/04/2024

Wakati ni sasa! Miliki ARDHI yako leo! Karibu tukupimie na tukumilikishie! Kazi yako wewe ni kutulia nyumbani usubiri uletewe hati yako! Kila kitu tunafanya sisi!

07/04/2024

Karume Day 7th April

04/04/2024

Shughuli yetu kubwa ni upimaji viwanja hakikisha unamaliza mwaka kiwanja chako kikiwa kimepimwa tayari. Upate hati na ulinde mali yako na upate dhamana hata kwenye taasisi za kifedha
◇ UPIMAJI
◇ MIPANGO MIJI
◇ HATI
◇ USHAURI
Tupigie kwa simu namba 0764427253
Au fika ofisini kwetu Kwa Mathias njia ya kwenda Msangani

13/01/2024

Kazi yako ni moja tu unatulia nyumbani unatuachia sisi kazi ya kukupangia, kukupimia na kupata hati yako. Huna haja ya kwenda wapi na wapi sisi tunakufanyia ..
Location: Kibaha Kwa Mathias..
Call +255(0)764427253
We're open Monday to Friday (0700 to 1700) and Sarturday 0800 to 1500) Closed on Sunday but open by appointment.
KARIBUNI SANA.
"We assist your investment"

25/12/2023

Mpendwa Mteja wetu wa MS LAND CONSULT LTD, uwe na Krismasi njema na Mwaka Mpya mwema huku ukifurahia huduma zetu.

25/11/2023

Land surveying

Photos from MS LAND Consult Limited's post 10/11/2023

Upimaji | Mipango Miji| Hati call 0764427253

02/11/2023

Plots for Sale Mwanalugali: price per square mita its 10,000 tshs !

Photos from MS LAND Consult Limited's post 05/06/2023

Miji inayoendelea na kupangwa vizuri, hazina kubwa kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi!

Photos from MS LAND Consult Limited's post 04/05/2023

MIPANGO MIJI ina uwanda mpana mno, ni pamoja na kujenga kwa kufuata taratibu zilizopo kwa kuacha eneo la barabara na miundo mbinu mingine k**a umeme , maji na hata kwa watembea kwa miguu na kwa manufaa mapana ya jamii! Jenga ukiwa umepata "KIBALI CHA UJENZIau ushauri wa wataalamu sio ushauri wa "FUNDI"
*WeAssistYourInvestment*
CALL 076447253

K A R I B U T U K U H U D U M I E

Photos from MS LAND Consult Limited's post 19/04/2023

Zoezi la upimaji huendana na usuluhishi wa mipaka ili kuweka alama (BEACON) zilizo sahihi ili kukamilisha upimaji uliosahihi na mipaka iliyosahihi kuendana na watu kupata hati zao

11/04/2023

We are open and ready to serve you after Easter Holiday!! Call: 0764427253

09/04/2023

Heri ya siku ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo! Amefufuka Kweli: Haleluyaaa . CALL: 0764427253

07/04/2023

Good Friday!! Blessings tunawatakia Ijumaa Kuu Njema! Mateso ya Kristo ikawe ukombozi katika maisha yetu.. Isaya 53:5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,
Alichubuliwa kwa maovu yetu;
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

01/04/2023

Have a nice weekend!!

01/04/2023

Hello April: MS Land consult Ltd inawatakia mwezo mpya wa April ukawe wa heri na mafanikio tele::

08/03/2023

Happy Womes's Day! Tunawatakia heri katika maisha na hustle zenu muwe k**a yule mwanamke anayezungumzwa katika MITHALI 31:10-31

25/02/2023

Cooooming Soon! 3Km | 12k per square mita!! Bado unataka nini tena??

20/02/2023

Amen! As we are welcoming Lent Season! May God keep us from Evil

20/02/2023

Hello Beautiful Monday! Have a productive week ahead!!

Want your practice to be the top-listed Law Practice in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

#MSLandConsultLtd #ArdhiSalama
Land Survey | Town planning | Real Estetes | Consultation #ArdhiSalama #MSLandConsultLtd Call or Whatspp 0764427253Kibah...
MS Land Consult Ltd, Kibaha Kwa Mathias, call 0764427253
Our coming weekend! KARIBUNI TUFANYE SITE VISTING

Telephone

Website

Address


Kwa Matias
Kibaha

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Other Kibaha law practices (show all)
UHURU GROUP UHURU GROUP
Kaloleni
Kibaha

Uhuru group ni kikundi cha vijana kinajihusisha na ujasiliamali ufugaji ukodishashaji viti na usafi