Wachangiaji wa Premise, San Francisco, CA Videos

Videos by Wachangiaji wa Premise in San Francisco. Premise ni aplikesheni ya simu inayozawadia jumuiya ya kimataifa ya Wachangiaji kukamilisha kazi

Mahali petu sote

🎉🌎 Siku ya leo tunaweka jiwe la msingi linaloashiria mwanzo wa msimu mpya, hatua mpya katika historia ya jumuiya yetu kubwa mno! Mamilioni ya Wachangiaji watakutana katika ukurasa mmoja mpya. Karibuni wote! Bofya hapa: ➡️ https://www.facebook.com/premisedata

Other Wachangiaji wa Premise videos

Mahali petu sote
🎉🌎 Siku ya leo tunaweka jiwe la msingi linaloashiria mwanzo wa msimu mpya, hatua mpya katika historia ya jumuiya yetu kubwa mno! Mamilioni ya Wachangiaji watakutana katika ukurasa mmoja mpya. Karibuni wote! Bofya hapa: ➡️ https://www.facebook.com/premisedata

Black Friday
😲🌎 Muda si mrefu, maduka ndani ya kila kona ya Marekani pamoja na Dunia yataanza maandalizi ya siku inayosubiriwa kwa hamu sana na wanunuzi wa kila aina. Je, “Black Friday” ni kitu kinachotokea nchini mwako? Kama jibu lako ni ndiyo, unapanga kununua kitu chochote katika siku hiyo? #furahiday #wikendi #jamii #tengenezapesa #Pesa #picha #Fursa #Premise #ios #android #AppStore #playstore

17,000
🎉😅 Kwa mara nyingine tena tumepiga hatua… Wafuatiliaji 17,000 kwenye chaneli yetu ya YouTube! Je, na wewe tayari ni mfuatiliaji wetu? Pitia kiungo hiki! ➡️ https://www.youtube.com/@PremiseGlobal #android #kipato #shiriki #fursa #app #jumatano #Jamii #Taarifa #mawazo #kidokezo #iOS #YouTube

Utafiti
Tutabidi sasa tukusanye maneno yote haya kisha tuyajumuishe kwenye kitabu! 😍 Unasemaje neno “Kazi za Tafiti” katika kilugha chako? Tuambie kwenye maoni! ⬇️ #kipato #shiriki #fursa #app #alhamisi #Jamii #Taarifa #mawazo #maoni #iOS #android #Tengenezapesa #wachangiaji

Kipato cha ziada
Je, leo upo tayari kujifunza dhana nyingine inayohusiana na Premise? 😍 Unasemaje neno “kipato cha ziada” kwenye kilugha chako? Tuambie katika maoni! ⬇️ #kipato #shiriki #fursa #app #alhamisi #Jamii #Taarifa #mawazo #maoni #iOS #android #Tengenezapesa #wachangiaji

Siku njema
Kufika nyumbani na kuiona familia yako, kusikiliza nyimbo yako pendwa au kupokea pesa ambayo hukuitegemea kwenye simu yako: Ni kitu gani kinafanya siku yako… kuwa siku njema? ⬇️ Tuambie kwenye maoni! #kipato #shiriki #fursa #app #alhamisi #Jamii #Taarifa #mawazo #maoni #iOS #android #Tengenezapesa #utalii

🌙☪️#RamadhanKareem kwa wanafamilia wa Premise! Kwa kipindi cha mwezi mmoja, Wachangiaji wa #Premise waliopo katika kila kona ya dunia wameshiriki nasi sherehe zao za Ramadhan. Kuanzia futari hadi mapambo mbalimbali ya kupendeza, tazama jinsi gani Jumuiya ya Wachangiaji wa Premise ilivyosherehekea Ramadhan na wapendao. #Ramadhan #Ramadhan2023 -

🤯 Bado hatuamini kama ingewezekana! Kila siku tunaendelea kuwa jumuiya imara, na yote haya yamewezekana kwa sababu ya nyie! Ahsanteni, Wachangiaji wetu 💪 Inaonekana mwaka huu tutaweza kufikisha watu 100k wanaofuata kurasa zetu? #jumatano #shiriki #jamii #Fursa

🎉 Japo mwaka 2022 imekwisha, lakini kwetu bado haujasahaulika. Ni muda sasa wa kuingia katika kichupo cha akaunti kwenye app ya #Premise na uangalie utendaji kazi wako wa mwaka jana, ukianza na nafasi yako kimataifa na kitaifa, idadi ya kazi ulizokamilisha na mengine mengi! Tuambie matokea yako kwenye maoni ⬇️ #jumanne #fursa #kipato #app #Taarifa

📲🛰️ Hakikisha umeiwasha! GPS yako kuwa katika hali ya kuwaka huruhusu app ya Premise kutambua eneo ulipo kisha kukutumia kazi zinazofaa, ambazo zipo karibu nawe. #Premise #app #pesa #taarifa #shiriki #ijumaa #wikendi #furahiday #jamii

🌎 Wote tunafahamu na kupenda manufaa yanayopatikana kwa kutumia VPN! Lakini mara nyingine, kama vile ukitumia app ya Premise, kuwasha VPN ya kifaa chako kunaweza kuathiri hali ya utumiaji na data unayowasilisha! Tunakushauri: wakati unakamilisha kazi IZIME ili usiende kinyume cha miongozo yetu ya jamii! #Wachangiaji #kipato #programu #fursa #Tengenezapesa #app #pesa #shiriki #fanyakazinyumbani #taarifa #alhamisi

🤯 Hatua rahisi za kuwa na kipato cha ziada bila kutoa jasho. Anza hapa: https://contributors.premise.com/sw/ #Premise #app #pesa #taarifa #shiriki #alhamisi #fanyakazinyumbani #Tengenezapesa

📲 Tunakuletea: Kipengele cha Hifadhi na Ficha Kazi! Umeshakuwa na hitaji la kuhifadhi taski kwa lengo la kuifanya hapo baadaye au kuificha kwenye Soko lako? Sasa unaweza kufanya hivyo kwa kubonyeza kwa sekunde chache taski husika kisha uteue chaguo ulipendalo. Pia, usisahau kwamba unaweza kuhifadhi kwa muda wa saa 8 pekee! #Premise #sasisho #pesa #taarifa #shiriki #jumanne #Wachangiaji #jamii #jiunge #simu #fanyakazinyumbani

🤝🌎 Kila mmoja wetu ana hadithi na sababu tofauti ya kujiunga na #Premise! lwe umeamua kuwa Mchangiaji kutokana na rafiki, ama ulipenda kujifunza zaidi. Tungefurahi kufahamu namna Premise ilivyokusaidia! Shiriki app ya Premise na marafiki zako: https://contributors.premise.com/sw/ #app #Ijumaa #pesa #wikendi #furahiday #jamii #programu #hela #jipatiepesa #Tengenezapesa

Jumuiya ya Premise imeundwa na tamaduni, maeneo na watu mbalimbali. Kwa sasa, idadi yetu imefika milioni na zaidi! Hivyo, ni muda wako sasa wa kunyoosha mkono wako kisha kujibu kwenye maoni kwa kutumia bendera ya nchi yako! ⬇️ #programu #pesa #Taarifa #habari #Premise #jumatano #jamii #kipato #Tanzania

⛱️❄️🌦️ Haijalishi upo wapi ulimwenguni. Iwe jua au mvua… Wikendi ndio hii! Tunaamini mpo tayari kukamilisha taski! Ni taski zipi ndizo unapendelea kufanya kwenye siku za wikendi? Tuna shauku ya kujua, tuambie hapo chini kwenye maoni! ⬇️

😏 Hapana, hii si ndoto. 💰 Njia ya kujipatia kipato cha ziada kupitia simu yako ni kitu kinachowezekana! Nenda kwenye kiungo kilichopo kwenye bio yetu; upakue app ya #Premise kisha uanze kujiingizia pesa leo. Pia, usisahau kuwajulisha na marafiki zako!

Tazama mambo mbalimbali. Ukiwa mahali popote. Kupitia chaneli yetu ya YouTube mahususi kwa ajili ya Wachangiaji wetu: Unaweza kuangalia maudhui ya video muda wowote kwa kutumia kifaa chochote, ili kuboresha matumizi yako ya app ya #Premise! ➡️ Unaweza kutupata hapa: https://bit.ly/3G6ahDv

Mara tu utapojaribu app ya #Premise, ndio safari yako itapoanza. Furahia faida za kuwa na njia mbadala ya kujipatia kipato kupitia simu yako, mahali popote na muda wowote. Pakua sasa: https://www.premise.com/contributors/contributors-swahili/

Tunapenda kutambulisha rasmi: Nembo yetu mpya! Zama mpya imeanza, na tunakutaka uwe sehemu ya zama hii! Kuwa sehemu ya kitu kikubwa kuliko wewe mwenyewe. Anza safari yako sasa!