Wachangiaji wa Premise

Wachangiaji wa Premise

You may also like

Ajjubhai
Ajjubhai

Premise ni aplikesheni ya simu inayozawadia jumuiya ya kimataifa ya Wachangiaji kukamilisha kazi

Wachangiaji wetu wa Premise husaidia kuboresha hali ya kuonekana wazi na ufahamu wa hali ya maisha katika kila kona ya dunia. Tunafanya kazi na mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja na the Bill & Melinda Gates Foundation, USAID, na Google kuwasaidia kufanya maamuzi yanayofaa ambayo huboresha utekelezaji wa programu. Shughuli (task) zinazokamilishwa na Wachangiaji ndani ya app ya Premise hutuwezes

11/29/2023

🎉🌎 Siku ya leo tunaweka jiwe la msingi linaloashiria mwanzo wa msimu mpya, hatua mpya katika historia ya jumuiya yetu kubwa mno! Mamilioni ya Wachangiaji watakutana katika ukurasa mmoja mpya. Karibuni wote! Bofya hapa: ➡️ https://www.facebook.com/premisedata

11/28/2023

📢 Hujakosea kusoma! Kuanzia tarehe 29 Novemba, jumuiya zote za Wachangiaji hapa Facebook zitajiunga kuwa jumuiya moja! Hivyo usikose kiungo hapo chini ili utufuatilie kwa ajili ya habari mpya pamoja na usaidizi! Ni rahisi tu, bofya hapa ili uanze: ➡️ https://www.facebook.com/premisedata

11/24/2023

🌎☺️ Kwenye chapisho letu la wiki iliyopita tuliwauliza Wachangiaji wetu wote, katika kurasa zetu zote za Facebook juu ya kipengele wanachokipendelea zaidi ndani ya app ya Premise: na inaonekana kuwa mshindi ni Kazi za Tafuta! Ikifuatiwa na Kiolesura cha app. Je, wewe unapendelea nini?

11/23/2023

Kujifunza na kubadilika ni mambo yasiyo na mwisho, lakini, ungekuwa na uwezo wa kubadili dunia, kwa kunena kauli, ushauri au neno moja tu… Lingekuwa nini? Tuambie hapo chini kwenye maoni! ⬇️

11/22/2023

📲💰 Ukiwa na Premise, unachagua lini utafanya kazi na lini utatoa malipo yako… Hivyo kila siku inaweza kuwa siku ya malipo! Anza hapa ⬇️ https://contributors.premise.com/sw

11/21/2023

🌎💰 Kwa kukamilisha kazi ndani ya app ya Premise, unajipatia ujuzi juu ya matukio muhimu yanayotokea ndani ya jamii yako na mtazamo wa kina zaidi kuhusiana na masuala ya kimataifa…. Bila kusahau, unajipatia pesa! Anza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

11/17/2023

😲🌎 Muda si mrefu, maduka ndani ya kila kona ya Marekani pamoja na Dunia yataanza maandalizi ya siku inayosubiriwa kwa hamu sana na wanunuzi wa kila aina. Je, “Black Friday” ni kitu kinachotokea nchini mwako? K**a jibu lako ni ndiyo, unapanga kununua kitu chochote katika siku hiyo?

11/16/2023

🤖 K**a kawaida yetu, tumeiuliza Akili Bandia (AI) “Unaweza kukisia ni kwa kiasi gani Jumuiya ya Premise ilivyo na watu wengi kutoka tamaduni mbalimbali?” Na picha hizi ndio jibu lake: Kuna hadithi nyingi sana ambazo tunaweza kuzielezea, ambapo tunaweza hata kujiita taifa la Wachangiaji!

11/15/2023

Timu yetu hufanya kazi bila kuchoka ili kuhakikisha app imesasishwa na vipengele bora, vitakavyokuwezesha ukusanye data itakayobadilisha dunia. Tuambie hapo chini kwenye maoni kipengele unachokipendelea zaidi! ⬇️

11/14/2023

Ndugu Bernardino anapenda kuburudika na app ya Premise! Je, unaweza kutuambia njia nyingineyo unayoweza kujipatia pesa halisi kwa haraka kupitia simu yako, huku ukisaidia jamii yako? 🤔 Kwa sasa, unaweza kuanza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

11/10/2023

🎉☀️ Wikendi ndio hii hapa! Unaweza chagua emoji 3 zinazotengeneza wikendi ambayo kwako ndiyo bora kabisa… zetu ni 👽😴🍕 . Tuambie zako kwenye sehemu ya maoni hapo chini!

11/09/2023

🎥 Inakuja hivi karibuni kwenye ukumbi wa filamu ulio karibu nawe! - Tunatania tu! 😅 Lakini tuliiuliza Akili Bandia (AI) “Hivi filamu ya animesheni ya Wachangiaji wa Premise ingefananaje?” Tuambie hapo kwenye maoni: Je, ungeitazama? Ungependa kuona nini katika filamu hiyo ya animesheni? ⬇️

11/08/2023

Jumuiya ya Premise kwenye Facebook inaendelea kukua na kukua! Lakini ni sehemu ndogo tu ya mamilioni ya Wachangiaji waliopo ndani ya idadi kubwa ya mataifa yanayounda familia ya Premise. Je, unamfahamu yeyote ambaye angependa kujiunga nasi? Mkaribishe hapa! ➡️ https://contributors.premise.com/sw

11/07/2023

🤔📲 Akiwa k**a mtafiti wa kweli, ndugu Ayodele amekutana na maeneo, jamii na mazingira mapya! Huku akijipatia kipato cha ziada. Je, na hii ni kweli kwako? Anza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

11/03/2023

💰🤔 Jiulize maswali haya, kisha fikiria kwa kina majibu yake: Umepata 2 kati ya 6? Au labda 4 kati ya 6? Bila ya kujali matokeo, suluhisho ni app ya Premise! Anza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

11/02/2023

Jamii iliyojengwa na Wachangiaji, ulimwengu ulioumbwa na matumaini. Sisi tunaiona, wewe je? Tuambie kwenye maoni ⬇️

11/01/2023

Na ni kutokana na msaada wenu, tumekuwa miongoni mwa chaneli zinazokuwa kwa kasi kubwa katika kategoria yetu! Kaiangalie hapa! ➡️ https://www.youtube.com/

10/31/2023

🤔📲 Ndugu Naomi amegundua siri! Kutumia muda wako mwingi kwenye mitandao ya kijamii kuna athiri si tu akili yako, bali pia… Mifuko yako! Anza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

10/27/2023

Uhuru pamoja na maoni yako vinathamani kubwa sana. Anza kupitia kiungo hiki: https://contributors.premise.com/sw

10/26/2023

☕🤔 ¡Pambano lianze! Katika pambano letu la kwanza la kirafiki: Kahawa dhidi ya Chai… Ni ipi ndiyo itachaguliwa na Wachangiaji wetu? Tuumalize ugomvi huu kwenye maoni!⬇️

10/25/2023

📲🎉 Huenda umekwisha pokea arifa: Tumepakia video mpya! Tayari unatufuatilia kwenye YouTube? Bofya kiungo hiki hapa! ➡️ https://www.youtube.com/

10/24/2023

💰Je, kipi ndiyo chanzo chako cha ziada cha mapato? Ndugu Suleiman kutoka nchini Naijeria anacho! Wewe unacho tayari? Anza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

10/20/2023

🍥🇯🇵 Rangi, sauti, na ladha… Dunia yetu imejawa na mapishi mengi matamu! Umeshawahi kula Rameni ya Japani? K**a ndiyo… ipi ndiyo unaipenda zaidi?

10/19/2023

😲🔍 Tazama picha hii kwa ukaribu! Unaona nini? Tuambie kwenye maoni! ⬇️

10/18/2023

🎉😅 Kwa mara nyingine tena tumepiga hatua… Wafuatiliaji 17,000 kwenye chaneli yetu ya YouTube! Je, na wewe tayari ni mfuatiliaji wetu? Pitia kiungo hiki! ➡️ https://www.youtube.com/

10/17/2023

🤔💰 Je, unathamini kwa kiasi gani muda na umaizi wako? Unaweza kuanza kwa kubofya kiungo hiki ➡️ https://contributors.premise.com/sw

10/13/2023

Unahisi kale kahali kaushindani? Ni muda wa kucheza mchezo wetu! Sheria ni rahisi: Fikiria kitu ambacho ‘hujawahi kukifanya’ wakati unatumia app ya Premise kisha tuambie kwenye maoni…. Tuone kiwango cha ubunifu ulichokuwanacho! (Soma maoni ya kwanza ili upate kidokezo cha namna ya kucheza!)

10/12/2023

Tutabidi sasa tukusanye maneno yote haya kisha tuyajumuishe kwenye kitabu! 😍 Unasemaje neno “Kazi za Tafiti” katika kilugha chako? Tuambie kwenye maoni! ⬇️

10/11/2023

😲 Ni jambo la kustaajabisha sana jinsi gani dunia yetu ilivyosheheni tamaduni…. Je, wewe ni miongoni mwa waongeaji wa lugha hizi tajwa? Ikiwa jibu lako ni hapana, tuambie kwenye maoni hapo chini lugha unayoiwakilisha! ⬇️

10/10/2023

🇦🇫 🎉 Afghanistani ndani ya nyumba! Qamar ni shabiki mkubwa sana wa app ya Premise, anajifunza na kujipatia kipato, ni rahisi kiasi hicho! Je, na wewe ni shabiki pia? Basi anza hapa ➡️ https://contributors.premise.com/sw

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in San Francisco?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Mahali petu sote
Black Friday
17,000
Utafiti
Kipato cha ziada
Siku njema
🌙☪️#RamadhanKareem kwa wanafamilia wa Premise! Kwa kipindi cha mwezi mmoja, Wachangiaji wa #Premise waliopo katika kila ...
🤯 Bado hatuamini kama ingewezekana! Kila siku tunaendelea kuwa jumuiya imara, na yote haya yamewezekana kwa sababu ya ny...
🎉 Japo mwaka 2022 imekwisha, lakini kwetu bado haujasahaulika. Ni muda sasa wa kuingia katika kichupo cha akaunti kwenye...
📲🛰️  Hakikisha umeiwasha! GPS yako kuwa katika hali ya kuwaka huruhusu app ya Premise kutambua eneo ulipo kisha kukutumi...
🌎 Wote tunafahamu na kupenda manufaa yanayopatikana kwa kutumia VPN! Lakini mara nyingine, kama vile ukitumia app ya Pre...
🤯 Hatua rahisi za kuwa na kipato cha ziada bila kutoa jasho. Anza hapa: https://contributors.premise.com/sw/#Premise #ap...

Address

San Francisco, CA
Other Computer Companies in San Francisco (show all)
ThriveSmart ThriveSmart
San Francisco, 94105

Riverbed Technology Riverbed Technology
San Francisco

We provide industry-leading unified observability and acceleration solutions to our global customers.

SF New Tech SF New Tech
San Francisco

Where Innovation Lives! SFNT is San Francisco's largest, longest running, and most loved tech event

Robot Stampede Robot Stampede
San Francisco

Mobile entertainment robots, game designers, and pirates.

Rocket Science Rocket Science
San Francisco

We don't post much here. See our LinkedIn page at https://www.linkedin.com/in/rocketscience

Fracture FX Fracture FX
San Francisco

A cross-platform, procedural, event-driven destruction solution for Autodesk Maya. Visit us at http://www.fracture-fx.com/

Microcodec Microcodec
San Francisco, 94102

Focused Founder's Online Accelerator Focused Founder's Online Accelerator
San Francisco

We help startup founders and tech entrepreneurs achieve “Startup Serenity” — profitable produ

CYBER security 11 CYBER security 11
San Francisco

Recovery of all Hacked,disabled,Locked, suspended. Facebook💥twitter💥Instagram💥PS NO FREE SARVICE

Seyu Seyu
San Francisco, 94103

Reimagining the way we live.

Computacenter US Computacenter US
2 Bryant Street Ste 150
San Francisco, 94105

A leading independent provider of IT infrastructure services, enabling users and their business.

Astro Micro Systems Astro Micro Systems
San Francisco

we are making impossible systems