Ahlul Bayt Centre - Kenya
Founded By Sheikh Abdilahi Nassir (1932-2022)
Mwenyezi Mngu Amrahamu mzee na muasisi wetu, Almarhum Sheikh Abdilahi Nassir
Katika Mada hii utapata kusikia:
1. Silaha za maangamizi za madola makubwa na matatizo ya dola za dunia ya 3(Atomic bombs,nuclear boms &nuton )biochemicalweapons.
2. Ikiwa hali ya dunia ni binaadamu kutesana,kudhulumiana na kuuana ,je hali hii itaendelea hivyohivyo mkaka mwisho wa dunia?
3. Massala ya kuja Mahdi madhehebu zote za kiislamu zinakubaliana,ushahidi kutoka vitabu mbalimbali vya kisunni
4. Ikhtilafu baina ya shia na sunni kuhusu imam Mahdi
https://youtu.be/kgC6kmaPlSI
#
Assalaamu alaykum. Tizamani saini ya mwalimu kwenye ma'soom ya Reading, History na Science. Mwalimu ni muasisi wetu, Almarhum Sheikh Abdilahi Nassir👆
Arab Boy's Primary School Mombasa. Terminal Report 1951.
Means of advancement are different and many; hope is the most important means.
Al Imam Al Khamenei (may God protect him)
Tufuatilie kwenye YouTube 👇🏽
Ahlul Bayt Centre (Kenya) - YouTube Share your videos with friends, family, and the world
Tumkumbukeni kwa fateha na dua shekhe wetu na baba wetu, Almarhum Sheikh Abdilahi Nassir, siku aliyozaliwa miaka 91 iliyopita leo.
Pay a visit to our library at Ahlul Bayt Centre - Kenya at Kilifi Corner/Floringi in Mombasa, to feast on hundreds of books on various subjects and quench your hunger for knowledge.
IKHTILAFU ZA MWEZI | 14/3/1992 | SHEIKH ABDILAHI NASSIR Tarehe: 14/3/1992Mahali: Holi la Bilal Muslim Mission of Kenya
MISINGI YA DINI (8) - KIBRI NNINI? | SHEIKH ABDILAHI NASSIR Jambo linalomfanya mtu kumkataa Mungu hata akipawa dalili
MISINGI YA DINI (7) - VIPI UISLAMU WATHUBUTHISHA KUWA MUNGU YUKO | SHEIKH ABDILAHI NASSIR - Maelezo kuhusu namna Uislamu unavothubutisha kuwa Mungu yuko- Mambo gani humfanya mtu kumkataa Mungu
MISINGI YA DINI (6) - JEE MUNGU AMEUMBWA? | SHEIKH ABDILAHI NASSIR Hujja za wanaompinga Mungu zaendelea kujibiwa, majibu ya hujja ya tatu:- Jee Mungu ameumbwa na nani?
MISINGI YA DINI (5) - JEE MAMBO YOTE NI SWADFA NA YAMEJIPANGA YENYEWE? | SHEIKH ABDILAHI NASSIR Hujja za wanaompinga Mungu zaendelea kujibiwa, majibu ya hujja ya pili:- Jee mambo yote ni swadfa na yamejipanga yenyewe?
MISINGI YA DINI (4) - MBONA MUNGU HAONEKANI? | SHEIKH ABDILAHI NASSIR Hujja zinazotumiwa kupinga uwepo wa Mungu na majibu ya hujja yao kwanza:- Mbona Mungu haonekani?
MISINGI YA DINI (3) - ILIKUWAJE WATU WAKAKATAA DINI? (2) | SHEIKH ABDILAHI NASSIR - Ilikuwaje Watu Wakakataa Dini?- Mambo yaliyotendeka Ulaya na Urusi
MISINGI YA DINI (2) - ILIKUWAJE WATU WAKAKATAA DINI? (1) | SHEIKH ABDILAHI NASSIR - Dini Nnini?- Ilikuwaje Watu Wakakataa Dini?
MISINGI YA DINI (1) - UTANGULIZI | SHEIKH ABDILAHI NASSIR - Misingi ya dini kwa mujibu wa madhehebu yote ya Kiislamu
Tafsir Surat-ul Hujuraat (10) | Vipi twaweza kujenga jamii ya ki-Islamu | SHEIKH ABDILAHI NASSIR
Tafsir Surat-ul Hujuraat (9) - Ayah 15-18 | Wakweli ni kina nani? (Swaadiqin) | SH. ABDILAHI NASSIR
NGUZO IMEVUNJIKA!😭
Ninaanza kuandika, Kwa Jina lake Manani
Niweleze ya hakika, niliyo nayo moyoni
Mupate kuyakumbuka, yawatue akilini
Nguzo ilipovunjika, msiba wa duniani
Kumi na tisa hakika, mwezi huu Ramadhani
Mkasa naukumbuka, uliojaa huzuni
Kisa kilipotendeka, tena ni msikitini
Ni nguzo imevunjika, ninaapa kwa yakini
Khaini kalikamata, panga lake mkononi
Kwa nguvu akalikita, bila huruma moyoni
Kichwani akamkata, alipokuwa swalani
Na nguzo ikavunjika, huu msiba jamani
Mbingu zilitikisika, kwayo dhoruba ya Ali
Arshi ikatetemeka, ilishindwa kuhimili
Jibril akatamka, maneno yaliyo kweli
Ni nguzo imevunjika, ninaapa kwa Jalali
Imam akatamka, dharuba lipoingia
Kwa Mola Alotukuka, wa Ka'ba namuapia
Nimefuzu kwa hakika, hili ninalitambua
Na nguzo imevunjika, hakika najiambia
Na wanawe walifika, wakaitazama hali
Machozi yanawatoka, walilia kiukweli
Mili yawatetemeka, kwa huzuni ilo kali
Nguzo ilipovunjika, mvunjiko wa kikweli
Huzuni 'so mithilika, imeningia moyoni
Furaha imetoweka, nimezama majonzini
Naweza vipi kucheka, kikumbuka kwa yakini
Nguzo ilipovunjika, Amiri wa waumini😭
RUIYA SALIM
Maiya
Tafsir Surat-ul Hujuraat (8) - Ayah 13-15 | Tafauti ya Muislamu na Muumini | SHEIKH ABDILAHI NASSIR
Tafsir Surat-ul Hujuraat (7) - Ayah 10-12 | Muislamu hafai kumdharau mwenzake | SH. ABDILAHI NASSIR
Tafsir Surat-ul Hujuraat (5) - Ayah 10 | Mgawanyiko wa ki-fiqhi (sharia) | SHEIKH ABDILAHI NASSIR
Tafsir Surat-ul Hujuraat (4) - Ayah 10 | Mgawanyiko wa ki-imani (Aqida) | SHEIKH ABDILAHI NASSIR
Tafsir Surat-ul Hujuraat (3) - Ayah 10 | Chanzo cha madhehebu (Uongozi) | SHEIKH ABDILAHI NASSIR
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Mombasa
80100
Opening Hours
Monday | 09:00 - 17:00 |
Tuesday | 09:00 - 17:00 |
Wednesday | 09:00 - 17:00 |
Thursday | 09:00 - 17:00 |
Friday | 09:00 - 17:00 |
Saturday | 09:00 - 12:30 |
Mombasa
To promote healthy youth development in the US and social economic empowerment to children around the world.
Mombasa
Rotary district 9212 E club is now called " Rotary eclub Safari Kenya, which comprises of Kenya, Ethiopia, Eritrea and South Sudan is now online. you can join the Rotary family...
Kilifi
Mombasa
Mganga Mashuhuri kutoka Kilifi...KUMFUNGA MKE/MUMEO KWENYE NDOA..SHIDA YA PESA..BLACK MAGIC
Shimanzi
Mombasa, 254
Gender Action Empowering Communities Pwani is a young women local led and a non profit organization
Nkuruma Road
Mombasa
"Off Road, Launch out into the deep" Harnessing Blue Economy Opportunities for Sustainable livelihoods
Kongowea Market
Mombasa
The voice is a community base organization with a zeal of creating change through our voices. Vision An informed and self-reliant community Mission Enhancing and promoting a pos...