Stop TB Tanzania

Tanzania joining other countries to start STOP TB chapter in Tanzania aiming to comply with Moscow de

15/07/2024

Dr. appreciates the role that has contributed in the fight against HIV,TB and Malaria over the years. He therefore calls Global Fund donors to honor their commitments to secure the $18B needed

Photos from Stop TB Tanzania's post 15/07/2024

Wasichana na Wanawake Vijana katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani wanyao nafasi kubwa katika mapambano dhidi ya Kifua Kikuu.

15/07/2024

Ugonjwa wa Kifua Kikuu unasababisha vifo vingi zaidi kuliko magonjwa mengine ya kuambukiza duniani kote. Ili kukabiliana na ugonjwa huu nchini Tanzania tunahitaji nguvu ya pamoja baina ya Serikali, wadau, mtu mmojammoja, taasisis za watu binafsi , tasisi za dini, Waganga wa tiba asili, Viongozi wa Siasa ikiwemo wabunge nao wanawajibu mkubwa kutetea Afya za wanachi wao ikiwemo Kuishauri vyema Serikali hasa katika kuongeza rasilimali fedha ktk kupambana na ugonjwa huu unaoathiri nguvu kazi ya Taifa kwa Kila rika. Jamii iendelee kujenga tabia za kupata elimu ya kukabiliana na ugonjwa HUO, Ummy Mwalimu Dr. Tulia Ackson Rev. Dr. Peter Bujari

26/03/2024

Kutana na Wataalam Wabobezi wa Maswala ya ugonjwa wa TB nchini,.Usikose kutazama kipindi cha ITV MEZA HURU kesho tarehe 27/3/2024 kuanzia saa 9:00 hadi 10:30 jioni. Utapata wasaa wa kuuliza maswali na kuchangia hoja ikiwa ni jitihada za kila mmoja katika kutokomeza Ugonjwa huu ifikapo mwaka 2030,

24/03/2024

Siku ya leo Dunia nzima inaadhimisha siku ya Kifua kikuu, k**a sehemu ya kutazama upya namna gani ugonjwa huu unavyoendelea kuathiri maisha ya Watu duniani, inatukumbusha jamii na mtu mmoja mmoja, Wadau , Serikali, Mashirika binafsi, mashirika ya Dini, tuweze kujidhatiti na kujitoa ili kutokomeza ugonjwa huu,

24/03/2024
Photos from Health Promotion Tanzania's post 24/03/2024
Photos from Stop TB Tanzania's post 25/03/2023

Youth can have a multiplier effect in the fight to end TB, to accelerate progress towards reaching the larger goal of ending TB by 2030. Stop TB Tanzania is working with young people around six regions to strengthen their engagement and implement the declaration.

Photos from Stop TB Tanzania's post 24/03/2023

Happening today, Tanzania is officially launching the MAF-TB, during the WTB Day 2023, His Excellence the guest of Honor announced to the public on the full multisectoral commitments to end TB by 2030! This is the historical event.

Photos from Stop TB Tanzania's post 24/03/2023

Each year, we recognize World TB Day on March 24. Tanzaniaalong with our partners get the chance to share successes in TB prevention and control and raise awareness of the challenges that hinder progress toward the elimination of TB disease in Tanzania.

23/03/2023

Our Six regions Youth Champion for TB is on its 2nd day,

23/03/2023

Yes! We can End TB.

YesEndTB - STOP TB TANZANIA 17/03/2023

UNAWEZA KUJISHINDIA HADI 500,000 kwa kushiriki katika kukuza uelewa wa mapambano dhidi ya KIFUA kikuu, kuelekea maadhimisho ya siku ya Kifua kikuu Duniani tarehe 24 March 2023. Bofya kushiriki dodoso hili fupi >> https://stoptbtanzania.org/yesendtb/

YesEndTB - STOP TB TANZANIA Kifua kikuu Ni Ugonjwa  Ni Hatari Kinaua Shiriki Kampeni hii ili kukuza uelewa kwa jamii na watu wa karibu, na unaweza jishindia hadi pesa Tasilimu. Bonyeza Kitufe kusambaza Dodoso hili baada ya kukamilisha majibu yote, unapaswa kusambaza kwenye magroup na watu wasio pungua 100 Ili kujishindia za...

Photos from Stop TB Tanzania's post 17/03/2023

Kwa pamoja Tunaweza kutokomeza Ugonjwa wa kifua Kikuu Nchini Tanzania: Soma Jumbe hizi na sambaza kw wengine

Photos from Stop TB Tanzania's post 16/03/2023

Towards WTB DAY2023, secretariat managed to go LIVE on to raise awareness on the fight against TB in Tanzania.

24/05/2022

Congratulations to Her excellence the president of United Republic of Tanzania Hon for increase in budget in effort to combat TB in Tanzania

30/03/2022

📣TANGAZO LA WASHINDI WA CHALLENGE YA ELIMU JUU YA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.

Katika kutoa elimu inayohusu ugonjwa wa kifua kikuu, Tanzania stop TB partnership] ilitangaza shindano la mtandao lenye lengo la kushirikisha jamii katika kutoa elimu zaidi ya ugonjwa wa kifua kikuu, Muitikio wa Washiriki ulikuwa mkubwa na Jumla ya watu walio fikiwa walikuwa 189,604 washiriki wote wamefanya vizuri, na hawa ndiyo washindi walioibuka kidedea.

1.
VIGEZO: (i) Ameeleza kwa usahihi dalili za ugonjwa wa kifua kikuu na kwa namna gani unaweza kutibika na ukapona kabisa. (ii) Ubunifu katika video zake na msukumo wa kuhimiza jamiii kupitia vibonzo katika kurasa zake za Instagram na Tik-Tok, (ii) Ameweza kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi ya Elf 15 kupitia kurasa zake za Instagram, Facebook na Tik-Tok, kutokana na comments,na likes nyingi hiii inaonyesha idadi kubwa ya watu wameweza kupata ujumbe na kuchukua atua.

2.
VIGEZO: (i) Maelezo kwa usahihi jinsi ugonjwa unavyopatikana, dalili zake na ushauri kwa jamii jinsi ya kujikinga. (ii) Video yenye ubora na sauti inayosikika vizuri katika kutoka ujumbe
(iii) Ameweza kufikisha ujumbe wake kwa Watu zaidi ya Elf 11 kupitia kurasa zake za Instagram, Facebook na Tik-Tok. Baadhi ya comments zimetuwezesha kutathimini kwamba ujumbe wake umekuwa na matokeo kwa jamii.

3.
VIGEZO: (i) Maelezo yaliyojitosheleza kuhusu sababu za kupatikana kwa ugonjwa wa kifua kikuu, dalili na Ujumbe kwa jamii jinsi kifua kikuu linavyoweza kutibika na kupona kabisa. (ii) Video yenye yenye ubora pamoja na sauti iliyochamka katika kutoa ujumbe. (iii) Ameweza kufikisha ujumbe kwa jamii kupitia ukurasa wake wa Instagram. Baadhi ya comments katika video zake zimetuwezesha kutathimini kwamba ujumbe wake umeleta matokeo katika jamii.

Asante sana wote mlioshiriki Tanzania stop TB partnership] inatambua mchango wenu na hivyo tutaendelea kuwashirikisha pale nafasi inapotokea, Mapambano dhidi ya kifua kikuu ni yetu sote. 💪🏼💪🏼

🏅Kama umetangazwa kubwa mshindi tafadhali wasiliana nasi kwenye inbox.

Photos from Stop TB Tanzania's post 24/03/2022

Kutoka katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga, Mh amesisitiza kuendeleza juhudi za mapambano dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu nchini.

Photos from Stop TB Tanzania's post 24/03/2022

Kutoka viwanja vya Tangamano, Jijini Tanga.

Welcome! You are invited to join a meeting: Announcement of TB social media challenge winners. After registering, you will receive a confirmation email about joining the meeting. 24/03/2022

📣You are invited to a STOP TB social media challenge Winners announcement.

When: Mar 30, 2022 03:00 PM Tanzania

Register in advance for this meeting:
>> https://zoom.us/meeting/register/tJwkdeCoqDoqG9Vh2yHcEYNUQ72M4PZc9bgR

After registering, you will receive a confirmation email containing information about joining the meeting.

Welcome! You are invited to join a meeting: Announcement of TB social media challenge winners. After registering, you will receive a confirmation email about joining the meeting. Welcome! You are invited to join a meeting: Announcement of TB social media challenge winners. After registering, you will receive a confirmation email about joining the meeting.

Photos from Stop TB Tanzania's post 23/03/2022

Journalists training on TB in Tanga region ended with handing over, certificates to attended participants!

Photos from Stop TB Tanzania's post 23/03/2022

Happening now! Journalist training on TB at Bombo hospital in Tanga region.

Cc:

Photos from Stop TB Tanzania's post 21/03/2022

Mapema leo jijini Dar es salaam, pichani ni wandishi wa habari wa vituo mbali mbali vya Redio na Televisheni walio shiriki katika Mafunzo ya siku moja kuhusu Ugonjwa wa Kifua kikuu hapa nchni, hasa hasa katika kuelekea maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani 24 Machi, 2022.

16/03/2022

🎉 JISHINDIE PESA TASLIMU
Kuelekea maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani, imekuandalia shindano kupitia mitandao ya kijamii, lengo ni kukuza uelewa kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu katika jamii ya Tanzania. iliwatembelea watu mbalimbali ili kuuliza mitazo yao kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu na haya ni maoni yao kwenye video hii.

MAELEKEZO JINSI YA KUSHIRIKI:
Ili kushiriki shindano hili, jirekodi video fupi ukielezea (i) njia ya uambukizaji wa kifua kikuu (ii) Dalili zake (iii) ujumbe kwa jamii ya Tanzania.
Baada ya kujirekodi, pakia video yako kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii (Facebook na Instagram) alafu tag . Tumia hashtag ya . ............................................
Note: washriki wote lazima wafollow page ya na . Mwisho wa shindano ni Tarehe 30/03/2021 Washindi watatu wenye views na likes nyingi, ubunifu na ujumbe sahihi watatangazwa tarehe 31/03/2021. Zawadi kwa washindi ni
ZAWADI:
1. Mshindi wa kwanza.....tshs 300,000
2. Mshindi wa pili ......tshs 200,000 mshindi wa tatu .....Tshs 150, 000

27/01/2022

Tanzania stop TB partnership. Inakupongeza na kukutakia mafanikio na heri nyingi katika maisha yako Mh.

24/12/2021

Happy holidays to you 🎈🎉

16/12/2021

Kifua kikuu, kinaepupukika kumbuka kuchukua taadhali.

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 02:30 - 17:30

Other Non-Governmental Organizations (NGOs) in Dar es Salaam (show all)
Art in Tanzania Art in Tanzania
Umoja Road Block 2Q, Madale Village
Dar Es Salaam, 23333

Art in Tanzania - a self-sustainable NGO helping communities in Tanzania.

Lalji Foundation Lalji Foundation
Morani House
Dar Es Salaam

The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.

Education For Disabled Tanzania Education For Disabled Tanzania
NSSF Road St, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, 14121

We are a non-profit organization, our main goal is to change lives of youths, children and those in

Vijana Na Ujana Vijana Na Ujana
Dar Es Salaam

Universal Human Development - Uhuden Universal Human Development - Uhuden
Zanaki Street
Dar Es Salaam, 11105

Universal Human Development (UHUDEN), is a Non-Government organization established under section 12 (1) of the NGO Act No. 24 of 2002, of the United Republic of Tanzania.

yowedfoundation2019 yowedfoundation2019
Mbezi Luis Mwisho, Makao Makuu
Dar Es Salaam

Nantambelele niokoe foundation Nantambelele niokoe foundation
CHANIKA
Dar Es Salaam

� DENY CHILD ABUSE � RIGHTS AND EQUALITY TO ALL Children �

Romme love justice Romme love justice
Sam Nujoma/Lufungira Road
Dar Es Salaam

ROMME Love Justice Tanzania, an anti Human Trafficking organisation is a member of TANAHUT.

Zeal for Care Organization Zeal for Care Organization
Majumba Sita
Dar Es Salaam

helping people with great needy

Da Tabu Foundation Da Tabu Foundation
P. O. BOX 20950
Dar Es Salaam, 12113

social activists who fight against violence and sexual violence and provide education to the community "Wanaharakati wa kijamii Tunaopambana kupinga ukatili na unyanyasaji wa kiji...

Mwangaza Tanzania Mwangaza Tanzania
Dar Es Salaam

Women Mean Business Women Mean Business
Pieta Lane, Masaki
Dar Es Salaam

Women Mean Business program aims to equip start-up women-owned SMEs by enhancing their business development skills and impacting entrepreneurial values.