Freemasons' Hall/Grand Lodge Of East Africa .
3084-LODGE HARMONY,
P.O. BOX 40118, NAIROBI,
FM Hall, NAIROBI.
12/JULL/2020.
MAFUNDISHO YA HEKIMA ZA FREEMASONS:
SAFARI YA KUWA TAJIRI - UHURU WA KI-FEDHA.
SOMO LA KWANZA.
Moja ya jambo linalosumbua na lenye changamoto nyingi kwa watu wengi ni uhuru wa kifedha. Kila mtu anapenda awe na uhuru wa kifedha kwenye maisha yake, lakini watu wengi tumekuwa bado tunapata shida kufikia uhuru huu wa kifedha na kuna muda tumekuwa tunafikiria utajiri au uhuru wa kifedha ni bahati na kwa watu wachache tu, kitu ambacho hakina ukweli hata kidogo.
Mhamasishaji na mjasiriamali, Les Brown anatushirikisha hatua za kuchukua ili kuwa na uhuru wa kifedha katika kitabu chake cha The Journey To wealth. Mwandishi ameandika hatua ambazo yeye mwenyewe amezitumia kumletea uhuru wa kifedha alionao leo.
Ni kitabu kinachoeleza maandalizi unayotakiwa kuchukua kabla ya kuwa na uhuru wa kifedha, kujua nguvu na uwezo wako wa kupata uhuru wa kifedha ulipo na jinsi ya kutengeneza uhuru wa kifedha kwa kesho yako.
Karibu sana tujifunze kwa pamoja mambo muhimu kwenye kitabu hiki kizuri:
1. Je ni sawa kutaka kuwa na mali au kuwa tajiri au kuwa na uhuru wa kifedha?
Mwandishi anaelezea umuhimu wa kuwa na mali kwa kueleza jinsi ambavyo alitumia fedha zake kumtibu mjukuu wake. K**a asingekuwa na fedha za kumtosha ingekuwa ngumu sana kwa mjukuu wake kupona, kwa sababu kiasi kikubwa cha fedha kilihitajika kwa ajili ya matibabu.
Fedha ni muhimu sana kwa dunia ya sasa. Bila kuwa na fedha ya kukutosha maisha yatakuwa magumu sana kwako.
Jamii zetu zinatuaminisha na kutufanya tuone kuwa na mali nyingi/ uhuru wa kifedha sio maadili kitu ambacho uongo. Watu wenye fedha nyingi katika jamii wanaonekana ni wezi na warafi. Jamii inataka kuona watu wote tunakuwa wa kawaida, watu ambao tutakuwa na pesa za kawaida zisizotutosha.
Ukweli ni kwamba matajiri au watu wenye uhuru wa fedha ndio watu wanaoweza kutoa msaada kwa wengine na kutoa msaada pale majanga yanapotokea. K**a mtu fedha uliyonayo haikutoshi utawezaje kuwasaidia wengine?
Kuwa na mali sio kwamba ni sawa tu, bali ni kitu cha muhimu. Ni muhimu kuwa na mali ya kukutosha ili upate malazi mazuri, upate chakula kizuri na mavazi unayotaka.
2 Hakuna siri ya kutengeneza utajiri au mali/ kuwa na uhuru wa kifedha ila kuna mfumo wa kutengenza mali au utajiri.
Ukitengeneza mfumo huu, lazima utakuwa tajiri bila kujali wewe ni nani, umri wako umeenda kiasi gani, au unafanya kazi gani.
3. Mfumo umegawanyika katika sehemu kuu tatu.
4. Maandalizi kwa ajili ya utajiri
Kutafuta na kujua uwezo wako mkubwa
5. Kulinda na kuyaweka salama maisha yako ya baadae
Tuanze na maandalizi kwa ajili ya utajiri.
Mwandishi anaelezea umuhimu wa kuwa na maandalizi kabla ya kuwa na uhuru wa kifedha.
K**a unategemea mvua kunyesha, lazima ujiandae kwa kubeba mwamvuli. Vivyo hivyo ukitaka kuwa na uhuru wa kifedha kuna maandalizi lazima uyafanye.
Maandalizi yenyewe mwandishi anayomaanisha ni kuamini na kujiamini kwamba kuwa tajiri au kuwa na uhuru wa kifedha ni jambo linalowezekana. Kitu chochote unapoamini kinakuwa chepesi. K**a kitu huamini kwamba inawezekana, hata kukipata itakuwa ngumu sana.
K**a kweli Unataka kuwa na uhuru wa kifedha, lazima uamini na ujiamini kwamba ni jambo linalowezekana kwako.
Kwenye maandalizi mwandishi ameelezea vitu vingine muhimu vya kufanya kabla ya kuwa na uhuru wa kifedha. Nimeeleza vitu hivi kimoja baada ya kingine hapa chini.
๐Andika sababu tano za kwa nini unataka kuwa tajiri au kuwa na uhuru wa kifedha.
Kwenye maandalizi, andika sababu tano, ambazo zitakufanya usikate tamaa kipindi kigumu. Kwenye safari ya kuwa na uhuru wa kifedha kuna vipindi vigumu lazima utapitia, kuna kipindi mambo yataenda kinyume na ulivyopanga, kuna kipindi utakutana na vikwazo vya kukatisha tamaa.
Ili uvuke yote hayo unahitaji kuwa na sababu za kwa nini unataka uhuru wa kifedha. Sababu hizi zitakupa nguvu na hamasa ya kuendelea mbele, hata k**a unapitia vipindi vigumu. Jua na andika sababu zako tano (kwa nini zako tano) zitakazokupa nguvu ya kuendelea kipindi kigumu.
๐Ondoa watu hasi na sumu kwenye maisha yako.
Mafanikio yako katika uhuru wa kifedha yanategemea umezungukwa na nani. Kuna watu hawataweza kuwa na uhuru wa kifedha kwa sababu ya watu hasi waliowazunguka.
Watu wanaokwambia huwezi kitu au huwezi kuwa na uhuru wa kifedha, ni watu wa kukimbia k**a ukoma. Watu k**a hao ni sumu kwenye safari yako ya uhuru wa kifedha. Waondoe na waepuke kabisa kwenye maisha yako.
Wanamaliza nguvu zako na kukuondoa kwenye ndoto zako. Utafiti umeonesha, mtu mmoja anapokwambia huwezi kufanya kitu flani, mtu mwingine anatakiwa akuambie unaweza mara 17 ili kuondoa uhasi huo ambao mwingine amekupandia, unaiona hii rafiki yangu? Unahitaji kuwa makini sana na marafiki ulionao.
Mtu mmoja anapokwambia haiwezekani mara 1,unahitaji kuambiwa unaweza mara 17 na mtu mwingine ndio uweze. Kwa hiyo lazima uwe mwangalifu sana na maneno unayosikia na watu gani wanakuzunguka kwa muda mrefu.
Tafuta marafiki wa kukujenga sio kukubomoa. Tafuta watu walio na shauku ya kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kifedha k**a wewe. Chagua marafiki na watu wako wa karibu kwa uangalifu, wasije kuwa kikwazo kwako kupiga hatua.
Tafuta marafiki watakaokupa ushauri mzuri kipindi cha njia panda. Watu watakaokusaidia kusonga mbele na sio kukurudisha nyuma. Hawa ndio watu wa kuwakumbatia na kukaa nao muda mwingi k**a kweli unataka kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kifedha.
๐Usiruhusu hofu zako zikutawale na ishi kwa imani.
Hofu ni kitu cha uongo kinachoonekana k**a ni kweli. Ujasiri sio kutokuwepo kwa hofu, bali ni kufanya kitu ingawa kuna hofu. Zitumie hofu zako kukupa nguvu na kukufanya uende mbele zaidi, na sio kukuogopesha na kukufanya ushindwe kupiga hatua.
Hofu zipo na hatuwezi kuzikwepa, lakini ni jukumu letu kuzitumia hofu kutupa nguvu ya kuendelea na sio kutuzoofisha na kutufanya tukate tamaa. Ishi kwa imani.
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA {DGLEA}
UNDER THE UNITED GRAND LODGE OF ENGLAND [UGLE].
4385 - HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Whereby:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
KUHANI MKUU - DISTRICT GRAND MASTER;
SIR SELEMAN N. SAID.
ANAPATIKANA KWA SIMU NAMBA:-
Whats' APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
Foolow US Instagram by clicking the Link below๐
https://www.instagram.com/tv/Cwa2869AeGA/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐๐๐ง ๐๐ฅ๐๐ก๐-๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐๐ฆ๐ง ๐๐๐ฅ๐๐๐.
๐จ๐ก๐๐๐ฅ ๐ง๐๐ ๐จ๐ก๐๐ง๐๐ ๐๐ฅ๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐ก๐๐๐๐ก๐ [๐จ๐๐๐]
KUHANI MKUU ; MASTER SELEMAN N. SAID.
Mojawapo ya jambo muhimu sana katika maisha yetu ni kufurahia maisha - Kuwa na furaha - Ndio jambo la muhimu" Audrey Hepburn
Kila mwanadamu anapenda kuwa na furaha, furaha ni lengo la muhimu sana kwenye maisha yetu sisi wanadamu. K**a ilivyo kawaida kwa watu wengi, kila mmoja anapenda kuwa na siku yenye furaha, wiki yenye furaha, mwezi wenye furaha na mwaka wenye furaha. Wanadamu tunaweka sheria mbalimbali za kuishi ili tuishi kwa amani na furaha, tunajituma na biashara na kazi ili tuwe na maisha mazuri yenye furaha. Tunaishi na watu vyema ikiwemo ndugu zetu na wanafamilia ili tuwe na amani na furaha. Kila tunachokifanya katika maisha yetu tunalenga kuwa na furaha.
Tukisema tuweze kuchambua sana kuhusiana na jinsi tunavyoitafuta furaha, ni mlolongo mrefu na mifano mingi tunaweza kupata katika kuchambua lengo la furaha na maisha ya wanadamu. Lakini mbali na yote, tunaanza mwaka mpya na ni vyema tukumbuke mambo machache katika kutafuta furaha yetu ya maisha.
Weka Fikra na Kipaumbele Ambapo Panakupa Furaha
Kila siku, ni nafasi yetu kuamua kuwa na furaha au kutokuwa na furaha. Katika kila jambo na katika kila hali tunaweza kuchagua kuwa na furaha au kuwa na fikra katika upande mbaya wa hasi. Ukichunguza vizuri katika maisha yetu, bila kujali mtu unapata taabu gani za maisha; lazima utapata kitu ambacho kinakupa furaha. Hakuna mwanadamu ambaye ana taabu kwa asilimia zote.
Unapoanza mwaka upya, weka nia ya kuhakikisha kuwa unaweka kipaumbele katika nafasi, watu , hali, vitu au chochote kinachokupa furaha. Acha kushikilia huzuni na majuto bali weka akili yako kwenye furaha. Chukulia mwaka mpya ni nafasi ya kuanza mwaka kwa furaha na chunguza kinachokupa furaha kisha kipe kipaumbele.
Weka Urafiki na Upendo Mkubwa Kwako kuliko Mtu Yeyote
Wanadamu wanaweza kukufanya ukakosa furaha, kwa sababu wanadamu hawatabiriki. Lakini wewe mwenyewe unaweza pia kujipenda na kuweza kuwa na amani ya moyo. Kujipenda tunakozungumzia sio kujipenda kwa ubinafsi, bali kwa kujijali, na kujithamini. Jiheshimu na jipe kipaumbele katika maisha yako. Tenda matendo yenye faida kwa mwili wako na afya yako, jiheshimu na hakikisha unajithamini vyema. Hii itakusaidia kuwa na amani hata k**a watu wakikupa huzuni, utaendelea kufurahia urafiki ulioweka na nafsi yako binafsi kuliko kuumizwa.
Jifunze kuwa na Furaha Hata Katika Nyakati Zenye Shida.
K**a nilivyosema hapo awali, katika kila hali tunayokutana nayo, kuna upande hasi na upande chanya. Ni sisi wanadamu ndio tunakuwa na maamuzi ya kuchagua ni upande upi tuupe kipaumbele zaidi ya upande mwingine. Tazama pande zote na kisha jifunze kupitia matokeo yote na usiruhusu kupoteza amani na furaha yako ya moyo.
4337 โ EQUATOR LODGE
P.O. Box 653, Kisumu 40100.
Consecrated 13th May, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, KISUMU
Last Sat. 2, 5, 8, 11, Inst-5.
Where by:
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
DISTRICT GRAND MASTER [KUHANI-MKUU]
DR SELEMAN N. SAID
Whats'APP Us: +255753694384.
Whats'APP Us: +255757567678.
"Imani yako ndiyo mafanikio yako".
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐๐๐ง ๐๐ง๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐๐ฆ๐ง ๐๐๐ฅ๐๐๐.
๐.๐.๐.๐.๐ ๐จ๐ก๐๐๐ฅ ๐ง๐๐ ๐จ.๐.๐.๐
FUNZO: MAISHA NI KUCHAGUA FUATA MOYO WAKO FUATA AKILI YAKO.
Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ na pembeni yupo mwanae mdogo apo akijisemesha na akatamka maneno ambapo mama akaona ni k**a ameanza kuongea. Kwa furaha anampigia simu mumewe akimtaka amsikilize mwanae akiongea. Hapo mama anamtaka mwanae aseme โmamaโ na baba naye anavutia kwake akimtaka aseme โbabaโ. Kwa maajabu kabisa mtoto anawapotezea wote na kutamka โni Tigo peesaโ. Wazazi wakashikwa na butwaa lakini huku wakitabasamu.
Ukiitazama vizuri kazi ya ubunifu iliyotumika katika tangazo hili unaweza kupata funzo, pamoja na mengine, kwamba mtoto alikua na chaguzi lake ambalo ni tofauti na yale ambayo wazazi walikua wamempa. Lakini zaidi, pamoja na kuwa amekuwa na chaguzi lake binafsi, pasipo kufuata alichoagizwa na baba au mama, bado wazazi wanatabasamu kwani wanaona mwanao kafanya jambo jema.
๐Unaona unavyofanya kazi bila furaha kwa kua ulifanya chaguo la kazi hiyo kwa kusikiliza ndugu au marafiki.
๐Unaona unavyo _struggle_ katika biashara kwani halikua chaguo lako bali ni la ndugu au marafiki
๐Unakumbuka ulivyoshindwa kusomea kile unachopenda kwa kusikiliza ndugu au marafiki
9
๐Unakumbuka ulivyoshindwa kuishi na yule mwenzi uliyempenda na mkapendana naye kwa kusikiliza ndugu na marafiki
Unaweza kushauriwa, na ushauri ukawa ni mzuri kabisaa na ukaona ni vyema uufuate kwa kua hata wewe umeambiwa na ukachanganya na akili yako ukaona inafaa.
Jana nilitoa semina kwa wanafunzi wote wa Shule ya Sekondari Changโombe, pamoja na mambo mengine nikawataka kupima sana marafiki walio nao na kuona k**a ni washauri wazuri na k**a sivyo waachane nao na kuwa na marafiki wapya wenye mawazo chanya ya kuwasaidia kutimiza ndoto zao.
Kuna hii daladala imeandikwa nyuma *_Marafiki wengi mjini hasara_*. ๐. Mie nakuambia sio marafiki tu, hata ndugu pia. Kikubwa ni kuwapima wale ulio nao karibu na kuona k**a bado ni wa msaada kwako. Wapime na chukua hatua. Kumbuka Mheshimiwa JK aliwahi kutuasa โ _Akili za kuambiwa, changanya na za kwako_ โ.
"Fuata akili yako, fuata moyo wako. Fanya maamuzi pekeako watu hukwamisha ushauri mwingi huharibu mpango wako FUATA AKILI YAKO FANYA MAAMUZI YAKO PEKE AKO".
Fuata muongozo wa kiroho wenye nguvu kubwa kwa kuwa kila kitu huanzia rohoni na akilini mwako katika ulimwengu usio onekana. Ungana na Jumuiya yenye nguvu na kongwe ulimwenguni JUMUIYA YA FREEMASON kupata muongozo thabiti wa kiroho usio tikisika na wa haraka ili kutimiza ndoto zako ndani ya muda stahiki .. lakini njia hii si nyepesi yahitaji moyo na kujituma na kupambana.
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA.
District Grand Lodge of East Africa - Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England.
District Grand Master,:Brother SELEMAN N. SAID. [KUHANI MKUU]
District Grand Secretary: Brother
ASHRAFF KHAN CHANDE
4385 โ HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
DISTRICT GRAND MASTRR - HIGH PRIEST
DR SELEMAN N. SAID [KUHANI MKUU].
TUANDIKIE UJUMBE WAKO WA MAOMBI YA UANACHAMA KUPITIA:-
Whats'APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
Instagram Link FOLLOW
https://www.instagram.com/p/C08itnatPqa/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Amini kwamba wewe ni wa kipekee sana, na umekuja kutimiza Jukumu la kipekee; kamwe usipoteze muda wako kukamilisha majukumu ya mtu mwingine.
Wewe ni sehwmu ya ile nguvu kuu ya Asili. Wewe ni sehemu ya nguvu kuu takatifu, wewe ni sehemu ya Mungu mkuu. INUKA SASA!
5299 - GUIDING STAR LODGE.
P.O. Box 316, Dar es Salaam.
Consecrated 27th November, 1931
by W. Bro. T. W. Williams
Suspended: October 1957.
Warrant Returned: June 1959
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
4th Mon 3-4-5-6-7-8-9-10, 4th Sat 11, Inst11.
Whats'APP US: +255753694384.
Whats'APP US: +255757567678.
https://www.instagram.com/tv/C3hwn5Uxdoq/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
"Usikubali kufeli, weka nia, juhudi na malengo; huto weza kufeli kwenye jambo lolote. Kila wakati unapo waza kwamba 'Hauwezi' malizia na neno 'kufeli'." USIKUBALI KUFELI
Fuata muongozo wa kiroho wenye nguvu kubwa kwa kuwa kila kitu huanzia rohoni na akilini mwako katika ulimwengu usio onekana. Ungana na Jumuiya yenye nguvu na kongwe ulimwenguni JUMUIYA YA FREEMASON kupata muongozo thabiti wa kiroho usio tikisika na wa haraka ili kutimiza ndoto zako ndani ya muda stahiki .. lakini njia hii si nyepesi yahitaji moyo na kujituma na kupambana.
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA.
District Grand Lodge of East Africa - Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England.
District Grand Master,:Brother SELEMAN N. SAID. [KUHANI MKUU]
District Grand Secretary: Brother
ASHRAFF KHAN CHANDE
4385 โ HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
DISTRICT GRAND MASTRR - HIGH PRIEST
DR SELEMAN N. SAID [KUHANI MKUU].
TUANDIKIE UJUMBE WAKO WA MAOMBI YA UANACHAMA KUPITIA:-
Whats'APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
Instagram Link FOLLOW
https://www.instagram.com/p/C08itnatPqa/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐๐๐ง ๐๐ฅ๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐๐ฆ๐ง ๐๐๐ฅ๐๐๐.
UNALINDAJE NDOTO YAKO?
Iandike.
K**a unasema una ndoto lakini bado ipo kichwani bado hujaelewa maana yake. Katafute Notebook nzuri sana ya gharama Huwezi kuandika ndoto ya kuwa Bilionae kwenye note book ya elfu mbili aisee.
Tafuta notebook ya Gharama hata ya 20,000 ili uweze kuitunza vizuri. Andika kila kitu unachokitaka kwenye dunia hii. Hakikisha umeandika kila Kitu na usiache hata kimoja.
Hii ni njia ya kwanza ya kuilinda ndoto yako. Nikikutana na wewe sehemu Uniambie au unionyeshe kilipo kitabu chako cha ndoto. Andika ni Jinsi gani unaweza kupata vile vitu. Ni ujuzi wa namna gani unahitaji ili uweze kufikia ndoto zako. Ni watu wa namna gani unahitaji kuambatana nao ili ufanikiwe kwenye doto zako. Andika ni Baada ya Muda gani utakua umefikia Ndoto zako. Sasa hapa Ni somo jingine kabisa jinsi ya kuandika malengo. Malengo ya muda mfupi na Muda mrefu.
Soma ndoto zako kila siku Asubuhi na kabla ya Kulala.
Soma kila siku namaanisha kila siku asubuhi na jioni. Kwanini usome kila siku ? Unaichora au unaiingiza picha ya ndoto zako ndani ya ubongo wako hii itakufanya chochote utakachokutana nacho k**a hakiendani na ndoto yako uweze kukiepuka na k**a kinaendana basi uweze kukivuta. Unaposoma inajijenga kwenye akili yako na kutengeneza ukaribu wa wewe kuifikia zaidi.
Soma na tafakari.
Tenga Muda peke yako.
Hakikisha unatenga Muda wa peke yako angalau kila wiki ukiwa peke yako sehemu ambayo haina usumbufu wowote. Sehemu hiyo utakua unaipa akili yako nafasi ya kutafakari juu yako wewe. Jitazame ulivyo sasa halafu jitazame wewe ukiwa umefikia kwenye ile ndoto yako. K**a ni gari basi anza kujiona jinsi unavyoliendesha lile gari la ndoto yako. K**a ni Rais ebu jione ukiwa Ikulu basi Jione ukiongoza majeshi. K**a ni Bilionea anza kuona ukiwa Bilionea utakavyokua. Utakavyoweza kubadilisha maisha ya watu wengi sana Duniani. Ona jinsi dunia inavyofurahia Mungu Kukuumba wewe kwasababu maisha yao yamebadilika. Nashauri hili ufanye angalau lisaa limoja ukiwa peke yako bila simu wala kifaa chochote cha mawasiliano.
Soma Vitabu na Fanyia Kazi ndoto yako Kila siku.
Soma vitabu ambavyo vitakuza ufahamu wako ili wewe uweze kuifkia ndoto yako.
K**a unataka kuwa Rais wa Nchi lazima ujue kua unakwenda kuongoza watu hivyo vitabu gani usome ili ukuze ufahamu wako.
Unataka kuwa Bilionea hutaweza kuwa bilionea na ufahamu ulionao sasa hivi mali zote zinatakiwa ziongozwe na wewe hivyo jijengee tabia ya kujisomea vitu mbalimbali juu ya ile ndoto yako.
Ili ufikie Ubilionea unaanza na hatua moja anza leo kupiga hatua moja moja hadi ufikie kule unakotaka. Usikubali kabisa siku ipite ujafanya chochote juu ya Ndoto yako ni kupoteza fursa.
K**a tunavyojua fursa ya kwanza ni uhai tulionao leo hivyo usitumie vibaya leo siku zote unakuwaga na leo tu. Ukiweza kuipangilia leo vizuri itakufikisha kwenye ndoto yako.
Jipongeze
Kwenye kila hatua unayopiga jipongeze ili kujiongezea hamasa na wewe uweze kusonga mbele. Unaweza kujipa zawadi ndogo ndogo ambazo huwa unazipenda kila unapopiga hatua kuelekea kule unapotaka.
Iseme ndoto yako sehemu yeyote unapokuwa.
Kwanini uiseme kwa sababu una Imani na Imani ni kua na hakika juu ya mambo yasiyoonekana.
Hata Yusuf alianza kuwaambia ndugu zake kwamba anaona ndoto anaona akiwaongoza. Walimkemea lakini hakusita kuendelea kuwaambia.
Hii itakusaidia unapokamilisha iwe ushuhuuda kwamba huyu jamaa alituambiaga anakuja kuwa Rais, Bilionea, Mtu mkuu sana.
Kuwa na ndoto kubwa ni jambo la muhimu sana katika maisha. Mara nyingi, inasemekana kwamba ikiwa una ndoto ambazo hazikutoi usingizi, basi unaelekea katika mwelekeo sahihi. Mara nyingine, watu watakuita mchawi wanapoona unafanikiwa. Lakini, kumbuka, maneno hayo hayana msingi k**a yanasemwa wakati unapoanza tu kuota ndoto zako kubwa, k**a vile kujenga ghorofa au kumiliki gari la kifahari k**a BMW, wakati huna chochote.
Watu wanaokatisha tamaa mara nyingi ni wale wale ambao hawawezi kuona mbali kuliko hali yako ya sasa. Hawaelewi kwamba ndoto huenda zaidi ya hali ya sasa. K**a mtoa hamasa Norman Vincent Peale alivyosema, โPanda picha ya mafanikio ya kustaajabisha katika akili yako. Fikiria hili kwa nguvu. Kisha, fanya kazi kwa ujasiri kila siku kufanya picha hiyo kuwa uhalisia.โ
Ni muhimu pia kutambua kwamba kuisema ndoto yako, kuiweka wazi mbele ya wengine na kujiamini, kunaweza kukujengea ujasiri. Hiyo ina maana ya kuendelea kutafakari kwa bidii jinsi ya kuifanya ndoto yako iwe kweli. Usemi unasema, โUjumbe mzito huvunjika moyo pale unapotamkwa.โ Hivyo, endelea kuongea kuhusu matarajio yako, mipango yako, na ndoto zako. Hii itakupa nguvu ya kuvumilia nyakati ngumu na kukusaidia kubaki thabiti katika njia yako.
Naamini una kila kitu kinachohitajika kuilinda ndoto yako. Itapasa uwe na nidhamu, uvumilivu, na azma thabiti. Kikubwa zaidi, uwe tayari kujifunza na kukua. Kila hatua unayopiga kuelekea katika ndoto yako, hata ikiwa ni ndogo, ni hatua muhimu.
Kumbuka kwamba hakuna jambo la maana ambalo hutokea usiku mmoja. Mafanikio ya kweli hujengwa kidogokidogo. Kwa hiyo, hata k**a unakabiliwa na kejeli au shutuma, usiruhusu hiyo ikuvunje moyo. K**a alivyosema mwanasiasa na mwandishi wa Marekani Adlai Stevenson, โNi jambo kubwa kuweza kukumbuka wakati umefanikiwa, kwamba kuna wakati pia uliwahi kushindwa, na kwa vipimo vilevile, ukatumia fursa hiyo kukua na kuboresha.โ
Hivyo basi, lipokee wazo la mafanikio moyoni mwako, liweke hai katika mazungumzo yako na hatua zako, na kisha, lifanyie kazi kwa ajili ya kesho yenye matumaini. Jitahidi kwa kila njia kuona ndoto yako ikitimia. Jipe moyo na usisahau kusherehekea kila hatua unayopiga kwa mwelekeo chanya.
Fuata muongozo wa kiroho wenye nguvu kubwa kwa kuwa kila kitu huanzia rohoni na akilini mwako katika ulimwengu usio onekana. Ungana na Jumuiya yenye nguvu na kongwe ulimwenguni JUMUIYA YA FREEMASON kupata muongozo thabiti wa kiroho usio tikisika na wa haraka ili kutimiza ndoto zako ndani ya muda stahiki .. lakini njia hii si nyepesi yahitaji moyo na kujituma na kupambana.
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA.
District Grand Lodge of East Africa - Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England.
District Grand Master,:Brother SELEMAN N. SAID. [KUHANI MKUU]
District Grand Secretary: Brother
ASHRAFF KHAN CHANDE
4385 โ HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
DISTRICT GRAND MASTRR - HIGH PRIEST
DR SELEMAN N. SAID [KUHANI MKUU].
TUANDIKIE UJUMBE WAKO WA MAOMBI YA UANACHAMA KUPITIA:-
Whats'APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
Instagram Link FOLLOW
https://www.instagram.com/p/C08itnatPqa/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Usiache kusonga Mbele,
Usiwe na Mashaka juu ya mwendo wako kuwa taratibu au changamoto unazopata. Cha msingi ni kuendelea kusonga Mbele, haijalishi ni taratibu au kwa haraka
Sababu 6 za kutafakati katika kuendelea kusonga mbele na kutokata tamaa.
Usikate tamaa; kabla ya kukata tamaa kwanza jiulize ni kwanini ukate tamaa. Unapokata tamaa hutaendelea kujaribu bahati yako na jitihada zote ambazo umefikia zifikirie unaenda kuziacha na kukubali kushindwa.
Hata kwenda mbele taratibu ni hatua. Unaweza kukata tamaa kutokana na kuwa unahisi mwendo wako ni taratibu na ungetamani ungeenda mbele kwa haraka zaidi. Kumbuka kuwa hata hatua za taratibu ni mwendo, cha msingi haujasimama sehemu moja na unaendelea kusonga mbele.
Kumbuka kuwa maisha sio mashindano. Usikubali kujilinganisha na mwendo wa wengine katika maisha na kutimiza malengo. Kila mwanadamu ana hatma yake na wewe weka umakini kwenye nia yako na jitazame mwenyewe, epuka kujilinganisha na watu wengine.
Kuwa na mtazamo chanya (Positive thinking). Kabla ya kukata tamaa tazama machache uliyoweza kuyafanikisha katika mipango yako na weka mtazamo wa kushukuru kwa ulipofikia na kwa kujipongeza hata kwa madogo ambayo umeyafikia. Jifunze kushukuru hata mambo madogo ambayo umeyafikia na usijione hujafanya chochote mpaka ulipofikia.
Jifunze kupumzika na kuruhusu muda kufanya kazi yake. Sio kila saa lazima ujipe mawazo na wasiwasi, kuna muda unatakiwa kupumzika na kutuliza akili kidogo kabla hujakata tamaa au kuhisi kuwa hausogei mbele katika malengo yako. Sio kila muda unatakiwa uwaze sana, ukiona jambo unaliwaza sana jipe hata muda mfupi wa kupumzika kutafakari kisha utarudi kuendelea kutafuta hatma yake kabla ya kukata tamaa.
Jifunze kukua na changamoto. Unapokata tamaa inamaanisha umekubali changamoto zikushinde na hutoendelea mbele. Kwanini ukubali changamoto zikushinde? Changamoto zipo kwa ajili ya kutukuza kifikra na kujifunza mengi katika maisha yetu. Usitazame changamoto kwa moyo mwepesi, weka msisitizo kushinda changamoto zako na endelea kupambana kuhakikisha unazishinda.
Kabla ya kukata tamaa tafakari haya!!!
Usikate tamaa: mambo mazuri na makubwa yanapatikana kwa kuyapambania kwa muda mrefu na changamoto nyingi pia unaweza kukutana nazo na zikakurudisha nyuma.
Kupata mafanikio makubwa HAKUNA MSAADA hakuna vya bure kkla mtu anatafuta mafanikio. Unapo waza mafanikio makubwa Futa akilini mwako miteremko au mtelemko hakuna misaada pambana mwenyewe usikate tamaa, na njia hiyo ni ndefu itakuchukua muda mrefu na vita nyingi endelea kupambana.
9534 โ INSTALLED MASTERSโ LODGE OF TANZANIA
P.O. Box 14339, Dar es Salaam.
Consecrated 29th January, 1994
by RW Bro J K Chande
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
1st. Sat. 3-5-9-11, Inst.-11.
Where by:
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
DISTRICT GRAND MASTER [KUHANI-MKUU]
DR SELEMAN N. SAID
Whats'APP Us: +255753694384.
Whats'APP Us: +255757567678.
"Imani yako ndiyo mafanikio yako".
Follow us on Instagram~
https://www.instagram.com/p/C1Rfgkatbp8/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐๐๐ง ๐๐ฅ๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐๐ฆ๐ง ๐๐๐ฅ๐๐๐.
SHERIA YA HATUA (The Law Of Action)
Lazima ufanye ili udhihirishe uwepo was kitu kihalisia. Lazima tuchukue hatua zitakazo
supports ndoto zetu, hisia, Mawazo, maneno n.k
Kwa lugha rahisi, unatakiwa uchukue hatua K**a unatataka matokeo. Ukiwa na ndoto ya Kufanya vitu vikubwa unatakiwa uchukue hatua ndogo ndogo mpaka ndoto yako itimie. Kila kitu kikubwa Ni muunganiko wa vitu vidogo vingi. K**a Maombi na Matamanio yalivyo muhimu, kuchukua hatua Ni muhimu pia.
Sheria namba mbili ilituambia Kila kitu Ulimweguni kinatetema (vibrate) bila kujali Ni molecule ndogo kiasi gani. Wewe bila kujali udogo wako katika huu ulimwengu unatakiwa uchukue hatua ili uwe sehemu ya huu ulimwengu. Ulimwengu hurudisha fadhila kwa kile ulichopanda Ulimweguni.
Lazima ufanye vitu na kushiriki matendo yanayohusiana na vile vitu unavyotaka kupata.
Kwa hiyo Sheria ya Hatua lazima itumike ili tuweze kuonyesha mambo duniani [manifest things on earth].
Sheria hii itafanya kazi pale mtu anapowaza jambo fulani litokee maishani mwake na kuliiandalia mazingira. Ulimwengu hutenda vema kwa mtu aliyejiandalia mazingira,ukitamani kwenda jela jaribu kuwaza jambo mbaya na kisha litende jambo hilo hakika utahukumiwa na utajikuta umefika sehemu uliyokuwa unaitaka.
Ukitaka mafanikio katika biashara ni dhahiri lazima ujihusishe katika biashara kwanza na ulimwengu utakuletea matunda kwa kukuunganisha na watu unaowafikilia kichwani mwako, kila kitu kipo ndani ya ulimwengu hakuna kinachotokea nje ya Ulimwegu, Ni kufuata tu kanuni kupata unachohitaji.
Unapaswa ushiriki katika vitendo vinavyounga mkono maneno yetu, hisia, maono, mawazo, ndoto na hisia. Vitendo hivi vitatuleta udhihirisho wa matokeo mbalimbali ambayo yanategemea maneno yetu maalumu, mawazo, ndoto, na hisia.
"UKITAKA MAFANIKIO CHUKUA HATUA".
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA.
District Grand Lodge of East Africa - Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England.
District Grand Master,:Brother SELEMAN N. SAID. [KUHANI MKUU]
District Grand Secretary: Brother
ASHRAFF KHAN CHANDE
4385 โ HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
EMAIL ADDRESS:[email protected]
DISTRICT GRAND MASTRR - HIGH PRIEST
DR SELEMAN N. SAID [KUHANI MKUU].
TUANDIKIE UJUMBE WAKO WA MAOMBI YA UANACHAMA KUPITIA:-
Whats'APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
https://www.instagram.com/p/C1FiGu-t7U5/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐๐๐ง ๐๐ฅ๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐๐ ๐ข๐ ๐๐๐ฆ๐ง ๐๐๐ฅ๐๐๐.
USIKUBALI KUPOTEZA MUDA.
"Wenye busara huongea kwasababu wana cha kuongea; wajinga huongea kwasababu lazima waongee"
๐Ni dhahiri, unajua sana ule msemo maarufu usemao "TIME IS MONEY" hakuna asiye ujua. Lakini je, msemo huo una maana yoyote kwako? Msemo huo huwa unautumia katika maisha yako?
๐Katika kitu ambacho asilimia kubwa ya wanadamu wanakipuuza basi ni Wakati/Muda. Pamoja na kuelimishwa sana kwamba Muda ni maendeleo, muda ni nyenzo, Muda ni rasilimali lakini bado muda wetu hatuutumii itakiwavyo. Hilo limepelekea kuchelewa sana kwa maendeleo ya watu. Imesababisha kuyumba sana kwa mahusiano ya watu. Imepelekea kuchelewa sana kwa biashara za watu. Imepelekea kuharibika kwa mali na miundo mbinu ya watu.
Nakala hii inakutaka wewe unaesoma kujiuliza kuhusu muda wako. Je, unadhani muda unamaana yeyote kwako? Muda una maana yoyote katika maisha yako? Una maana yoyote katika maendeleo yako?
๐Tafuta jibu lako kisha jiulize k**a unataka kuutumia muda kwa kufuata msemo huo maarufu kwamba "Time is Money" au unataka tu kuishi utakavyo kisha Muda utajiendesha wenyewe?.
๐Wakati ukiwa unatafakari hilo sisi (Freemasons) tunataka kukuambia kwamba Muda ni msingi wako wa Maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Muda ni maendeleo ya afya yako na furaha.
๐Jihadhari na muda na usikubali kuuchezea maana kupoteza muda ni sawa na kupoteza Pesa, kupoteza marafiki, kupoteza kazi, , kupoteza mali na kupoteza maendeleo.
๐Kamwe muda usipoteze, muda usiutanie, muda usiuchezew. Huna muda wakutosha k**a unavyo dhani. K**a ni kijana una muda wa kujitayarisha kwa ajili ya utu uzima; na k**a ni mtu mzima ina maana una muda wa kujiandaa kwaajili ya uzee. Tumia muda wako kwa kuwaza mambo ya maana, kujenga afya iliyo bora na imara. Wewe ndio mhusika mkuu wa maisha yako na kitu ulicho nacho kila siku ni Muda.
THE LIGHT
Ulimwengu umefunikwa na giza la machafuko, vita, na magumu. Nuru ni mwongozo unaopatikana kila wakati; nguvu ya juu isiyoonekana na isiyo na jina ambayo huwashurutisha wale wanaoifuata kujitahidi kuboresha jamii ya binadamu, na kuwatuza wale wanaoifuata. wote wanaotafuta mwangaza wake hutenda k**a vioo, wakiakisi nuru hiyo katika anga za ulimwengu ambazo bado zimetiwa giza
CONTACY THE COMMUNITY TO BE AMONG OF THE "ELITE".
DISTRICT GRAND LODGE OF EAST AFRICA.
District Grand Lodge of East Africa - Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England.
District Grand Master,:Brother SELEMAN N. SAID. [KUHANI MKUU]
District Grand Secretary: Brother
ASHRAFF KHAN CHANDE
4385 โ HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall".
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".
INST - Indicates "Months Of Installation Meeting".
EMAIL ADDRESS:[email protected]
DISTRICT GRAND MASTRR - HIGH PRIEST
DR SELEMAN N. SAID [KUHANI MKUU].
TUANDIKIE UJUMBE WAKO WA MAOMBI YA UANACHAMA KUPITIA:-
Whats'APP : +255757567678.
Whats'APP : +255753694384.
FOLLOW US INSTAGRAM ๐
https://www.instagram.com/p/C0Lcf8atjso/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the organization
Website
Address
Sinza Lufungira, Mbogo Street, House No. 12
Dar Es Salaam
TAMASHA-vijana translates to โCelebrate Youth!โ something that we are passionate about
Policy Forum 7 Ndovu Street , Off Rose Garden Road Mikocheni B
Dar Es Salaam
Our Mission: As a network, Policy Forum works together to open up and influence policy processes that improve the lives of all people, especially those who are socially disadvantag...
Ungindoni, Kigamboni
Dar Es Salaam
Tanzania Youth Cultural Exchange Network (TYCEN) is a non-governmental youth development organization
Morani House
Dar Es Salaam
The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.
Mikocheni B
Dar Es Salaam
Inspire Change is a community engagement organization advocating for the rights, protection & welfare
Dar Es Salaam
Agenda Participation Initiative promotes good governance and empowers the community to utilize opportunities in agriculture and natural resources while protecting the environment.
Plot 182 Mzinga Way, Off Msasani Road, Oysterbay
Dar Es Salaam, MASAKI
The United Nations Volunteers (UNV) Programme contributes to peace and development through volunteerism worldwide.