Mwalimu Wa Soka

Habari za michezo na burudani

06/09/2022

Una lolote la kumwambia mzungu wa Simba SC (Dejan) ???

06/09/2022

Neno moja kwa uongozi wa Simba SC .......

03/09/2022

Full Time

Uganda 3-0 Tanzania

31/08/2022

Orodha ya wachezaji waliotengeneza nafasi nyingi za kufunga magoli msimu huu ligi kuu Uingereza.

31/08/2022

Kiungo wa Arsenal, Thomas Partey anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili kutokana na majeraha.

31/08/2022

Vile mashabiki wa Chelsea wamewahi kanisani leo kuiombea timu yao😃

30/08/2022

Full Time

Southampton 2-1 Chelsea Fc

Usiku mwema The bluesss

29/08/2022

Mohammed Ouattara
Joash Onyango

Ukiambiwa umchukue mmoja, unaondoka na nani?

28/08/2022

Saa 2:00 usiku leo Simba SC watacheza mchezo wa kirafiki nchini Sudan dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana. Mchezo utarushwa Live na Azam TV.

28/08/2022

Arsenal wameshinda michezo yao yote minne ya mwanzo ya ligi kuu Uingereza. Arsenal ya msimu huu ni moto 🔥🔥🔥

28/08/2022

Hongera sana Simba Queens.

27/08/2022

Eric Ten Hag ameamua kwenda na kikosi kile kile kilichopata matokeo kwenye mchezo uliopota dhidi ya Liverpool FC. Ronaldo amemweka benchi tena.

26/08/2022

Kitokana na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali, klabu ya Leicester City imekubali kumuuza beki wao; Wesley Fofana kwenda Chelsea FC.

26/08/2022

Ofa ya Euro milioni 90 iliyotolewa na klabu ya Manchester United kwenda Ajax kwa ajili ya kumsajili winga mbrazili, Antony imekataliwa na klabu hiyo.

26/08/2022

Picha mpya kutoka kwa King Kiba . Neno moja kwake?

26/08/2022

ZA NDAANI KABISA.

Beki kisiki wa Simba SC, Joash Onyango amewasilisha barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo.

Onyango hana furaha baada ya kocha wa sasa kumnyima nafasi ya kucheza na kupoteza kabisa nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza mbele ya beki mpya aliyesajiliwa msimu huu: Mohammed Ouattara.

Onyango hajasafiri na timu hiyo nchini Sudan na amebaki Dar es Salaam akisubiri hatima yake kutoka kwenye uongozi wa klabu hiyo.

Kwa ulivyomuona mpaka sasa, Mohammed Ouattara anastahili kumweka nje Joash Onyango?

Na unauchukuliaje uamuzi huu wa Onyango wa kutaka kuondoka baada ya kupoteza nafasi kikosini, kwa nini asingeendelea kupambana ili amshawishi mwalimu?

25/08/2022

Karim Benzema ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa bara la Ulaya msimu wa 2021-2022.

25/08/2022

Carlo Ancelotti ameshinda tuzo ya kocha bora wa bara la Ulaya msimu wa 2021-2022.

25/08/2022

Pale unapoangalia makundi ya UEFA na kuona kuwa umepangwa kundi moja na Bayern Munchen na Inter Milan.

25/08/2022

Haya ndiyo makundi ya UEFA champions league msimu huu.

Timu yako pendwa barani Ulaya ipo kundi gani?
Kundi lipi unaliona ni la kifo?

24/08/2022

Kwenye maisha ya utafutaji usije ukakata tamaa hata siku moja.

Umewatambua hawa ni akina nani?

24/08/2022

Kiukweli, suala la kurokuhesabiwa mpaka sasa hivi limeniuma sana 🤨🤔

23/08/2022

Unamsubiri karani wa sensa aje akuhesabu ukiwa maeneo gani?

Photos from Mwalimu Wa  Soka's post 23/08/2022

Uhuru umezidi sana kwenye hii nchi.

Wakati tukisubiri kuhesabiwa leo, tuanze challenge yetu ya "Mlete Mzungu"

Comment picha yoyote uliyonayo kwenye simu yako yenye bango la "Mlete Mzungu" .

K**a hauna picha basi comment hata maneno uliyowahi kuyaona sehemu yoyote ile yanayohusiana na "Mlete Mzungu"

Haya tuanze challenge yetu, mimi naanza na hizi picha hapa chini👇👇👇

23/08/2022

Neno moja kwa hawa vitasa.

23/08/2022

Huu ukabaji tuuupe jina gani wadau wa soka?

23/08/2022

Mashabiki wa Manchester United muda wa kuamka leo ni saa ngapi?

22/08/2022

Full Time

Man United 2-1 Liverpool
Sancho⚽ Salah⚽ Rashford⚽

22/08/2022

manchester United wemeupiga mwingi sana leo. Wamejituma mno. Anyway, nani mchezaji wako bora kwa mchezo wa leo?

22/08/2022

BREAKING NEWS:

Winga hatari kutoka Azam FC; Tepsie Evans ameongezwa kwenye kikosi Cha Taifa Stars kuchukua nafasi ya Abdul Suleiman Sopu ambae ni Majeruhi.

22/08/2022

Manchester United
Vs
Liverpool FC
Utasapoti chama gani leo?

22/08/2022

Sadio Mane anamtaka Pape Ousmane Sakho kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Senegal.

Mara paap, Sakho anaenda kucheza kombe la dunia.
Tutawaambia nini watu sisi😃😃🤤🤭🔥⚽

22/08/2022

Unaweza kuamini kuwa katika mazingira haya Leo Messi aliweza kutoa pasi iliyozaa goli kwa Kylian Mbappe.

Huyu Leo Messi, ni genious wa soka.

22/08/2022

ZA NDAANI KABISA.

Victor Akpan emeuambia uongozi wa Simba SC kuwa hataenda kwa mkopo sehemu yoyote ile mpaka pale klabu hiyo itakapomkabidhi gari na hela yote ya usajili aliyoahidiwa kupewa kipindi anasaini mkataba na klabu hiyo.

22/08/2022

Mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi August ligi kuu Tanzania bara?

22/08/2022

⚽ magoli 5️⃣
🅰️Assists 4️⃣

Fomu ya Neymar Jr msimu huu 🔥🔥 ♨️

22/08/2022

64'—Ansu Fati anaingia kutokea benchi
66'—Ansu Fati anatoa assist kwa Dembélé
68'—Ansu Fati anatoa assist kwa Lewandowski
79'—Ansu Fati anafunga

Huyu mtoto ni spesho🌟

22/08/2022

Mbappé: Magoli matatu.
Neymar: magoli mawili na assist tatu
Messi: goli moja, assist moja

Utatu mtakatifu wa PSG vs. Lille 😤

21/08/2022

Kylian Mbappe amefunga goli sekunde ya 8 na kuweka historia ya goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa kwenye ligi hiyo.

21/08/2022

Karim mandonga mtu kazi kamtandika na kumgaragaza mtu kwenye raundi ya kwanza tu 💪🏿💪🏿💪🏿

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Category

Telephone

Website

Address


Mbezi
Dar Es Salaam
Other Writers in Dar es Salaam (show all)
Habari za leo Habari za leo
Livigharaymond@gmail. Com
Dar Es Salaam

Habari za leo website; it deals with daily news through mass media and news from other sources.

Oscar Tz Oscar Tz
Www, Com Haule
Dar Es Salaam, 096544

nime zaliwa kupambana kuixhi kuiona kexho unaniombea uhai niixhi kwa matexo

Robben Ngonyani Robben Ngonyani
SONGEA
Dar Es Salaam

KWA MAKALA MBALIMBALI ZA KIHISTORIA NA KIJAMII

Moses Vitu bei chee Moses Vitu bei chee
Kimara
Dar Es Salaam

Kashindi Edson Kashindi Edson
Dar Es Salaam

Mwandishi wa vitabu.

ÂMÂDÎ B 69 ÂMÂDÎ B 69
Dar Es Salaam

Depiu dimpoz fans Depiu dimpoz fans
Dar Es Salaam

For all my fans your we'll come to like this page

Fuwwa ministry Fuwwa ministry
Arusha
Dar Es Salaam

Huduma ya neno la MUNGU mataifa yote math 28:19-20

Gift Makyao Gift Makyao
Keko
Dar Es Salaam

Try to see more new knows which will change your mind to change your life ,believe

Paradise World friends Paradise World friends
Paje
Dar Es Salaam

We are always bring you the most unique paradise world friends as a one Family

Paul Mkoma Paul Mkoma
Dar Es Salaam, S.L.P3130

I am sharing the news of salvation and the life of Jesus Christ his death and resurrection.

Maombi ya Mkopo na Chuo Maombi ya Mkopo na Chuo
Dar Es Salaam

ALL ONLINE APPLICATION INTERNET CAFE