Mapambo Media
RADIO|PODCAST|BLOG|ADS AGENCY
Yajayo kwenye matangazo yetu asubuhi hii:
Mkutano mkuu wa chama cha Democratic unaofanyika mjini Chicago Marekani unaingia siku yake ya tatu hii leo. Rais mstaafu Barack Obama, ambaye ni mmoja kati ya viongozi wenye ushawishi ndani ya chama hicho amehutubia mkutano huo usiku wa kuamkia leo.
Chama cha wanasheria cha Tanganyika Law Society (TLS) nchini Tanzania kimetoa tamko lake la kwanza kuhusu kile kinachoendelea kwa jamii ya wamasaai walioko katika eneo la hifadhi ya taifa Ngorongoro iliyoko kaskazini mwa nchi hiyo kikiita kitendo cha kutaka kuwaondoa na kuwanyima huduma muhimu ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa na sheria za nchi.
Madai ya Israel ya kuwa na udhibiti wa wa kudumu juu ya njia mbili za kimkakati katika Ukanda wa Gaza, ambayo Hamas imeyapinga kwa muda mrefu, yanatishia kukwamisha mazungumzo ya kusitisha vita yanayonuwiwa kumaliza vita vya zaidi ya miezi 10, kuachiwa mateka na kuzuwia mzozo mpana zaidi wa kikanda.
Enzi ya baada ya mripuko wa virusi vya UVIKO-19 imekuwa ngumu kwa biashara ya kimataifa. Kufungwa kwa viwanda na vizuizi vya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo kulisababisha kucheleweshwa kwa usambazaji wa bidhaa kote duniani na pia kuchangia kuongezeka kwa mfumuko wa bei za bidhaa.
Wajerumani wengi wa Mashariki wana mashaka kuhusu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Urusi nchini Ukraine na upelekaji wa silaha Kiev, pamoja na suala la kuimarisha jeshi la Ujerumani, Bundeswehr na kuwekwa makombora mapya ya Marekani nchini Ujerumani.....
Z Nation will not forget your effort as awoman
Licha ya wanahabari kufanya maandamano bado polisi wanazidi kuinyanyasa raia wa na hata kuwapiga wanahabari nchini kenya je unadhani Media ina uhuru kenya???
Gospel ambassador is already in the country for an electrifying gospel AfricaWorshipExperiance
fans
Mtatii muda huu the big chally is killing it
Hatusemi kitu let the discipline run ...no more wahalla fans
Ata huyu Anadeni la ushuru ya nchi fulani fans
A or B choose one fans
Homeboyz Radio
Where is these Ninja ... or any leads to another Airwaves fans
Looku kwa Vvany boy fans
Hakikisha una anglia chini ya gari lako kabla kuondoka fans
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Celles Nyagorengo, Itz J Mike KE
Hii ni kubwa sana kwa kiwanda cha Bongo Fleva baada ya Staa kutoka Next Level Music, amepata nafasi ya kulipamba jarida kubwa Africa la ‘Deeds Magazine’ kutoka Nigeria na huweka mastaa tu wa Afrika.
Waandaji wa jarida hilo ambao wamemtambulisha k**a Msani bora wa kidijitali, Rayvanny ametoa maneno machache na amezungumzia maono ya kimataifa katika muziki wake na umuhimu wa kukuza talanta mpya akielezea msoto wake
kutoka mtaani hadi kumiliki lebo ya muziki.
Msanii huyo amesema akili yake ipo mbali zaidi ya kufanya muziki wake ndani ya Afrika Mashariki na Tanzania na ameelezea uchu wake wa kulitawala soko la muziki wa kimataifa na kurejesha tuzo nyumbani akisema kuwa hafanyi kwa ajili yake mwenyewe bali kwa maslahi mapana ya
Watanzania na Dunia.
Hii ni hatua nyingine kwa Rayvanny na Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nchini kuendelea kunusa fursa za kupanua wigo wao kimataifa kwa kujihusisha katika matukio mbalimbali, kuwa karibu na majarida na vyombo vya habari vya Kimataifa kuitangaza sanaa ya Tanzania Ulimwenguni.
Mpe neno moja
Written by
Raila Amollo akutana na wenzake hapo jana
Vybz Kartel is now a free man after 13 years in prison. He’s Free from Prison, after the Court of Appeal ruled against retrying him and his co-accused for the murder of Clive “Lizard” Williams. In 2014, Kartel,; Shawn Campbell; Kahira Jones; and Andre St John were convicted of the September 2011 murder of Williams.
_____________________________________
Mkali wa Dancehall Mwenye Umaarufu Mkubwa Duniani Kutokea Jamaica Adidja Palmer A.k.a ‘Vybz Kartel’ Ameachiwa Huru Kutoka Jela Baada Ya Miaka 13.
Imeripotiwa Kuwa Mahak**a ya Rufaa ya Jamaica Imeamua kutoamuru kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ya Clive “Lizard” Williams, Kutokana Na Hali Mbaya Ya Kiafya Ya Kartel Inayotishia Uhai Wake K**a Vile (Graves’ Disease) maradhi ya kutisha kwenye Koo, hali ya moyo wake haipo sawa, Kisaikolojia, Kifedha N.k
Vybz Kartel ambaye pia ameshirikiana na wasanii k**a Jay-Z na Rihanna, amekuwa jela nchini Jamaica tangu 2011 alipok**atwa kufuatia kutoweka kwa mshirika wake Clive “Lizard” Williams, ambaye mwili wake haujawahi kupatikana.
Kartel Alihukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Machi 13, 2014 Baada Ya Kukutwa Na Hatia Ya Mauaji Ya Clive ‘Lizard’ Williams Yeye Pamoja Na Wenzake Watatu ‘Shawn Campbell’, Andre St John Na Kahira Jones.
Kesi dhidi ya Vybz Kartel ni mojawapo ya kesi ndefu zaidi katika historia ya Jamaica, kwani Ilisikilizwa Kwa Zaidi Ya Siku 64 mjini Kingston.
✍️: (Kevin Williams Oduor )
Inthe Bigging there was A word n that _____ is
Tunakupa Ulimwengu nzima kupitia Kiganjani mwako yani sasa design chini ya nusu Lisa unaipata kazi safii na kuprint !!!! Mapambo Media
These is very Dope
Idadi ya waliouawa katika shambulio la roketi Israeli yafikia 11
fans
fans
Mambo ya huyu jamaa ilikuwaje
Wangapi wanamtambua huyu jamaa
Lets keep pushing
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the business
Telephone
Address
Morogoro
Dar Es Salaam
Tegeta Nyuki, Nyuki House Office No 22
Dar Es Salaam
Karibu kwenye page yetu kwa ajili ya kujifunza Jinsi ya kufanya BIASHARA yako MTANDAONI.
Earth
Dar Es Salaam
TechGuru💻|Motivation&Inspiration❤️|Entrepreneurship💰|Lifestyle💃|Gaming🎮|Health 🩺|VideoCreator🎬
Dar Es Salaam
Pan Africanist�| Heritage Manager & Concerned Citizen of the United Republic of Tanzania ��
MBEZI
Dar Es Salaam
This page is subjected to all my digital works.Most of them are portraits and panoramic with different styles.I do wedding, Graduation, modeling and all other photography.
Dar Es Salaam, 15115
Huu ni Ukurasa Rasmi wa Baraka Mafole ambaye ni Mjasiriamali ,Mbunifu na Muhamasishaji kupitia Mitandao ya kijamii