Interchick
Our meat is traceable, our quality is exceptional, and our journey with you is the most valuable. Welcome to Your Chicken Of Choice🍗
Furahia ladha tamu ya vipapatio vya kuku vikubwa kutoka Interchick ambavyo vina nyama ya kutosha kukidhi mahitaji ya familia yako.
Nunua pakeji yako leo ya vipapatio vya kuku kwa kutembelea kukushop zetu zilizopokaribu yako.
Kwa mawasiliano zaidi namna kuweka oda tupigie,
0699100018
Interchick inapenda kuwatakia furaha na amani tele katika sikukuu ya Eid Al-Adha.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie nyama ya kuku yenye ladha tamu ufurahie na familia, ndugu, jamaa na marafiki zako
Kuweka oda tupigie,
0699100018
Tunaungana na watu wote kuadhimisha Siku ya Baba Duniani
Tunawatakia kila la kheri katika harakati zenu za kila siku kuhakikisha familia zinakuwa na furaha na amani
Biryani kuku inanoga zaidi ukila Ijumaa na familia, ndugu jamaa na marafiki.
Interchick tumehakikisha unapata kuku wakubwa na wenye ladha tamu kwa ajili ya kutengeneza menu yako ya biryani kuku.
Tembelea kukushop zetu au supermarket iliyopo karibu yako au weka oda yako kupitia,
0699100018
Jivinjari na pakeji yetu mpya ya vipande saba tofauti vya kuku vyenye ubora na ladha tamu.
Vipande hivi vya nyama ya kuku vitakuwa vinabadilika mara kwa mara.
Usikose kujipatia pakeji yako leo, kwa tembelea kukushop zetu ununue pakeji yako ya vipande saba vya kuku kwa gharama nafuu kabisa.
Kwa mawasiliano zaidi au kuweka oda tupigie,
0699100018
Ile furaha ya mezani inakamilishwa na nyama bora yenye ladha tamu kutoka Interchick.
Jipatie nyama ya kuku leo katika ujazo uupendao kwa kutembelea kukushops zetu au piga kuweka oda yako kupitia.
0699100018
Tunafahamu umuhimu wa kuanza wikiendi na chakula kitamu na chenye ladha ya kuvutia, hivyo Interchick tumehakikisha unapata nyama safi ya kuku ambayo
unaweza ukachoma, ukaoka au kurosti.
Tembelea kukushop zetu leo ununue pakeji ya nyama ya kuku katika ujazo upendao, ufurahi na uwapendao.
Kwa mawasiliano zaidi namna ya kuweka oda yako
Tupigie,
0699100018
Furahia Ijumaa yako kwa kula nyama choma kutoka Interchick leo.
Tembelea kukushop zetu zilizopo karibu na wewe ujipatie pakeji ya nyama ya kuku katika ujazo tofauti.
Kwa mawasiliano zaidi namna ya kuweka oda yako
Tupigie,
0699100018
Una kila sababu ya kujipongeza kwa kula nyama bora ya kuku kutoka Interchick leo.
Bidhaa zetu zinapatikana Kuku shops na supermarket zote. Kwa mawasiliano namna ya kuweka oda yako.
Tupigie,
0699100018
Unaweza kutumia minofu ya kuku kwa kukaanga,kutengeneza supu na pia kurosti.
Nunua leo pakeji yako ya minofu ya kuku kwenye kukushop zetu ufurahie minofu ya kuku yenye ladha tamu na ubora.
Kwa mawasiliano zaidi au kuweka oda tupigie,
0699100018
Jipatie firigisi safi za kuku kutoka Interchick kwa gharama nafuu kabisa.
Jipe nafasi ya kupika chakula upendacho,inaweza ikawa ni rosti, makange au kwa kukaanga pia.
Tembelea kukushop zetu leo kupata pakeji yako ya firirgisi za kuku.
Kwa mawasiliano zaidi au kuweka oda
Tupigie,
0699100018
Je, wewe unapendelea kula nyama yenye mifupa au isiyo na mifupa.
Tuandikie jibu lako kwenye komenti. Pia usisahau kufika kukushop zetu leo ujipatie nyama bora ya kuku.
Kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kuweka oda.
Tupigie,
0699100018
Hakikisha siku yako haiishi bila kula biryani kuku,kwasababu Intrechick tunahakikisha unapata nyama bora ya kuku na yenye ladha nzuri.
Jipatie pakeji yako katika ujazo uupendao leo kwa kutembelea kukushop zetu au supermarket iliyopo karibu yako.
Kwa mawasiliano zaidi namna kuweka oda tupigie,
0699100018
Jivinjari na na bidhaa za Interchick kwa kupika menu yeyote uipendayo kwa kutumia bidhaa zetu za nyama ya Kuku.
Nunua bidhaa zetu leo katika kukushop zetu au tembelea
supermarket iliyopo karibu yako ujipatie nyama fresh ya
kuku.
Kwa mawasiliano zaidi au kuweka oda tupigie,
0699100018
Usikubali siku yako iishe bila kula mapaja fresh ya kuku kutoka Interchick.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie pakeji ya nyama Mapaja ya kuku ujivinjari pamoja na ndugu jamaa
na marafiki zako.
Kwa mawasiliano ya namna ya kuweka oda yako
Tupigie,
0699100018
Interchick
Our meat is traceable, our quality is exceptional, and our journey with you is the most valuable.
We
Tunaungana na Watu wote kusheherekea siku ya kina Mama duniani. Mama ni nguzo kuu kwenye jamii yetu na leo tunachukua fursa hii kukusherekea.
Jivinjari na bidhaa za kuku kutoka interchick katika siku ya leo kwa kutembelea kukushop zetu ujipatie pakeji ya nyama ya kuku katika ujazo wa tofauti.
Anza siku yako kwa kula chicken vienna, (soseji) kutoka Interchick zenye protini na virutubisho tosha vya kuimarisha afya ya mwili wako.
Tembelea kukushops zetu zilizopo karibu nawe ujipatie pakeji yako,
Kwa kuweka oda tafadhali tupigie,
0699100018
Furahia ladha tamu ya nyama ya kuku kutoka Interchick.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie pakeji ya mapaja ya kuku ili kuhakikisha siku yako inaisha vizuri.
Wasiliana nasi na uweke oda yako leo.
Tupigie,
0699100018
Anza wikiendi yako na vibe la kipekee kwa kula nyama choma ya kuku kutoka Interchick, hii ni rahisi sana tembelea kukushop zetu leo zilizopo karibu yako ujipatie nyama ya kuku yenye ubora na ladha tamu.
Kwa kuweka oda yako tupigie,
0699100018
Tunawatakia siku njema ya wafanyakazi duniani.
Tusherehekee kwa pamoja mchango wa wafanyakazi wote katika maendeleo ya Taifa letu.
Heri ya siku ya wafanyakazi.
Tuandikie kwenye komenti mara yako ya mwisho kula nyama ya kuku ilikuwa lini.
Pia usisahau kutembelea maduka yetu au supermarket yoyote iliyopo karibu nawe ujipatie nyama ya kuku yenye ladha tamu katika ujazo tofauti .
Kwa mawasiliano zaidi au kuweka oda tupigie,
0699100018
Interchick
Our meat is traceable, our quality is exceptional, and our journey with you is the most valuable.
We
Nunua firigisi za kuku kutoka Interchick zenye ladha tamu ambazo unaweza kula muda wowote.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie pakeji yako ya firigisi za kuku na kwa bei nafuu kabisa.
Kwa kuweka oda yako tupigie,
0699100018
Tunawatakia watu wote maadhimisho mema ya sikukuu ya Muungano.
Tujumuike kwa pamoja kusherehekea umoja na nguvu wa taifa letu, tunapokumbuka Muungano wa kihistoria wa Tanganyika na Zanzibar.
Heri ya Muungano kwa Watanzania wote.
Furahia nyama ya kuku yenye ladha tamu kutoka Interchick ukiwa na familia, ndugu na marafiki.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie nyama ya kuku katika ujazo tofauti kulingana na mahitaji yako
Kwa mawasiliano zaidi namna ya kuweka oda yako,
Tupigie,
0699100018
Jipatie soseji za kuku (chicken vienna) kutoka Interchick leo zilizotengenezwa kwa nyama halisi ya kuku,
Tembelea kukushop zetu au supermarket zilizopo karibu nawe ujipatie pakeji yako ya Chicken Vienna leo.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie,
0699100018
Kuna aina mbalimbali za mapishi ya nyama ya kuku, unaweza kuoka kuchoma au kurosti.
Boresha ujuzi wa mapishi yako na Interchick sasa kwa kutembelea tovuti yetu www.interchick.co.tz ujifunze mapishi mbalimbali ya kuku.
Usisahau kufika kukushop zetu ujipatie nyama bora ya kuku katika ujazo wa tofauti. Kwa mawasiliano namna ya kuweka oda yako
Tupigie,
0699100018
Ifanye siku yako kuwa ya kipeee kwa kula nyama choma ya kuku kutoka Interchick.
Tembelea Kukushop zetu ujipatie nyama ya kuku katika ujazo tofauti na ufurahie nyama ya kuku yenye ladha tamu.
Wasiliana nasi kupitia,
0699100018
Interchick inaungana na Watu wote kuwatakia Waislamu kheri ya sikukuu ya Eid al- fitri.
Mwenyenzi Mungu awajalie furaha, amani, na fanaka tele katika siku hii ya leo.
Nunua nyama ya kuku ya kusaga kutoka Interchick leo ufurahie kula na menu yoyote uipendayo.
Tembelea kukushop zetu au supermarket ujipatie bidhaa ya nyama ya kuku ya kusaga.
Kwa kuweka oda yako tupigie,
0699100018
Una kila sababu ya kufurahia Ijumaa yako kwa sababu Interchick tunahakikisha unapata vidari fresh vya kuku.
Tembelea kukushop zetu leo ujipatie minofu laini ya kuku uipendayo.
Kwa kuweka oda yako tupigie,
0699100018.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Chicken of Choice
Interchick is proud to be the largest integrated poultry company in Tanzania. Our mission is to deliver ‘Chicken of choice’ wherever we operate, exceeding our customers’ expectations through outstanding product quality and efficient service at all times.
Videos (show all)
Category
Contact the restaurant
Telephone
Website
Address
New Bagamoyo Road, Mbezi Industrial Area, P. O. Box 5774
Dar Es Salaam
Opening Hours
Monday | 08:00 - 17:00 |
Tuesday | 08:00 - 17:00 |
Wednesday | 08:00 - 17:00 |
Thursday | 08:00 - 17:00 |
Friday | 08:00 - 17:00 |
Saturday | 08:00 - 13:00 |
Tegeta Nyaishozi
Dar Es Salaam, 0000
Farm | Chicks Production | Chicken Farm Management | Poultryhouse Booking : [email protected]
Yombo Dovya
Dar Es Salaam
Wauzaji wa kuku vifaranga vya chotara aina ya Malawi,Kloiler,Sasso na Tanbro
Buza
Dar Es Salaam, 255
We sell and supply local chicken � � at retail and wholesale. �Dar es salaam. Countywide delivery. � 0765777889
Fugakuku
Dar Es Salaam
Wauzaji wa Vifaranga vya kuku aina mbali mbali, Broiler, Layers, Chotara na Kienyeji. Tunauza Vifaa mbali mbali vya Kuku..Drinker,Feeder, Incubator N.K
New Bagamoyo Road, Jogoo/Mbezi Industrial Area, P. O. Box 5774
Dar Es Salaam
� Tunawekeza ubora kwenye kila yai tunalototolesha, kila kuku tunaefuga na kila chakula tunachotengeneza.
Magomeni, Usalama
Dar Es Salaam, 34523
TNGT use the best poultry breeds because our customer's satisfaction comes first hence serving our clients by offering better product timely and effectively.
Dar Es Salaam
Tunauza kuku wakienyeji kutoka singida kwa bei nafuu/dagaa/samaki.....Tunapatikana Kawe(Dar es salaam)tunafanya delivery maeneo yote ya Dar es salaam kwa gharama za mteja...karibun...
Namanga Msasani
Dar Es Salaam, 14111
We are a fast food restaurant offering the "crunchiest" - "juiciest", and the "crispiest" chicken on the planet.
Boko Magengeni
Dar Es Salaam, BOX708813
Uzalishaji na Uuzaji wa vifaranga wa aina zote Utunzaji wa kuku and Ushauri wa kitaalamu Usambazaji