Marie Stopes Tanzania
Providing Choices in Family Planning and Reproductive Healthcare throughout Tanzania
Marie Stopes Tanzania (MSt), an affiliate partner of MSI, was established in 1987 as a locally registered NGO. It is Tanzania's largest and most specialised sexual reproductive health (SRH) and family planning (FP) organisation and is renowned for providing a wide range of high quality, affordable and client-centred SRH services and information to men, women and young people throughout Tanzania. T
Ni leoooo!!!
Usikose!!!
Mwambie mwengine amwambie na mwingine .
Bonyeza link kwenye bio kuingia kwenye mjadala
Imebaki siku moja tu !!!
Kesho jumatano tarehe 28 agosti mjadala wetu utafanyika X space
Mratibu wa kitaifa wa masuala ya jinsia na vijana kutoka wizara ya afya atakuwepo.
Usikose!!
# AfyaYakoHatmaYako
Usikose mjadala huu !!!
Zimebaki siku mbili tu !!
Kutana na yeye ni mshauri wa masuala ya kijinsia, vijana na makundi jumuishi
Magdalena amekuwa akitekeleza kazi mbalimbali zinazohusu vijana.
Atakuwepo na atatueleza namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi za afya ya uzazi.
Dr. Kuduwishe , yeye ni Daktari na mtaalamu wa mawasiliano katika afya. Yeye atatueleza ni namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi za afya ya uzazi kupitia mitandao.
Usikose siku ya jumatano tarehe 28 August kuanzia sa kumi jioni.
Fahamu dhana potofu na ukweli kuhusu unyonyeshaji.
Kujifunza zaidi tupigie bure 080075333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
Katika mjadala utakaofanyika X space tarehe 28.08 kuanzia saa 10 jioni atatueleza ni namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi kupitia mitandao.
Usikose
Vijana wanahitaji kupata elimu sahihi ya afya ya uzazi . Kutokana na kukua kiteknolojia ambapo asilimia kubwa ya watumiaji wa mitandao imeongezeka.
Ni namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi za afya ya uzazi kupitia mitandao?
Ungana nasi kwenye mjadala itakayofanyika hapa hapa X space siku ya Jumatano tarehe 28.08.2024 kuanzia sa 10 jioni.
Usikose mjadala huu wenye mada isemayo Ni namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi za afya ya uzazi kupitia mitandao?
Mjadala huu utafanyanyika tarehe 28 kuanzia sa 10 jioni X space
Karibu !!
Usikose mjadala huu wenye mada isemayo Ni namna gani vijana wanaweza kupata elimu na taarifa sahihi za afya ya uzazi kupitia mitandao?
Mjadala huu utafanyanyika tarehe 28 kuanzia sa 10 jioni hapa👇🏿👇🏿👇🏿
twitter.com/i/spaces/1OdKr…
Karibu !!
Karibu uchati nasi juu ya “Umuhimu wa kunyonyesha kwa mama na mtoto”
Mdahalo huu utafanyika live kwenye WhatsApp group. Kujiunga Bofya linki hapo chini
https://chat.whatsapp.com/BgaM7e9IAfO34okbQAIiY8
Ni Jumamosi tarehe 24 Agosti, saa 8-10 jioni.
KWa maelezo zaidi tupigie bure 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
Takwimu kutoka Kepios zinaonyesha watu milion 21.8 ambao ni sawa na asilimia 31 wanatumia mitandao Tanzania.
Tuambie ni namba gani vijana wanaweza kupata taarifa sahihi za afya ya uzazi kupitia mtandao ?
Sijali aeleza jinsi huduma za uzazi wa mpango zilivyomsaidia.
We huogopiii?? Sisi vijana, inatupa furaha katika maisha... wewe je??
: Huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana zinapatikana kote nchini. TUPIGIE BURE 0800753333
Mgeni Rasmi- Waziri wa Nchi, Ofisi ya waziri Mkuu, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. alipotembelea banda letu leo Agosti 12, 2024 kufahamu zaidi kuhusu kazi za Marie Stopes na miradi mbalimbali ya vijana ikiwemo mradi wa Youth For Health.
Pia balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe. Didier Chasot alitemebelea banda letu leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Covention Centre, Dodoma.
Mariestopes ilishiriki katika mjadala unaohusiana na Teknolojia na afya ya uzazi kwa vijana katika kongamano la vijana lililofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center, Dodoma.
Kauli mbiu:Vijana na matumizi ya fursa za kidigitali kwa maendeleo endelevu.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete akizindua sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007, Toleo la mwaka 2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention center, Dodoma katika maadhimisho ya siku ya vijana duniani
📣 The month of july to date at our Support Office in Dar es Salaam, we had the honor of hosting two Senior Africa Directors Dr. Carole Sekimpi Senior Director for Africa and Sanou Gning Senior Country Director for Africa, cluster 3 from
In the photo, you can see a few of our Dar es salaam Support Office alongside the Marie Stopes International team.
They met with several members of our Tanzania team, to see the work that has been done here in Tanzania and support our work.
Their visit is a testament to their commitment to strengthening our efforts here in Tanzania. We’re incredibly proud and grateful for their support. 🌟
In the photo, you can see a few of our alongside the staff.
Mratibu wa afya ya uzazi Baba, Mama na Mtoto Wilaya ya Morogoro vijijini Bi. Joyce Mganga akiongelea jinsi mradi wa Youth for Health Project unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya ulivyowanufaisha vijana kwenye eneo la afya ya uzazi.
Mradi huu wa for Health Project unatekelezwa na shirikia la Marie Stopes Tanzania Sikika Tanzania na DSW
Marie Stopes Tanzania yashiriki kwenye kikao kazi cha kutengeneza mkakati wa mawasiliano wa ubadilishaji tabia chanya za afya kwa vijana.
yawakutanisha wadau mbalimbali kutoka na wadau wengine wanaotekeleza miradi ya vijana ili kutengeneza muongozo huo.
Katika kikao kazi hiki Mkurugenzi msaidizi kutoka kitengo cha watoto na vijana Dr. Felix Bundala ashirki na kutoa maelekezo kuhakikisha muongozo huo unagusa afya ya vijana na kuleta mabadiliko chanya.
Dr. Bundala aliongeza kusema miongozo iandikwe vizuri ili iweze kusainiwa na kutekelezwa na isibakie kwenye makabati tu.
Muongozi huu ukikamilika utasaidia kuongoza namna ya utekelezaji wa afua mbalimbali za kubadilisha tabia chanya za afya kwa vijana.
Repost from
•
UGENI
Kuelekea Siku ya Vijana Duniani 12 Agosti Shirika la MARIE STOPES wamefika katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Meru na kukutana na Afisa maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Meru Flora Msilu Kwa Lengo la kufatilia utaratibu wa namna ya kufanya makongamano yanayowagusa Vijana Kwa Nyanja mbalimbali ikiwemo Afya, Fursa na Maswala ya ujasiriamali
Wiki hii timu yetu ya huduma za mikoba kwa kushirikiana na na Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze walitembelea baadhi ya vituo vya afya wilayani humo.
Lengo likiwa ni kufanya usimamizi shirikishi unaohusisha kuhakiki, kushauri na kupokea taarifa katika kituo husika.
Mariestopes tumekuwa tukifanya kazi kwa ukaribu na na Halmashauri za mikoa na wilaya kupitia huduma za mikoba (outreach) mikoa ya Tanzania bara na visiwani .
Katika picha ni maafisa kutoka na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze walipotembelea ofisi ya Halmashauri hio.
MRADI wa Afya kwa Vijana unaodhaminiwa na Umoja wa Ulaya umefanikiwa kuwatoa gizani vijana wanaoishi katika kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro baada ya kuwapatia elimu ya afya ya uzazi.
Mradi huo unaodaminiwa na umoja wa Ulaya na kutekelezwa na mashirika matatu ; kwa kushirikiana na na ulitoa mafunzo ya Afya ya Uzazi kwa watoa huduma wa ngazi ya jamii, vijana vinara na watoa huduma za afya.
Kusoma story nzima bonyeza hapa 👇🏿
www.michuzi.co.tz/2024/07/mradi-wa-afya-kwa-vijana-yawakomboa.html
Kila ifikapo tarehe 12 mwezi wa nane dunia huadhimisha siku ya vijana. Katika kuadhimisha siku hii tutakuletea makala mbalimbali zinazohusu masuala ya afya ya uzazi kwa vijana.
Kijana timiza michongo yako! Kwa kutumia njia za uzazi wa mpango utaweza kutimiza ndoto zako k**a vile kuhitimu masomo yako na kupanga muda sahihi wa kuanza kumudu familia.
Leo tulipata nafasi ya kushiriki kipindi cha kuongelea jinsi masuala idadi ya watu yanavyohusiana na afya ya uzazi. Hii ni moja katika kuadhimisha siku ya idadi ya watu duniani.
Msimamizi wa kitengo cha Mawasiliano na uchechemuzi Oscar Kimaro kutoka Marie Stopes alishiriki kwenye kipindi hicho.
@Philip Maihava
Tupe maoni yako kuhusu njia za uzazi wa mpango
Leo ni siku ya idadi ya watu Duniani. Katika kuadhimisha siku hii kwa kushirikiana na wadau wengine waadhimisha siku hii mkoani Geita ambapo Marie Stopes imeshiriki kutoa elimu na huduma za afya ya uzazi kwa vijana.
Katika kuelekea siku ya maadhimisho ya idadi ya watu duniani kwa kushirikiana na Wizara ya Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, na wamekutana na waandishi wa habari katika ufunguzi wa maadhimisho Siku ya Idadi ya Watu Duniani ambayo mwaka huu inaadhimishwa mkoani Geita.
Katika mkutano huo na waandishi wa habari, mwakilishi wa amesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika elimu na huduma za afya ili kuendana na mipando ya maendeleo ya taifa na vilevile kuzingatia kuwekeza katika kuhakikisha ongezeko la idadi ya watu linataarifu shughuli za mipango na maendeleo ya nchi na familia katika ngazi zote za jamii.
Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka tarehe 11 ya Mwezi Julai.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Contact the practice
Website
Address
Mwenge
Dar Es Salaam
11000
259 Ali Hassan Mwiyni Road, P. O. Box
Dar Es Salaam, 220
Clinic, Diagnostics-Lab-Ultrasound, Pharmacy
2284
Dar Es Salaam
Pose comments and/or questions to Dr. Tosiri involving Urologic health matters.
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
EMANUELY MSHAURI WA AFYA NA MTOA HUDUMA WA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA AFYA;!?MFANO TEZ DUME BILA UPASUAJI BAWASIRI UTI PID 0672518275
Kijitonyama (Near Sinza Maalum School)
Dar Es Salaam
We connect student with internationally accredited university, we deal with medical tourism and High