Bright Mindset Tanzania
Nearby non profit organizations
00000
Ocean Road Cancer Institute
14124
Maji Ya Chai, Arusha
Kawe District
P. O. Box13419
POBOX72879
33158
Africa Sana Off Shilekilango Road
P.O.BOX78545.
Nedco
Mbezi Beach Area
Goba
this page is all about youth matters, we aim in empowering youth in different Aspects.
kwa kadiri tunavyoipa nafasi bahari kubeba uhai wake na kubaki na uhalisia wake ndivyo tunavyoruhusu maisha yetu kuwa endelevu na ya viumbe hai pia.
we're humbly welcome you to this MEGA BEACH CLEANUP in Kigamboni 22/10/2022
you're welcome
contact us through:
+255 782 951 177
+255655290030
kwa kupitia matukio ya usafi kwenye fukwe zetu idadi kubwa ya vijana imekuwa ikijitokeza katika kuhakikisha fukwe zetu zinakuwa safi.
hii ni ishara kuwa kesho ya bahari ipo salama na fukwe zina kesho iliyo njema zaidi.
tukutane 22/10/2022
katika Mega Event ya usafi katika fukwe za kigamboni.
SIKU YA USAFI: *22/10/2022*
Bright Mindset Tanzania Katika kuendeleza vuguvugu la usafi na utunzaji wa fukwe na bahari tunawaletea BEACH CLEANUP MEGA EVENT
MAHALI: Kigamboni kuanzia Ferry Kigamboni, Rongoni, Mikadi na Chadibwa.
MUDA: Kuanzia 12:30 Asubuhi Tutakutana Fukwe ya Kigamboni ferry
MALENGO:
>Kuendeleza jitihada za utunzaji wa Bahari na maeneo tengefu.
>Kuongeza uelewa kuhusu uchafuzi wa bahari.
SHUGHULI
>Usafi wa fukwe ya kigamboni ferry, Rongoni,mikadi na Chadibwa (04).
>Ukaguzi wa taka na Mzalishaji.
>Kupima Uzito wa taka zilizokusanywa.
NAMNA YA KUSHIRIKI.
>Thibitisha Ushiriki wako kwa kutuma majina yako kupitia whatsapp group yetu hii kwa kuandika jina lako.
Info/Sponsorship/Partinership
Email: [email protected]
Phone: +255 782 951 177
+255655290030
Kwa namna tunavyosheherekea siku ya leo kidunia, tunapenda kuzidi kuwahamasisha watanzania na watu wa dunia nzima kuzidi kuitunza bahari na kuilinda dhidi ya uharibifu wowote uliokusudia au ambao bila kujua unalenga kuhatarisha usalama wa bahari.
* Ukienda ufukweni na plastic kumbuka kurudi nayo nyumbani na kuiweka mahali penye mifuko mizuri ya uchafu ili isije hatarisha mazingira pia.
* Ukikuta plastic ufukweni iokote na kuihifadhi kwenye vyombo vya uchafu.
* Wape watu elimu juu ya uhifadhi wa mazingira bahari.
Heri ya siku ya bahari.
.
If we won't change our actions this world and our ocean will be the worst place to live in.
Take action
Make effort
Be heard.
Happy Mother's Day to all mothers over the world.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Website
Address
Kigamboni, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
11101
Sinza Lufungira, Mbogo Street, House No. 12
Dar Es Salaam
TAMASHA-vijana translates to “Celebrate Youth!” something that we are passionate about
Policy Forum 7 Ndovu Street , Off Rose Garden Road Mikocheni B
Dar Es Salaam
Our Mission: As a network, Policy Forum works together to open up and influence policy processes that improve the lives of all people, especially those who are socially disadvantag...
Ungindoni, Kigamboni
Dar Es Salaam
Tanzania Youth Cultural Exchange Network (TYCEN) is a non-governmental youth development organization
Morani House
Dar Es Salaam
The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.
Mikocheni B
Dar Es Salaam
Inspire Change is a community engagement organization advocating for the rights, protection & welfare
Dar Es Salaam
Agenda Participation Initiative promotes good governance and empowers the community to utilize opportunities in agriculture and natural resources while protecting the environment.
Plot 182 Mzinga Way, Off Msasani Road, Oysterbay
Dar Es Salaam, MASAKI
The United Nations Volunteers (UNV) Programme contributes to peace and development through volunteerism worldwide.