West-Point Nature Healthcare

Beloved, Prosper and Have Devine Health

10/25/2022

HORMONE IMBALANCE/MVURUGIKO WA HOMONI.
Hili ni tatizo sugu sana kwa wanawake na wanaume, Lakini limeonekana zaidi kwa wanawake.
Kitaalamu huu ni mvurugiko wa vichocheo vya mwili, ni tatizo linalosababishwa na aidha kuongezeka au kupungua kwa homoni, au kutokuwa na uwiano katika uzalishwaji wa homoni.
SABABU ZINAZOPELEKEA HORMONE IMBALANCE.
Zipo sababu nyingi ila hizi ni baadhi ya hizo.
>Ulaji Mbovu (Unhealthy Diety).
>Msongo wa Mawazo uliopitiliza.
>Kisukari Aina I au ll.
>Kushindwa kufanyakazi kwa Tezi ya Pituitari.
>Mabadiliko ya Mazingira.
>Kuugua Muda mrefu.
>Maradhi ya Kurithi mfano Selimundu (Circle cell)
>Mimba
>Magonjwa K**a PID na magonjwa mengine ya wanawake
DALILI ZA HORMONE IMBALANCE
>Uchovu wa Mara kwa mara
>Maumivu ya viungo
>Maumivu makali kabla, au wakati wa hedhi
>Maumivu kwenye tumbo la uzazi
>Kwenda hedhi Muda Mrefu
>Mfumo wa hedhi kuvurugika kila mara
>Dalili za Mimba Bandia (Kuhisi una mimba kumbe huna)
>Kuchagua vyakula
>Kushindwa kubeba mimba, au mimba kuharibika
>Kupata Chunisi zisizoisha usoni (acne).
MATIBABU
Dawa nyingi za kisasa/ Manufactured Chemicals hazijawa na msaada wa moja kwa Moja, Sisi tunapendekeza utibu k**a Ifuatavyo
1. Badili Mfumo wa maisha
(Ulaji, aina za vyakula, pendelea mlo Kamili, wenye aina zote za chakula)
II. Pendelea Kufanya Mazoezi ili kuupa mwili mtawanyo mzuri wa homoni
III. Usiendekeze Stress kabisa
DR. West-Point
Karibu Ujifunze Nasi.

Want your practice to be the top-listed Clinic in Plymouth?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Minneapolis
Plymouth, MN

Other Medical & Health in Plymouth (show all)
Stryker ENT Stryker ENT
3600 Holly Lane North, Suite 40
Plymouth, 55447

Dedicated to those managing conditions including chronic sinusitis and rhinitis, Eustachian tube dys

Winds of Change Health Care Winds of Change Health Care
10700 Old Co Road 15, Suite 240
Plymouth, 55441

Winds of Change is a direct primary care clinic with a strong emphasis on Lifestyle and Integrative Medicine. We utilize clearly-priced, subscription-based primary care and discoun...

Lotus Pharmacy Lotus Pharmacy
9850 51st Avenue N Suite 102
Plymouth, 55442

A New Level of Pharmacy Excellence

Laser Peripherals, LLC Laser Peripherals, LLC
13355 10th Avenue N Suite 110
Plymouth, 55441

For over 30 years, we produce and engineer high quality laser fibers. At Laser Peripherals, we offer

The Papillon Effect Wellness The Papillon Effect Wellness
10700 W. Highway 55 Ste 11
Plymouth, 55441

Optical Styles Optical Styles
4345 Nathan Lane No. Ste L
Plymouth, 55442

Location: 4345 Nathan Ln. No. Suite L Plymouth, Mn. 55442 763-533-4084

AssureSleep AssureSleep
Plymouth, 55441

AssureSleep was created to provide an easier, more economical way for people to have their sleep pro

Disc Centers of America-Plymouth, MN Disc Centers of America-Plymouth, MN
1025 Evergreen Lane North
Plymouth, 55441

Non-Surgical Spinal Decompression has been demonstrated effective in relieving the pain linked with bulging and herniated discs, degenerative disc disease, sciatica, and even relap...

Minnesota Center for Multiple Sclerosis Minnesota Center for Multiple Sclerosis
15700 37th Avenue N, Suite 110
Plymouth, 55446

HealthSource Solutions, LLC HealthSource Solutions, LLC
3149 Fernbrook Lane North
Plymouth, 55447

HealthSource Solutions has been providing exceptional worksite health promotion services for over 30

Follow-up medical by doctor El Rays Follow-up medical by doctor El Rays
Plymouth

Docteur Raymond KITOKO : médecin des hôpitaux, propose des les conseils médicaux.

Rexton Rexton
Plymouth, 55446

Rexton develops a full line of solutions for all types of hearing loss and lifestyle needs with value