Femina Hip
Empowering Tanzanian youth. Join us in making a difference today.
Femina Hip is a multimedia platform and a civil society initiative working with youth, communities and strategic partners across Tanzania. Since 1999, our aim has been to promote healthy lifestyles, sexual health, HIV prevention, gender equality and citizen engagement. We now also promote active learning through outreach activities and multimedia products focusing on entrepreneurship, financial literacy and secure livelihoods.
Tunapenda kukutakia wewe na wapendwa wako kheri ya Maulid yenye baraka tele!
Kiranja anaulizaโฆ
Femina Hip ilitembelea Mkoa wa Kigoma na kuendesha mafunzo shirikishi kwa walimu walezi wa Fema Club. Mafunzo haya yaliwaleta pamoja walimu walezi kutoka maeneo mbalimbali ya Kigoma, kwa lengo la kuwapatia ujuzi na mbinu mpya za kulea na kuwalinda vijana waliopo ndani ya Fema Club.
Walezi walijifunza mbinu za ubunifu, ushirikishwaji wa vijana, na njia bora za kuhamasisha kizazi chenye tija kwa jamii.
Ushirikiano wa washiriki ulikuwa wa hali ya juu, na tunafurahia kuona walimu walezi wakionyesha dhamira ya dhati ya kutumia maarifa waliyojipatia katika kazi zao za kila siku.
Tunawashukuru wote waliohudhuria na tunatarajia kuendelea kushirikiana kwa karibu, kuhakikisha vijana wetu wanajengwa kwa njia bora zaidi za makuzi.
Ikiwa taulo za k**e zitapatikana bure na kuondolewa kodi, kutakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kupunguza utoro na kuwahamasisha wasichana wengi kubaki shuleni na kuendelea na masomo yao.
Femina Hip tunajivunia kwa dhati na tunashukuru sana kwa kupokea cheti cha pongezi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga!
Tunatoa shukrani kwa serikali kwa kutambua na kuthamini mchango wetu katika kuboresha maisha ya vijana. Tunajivunia kutoa mchango kwenye masuala ya afya ya uzazi, ujasiriamali, na kupandikiza mbegu ya uwajibikaji katika jamii wanazoishi.
Tunatoa pia shukrani kwa Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania kwa kutuamini na kwa kushirikiana nasi katika jitihada hizi muhimu. Ushirikiano huu umeleta nguvu na ujasiri katika kazi zetu.
Na kwa vijana wenyewe, Champions, nyinyi ni wa thamani sana. Asanteni kwa kuchukua mafunzo tunayowapatia na kuyafanya kuwa na athari kubwa chanya kwenu na ndani ya jamii mnazoishi. Bila ninyi, mafanikio haya yasingewezekana. Tunajivunia sana kujituma na kujitoa kwenu katika kila hatua mnayochukua.
Hakuna kurudi nyuma.
#
Femina Hip, pamoja na mashirika mengine yanayofanya kazi katika mkoa wa Tanga, leo tumeungana kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Mgeni rasmi wa tukio hili ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Balozi Dkt. Batilda S. Burian.
Kaulimbiu ya mkutano: โMashirika yasiyo ya kiserikali ni wadau muhimu, washirikishwe katika utawala bora.
Endelea kutazama episode yetu mpya ya Story Yangu, mezani tupo na P Mawenge.
Bonyeza link hii kuipakua au kuitazama. https://youtu.be/i-Xw8UzqlQ4?si=3lixOCGpbUet4Oo9
Kiranja anauliza, ukisikia kauli hii โKura yako ni muhimuโ unaelewa nini?
Usikose episode inayofuata ya !
Na customer care leo ni ambaye amepigiwa simu na akielezea safari yake muziki, mahusiano yake na pia ametupa somo nzuri sana juu ya kufanya muziki ukaww na faida kwako.
Usisahau kusubscribe kwenye Channel yetu ya YouTube, Femina Hip, ili usipitwe na Story hii ya P Mawenge
๐๐ข๐ค๐ฎ: ๐๐ฃ๐ฎ๐ฆ๐๐
๐๐ฎ๐๐: ๐๐:๐๐ ๐๐ข๐จ๐ง๐ข.
๐บ:
cc:
Kiranja anauliza, Gen Z mtapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu.
Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) pamoja na Mtandao wa Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu (TANAHUT) tunasimama pamoja na Watanzania, watetezi wa haki za binadamu, hususani haki za wanawake na wasichana, katika kukemea ukatili wa kijinsia uliofanywa kwa binti wa miaka 17.
Tukio hili lilihusisha vijana watano na limesababisha hofu kubwa na taharuki katika jamii. MKUKI na TANAHUT tunasikitishwa na namna suala hili linavyoshughulikiwa na mamlaka husika, hususani Jeshi la Polisi na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.
MKUKI na TANAHUT tunawapongeza watanzania wote wanaoshiriki katika kukemea vitendo vya ukatili wa kijinsia.
๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐ฎ๐ค๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข ๐ข๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐๐ค๐๐ง๐.
Siku nyingine, wiki nyingine, nafasi nyingine kutimiza ndoto zako. Tunakutakia wiki yenye mafanikio๐ซถ.
Hatuwezi kukubali kuona haki ikipotea; tunataka hatua ichukuliwe dhidi ya ukatili uliofanywa kwa binti huyu, ili kulinda utu na heshima ya Taifa letu.
Femina Hip is proud be part of the Inaugural East African Education Conference taking place at the Arusha International Conference Centre!
Weโre teaming up with the Economic and Social Research Foundation to showcase the contribution of Fema Clubs on academic performance across Mainland Tanzania.
Drop a like and a comment if you have been impacted by Fema Club.
Mkurugenzi wa GIZ, Bi. Anne Hanh ametembelea Shule ya Sekondari Lushoto, Wilayani Lushoto - Tanga, kwa lengo la kutathmini maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Kijana Jitambue.
Katika ziara hii, amekutana na uongozi wa shule, wazazi, na wanafunzi, ambapo wameonesha ujuzi wao kupitia mbinu za elimu burudani k**a maigizo na mashairi kuhusu balehe, stadi za maisha, na afya.
Aidha, GIZ imechangia taulo za k**e kwa ajili ya wasichana, kuhakikisha wanapata vifaa vya kujisitiri wanapokuwa shuleni wakati wa hedhi, ili kudumisha ushiriki wao katika masomo.
๐ธ:
Vijana ndiyo tegemeo, nguzo, na wenye kesho ya taifa letu ~Ridhiwani Kikwete.
Tukiendelea kusherehekea Siku ya Vijana, leo tumeungana na vijana wenzetu kutoka maeneo mbalimbali hapa viwanja vya Usagara, jijini Tanga.
Karibu kwenye banda letu tujadiliane kwa pamoja kauli mbiu ya mwaka huu: โVijana na Matumizi ya Fursa za Kidigitali kwa Maendeleo Endelevu.โ
Siku ya Vijana Kimataifa tarehe 12 Agosti , 2024
Kauli Mbiu: Vijana na Matumizi ya fursa za Kidijitali kwa Maendeleo endelevu
Siku ya Vijana Kimataifa tarehe 12 Agosti , 2024
Kauli Mbiu: Vijana na Matumizi ya fursa za Kidijitali kwa Maendeleo endelevu
KIREDIO: Matamanio yangu makubwa ni siku moja niweze kwenda bungeni na kuonana na Mh.Spika .ackson .
Bonyeza link kwenye bio kuangalia kipindi chote kwenye YouTube ya Femina Hip.
๐บ:
cc:
APPY TZ: Kwenye safari ya maisha yangu nilishawahi kuokota mkaa jalalani ili nikapikie chakula.
Bonyeza link kwenye bio kuangalia kipindi chote kwenye YouTube ya Femina Hip.
๐บ:
cc:
APPY TZ: Kabla sijatoka kimuziki nilikuwa nauza mbogamboga nilianza na mtaji wa TSH.3000/=
Bonyeza link kwenye bio kuangalia kipindi chote kwenye YouTube ya Femina Hip.
๐บ:
cc:
Katika kuelekea kwenye maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani Agosti 12, vijana wa Fema Club Shule ya Sekondari Dodoma wameungana na vijana wengine leo, Agosti 10, kujadili โfursa za kidigitaliโ kwenye uzinduzi wa Kongamano la Vijana.
Tukio hili limefanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, Dodoma.
Kauli mbiu: โVijana na matumizi ya fursa za kidigitali kwa maendeleo endelevuโ
Vijana, kupitia teknolojia ya kidijitali, tunasonga mbele kwa kasi kuelekea mustakabali wa maendeleo bora.
Kwa kutumia mbinu za kidijitali, vijana wanaweza kubadilisha dunia kwa maendeleo endelevu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Femina Hip working with and for youth of Tanzania
Femina Hip is the largest civil society multimedia platform in Tanzania dedicated to fostering young changemakers
Femina Hip is an award winning multimedia platform working with youth, communities, and strategic partners across Tanzania. We specifically target young women and men, aged 13-30 years. The aim of our work is to promote healthy lifestyles, sexual and reproductive health and rights, economic empowerment, citizen engagement and gender equality.
We are strategic communication experts, dedicated to engaging young people in conversations around issues important to their development and well being in a popular way. Femina Hip informs, inspires, and influences attitudes to ultimately change behaviours. We want our youth to be confident change-makers who are the authors of their own lives.
In 2019 Femina Hip is 20 years! Tune in and celebrate with us!!!
Happy anniversary to all of us in the Femina Family!
Videos (show all)
Contact the organization
Telephone
Website
Address
23 Migombani Street, Mikocheni
Dar Es Salaam
Opening Hours
Monday | 08:00 - 17:00 |
Tuesday | 08:00 - 17:00 |
Wednesday | 08:00 - 17:00 |
Thursday | 08:00 - 17:00 |
Friday | 08:00 - 17:00 |
Umoja Road Block 2Q, Madale Village
Dar Es Salaam, 23333
Art in Tanzania - a self-sustainable NGO helping communities in Tanzania.
Morani House
Dar Es Salaam
The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.
NSSF Road St, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, 14121
We are a non-profit organization, our main goal is to change lives of youths, children and those in
Mikocheni
Dar Es Salaam
Tanzania joining other countries to start STOP TB chapter in Tanzania aiming to comply with Moscow de
Zanaki Street
Dar Es Salaam, 11105
Universal Human Development (UHUDEN), is a Non-Government organization established under section 12 (1) of the NGO Act No. 24 of 2002, of the United Republic of Tanzania.
CHANIKA
Dar Es Salaam
๏ฟฝ DENY CHILD ABUSE ๏ฟฝ RIGHTS AND EQUALITY TO ALL Children ๏ฟฝ
Sam Nujoma/Lufungira Road
Dar Es Salaam
ROMME Love Justice Tanzania, an anti Human Trafficking organisation is a member of TANAHUT.
P. O. BOX 20950
Dar Es Salaam, 12113
social activists who fight against violence and sexual violence and provide education to the community "Wanaharakati wa kijamii Tunaopambana kupinga ukatili na unyanyasaji wa kiji...