Tanzania Youth Coalition (TYC)
TYC works on Policy Analysis, Capacity building and Awareness raising of you TYC inafanya kazi ya kuwajengea vijana uwezo na uelewa kuhusu maendeleo endelevu.
Tanzania Youth Coalition (TYC) is a consortium of 120 youth NGOs and CBOs, 249 Youth Enterprise Groups (YEGs) and hundreds of youth individuals in Tanzania Mainland and Zanzibar. IN ENGLISH
Tanzania Youth Coalition (TYC) is a consortium/union of 120 youth non-governmental organizations, 249 Youth Enterprise Groups (YEGs) and hundreds of youth individuals countrywide. TYC is working towards buildin
K**a sehemu ya ushiriki wa vijana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Je ni maswali gani utamuuliza mgombea wakati wa kampeni?
Tulipata fursa ya kwa kutembelewa na wakening kutoka taasisi ya Tanzania Youth Vissio Association . Tumekuwa na majadiliano yenye tija kuhusu mustakabali wa maendeleo ya vijana na jinsi tunavyoweza kushirikiana kuleta mabadiliko chanya. Kwa pamoja, tunaamini kuwa vijana ni nguzo kuu ya maendeleo endelevu. "
Vijana wakifanya mafunzo kwa vitendo kwenye kituo chetu cha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo, wakijifunza mbinu bora za maandalizi ya shamba kwa mafanikio ya kilimo endelevu. Mafunzo haya yanawawezesha sio tu kuongeza tija ya uzalishaji bali pia kujenga fursa za ajira na kipato, kuwafanya kuwa wachangiaji wakuu wa uchumi na maendeleo ya jamii zao!
Zifahamu Nafasi za uongozi zinazogombewa katika Mamlaka za wilaya ngazi ya kijiji katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Vijana tujitokeze kuchukua fomu za uongozi wa serikali za mitaa kwa maendeleo yetu sote.
Uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27,2024. tujitokeze kuchukua fomu za uongozi wa serikali za mitaa kwa maendeleo yetu sote.
Remarkable memories from National Youth Week 2024
Memorable moments at National youth week
Calling all climate innovators!
๐ Do you have a solution to help rural communities adapt to climate change?
Apply for the Adaptation & Resilience ClimAccelerator and scale your impact!
Get mentorship, resources, funding opportunities, and access to a global network.
๐ Applications close on 8 Nov 2024!
Click the link on bio for more details.
๐ Calling all young climate champions! ๐ฑ
Join us at the Pre-COP29 National Youth Forum on November 1st, 2024, at JNICC, Dar es Salaam! This is YOUR chance to shape Tanzaniaโs voice ahead of COP29. ๐ฟ๐ฅ
Panel discussions, breakout sessions, and a Movie Night await you! ๐ฌ๐ก Apply by October 25th and be part of the movement for clean energy, climate resilience, and a sustainable future. ๐ชโจ
๐ Apply now: https://forms.gle/t6JXmVabXN1RsVTr6 (link on bio for more details)
๐
Date: November 1, 2024
๐ Location: JNICC, Dar es Salaam
Uzinduzi wa kituo cha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo kwa vijana mkoani Dodoma chini ya mradi wa Boresha Maisha ya Vijana.
Kwa kushirikiana na Taasisi ya Young World Feeders Foundation , tumefanikisha kuandaa kituo cha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo kwa vijana mkoani Dodoma chini ya mradi wa Boresha Maisha ya Vijana. Kituo hiki kimezinduliwa rasmi na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Mhe. Mohamed Chikawe.
TYC kwa kushirikiana na na tulifanikiwa kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu utunzaji wa mazingira na fursa zinazipatikana kwenye kutumia taka kuwa mali. Hii ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mradi wa CO_ CREATE
.foundation @tbc2online
Mabadiliko ya Tarehe Ya kuchukua Fomu za kugombea Uongozi uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkurugenzi wa Tanzania Youth Coalition, Ndug. Lenin Kazoba amefika kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura. Zimebaki siku 2 tu! Fika sasa, jiandikishe, na uwe na sauti katika kuchagua viongozi bora wa kesho! "
USAID Kijana Nahodha "ndio mpango mzima"
Ratiba Ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vijana wanapaswa kutambua kuwa changamoto ya ajira si kikwazo cha mafanikio yao, bali ni fursa ya kubuni njia mpya za kujikwamua kiuchumi. Kupitia ujasiriamali, ubunifu, na matumizi sahihi ya teknolojia, tunaweza kuunda ajira na kujenga uchumi endelevu.
Vijana Tujitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Usikubali kupitwa kwani kujiandikisha kunakupa haki ya kuchangia maoni kwenye maswala ya kimaendeleo pia kunakupa fursa ya kumchagua kiongozi unayemtaka
Ili uweze kujiandikisha fika kwenye vituo vilivyopo kwenye mitaa yetu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Our Story
IN ENGLISH
Tanzania Youth Coalition (TYC) is a consortium of 120 youth NGOs and CBOs, 249 Youth Enterprise Groups (YEGs) and hundreds of youth individuals in Tanzania Mainland and Zanzibar. TYC works on Policy Analysis, Capacity building and Awareness raising of youth related Policies, highlighting opportunities for youth people and addressing challenges at policy platforms ensuring that the voices of young people are heard at decision making arenas and put at the centre stage of policy agenda.
Tanzania Youth Coalition (TYC) ensures that the voice of young person is heard at all policy platforms at local, national and international levels. Tanzania. Tanzania Youth Coalition (TYC) does the work of facilitating information dissemination, sharing and exchange, Policy analysis, Lobbying and advocacy. Tanzania Youth Coalition (TYC) is registered under the NGO Act of 2002 no.00NGO/1382 (TYC SP 2010.)TYC addresses five programs areas:
1. Youth livelihood and employment
Videos (show all)
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Akachube Road, House No. 17, Kijitonyama. Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
Opening Hours
Monday | 09:00 - 17:00 |
Tuesday | 09:00 - 17:00 |
Wednesday | 09:00 - 17:00 |
Thursday | 09:00 - 17:00 |
Friday | 09:00 - 17:00 |
Umoja Road Block 2Q, Madale Village
Dar Es Salaam, 23333
Art in Tanzania - a self-sustainable NGO helping communities in Tanzania.
Morani House
Dar Es Salaam
The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.
NSSF Road St, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, 14121
We are a non-profit organization, our main goal is to change lives of youths, children and those in
Mikocheni
Dar Es Salaam
Tanzania joining other countries to start STOP TB chapter in Tanzania aiming to comply with Moscow de
Zanaki Street
Dar Es Salaam, 11105
Universal Human Development (UHUDEN), is a Non-Government organization established under section 12 (1) of the NGO Act No. 24 of 2002, of the United Republic of Tanzania.
CHANIKA
Dar Es Salaam
๏ฟฝ DENY CHILD ABUSE ๏ฟฝ RIGHTS AND EQUALITY TO ALL Children ๏ฟฝ
Sam Nujoma/Lufungira Road
Dar Es Salaam
ROMME Love Justice Tanzania, an anti Human Trafficking organisation is a member of TANAHUT.
Dar. . Es. . Salaam
Dar Es Salaam
Ni Shirika Linalo Wasaidia Watu Kupata Wanachokitaka. Lina shughulika na Utatuzi wa Matatizo ya Kiroho, Kifedha, Kiafya na Mahusiano yaliyoshindikana.
P. O. BOX 20950
Dar Es Salaam, 12113
social activists who fight against violence and sexual violence and provide education to the community "Wanaharakati wa kijamii Tunaopambana kupinga ukatili na unyanyasaji wa kiji...