Community Development Trust Fund
Nearby non profit organizations
Tabata Segerea
Masaki Street
P. O BOX 80297
Dar es Salam 00255
Upanga
38524
Temeke
Kisutu Hananasif
Kigamboni
Gongo la Mboto, Dar es Salam
Mikocheni, Dar es Salam
CDTF has the purpose of complementing efforts of the nation on improving people's social and economi
Kaulimbiu: Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha
The Board Chair of
Community Development Trust Fund Trust Fund
keenly listening speekers during with theme in Arusha.
CDTF is actively participating in CSO Week 2023, from October 23, 2023, at the Arusha International Conference Centre (AICC). The theme for CSO Week 2023 is Tech x Society: Then, Now, and Beyond.
KAZI YA BABA WA FAMILIA SIYO KUJISIFIA MWENYEWE KUWA AMETENDA MEMA KWA FAMILIA BALI, WANAFAMILIA NDIYO WENYE WAJIBU WA KUMSIFIA BABA KWA YOTE MEMA ANAYOYAFANYA KUKIDHI MAHITAJI YAO. VIVYO HIVYO KWA VIONGOZI KATIKA TAASISI HAWAPASWI KUJISIFIA WENYEWE BALI WANANCHI NDIYO WENYE WAJIBU WA KUNENA SIFA ZA VIONGOZI KUTOKANA NA UTENDAJI WAO
Stanford Kalala from CDTF is experiencing storytelling with virtual reality by
at 🙌
Taasisi ya Maendeleo ya Jamii(CDTF) inaungana na dunia kuazimisha siku ya mtoto wa k**e duniani, kwa kumpigania mtoto wa k**e kuweza kupata haki yake ya msingi ili kutimiza ndozo zake.
Improved relationship between service providers and service recipients, the case of Masanganya village – best practice – CDTF – Tanzania Masanganya is one of the Health Facility (a Dispensary) within the CLM project area, it is located 45 kms west of Kisarawe district head quarter. The dispensary offers among other services the CTC, it serves the population of about 5,401 people and 363 persons living with HIV/AIDS. The approach used...
Ujumbe umefika kila mwananchi atafakari jana , leo na kesho yake. Kwa pamoja tutajenga nchi
Ilikuwa siku maalumu ya uzinduzi wa bwalo la chakula shule ya Msingi Mlimwa B Jiji la Dodoma. Je ni shule ngapi za msingi ambazo zina miundombinu bora ya kutoa huduma ya chakula kwa wanafunzi? Wadau wa elimu na serikali tunapaswa kuliangalia hili kwa jicho la pekee ili isaidie wananfunzi kupata huduma ya chakula shuleni kwenye mazingira bora
Success story of Free access to male condoms at kola sub-village in Kisanga village
http://www.cdtf.or.tz/success-story-of-free-access-to-male-condoms-at-kola-sub-village-in-kisanga-village/
CDTF imechangia baadhi ya vifaa kwa watoto wanaojiandaa kwenda shuleni.
CDTF inaomba jamii kujitokeza kuwasaidia watoto wote wakiwemo wenye ulemavu wapate elimu bora kwa kuwasaidia mahitaji mbalimbali.
Mkurugenzi wa CDTF, Bw. H. Mgingi akijadiala na wanafunzi kufahamu k**a wanapata huduma zinazochangiwa na wadau wa Maendeleo ikiwemo CDTF katika shule ya msingi Pongwe - Tanga
Ili kuhakikisha azma ya Kujitegemea inafikiwa miongoni mwa jamii,serikali vema kuimarisha mifumo ya ushirikishwaji wa jamii kwenye Mamlaka ya serikali za mitaa ikiwemo msisitizo wa upangaji mipango shirikishi ili kutoa fursa ya ushiriki wa wananchi.Uzoefu unaonesha pale wananchi wanaposhiriki kikamilifu, mipango iliyoandaliwa hulenga katika utatuzi wa kero zao halisi hivyo huwa tayari kujitoa kwa hali na mali katika utekelezaji wa mipango hiyo. Matokeo yake wananchi wanajali na kulinda mafanikio yanayopatikana. Hali hiyo inahakikisha uendelevu.
Uongozi wa pamoja ni msingi wa kuleta mshik**ano katika Jamii
16 days of Activism Against Gender Based Violence
CDTF unites with other activists to advocate the right of women and girls against Gender Based Violence
World Aids Day..
Mkurugenzi Mtendaji wa CDTF, Bw. H. Mgingi anaelezea kupitia Capital Redio jinsi CDTF inavyoshiriki kwenye mapambano dhidi ya UKIMWI Kupitia mradi wa CLM unaochangia uboreshaji wa utoaji huduma katika vituo vya afya Wilaya ya Kisarawe.
Karibu ushiriki kipindi Cha mada mezani, Redio Capital
IT IS HAPPENING NOW...
Katika kuazimisha siku ya UKIMWI duniani, Mkurugenzi mtendaji wa CDTF anaelezea jinsi Mradi wa CLM unavyochangia Kuboresha huduma bora Kwa Wapokea Huduma.
SIKILIZA CAPITAL RADIO, kipindi MADA MEZANI Hivi sasa
Tarehe 1 Desemba ni siku ya kuadhimisha shughuli za UKIMWI Duniani je hapo ulipo huduma za utoaji na upokeaji huduma kwa WAVIU zinatolewa kwa ufanisi?
Kazi ya baba au mkuu wa kaya siyo kujisifia mwenyewe bali husifiwa na wanafamilia na majirani kwa kazi au huduma anayoitoa kwa wanafamilia. Sawa na kiongozi katika jumuiya au Taasisi hajisifii mwenyewe husifiwa na anaowaongoza na waliomzunguka kwa kutimiza malengo na ahadi alizotoa bila kubagua au kunyanyasa wachache .
Uongozi ni kuwa na dira na kuizingatia siyo kujipendekeza
Elimu ya kinga ni msingi mkuu wa kupambana na magonjwa mbalimbali yanayotukabili.
CDTF staff, Mr. Mpendo and Stanford participated in Community Led-Monitoring Tools development organized by NACOPHA in Dar Es Salaam on 19th and 20th May 2021
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Telephone
Website
Address
Posta, NIC Investment House, 2nd Floor
Dar Es Salaam
CODE11101P.O.BOX9421
Sinza Lufungira, Mbogo Street, House No. 12
Dar Es Salaam
TAMASHA-vijana translates to “Celebrate Youth!” something that we are passionate about
Umoja Road Block 2Q, Madale Village
Dar Es Salaam, 23333
Art in Tanzania - a self-sustainable NGO helping communities in Tanzania.
Morani House
Dar Es Salaam
The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.
NSSF Road St, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, 14121
We are a non-profit organization, our main goal is to change lives of youths, children and those in
Mikocheni
Dar Es Salaam
Tanzania joining other countries to start STOP TB chapter in Tanzania aiming to comply with Moscow de
Zanaki Street
Dar Es Salaam, 11105
Universal Human Development (UHUDEN), is a Non-Government organization established under section 12
CHANIKA
Dar Es Salaam
� DENY CHILD ABUSE � RIGHTS AND EQUALITY TO ALL CHILDREN � DISABILITY IS NOT A CHALLENGE FOR A CHILD
Sam Nujoma/Lufungira Road
Dar Es Salaam
ROMME Love Justice Tanzania, an anti Human Trafficking organisation is a member of TANAHUT.
6 Guinea Road, Osterbay
Dar Es Salaam
We prepare, inspire and empower the youth in achieving their full potential thereby living a successful and productive life there upon become agents of change