ENREDO

Welcome to the official page of Enlighten Resilience Development Organization (ENREDO) Da-es-salaam-Tanzania

Enlighten Resilience Development Organization (ENREDO) is non-governmental organization which involves the youths who graduated from universities ,university continuing students and the entire population of the youths in Tanzania with national level under sec12 (2) of Act No.24 of 2002 in 2015. It is a youth-led NGO working for Youth, disabled and women, which deals with the youths in general reg

31/08/2024

It was plesure to be invite by JAPANESE Embassy By Ambassador Annacollections Fashion Academy
God's Favour .

24/08/2024

Exploring the World of Fashion Style and Creativity at Annacollections Fashion Academy

02/08/2024

God God God
Thank you.

22/07/2024

Elimu +Kipaji=Haushikiki
Usiochukulie powa elimu+kipaji

The African Brands
Anna collections & Anna Collection Fashion Academy (AFA) & Afa fashion night and Award , tunawashukuru kwa Tuzo Women and Men Digital Award of the Year, imekuja kwetu kwenye sekta ya ushonaji , Ubunifu wa mitindo na mavazi, Tunawashukuru wale wote Mliotupigia kura, Mungu awabariki mmetupa nguvu ya kuendelea kupambana na kuonesha ubunifu wetu siku zote .

Hatmaye pia tumezindua vazi letu lingine Annala light Premium , linaloweza Display majina, kubadili rangi. Kutoa emoji, Sasa Fashion Tanzania iko juu. Karibu Anna collection, Anna fashion academy , afa fashion night and Awards , Tembelea page zetu kuona gauni letu ndani ya Zaylisa.

22/07/2024

New Annala launch!
Vaa, furahi, Pendeza (ubujifu ni jadi yetu )
Je unahitaji kuiona Tazqma mpaka mwisho ,alafu kuwa wa kwanza kuweka order.
Anna collections Annacollections Fashion Academy

13/07/2024

Annacollections Fashion Academy Mbeya tumewafikia kupitia Access fm leo pendwa na namba moja mbeya .

10/07/2024

Infomer
Annacollections Fashion Academy
Intake ya August dakika za mwisho , hivi karibuni usajili unafungwa.

10/07/2024

Mbeya
Rechaging for Next assignment
AFA fashion night 2024
Qre you ready ?stay tuned new creativity

07/07/2024

Njombe tunawafikia kupitia uplands Fm , Annacollections Fashion Academy tumedhamiria kuwezesha na kusaidia wanawake na vijana kupata ujuzi na maarifa ya biashara ubunifu wa mavazi na ushonaji kupitia Grow model hatmaye kuleta mabadiliko.

07/07/2024

Njombe tunawafikia kupitia Kings Fm , Annacollections Fashion Academy tumedhamiria kuwezesha na kusaidia wanawake na vijana kupata ujuzi na maarifa ya biashara ubunifu wa mavazi na ushonaji kupitia Grow model hatmaye kuleta mabadiliko.

02/06/2024

CREATIVE DESIGNER AND ILLUSTRATOR
is needed, deadline 5/6/2024
grab the opportunity

27/05/2024

Agizo la amama Samia Suluhu Hassan, tukiungana na kukua kwa pamoja na Taifa la Tanzania litakuwa na kujulikana , sisi katika kutangaza nchi kupitia mavazi na elimu yetu, kwa kuungana na wasanii wa sanaa ya filam na Annacollections Fashion Academychuo cha kitanazania na asili yake Tanzania tunawezesha vijana na wanawake kupata ujuzi wa kisasa, hii imeplekea kuwa kwenye nafasi ya chuo namba moja Afrika masahariki na kuleta watu kutoka mataifa mbalimbali kuja kusoma hivyo tunayaishi maneno ya mama Samia Suluhu Hassan, siku moja taifa litakuwa kubwa na tuapata tija.
kulekea harusi ya ndugu yetu HARUSI YA KITAIFA KIBABE ZAIDI tarehe 28/6/2024, subiri utaona ubunifu na ladha ya kitanzania ya mavazi .
RAI YETU; Samia Suluhu Hassanwalisema hatuweze pitia Annacollections Fashion Academy, vijana wako tunaweza tunachoomba ni kuunga kmkono na kutambuliwa.

22/05/2024

tabasamu na upendo wa ndani ni tunu kwa , leo ulikuwa wakati mzuri na timu ya wakishea tabasamu na wanafunzi wa asante sana , je unajua kuna nini usikae mbali , kuna jambo kubwa la kitaifa , unaweza bashiri kwa kudondosha comment yako hapo,

16/05/2024

AFA empowering and transforming people's live through modern skills in fashion designing, sewing, and business , be the next to August Intakes

credited by Abdul Sungita

16/05/2024

Guess what next.
Just support and be part of AFA's Mission

14/05/2024

Creativity on the stage , it was amazing moment from creative class Annacollections Fashion Academy

14/05/2024

Ranked as;
Number one East Africa Fashion Academy Annacollections Fashion

14/05/2024

listen , rethink , strategies
kizazi kipya ladha mpya project
from Annacollections Fashion Academy creative classs , guess what , stay connected to get the list

10/05/2024

Business Forum and presentation
We meet every month three months to hear stories of growth from people like AFA Alumni and many more.

10/05/2024

looking fresh in business meetings

26/04/2024

kizazi kipya , lady Maya project from Annacollections Fashion Academy

26/04/2024

Why the Hodari Business Forum?
A tailored delivery approach includes engaging teaching techniques, stimulating discussions, practical insights, and real-world case studies.

26/04/2024

Business Session program
creating better employee and employer through Hodari Program by training, business forum snd session, coaching and experience sharing.

07/07/2020

A Youth led NGO, ENREDO SURVIVES. COMING BACK SOON!

Suphian Juma,
Msemaji ENREDO.
Julai 7, 2020.

07/02/2018
05/01/2018

At work
Idea matters
we must create the generation we want.
Thanks for being part of it.

05/01/2018

Professional team with skills, knowledge, committed, and experience in Bachelor and Masters in Agr Economy, Agriculture, Business development, Youth and women development.
Here we come up with Papaya Investment Opportunity 2018 .

We offer:
Market
Agr consultation
Soil analysis by physical and Digital technology
Nursery seeding
Drip irrigation set up
Business plan writer up
Training
We equip skills By doing

05/01/2018

Smart workers
Poor People we save but rich People invest
We believe building community being investors
That's why we come up with Investment Opportunity 2018 , we need serious People
We offer:
Market
Agr consultation
Soil analysis by physical and Digital technology
Nursery seeding
Drip irrigation set up
Business plan writer up
Training
We equip skills By doing

30/12/2017

Investment Opportunity in Agriculture sector in 2018

ENREDO na FREBU Company Ltd, wanawaletea Fursa ya uwekezaji katika sekta ya kilimo 2018.
Fursa hii ya uwekezaji wenye uhakika wa soko imejikita katika kuanzisha na kuendeleza Mradi wa kilimo cha PAPAI fursa hii ya uwekezaji inawalenga vijana Na wanawake ambao wapo tayari kuwekeza katika kilimo cha Papai waweza kuwa kikundi, kampuni na mtu mmoja mmoja ambao tutaingia mkataba moja kwa moja ili kuweza kuwaingiza katika mfumo wa kanzi data yetu kujua ni lini umepanda na lini utavuna SOKO ni uhakika (Qatar na Dubai)
Mradi Umejikita Katika kupunguza umasikini na kuongeza kipato kwa Vijana na wamawake .
Tumepanga Kufanya Majadiliano na Wadau ambao wako tayari kufanya kilimo hicho watapata mafunzo, aina, ubora na kiwango kinachotakiwa, tafadhari usipitwe lengo letu ni Kushirikiana katika Kufanikisha Malengo ya Mradi huu kwa kunyanyuana mwaka 2018.

Naomba Namba/Barua Pepe/Mawasiliano Ya Mdau yeyote anayefanya tayari na anaehitaji kufanya mradi wa papai.
Sharing is caring
Ahsanteni kwa Ushirikiano.
[email protected]
+255713190843/ +255757554696

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

#udsmupdates #afa #creativity #fashionblogger #creativity #tanzania

Website

Address


TABATA SEGEREA
Dar Es Salaam

Other Non-Governmental Organizations (NGOs) in Dar es Salaam (show all)
Art in Tanzania Art in Tanzania
Umoja Road Block 2Q, Madale Village
Dar Es Salaam, 23333

Art in Tanzania - a self-sustainable NGO helping communities in Tanzania.

Lalji Foundation Lalji Foundation
Morani House
Dar Es Salaam

The Lalji Foundations pledges to give back to the community and improve lives.

Education For Disabled Tanzania Education For Disabled Tanzania
NSSF Road St, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, 14121

We are a non-profit organization, our main goal is to change lives of youths, children and those in

Stop TB Tanzania Stop TB Tanzania
Mikocheni
Dar Es Salaam

Tanzania joining other countries to start STOP TB chapter in Tanzania aiming to comply with Moscow de

Vijana Na Ujana Vijana Na Ujana
Dar Es Salaam

Universal Human Development - Uhuden Universal Human Development - Uhuden
Zanaki Street
Dar Es Salaam, 11105

Universal Human Development (UHUDEN), is a Non-Government organization established under section 12 (1) of the NGO Act No. 24 of 2002, of the United Republic of Tanzania.

yowedfoundation2019 yowedfoundation2019
Mbezi Luis Mwisho, Makao Makuu
Dar Es Salaam

Nantambelele niokoe foundation Nantambelele niokoe foundation
CHANIKA
Dar Es Salaam

� DENY CHILD ABUSE � RIGHTS AND EQUALITY TO ALL Children �

Romme love justice Romme love justice
Sam Nujoma/Lufungira Road
Dar Es Salaam

ROMME Love Justice Tanzania, an anti Human Trafficking organisation is a member of TANAHUT.

Zeal for Care Organization Zeal for Care Organization
Majumba Sita
Dar Es Salaam

helping people with great needy

Da Tabu Foundation Da Tabu Foundation
P. O. BOX 20950
Dar Es Salaam, 12113

social activists who fight against violence and sexual violence and provide education to the community "Wanaharakati wa kijamii Tunaopambana kupinga ukatili na unyanyasaji wa kiji...

Mwangaza Tanzania Mwangaza Tanzania
Dar Es Salaam